Wakazi - Peke Yake
HTML-код
- Опубликовано: 2 янв 2025
- Single from Beberu (Reflections) album. “Peke Yake” is a History Class, Greatness Acknowledgement & Legend’s Homage of all influential Tanzanians through the years. Sio tu Maua bali hii ni BUSTANI
Produced by Black Beats. Mixed & Mastered by Mujwahuki.
Artwork by Lizana Bradshaw
©️ Workethic 2024
Iko poa sana
Piga kazi🎉🎉🎉 punguza kamdomo
Mziki mzuri niule unao ufanya kwa takwimu humu ndani takwimu zipo sawa kabisa
BEBERU!
Umenifurahisha sana Wakazi kuwataja Cado, Toxic,Mteganda,Nikki na (Zizi, R.I.P)
Msenge tu
This piece of work is great.
At a perfect thing from wakazi 🎉
Nakumbuka Afande Sele alivyochana:unataja Taja majina nyimbo Nzima ndio hii saana
Noma wakazi beberu
wazo zuri good content 💪💪
Beberuuu
PEKE YAKE ✍️🏿💥💥💣💣🙌🏿
Wakazi mkali sn,nakukubali kinoma,wapo marapa wakali lkn ww pia upo katika hao wakali wakurap
Tatizo tanzania ukiongea ukweli wapuuzi wanakuona una wivu na chuki" wakazi ni mkweli,na wale wanaomchukia ni lile kundi la "wapuuzi"
Amna kitu
💪🏾🙌🏾
Respect
Nyimbo imejaaaa majina yawatu tu
Damn!!
Beberu Kachafukwa 🥶
Noma 🙌
Kazi safi ndugu
Wakazi nuff respect bro🙌🙌🙌
Unyama sana outside hii
Great Content bro!
Umeamua sasa🔥🔥
Oya we wapo wengi sana hawakua peke yao
Noma sana
Umeua
Good work my brother
Blessings! 🙏
Ngori sana
Oya weee👏
...the hip hop. Tunadondokaaa
Big up brother
Oooiiii
Umetisha boss 🙌🏽
Yenyee huyu jamaa anaimba makalio yake sijui huko wana mdinya
Humuwezi roma wakazi
Ngoma kali 💯💯
Mabovu sana vijana uwafikiyi😂
True Bro biggie supporters
>>>WAKAZI 🙌
Bonge la ngoma
🎉🎉🎉🎉🎉
Unautumia uwezo wako vibaya nahisi bado ujajipata au ujajua chakufanya
🎉🎉🎉 🤝
✊
Hii kali
Beberu
🔥🔥🔥
Nini hiki sasa mwanangu wakazi........nirudishie bando langu kaka😂😂
Kazi kudiss wenzie 😂
@tumlakimwaitumule utafikiri yeye anajua vile😂😂
1.20 🎤
Workethic talking
Flow kukumbusha the importance of Left-wing elites 🤝🏿
Beki tatu bhaanaa 😂😂
Makin kk
Mauwa ya mkatoliki tunakupa wew 💐💐😂
😅noma
Nilitaka nishangae nyimbo nzima usimtaje Roma.
stay positive, mbona nikki mbishi anamtaja kila ngoma, na husemi, au haumsikiii?
Huu utani sasa kaka 😅
Great song from Zanzibar
Bado uko pale pale😂
One two three
Nachana kama chatu
Akiliyangu fyatu kama sole ya kiatu😂😂😂 oyaa unasafari ndefu sana ya muziki ili uje kutoboa
Kwenye mashindano mshindi ni mmoja tu number nyingi Ila moja aiwez kuwa sec
Kwani Roma kajibu lini ....ama ndo 2-0
😂😂😂 roma tunasubiri jibu lake. Maana toka wakazi achukue tuzo za besthiphop diaspora roma ajamdis wakazi tena
Kiukweli ume-improve na flows zimepevuka sasa.
Flo mbovu kinoma🙆😭rap skills kwenye swahili bado sana japo upo muda kwenye game
Sasa unafosi watu wawasifie wasio wakubali...!!?? Sisi tunamkubali Mwakinyo ndo tunaemwona katika era yetu kafanya kitu, USIFOSI TUFANANE KIMA WEWE, SIYO KUMA NI KIMA WEWE.
Put some respect when you mention The Champs Onetime
Kama sio mtu wa historia na story za mjini ngumu kuelewa nini kinamaanishwa
Why all this now? Aren't you doing it to relieve your relevance?
😂😂😂😂
Yaani Toxic na cado kitengo wawe freestyles more than Ka wizzy ?? 😂😂 Wakazi Bana.. hii ngoma ni ya pekeyako.
We@JosephJackson unaelewa kweli?
Kwa Ngwair hapo hapana, haujaongea ukweli😅
We jamaa unavyojua ku'Criticize watu afu mwisho wa siku unatoa utumbo km huu inachekesha sana 😂
Beberu
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥