Congrat kamanda, njia nyingine ya kuzuia izo taa nzima ni kuzitengea air ventilation kwa kutoa huo mfuniko mweupe ibaki wazi au unatoboa matundu kwenye hiyo nyumba yake ili component ziweze kupoa
Hii ndio elimu sasa, kama anavyoelekeza kamanda mkuu mch MbarikiwaMwakipesile, ilitakiwa tuwe tunavifungua sanaa hivi vitu tujuwemo kuna nini na sio ile mikaratasi ya kukariri
A! BABA HUO UNAELEZA UTAJIRI WA HALI YA JUU SANA BABA NIMEELEWA SANA BABA🙏 HII ITANISAIDIA SANA BABA.
Umeielezea kitaalam zaidi, ulivyosema Series connection, nimekupata barabara. Ngoja, ninunue tu gun nianze kuuza ujuzi mtaaani
Hongera sana mtumishi
Amina baba, nimeelewa sanaa hiyo. Kweli, wokovu ni kuweza.
Salute comandant!
Asante barikiwa
Congrat kamanda, njia nyingine ya kuzuia izo taa nzima ni kuzitengea air ventilation kwa kutoa huo mfuniko mweupe ibaki wazi au unatoboa matundu kwenye hiyo nyumba yake ili component ziweze kupoa
Asante fundi
Hii ndio elimu sasa, kama anavyoelekeza kamanda mkuu mch MbarikiwaMwakipesile, ilitakiwa tuwe tunavifungua sanaa hivi vitu tujuwemo kuna nini na sio ile mikaratasi ya kukariri
Umenipa maujanja
Yah its true.
Huo ndio utakatifu baba!!!!!!!
hapo ulichofundisha hakieleweki unashikashika tu na hakuna bulb hata moja uliyo fauru kutengeneza huo si usenge
Hujioni kwamba wewe peke yako ndio chizi?? Wenzako wote wameelewa, kwanini wewe hujaelewa. Una pepo mchafu wewe.
Wivu tu