I remember this song 😊 wen Esau alikuja Kwa mkutano mukubwa Sanaa ulikuwa Mombasa na apostle melody Yule alikuwa kijanaa pia waaaah mungu hutoa watu mbali
Amazing God with SEVEN SPIRITS in one,,,,strong number 7 ,even in this pandemic God of number 7 is coming to set us free @Annoint amani be blessed alot brethren here in 254 am blessed
napenda nyimbo zako sana mungu akupe ufunuo kila wakati unapotunga nyimbo, amen amen amen amen wimbo kama wanaulizana unaitwa nani ikisikiza nasikia roho wa bwana anashuka na kutawala. be blessed
Annoint nakupa zanguu heshima mm kama mkenya nazipenda nyimbo zako na sina budi kuitangaza kazi yako.n Mzuri.juzi nimeperfom wimbo wako WA vuruga nkawa nambari moja.naomba unitungie nyingine Kali kama hiyo ile ambayo nkicheza navuruga nguvu Za shetani janissary
Hallelujah God is great. Be blessed @ Essau Mungu akusimamishe kwani majaribio ni mengi unaposema Kristo ni bwana. Mungu akuenue juu zaidi madui wakuonapi watetemeke.
Am blessed op Rose Muhando as your spiritual mum did what nobody can do...I like it Esau . keep it up ...good msg but hata dance ni kama ya Rose Muhando ...watching from Saudia but a Kenyan...love you
Wimbo huuu naupenda saana Annoit ubalikiwe saana. """Naiheshimu tatu maana umeiheshimu nawewe'"Umesahau na siku ya SABA ameiheshimu na hiyo na akatukumbusha kuiheshimu.
Mungu akusaidie Usianguke. Naona Mungu ameamua kukutumia. Basi kubali kutumika na Mungu. Muishi huyu Mungu. Kwakweli Wimbo Una Nguvu. Barikiwa Na Mungu. Ahsante sana.
mtumishi annoint mumgu akubariki na hazidi kukupatia ufunuo zaidi ya hiyo ni rose mwatha from kenya gospel singer yesu akaye na wewe hivo asiwai kukuwacha huu wimbo una nguvu za mungu naupenda sana na sio huu peke yake i maen nyimbo zako zote ni mungu tu namhisi
such a blessing and inspiring worship song...Amen..I claim every word here and God's ultimate and supreme power will always remain by shield and defender against principalities...
I have looking at your music since u started with your mum 2 nice moments really blessed I would like to sing with u music in Paris France 130902020 this one is my best
Kweli essay Mungu anakutumia kwani unavyovifanya wala at a avilingani na ulivyo niwachache sana vijana kwa dunia ya Leo kufika ulivyo kihuduma cha msingi mtegemee Mungu tu ndiye mwenye utukufu na heshima zote
Huduma yako yatisha kaka, neema ya mungu ikufuate kila kuchao 🙏🙏
Kwa kweli ni wimbo mzuri sana Kaka. Endelea kumsifu Mungu aliye juu kuliko vitu vyote. Haki mimi upenda kuusikia hata mara nyingi iwezekanavyo
Anoint wewe ni mbegu ya mungu hukosi maono maana nashindwa unayatoa wapi mafumbo haya mbwana akubariki mtumishi wa mungu
I remember this song 😊 wen Esau alikuja Kwa mkutano mukubwa Sanaa ulikuwa Mombasa na apostle melody Yule alikuwa kijanaa pia waaaah mungu hutoa watu mbali
Amazing God with SEVEN SPIRITS in one,,,,strong number 7 ,even in this pandemic God of number 7 is coming to set us free @Annoint amani be blessed alot brethren here in 254 am blessed
Wwww nabarikiwa sana n nyimbo zako sn bro be blessed in the name of Jesus Christ 🙏🙏💌
Ubarikiwe mtumishi wa mungu huu wimbo umebeba jumbe nzito sana kweli mungu ni waajabu san
Sina la kusema ila nikuogopa Mungu tu barikiwe man of God very touching song
Mungu wa mbingun akutunze . Azidi kuinua kipaji hiki umeni barik cn mdogo wangu
Hongera san kaka angu unaimba vizur san mungu akusaidie
napenda nyimbo zako sana mungu akupe ufunuo kila wakati unapotunga nyimbo, amen amen amen amen wimbo kama wanaulizana unaitwa nani ikisikiza nasikia roho wa bwana anashuka na kutawala. be blessed
I can't stop watching this song God bless you annoint every time am down I always finds my self lessening to your songs they bless me a lot thanku
Amani asante kWa nyimbo congr nice songs they loving songs
Kaka Mungu akutie nguvu katika huduma yako! Nyimbo yako imenibariki Sana!
Still listening to this song 2020. wangapi tunatazama huu mwaka
Annoint nakupa zanguu heshima mm kama mkenya nazipenda nyimbo zako na sina budi kuitangaza kazi yako.n Mzuri.juzi nimeperfom wimbo wako WA vuruga nkawa nambari moja.naomba unitungie nyingine Kali kama hiyo ile ambayo nkicheza navuruga nguvu Za shetani janissary
Hallelujah God is great. Be blessed @ Essau Mungu akusimamishe kwani majaribio ni mengi unaposema Kristo ni bwana. Mungu akuenue juu zaidi madui wakuonapi watetemeke.
Wakihabidiwa ni Mungu kaka you mak me so glad naku nibariki sana mno tena sana kaka
I play this song everyday, I love it so much 💃
Kali sana ana toa nyoka pangoni jamani ubarikiwe
Amen,God is great..wimbo nzuri Sana.. listening from Kenya, nakupenda Sana Servant of the Most High
Thanks wimbo mtamu wa mafunzo.mungu akuinue zaidi .
Amazing icant stop listening with tears when think how great our God is God bless brother Amani
kwa kweli Essau nyimbo zako zote nzuri.Mungu na azidi kukuinua mpaka watu washangae.
Ukweliii,mungu,alikutumiaa🙆🙆🤝🤝kwemakuya,mungu🙋🙋
Mungu humuumba mtu kwa
Mfano wa wazaz wake....Rose Muhando huyu kijana ni Mwanao haiwezekan hii saut anavoimba kimgandisho kama ww mama yake..
Wimbo yako yani pariki Sana
Mungu akulinde kwenye utuma
Huduma yako ni njema Sana kaka,Mungu akuinue.
MwenyeziMungu akuinue zaidi, kweli maji hufuata mkondo, bgp
Amen,,huu wimbo nikiwa na usikiliza ,,,nabarikiwa sana,mungu azidi kukulinda annoit aman
Am blessed op Rose Muhando as your spiritual mum did what nobody can do...I like it Esau . keep it up ...good msg but hata dance ni kama ya Rose Muhando ...watching from Saudia but a Kenyan...love you
Wimbo huuu naupenda saana Annoit ubalikiwe saana. """Naiheshimu tatu maana umeiheshimu nawewe'"Umesahau na siku ya SABA ameiheshimu na hiyo na akatukumbusha kuiheshimu.
God bless da work ov ua handx,gud work indid
Mungu akusaidie Usianguke. Naona Mungu ameamua kukutumia. Basi kubali kutumika na Mungu. Muishi huyu Mungu. Kwakweli Wimbo Una Nguvu. Barikiwa Na Mungu. Ahsante sana.
nikweli jina la mungu linatisha km ujajua maana mungu akujaze maneno mazuri mtumishi Esau
nakupenda sama kaka nyimbo zako zanifurahisha huu wimbo sichoki kuuskiliza
huu wimbo una nguvu ya mungu Ina upako barikiwa amani.
Essau Amani ubarikiwe saaana.mungu na azidi kukuinua.mm nazipenda sana nyimbo zako.zinaninjenga kiroho.
wimbo una nguvu ya Mungu sana ubarikiwe mtumishi
Humphrey Msauzi Kuna Mungu ndani yakee
Asante kwa wimbo mtamu ninabarikiwa sana
Ubarikiwe msanii wa mungu
Amen mungu azidi kuku inua mahadui wakae kado kwa jina La Yesu Amen
Amen naomb mwanangu ingia na kwamwa nangu msabusklaibu sach marry ndyally
wimbo huu naupenda saaana ki ukweli siwezi shinda bila kuusikiliza naupenda mnoooo ubalikiwe mtumishi
Kweli kabisa Mungu ni wa kuongopa barikiwa sana mtumishi.
mtumishi annoint mumgu akubariki na hazidi kukupatia ufunuo zaidi ya hiyo ni rose mwatha from kenya gospel singer yesu akaye na wewe hivo asiwai kukuwacha huu wimbo una nguvu za mungu naupenda sana na sio huu peke yake i maen nyimbo zako zote ni mungu tu namhisi
Rapstar Kroz yilllgxfgZ
This worship is inspired by the Holy spirit. Mungu azidi kukuinua brother Annoint
watching now from diaspora nyimbo zako kaka zanibariki sana moyoni mungu akubariki na akuinue sana
Kwa kweli kaka ubarikiwe sana tunamwona mungu kupitia uimbaji wako
wimbo unajena sana kaka mungu akutie nguvu na akubariki zaidi
Amen mungu akukumbyke kabisa
May continue to exalt you brother
Songa mbere Annoit Mungu aendelee kuwa nawe.Ubalikiwe sana.
Nakupongeza sana dada Rose kwa kumuambukiza Amani kipaji kizuri cha kumjua Mungu
mtumishi mungu akuinue niliingojea sana hio vedio
Mungu akutumie kwa viwango vya juu zaidi.
Asante sana Essau kwa nyimbo nzuri zidi kuinuliwa milele amen
wimbo nzuri sana, ubarikiwe mtumishi wa mungu.
May God bless and stength you more .asifiwe Mungu.
nakuogopa Mungu wangu.una Roho 7.sante Yesu.
Nyimbo zako zote zimejaa uwepo wa mungu. Ubalikiwe sana sana zaidi ya sana...
Thanks for your music brother ave got messages from them
May God bless u day n nyt
I really like and ennjoy your song bro
such a blessing and inspiring worship song...Amen..I claim every word here and God's ultimate and supreme power will always remain by shield and defender against principalities...
wauu!! lazima tumuogope mungu baba,powerful massage. God bless u very much.asante
Hellen Malesi ......
Bro nakumbea mungu akusaidie indelee kuieneza injili ya bwana
Asanteh Sana kwa nyimbo yako nzuri ipo kiroho zaidi
Ua massage through singing is enough mwenye masikio na asikie. Asante sana mtoto wa mama rose ubarikiwe
Kumbe mtoto Wa Rosé
Wimbo tamu kweli, Mungu akuzidizie ndugu Essau
Nice job my brother ubarikiwe sanaa
Ubarikiwe brother .Wimbo wanibariki
annoint mungu kulinde kaka uzindi kukumbusha jina lake
Nice song God is Great from kenya
umngu azidi kukogoza nyimbo ina towa mutu mahali ubarikiwe sana ANNOINT
barikiwa Esau nakuombea
mungu akutie nguvu katika uimbaji wako kweli mungu ni wakuogopwa
Thanks so much for the message Esau May the support you in every thing you do
Asante sana Annoint kwa nyimbo mzuri mungu akuinue
you are so blessed i love your songs more blessed
Mungu akubaliki sana kaka asante kwa ujumbe mzuri
I have looking at your music since u started with your mum 2 nice moments really blessed I would like to sing with u music in Paris France 130902020 this one is my best
WOW NAKUABUDU MUNGU WANGU ULIYENIUMBA ,NAKUOGOPA MUNGU WANGU ULIYEUMBA
wewe ni mwalimu wa neno la mungu ongeza bidii mungu atakubariki
God bless you essau amani, here in Mozambique some of us we appreciate your message.
Kweli essay Mungu anakutumia kwani unavyovifanya wala at a avilingani na ulivyo niwachache sana vijana kwa dunia ya Leo kufika ulivyo kihuduma cha msingi mtegemee Mungu tu ndiye mwenye utukufu na heshima zote
ubarikiwe kaka
wimbo nzuri sana kaka Annoint.
I love this song be bless brother
Barikiwa ndugu
Wonderful anointing
For sure God bless this man
utakuja tena Kayole lini...uliniguza ak
essau may god blees u good song
iyonikwe biblia inasema tumuhogopesana Ubarikiwesana
Be blessed bro
Nice project from Tanzania...keep it up.
Mungu akubariki, sms zko nikisikia sinanijenga moyoni.
very nice songs essau LORD bless U
huyu mtu inajua sana ibarikiwe kwel
Ule wimbo wa Wewe Ndie Mzazi uko wapi please? uliutoa RUclips 😩?
thanks mtumishi mungu akubariki sana tena akuzidishie nguvu
safi saaaaana
safi saaaaana
Nimuogope nani kama siyo wewe mungu wangu. Naongope jina lako
Dar barikiw saan
Mungu akuinue mtumishi
May God bless your work ,,,
you are too much.my son may the Lord open his holy gates too uzudi Amen
Very great barikiwa sana
Gud sana kijana good song
UBARIKIWE SAAANA KWA UJUMBE MKUU
neema yabwana izidi ku ku tembelea upate ku fanya kaziyake
tuko pamoja kuabudu na kuogopa Mungu haleluya