Wewe unajua ushauri wangu Kuwa makini na mashwali ya kwenye interview ,pia epuka Kiki ama skendo zozote zile Tambua wabongo utafuta neno Lamtu ili wapate pakuanzia Neno moja tu kwangu, wewe unazidi wasanii wote wakike Kuanzi melody 🎶, nasauti yako Niyakipekee pia style yako niyakipekee . Kwa story yako Dada appy wewe mungu alitaka Upie njia nyingi ili ufike sehemu Na sasa umeianza safari hivyo Usikubali kushindwa atakma vipi Mimi nipo 🇺🇸 like mm kazi kako Kuanzia leo hii nitakua nikizisambasa kwauwezo wangu Mdogo nilio nao 😢❤
Dada unakipaji kikubwa sana tu kaza. Ila fanyia kazi huu ushauli punguza kutafuna maneno natumia nguvu sana kusikia neno. ila mziki mzuri Sana hongera.
Kazi nzuri sana pambana usigeuke nyuma kusikiliza ya hawa wanaotaka kukukatisha tamaa. Kaza muda sio mrefu watanzania watajua uwezo wako.🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
ujue juz jumapili kunakipind kwenye redio nikawa nakisiliza nikiwa kwenye daladala ,sasa wakati nashuka ndo wimbo ukawa unapigwa bas yule presenter akasifia sana nikasema lazima niutafute.
Kweli anaimba sana na ana vocal lenyew nguvu lkn maneno hayasikiki Bora hata hii hapa ile nyimbo nyingne ya sepa ndio kbsaa siilew hata kidg me hodar wakushika nyimbo lkn ile ya sepa aisee nmenyoosha mikono juu
Wewe unajua ushauri wangu
Kuwa makini na mashwali ya kwenye interview ,pia epuka
Kiki ama skendo zozote zile
Tambua wabongo utafuta neno
Lamtu ili wapate pakuanzia
Neno moja tu kwangu, wewe unazidi wasanii wote wakike
Kuanzi melody 🎶, nasauti yako
Niyakipekee pia style yako niyakipekee . Kwa story yako
Dada appy wewe mungu alitaka
Upie njia nyingi ili ufike sehemu
Na sasa umeianza safari hivyo
Usikubali kushindwa atakma vipi
Mimi nipo 🇺🇸 like mm kazi kako
Kuanzia leo hii nitakua nikizisambasa kwauwezo wangu
Mdogo nilio nao 😢❤
Dada unakipaji kikubwa sana tu kaza. Ila fanyia kazi huu ushauli punguza kutafuna maneno natumia nguvu sana kusikia neno. ila mziki mzuri Sana hongera.
Hujui mziki aisee. Hii inaitwa Melody. Kila msaanii anatakiwa awe unique hicho ndo kitu kitamfanya afike mbali
Ila kwa upande Wang naona avyotafuna maneno n swag na ina test yake na kuleta utofaut eb kaiskilize sepa vzr utanielewa nini namaansha ndug
@@farajabubakar1330 Haswaaa We ndo unaelewa mziki
Mi napenda anavyotafuna maneno
Hii ni uniqueness yake she sounds great kama ni kutafuta aongeze na big G huku akiimba
Congatration for this songs my real sistar
Nakupend bure I like the way you Singer my dad appy
Hili ndio jeshi la mtu mmoja sasa
bonge la ngoma naiskiliza nikiwa mwanza sengerema
APPY utafika mbinguni mrembo ivyoivyo❤❤❤
Kenya tunakupenda dada.
Kazi nzuri sana pambana usigeuke nyuma kusikiliza ya hawa wanaotaka kukukatisha tamaa. Kaza muda sio mrefu watanzania watajua uwezo wako.🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Thanks bro 🙏🙏🙏
Mziki mtamu ndo huna pendwa from🇨🇩🇨🇩
Shukrani sana
Nakukubali sana Appy.
Appy, hakika unaimba hadi unakera. Yani naelewa nyimbo zako vibaya mno kama ninavyokuelewa ww🎉
Kwa kweli tutafika tumechoka 🪐🙏🙏🔥 hit in town
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hiii Kasi nimeielewaaaa., 😂😂., 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ulistahili kuendelea na mashindano bss. Hata kama si hatujui mziki ila majaji wa bss walitupiga
Jaman nmetfuta huu wimboo aisee ACHA kabisaa duu umetisha
Shukrani sana
A masterpiece this one... You've earned my subscription because of this song Dada.
Ipo siku watakuskia
Unajua mnoo
mzki ...mzuri... sauti...nzuri...
I like your chorus ❤️🔥✊ umetisha sana 🔥 bonge la trap😎
Shukrani sana
Usiache kutafuna maneno hiyo ndo ladha Yako na utofauti na wasanii wengine🔥🔥
She's talented. girl it's your time to shine. Utafika binguni umechoka jirani hehehehe
Breath of fresh air, hope the game doesn't dissappoint this gem, pure talent
yaan unajua adi unakereka
Girl I love your voice .....watu feki is killing me dear keep up❤❤
Kuna break through kubwa sana comming for this gurl. And this Jackob guy.... hell of a producer. ❤❤❤❤
Waoooh so Amazing ❤ 😍 💞 🔥 🔥 🔥 💯
nakukumbali Sana dada yangu
mwz mabatini tujuane 😍
Nakubaliiii familiaaa 🙏🙏
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Bonge la ngoma Mara ya kwanza niliisikia Capital Radio nimeifata mpaka huku
Shukrani sana kwa support 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
MNGU akusaidie sana nam ninakuombea mafanikio marefu goma kali sana 🔥🔥🔥
@appy n gifted awasome voice and melody ♥️♥️♥️
❤got to give a view anywea I see appy 😊
Kazi nzuri sana keep it up 💪
Thanks 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
New talent in t
Town.
My favourite ❤❤
Song ni 🔥🔥🔥 Asee keep it up
Thanks 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nyimboo kali
kaz nzuri sanaa
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
ujue juz jumapili kunakipind kwenye redio nikawa nakisiliza nikiwa kwenye daladala ,sasa wakati nashuka ndo wimbo ukawa unapigwa bas yule presenter akasifia sana nikasema lazima niutafute.
Bonge la ngoma big up sanaaa umeua kinyama iko poa mbayaaaaa day one nimeskilizaaa clouds
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Congratulations Appy, keep going girl❤
Balaaaaaaaa
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Appy i lack words💯God Bless You
I love what u do so make it happen
Jirani inasound poa sana, and thats how the neighbours are living, hate for no reason and hypocracy are things we should avoid. Big up Appy.
Safi sana
Ugandans🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 approved this❤
Truly appreciate your support
Nice song ,voice yeeee amazing dear congrats🥰❤️
Thank you 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@@appytznakupenda sana❤
Unajua💯🔥🔥
Talent.Fanya collabo na nviiri the storyteller
Naomba nyimbo yako na @Micky Singer plz.....
Next level 🎚️ one day yes I believe in you
Good job bby
Sauti kama ya rihana
Keeping the good music alive
Amazing music and so unique
Napataje mawasiliano yako
Appy_tz
She knows a lot i personally agrees
❤❤❤
Best de best
Wimbo uko gud sana
Na unaongelea mambo ya kweli
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@@appytz 🤝🤝🤝
I do Love this song
Thanks Dear 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nimeisaka kupitia BSS eti Master kasema hajui kuimba 🤣 J atafika mbinguni amechoka
Kam walivomfanyia hamonize walisema hafiki mbali saivi alipo niwaaaapi? Hata huyu atafika tuu namkubali sanaa
𝐇𝐎𝐍𝐆𝐄𝐑𝐀 𝐒𝐀𝐍𝐀
Unajua sana 🔥🔥🔥🔥🔥 ila imba maneno yasikike vzr Zaid uko vzr sana
Me nlijua ni pk angu niliona maneno hayasikiki si Bora hii ss ile nyingne ya sepa ndio mungu wangu hata sielew kaimba rugha gan
Nice 😍😍😍
shukrani sana 🙏🙏
New sound!
Mmeenda mamah
Shukrani sana
Brought here by BSS
Damn ths chorus
Congratulations 🎉 APPY for the good song
Thanks 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@@appytz 🤝🤝🤝
Congratulations Appy, keep going girl ❤
🔥🔥🙌
Nyimbo nzuri sana. Big Up
Shukrani sana
Mwaaa
👏
Appy bestie 🔥🔥
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Happy akeee😘😘😘 has done it
Thanks Dear
Appy wangu we ni fundi appreciate you nenda ka view status angu WhatsApp napost link ya hii ngoma nimeipenda congratulations momy ❤️❤️🇹🇿🌹
Shukrani sana kwa support let’s keep it 💯
Likes for 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bonge la ngoma jiran🙌🏾
Appreciate 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Dada unajua bana
Unajua mpk basss me shabiki Ako nmb moja
Official clip ya "WATU FEKI" ndio tunataka tafazali
Ngoma kali sana!
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
🇺🇬🎶🔥🔥
Kubwa Sana hii #jirani
Thanks bro 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Oooh yeee jiran 🔥🔥
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
❤
Vanesa mdeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Appt bestie🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
❤️❤️❤️❤️
Ngoma Kali Sana hii
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
🙌🏽💝💝💝💝💝💝💝💝💝
kazi nzuri sana sana
Shukrani sana
Sister umeua
Bonge la song
2024
Kweli anaimba sana na ana vocal lenyew nguvu lkn maneno hayasikiki Bora hata hii hapa ile nyimbo nyingne ya sepa ndio kbsaa siilew hata kidg me hodar wakushika nyimbo lkn ile ya sepa aisee nmenyoosha mikono juu
Kali sana
Shukrani sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
I like you
Bit kali sauti na biti vinalingan
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
🌹🌹🌹🌹