Kila mtu katik maisha huwa anakosea na yeye kama mkosefu anatakiwa kusamehewa msijifanye nyie ni wasafi sana na hamna makosa. MAYELE karibu sana nyumban
Mayele unaakili sana nakuombea sana Mungu maneno juu Yako watasema sana ila wewe unajua ukweli yanga ndo timu Yako tukupatie uraia ujengee kuishi Tanzania
@@RoseMkude tukisehm twaonekana sio wana yanga alakuaa shida twaiyona...sasa team km ken gold tunafunga goli moja..jana tena goli moja embu ona kolo game 3 tayar alikua n goli 9 jana amefikisha kumi ila sis game 3 tuna goli 4 ...me naona kabsa wachezaji n viongozi awatakii ubingwa wallah ...
Amiri Ashiri usiseme hivyo huyu n mchezaj anaweza kurud pia usiseme mengi hayo n mambo ya mitandao me binafsi nampenda sana hata kama yupo huko alipo akifunfa hua nafrah sana big up mayele
karibu sana Fiston Kalala, kila kazi ina mapito, ulivunja rekodi Yanga kwa kutetema .hatutasau kamwe hii mtu Mayele
Umewaziba watu midomo... Kiukweli mayere mungu akubariki Sana.
Mungu/MUNGU sio mungu
Yanga ni mzazi ukiikosea lazima uiombe msamaha tumemsamehe mayele ni mwanetu🙏💚💛🙏🙏
Upo sahihi
Yeah you forgive and forget and then life goes on
Kwani mayele kawakosea nin mbona mlimruhusu wenyewe aondoke sasa mnawashwa nini
Unaewashwa ni wewe braza 😃@@immanuelyusuph8518
Wow!karb cn yanga ni home
Umemaliza vizuri huo ndo ubinadamu hongera Mayele
Kila mtu katik maisha huwa anakosea na yeye kama mkosefu anatakiwa kusamehewa msijifanye nyie ni wasafi sana na hamna makosa. MAYELE karibu sana nyumban
Yanga ni kama maji usipo yanywa utayakoga ni swala la muda tu💚💚💚🖤🖤🖤🖤💛💛💛
Asante PAPAAA Mayele ume tu kumbuka ndugu zako❤
Safii mayere.. Haya ni maisha tu. Ubinadamu kaka unao??
Karibu sana kaka usituache uwe unatukumbuka ishi na watu vizur wewe ndio mchezaji unae kumbuka ulipotoka MUNGU azidi kukulinda 🙏🙏💞
Mayele ni Wakwetu Makolo mlimshawishi mmefeli Mayele Yanga ni kwako mda unakuja kusalimu karibu Sana 💚💛💚💛💚💛💚💛
Tuna Elie mpanzu
Arudi tuteteme sisi tumemiss mitetemo maana tulibakia kidogo tushikwe na degedege
@@Najima-r6r 😂😂😂😂😂🙌
@@Najima-r6r 😂😂😂😂😂😂🙌
😂😂😂
Tunamkaribisha kama mwanetu na siyo mchezaji, hilo no no no!
@@terrence9477KIVIPI ww kolokwinyo
Mayele unaakili sana nakuombea sana Mungu maneno juu Yako watasema sana ila wewe unajua ukweli yanga ndo timu Yako tukupatie uraia ujengee kuishi Tanzania
Tumekumics kweli
Tunamtaka mzanzibar fei toto huwa ananimaliza anavopiga mashuti anatisha sana kalibu kaka feisal namkubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako upewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mayele tumekumiss sana🎉🎉 Welcome home
Wanafosi aseme atarudi home😂😂 dah sema akirud itakuwa unyama zaidi
Kiukweli Bado tna huitaji wako jangwani karibu sana
Karibu mayere hapa nyumban
Bravo mayele, ww mwamba ktk soka ni wachache sn mastrka km ww, yalyopta nayapte2 welcom sn tz
Tunaomba viongozi waitishe mashee jangwani wasomewe dua maana sio kwa ivi sasa tunavokoaa magoli
Very true hii sio team yetu wallah😢😢😢😢me ata siku izi siangali mpira wallah
Kweli kabisa
jaman mm nasubili matokeo maana yanga sijui imekuaje Dua ipigwe. inatuumiza dah
@@RoseMkude tukisehm twaonekana sio wana yanga alakuaa shida twaiyona...sasa team km ken gold tunafunga goli moja..jana tena goli moja embu ona kolo game 3 tayar alikua n goli 9 jana amefikisha kumi ila sis game 3 tuna goli 4 ...me naona kabsa wachezaji n viongozi awatakii ubingwa wallah ...
Kweli kbsa. @@halimasawa611
Dah MAYELE kawa mweupe kinouma sanaaaaaa😂😂😂
Amiri Ashiri usiseme hivyo huyu n mchezaj anaweza kurud pia usiseme mengi hayo n mambo ya mitandao me binafsi nampenda sana hata kama yupo huko alipo akifunfa hua nafrah sana big up mayele
Mayele mtu poa sana
Bravo mayere
HATA KAMA TEAM IKIWEKA UKUTA WA BUS WACHEZAJI WAPIGE PASS ZA KWENDA GOLI LA MPINZANI NA SI KURUDISHA NYUMA.
Karibu nyumbani kaka?
Hongera kwako mayele na karibu sana nyumbani, wananchi nawaomba tufocus ya mbele haya mengine yameishapita Daima mbele
Sema mwana ulifeli sana sema kalibu home hapa ndo nyumban muda wowote kalibu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mayele janani njoo yanga tumekumicc sana❤❤❤❤🎉
Welcome to Yanga Africa's mayere tunakupenda
He his good cause ana enjoy Futbol ❤ Big +255
Mayele Bado ni familia wa young Africa ✌️
Nakumbuka alisema amekoseah kucheza Tanzania saiv anasema ameludi nyumbani nyumbani wapi mbona aibu naona mm😅😅
Ulimsikia akisema hivyo??
@@nicodemuswidambe5132 si aliandika kwenye mtandao hukuona😳🤔
Karibu nyumbani Mayele. Wana Yanga tunakupenda sana. Achana na maneno mabaya ya kolo.
Coment zote Mbaya ni za Makolo wanaumia 😅😅😅😅
Siyo kweli, mimi ni mwananchi lakini simtaki sababu alituita majini, aende zake, timu yetu itabaki
@@terrence9477wewe sio Mwananchi
@@terrence9477 ww ni kolo sio mwananchi muongo
Juzii tuuuu uliiponda Yanga leo unaisifia ahahaha kweli malaya co mtu!!! Tuachie Yanga yetu
Kumbuka analipwa 89ml Kwa mwezi kwaio kua na adabu na mayele
@@kwisa4899wewe nichizi kwahiyo utakubali bosi aku zarau kwa sababu anahela
@@kwisa4899wewe ndio wale wanaozarauliwa mie hata mtu awe na pesa vip hnaizarau
Kila kitu ni bihashar we kalili mambo yamtahan kwenu
Kwanini vijana kislam mna matusi Sana
Good
Daah we mwamba nakuhusudu sana lakn ulipuyanga uliisema sana yanga broo😢😢😢
😂❤❤❤❤
Ludiii tenaaa maana tumemic kutetemaaa💛🖤💚🙌🏽🙌🏽
Predator himself we love you so much bro🎉🎉🎉
Yanga bingwaaa💪💪
Karibu nyumban mwananchiiiiiiii 💚🔰🔰🔰💛💛
safiiii mayeleeee !!!!!!
Mayele ni mwamba wetu nataman nimuone akiwa na pacome
I love 💘pacome
Mayele 💚💛💛💚💚💛💛
Mayele tunaomba uludi❤
Makolo wakiona hivi,mama yangu! Media za bongo have no clue hawa watu behind scenes wanakula bata,they keep in touch nk media sasa !!
Karibu sana nyumbani mayele wetu
Karibu sana Mayele sisi watanzania tuna kupenda
Jisemee nafsi yako, usitujumuishe
@@terrence9477 wewe u mpendi Mayele ni mchezaji mwenye ni zamu
Sana tu
Mayelle watakuroga haoooo wanafiki hao nguja urudi uone
Karibu sana bro
🎉🎉🎉 pamoja xana fistoniiiiiiiii😅😅
Karibu sana mayele yanga ni nyumbani
Ah we love you mayele kaka yetu jaman❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅
respect xn broo
Soon na funguwa Mama samia Tv😂
Kalibu sana yanga nafasi yako ipo
Nimekumiss jmn mayele nataman urud jangwan tena💚💚💚💚💚💚💛💛💛ila wew najua wew ni shabiki wa mwananch
Mbona wabongo mko wasahaulifu hivyo? ametuita majini halafu bado mnampepea?
Interview imejaa shobo hadi inakera
Karibu sana yangaaa
Watakutupia majini tena kaa nao mbali
Mim nataman sana mayele arudi atawatesasan
Hongera
Fistoooooon🙌🔥🔥
Mayelel karibu tena na bado tunakupenda san
Ko umeona kila liziko uwe unakuj Tanzania kwa hapa ni kwenu acha shobo umepapita congo unakuj bongo acha kutuchora ww
Predator ✅✅
Pamoj kk mm nakukubar vibaya
So mlimtumia makini leo Tena vp?
💚💚💛kamwe unanifurahisha jamani eehh😂😂😂😂
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mayele nambaipo ludi mzee dah
😂😂karibu kaka
bongo maisha mazuri hawana pakwenda
Hukusio kwenu
Ilove you mayele
Mayele 🎉🎉🎉🎉🎉
Allaah Akbar
Me ata kama asiporudi 2:07 2:07 ❤
6543 Kiehn Station
Karibu sana Fiston
Kwa yanga hii utaikubali mzee
Likizo hurudi kwenu unarudi TZ kwako huku. Mnaipenda sana Tanzania hata Morison yupo bado.
Asante mayere wewe kwel tunakupenda sana
Fistooooo predator
Yanga sio wa kushinda magili moja moja
Mchezaji bhana kama mwanamke anaweza kutoroka afu akalud
😃😃😃😃😃😃
Zambi za mayelee apewe Debora🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
Swala la dua, muhimu
Ila wachezaji wanafki sana ili maisha yao yaende
Hiyo no kick tu
Oya babu tokaaa, unafk na yanga ni vitu viwil tofaut
Watu ambavyo sio wa kuamini n wasanii na wachezaj
Rudi mwanetu hapo ninyumbani tumeshikwa na baridi mwanetu😂😂😂😂 🎉🎉
Combination ya Aziz ki na chama haikubali wote wanauchezaji mmoja hakuna wakumtuma mwemzake Bora chama na pacome au pacome na azizi ki
Ko majini tulokutupia yameisha😂😂😂😂😂kwel binadam
Majini hautumiwi tena
Rudi mayele yanga tunakupenda sana
😂😂 ila Maye 🙌
Good 👍
Kwaan si alisema yanga wanamloga uyu jamaaa daaah 😂😂😂 anazingua sana uyu dogo