Nikki Mbishi amchana Steve Nyerere 'Kajitu hakaeleweki'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 49

  • @wolframmwalo2432
    @wolframmwalo2432 2 года назад

    Kabisa kaka nakupenda nikmbish kwakuwa ongea fact

  • @keithevans2722
    @keithevans2722 6 лет назад +1

    True Mzee,ipeni pesa yetu thamani,we hustle hard for our money,kama mnataka support then hakikisheni mnatengeneza kazi nzuri ili tukitoa hela zetu na muda wetu hatujutii

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 4 года назад

    Nikki bro ujajibu swali . Nakukubari mbaka naumwa Zwangendaba a k a yangu .

  • @lydiaomito3253
    @lydiaomito3253 6 лет назад +4

    Ukweli kabisa,wapunguza bla bla bla.kizuri cha jiuza

  • @alexnoah2127
    @alexnoah2127 2 года назад

    Hiyo hatutaki

  • @idrisahamza1023
    @idrisahamza1023 5 лет назад

    Nakubali mzee baba unarap mpaka ukiongea

  • @nakalikyumile4370
    @nakalikyumile4370 4 года назад

    Huyu ndio unju bin unuki"hajawahi kwepesha maneno hapo ukweli tuu safi nicki huo ndio ukweli binafsi niliwashangaa walipodai movie za nje zisiruhusiwe kuuzwa nchini!kha yaani niache kumuangalia donie yen na kina rambo nilazimishwe kuangalia movie zisizo na ubora kisa za nchini mwetu!pumbavu ni lazima wapambane kuleta vitu bora na sio kulia lia tu

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 6 лет назад +4

    Eti maandazi road 😁😁

  • @frankjully5457
    @frankjully5457 6 лет назад +5

    nyie bongo 5 wasenge nn mnashindwa kuwauliza wahusika waigizaji wenyewe mnawauliza kina Nikki mbishi anajua nn kuhusu filamu za Tanzania

    • @fdqmwanzamwanza2952
      @fdqmwanzamwanza2952 6 лет назад

      frank jully kwan Nik anaish wap asijue bongo move msenge kwer wewe

    • @kenzokimambi7922
      @kenzokimambi7922 5 лет назад

      Frank jully miezi 10 ni mingi sana huwenda ulishakufa roho inaniuma Kama ulikwisha kufa ili jibu hutolipata,msenge ni wewe ambae hujui unachokiongea wawaulize bongo muvi wenyewe wao ndo wanaozitizama izo muvi au sisi, kisimi kweli ww

    • @captenndunga9385
      @captenndunga9385 5 лет назад

      Huwez kuuona msitu ukiwa msituni we kuma

    • @semanasitv8303
      @semanasitv8303 5 лет назад

      pimbi

  • @saimonkimodoi1173
    @saimonkimodoi1173 5 лет назад +1

    We kilakitu unajua Nikki

  • @samwelmashauri9414
    @samwelmashauri9414 6 лет назад

    Nick musician mzuri lakini kila kitu anapinga sijawai kumsikia atoe sharaup

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 6 лет назад +2

    Bongo5 Jitahidini upande wa Sauti...
    Sasa hivi karibia interview yetu inakwaruza sana upande wa Sauti.

    • @MgallahTV
      @MgallahTV 6 лет назад +1

      OfficialBasaga pamoja bro twafanyia kazi

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 6 лет назад

      Godfrey Mgallah
      Fanyeni hivyo bana.

  • @innocentbazil5755
    @innocentbazil5755 6 лет назад +1

    nasifia kila unacho. Fanya kwa kila jambo linalo sikika

  • @richardmnkande1130
    @richardmnkande1130 6 лет назад +5

    Huyu Jamaa ni mlalamishi mpaka ana keraaaa..... sijui lini kwake limefanyika jema

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 6 лет назад

    Daaaaaa umenifurahisha sana kijana. Wewe nani useme astahili wakati watu na taaluma zao wamempitisha. Waache majungu na vijembe ili waendeleee

  • @joesimba
    @joesimba 6 лет назад

    0:54

  • @joesimba
    @joesimba 6 лет назад

    1:52

  • @sirajiabdulnuru6885
    @sirajiabdulnuru6885 6 лет назад

    Mara umemsfu wakikosa mtu wanamtafuta stave mara kajtu akaelewek so ndugu hip hop n nn?

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 5 лет назад

    Unjuuuu

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 6 лет назад

    Sawa mzee baba

    • @dizodi_vituko
      @dizodi_vituko 6 лет назад

      Beauty Ibrahim hahaaaa nakuona unacoment sana

  • @dullahmzazi5893
    @dullahmzazi5893 6 лет назад

    Kwer nikk sema nao

  • @jaguarpaw113
    @jaguarpaw113 6 лет назад

    Ww jamaa ckukubali hata kdgo

  • @joesimba
    @joesimba 6 лет назад

    1:30 😁

  • @joesimba
    @joesimba 6 лет назад

    3:13 😁

  • @hkikajama6680
    @hkikajama6680 6 лет назад

    Safi umeongea pwenti wapunguze bla bla bla

  • @edomc4421
    @edomc4421 6 лет назад

    dah

  • @rafajackbtv9219
    @rafajackbtv9219 6 лет назад

    mbn kila interview nguo ni hyohyo

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 6 лет назад

    Fact

  • @peter1018ful
    @peter1018ful 6 лет назад

    Last to comment

  • @milimomashini9432
    @milimomashini9432 6 лет назад +1

    Nakumbuka mkali wa free stail ulifika fainal na godzile ukapigwa chini uliongea sanaaa na kusema umeonewaa kipindi sio ww wala godzila mna nyimbo hata moja radion vip ww mbona kipind hiho hukutuliaaa mzes baba..au makosa yanaonekana kwa wenzio

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 6 лет назад

      milimo mashini nikki mbishi ndo alishinda,.

    • @rehemaahmed8120
      @rehemaahmed8120 6 лет назад

      Nikki ndo alishinda km ulikua hujui

    • @milimomashini9432
      @milimomashini9432 6 лет назад

      Rehema Ahmed acha uwongo ww alipewa ushindi godzila nick akaenda clouds kuhojiwa na ndio zilianzishwa free style dakika kadhaa na dj fety kule nick alishindaa

    • @karolvicent2411
      @karolvicent2411 6 лет назад

      acha hzo Nikk alishinda unamfananisha Nikk na huyo Waki wako Gadzila msanii wa clauds,tuachie Nikk wetu

    • @rehemaahmed8120
      @rehemaahmed8120 6 лет назад

      Nikki alishindw na lusajo co Godzilla! Mistar haitemek ka drek kamuona pina, au feti kamuona au zilla kaniona mimi

  • @godfreyflorence4224
    @godfreyflorence4224 6 лет назад

    hahah

  • @simonkinyunyu1610
    @simonkinyunyu1610 6 лет назад

    Fact

  • @emmanuelmasanula137
    @emmanuelmasanula137 5 лет назад

    Fact