Aisee uyo dada nilikua sijamfaham nimeona hii interview nikaona nimchek RUclips,Aisee huo Moto wa Petrol 🙌🙌 nyimbo zake kali sanaaaaa,Much luv sana from Finland 🇫🇮,Endelea kufanya Muzik Unajua🤝💪
Kuna kitu nakiomba sanaa muda wote mwenyezi mungu anijaalie uhai .najua nitakufa ila nimuache mwanangu au wanangu wakiwaa wanajielewa na kilichochabgu kibaki kwenye mikono yao wenyewe
Daaaaaa pole sana dadaangu story Yako imenisisimua sana endelea kupambana na unajua sana kuimba mm nimekufahamu kupitia wimbo wako unaitwa watu feki keep it up my sister unajua sana
Tuamini , tusiamini MUNGU ndiye mwenye hatma zetu kikweli Anaamua kutupa moyo wa bidii kwa kile alichoweka (alichotupa) , APPY bna kwa sisi wackiliza sauti za muziki ki TZ upo unique , Yaani umekatiza katikati ya wimbi la style moja, yeap 'JaH bless U
I didnt want to comment but could had to. I feel the pain in her songs. She sings her out. Music is now your best mum and dad your lover and everything. I listen to your music i see Sia. You both share same stories, big voices great life. Touch more lives with your voice. You are a light and shine in many. You are a champ Appy
Pole mdogo wangu umeniliza sana ,mungu akufungulia ktk kazi yako ,mshilikishe sana mungu na fungi la kumi mungu atakufungulia ktk kazi yako happy love❤
❤usijali pambana kipenzi kama mm zuluma eka zliuzwa baba kafafriki mda tukaishia viwanja2 tu hatuna hata mtaji wala sent ya kujengea mamilion wamekula nashangazi na mababa wakubwa
Story yako Haipishani na hii ya kwetu ila baba syo mnyonge kiivo kaamua kuwaachia tu mashangazi wanajipiga kifua na wadogo zake kwa kutishiana aman inaumiza ukisikia undugu kuferi ndo hii
Mie nilifikiria mwimbaji shakira kutoka Colombia 🇨🇴 ♥️ sauti zimefanana mno,yareti 😢angesajiliwa ktk band maarufu bongo fleva Ali kiba,conde boy,diamond, kina rivani hivi wakawa group moja kuimba itachsngamka sana 😀 sauti yake ni nzuuuuuri sana mashallah ❤
Sio hivyo mtu wangu. Huwezi kulia umeasama domo. Hata hao wa misibani huwa wanajifuta na nguo machozi. Useme hapo ilitakiwa waweke tissue ili asijifute kwa viganja
Aisee uyo dada nilikua sijamfaham nimeona hii interview nikaona nimchek RUclips,Aisee huo Moto wa Petrol 🙌🙌 nyimbo zake kali sanaaaaa,Much luv sana from Finland 🇫🇮,Endelea kufanya Muzik Unajua🤝💪
My role model nikiskia your songs huwanafeel niko sawa #🇰🇪🇰🇪
Kuna kitu nakiomba sanaa muda wote mwenyezi mungu anijaalie uhai .najua nitakufa ila nimuache mwanangu au wanangu wakiwaa wanajielewa na kilichochabgu kibaki kwenye mikono yao wenyewe
Allahumma ameena😢
Ameen yaarabi in shaa Allah
Pole Dada upo vizur m/mungu akusimamie
Amen! 🙏
Daaaaaa pole sana dadaangu story Yako imenisisimua sana endelea kupambana na unajua sana kuimba mm nimekufahamu kupitia wimbo wako unaitwa watu feki keep it up my sister unajua sana
Tulio pitia maisha magumu tunafahamu hizi hisia tusikate tamaa mungu mkubwa
Tuamini , tusiamini MUNGU ndiye mwenye hatma zetu kikweli Anaamua kutupa moyo wa bidii kwa kile alichoweka (alichotupa) , APPY bna kwa sisi wackiliza sauti za muziki ki TZ upo unique , Yaani umekatiza katikati ya wimbi la style moja, yeap 'JaH bless U
Polee sana nduguyangu Mungu ndie mfariji wa muda wote tumkimbilie yeye tu
Moja yakitu kinacho umiza nakurdisha machoz yalyo sahaulika nikukumbusha ya nyuma yale yalyotuliza so presenters mjue dada zetu hawana moyo mugu hivo mnapowakumbushia ya nyuma it's so sadness emotional be blessed Appy
She is so cute..the voice vocal..damn..go go girl..love you frm kenya
Naona nikama umeongea from my mind❤
I didnt want to comment but could had to. I feel the pain in her songs. She sings her out. Music is now your best mum and dad your lover and everything. I listen to your music i see Sia. You both share same stories, big voices great life. Touch more lives with your voice. You are a light and shine in many. You are a champ Appy
May GOD bless her more than she deserve 😭 very emotional story
Pole mdogo wangu umeniliza sana ,mungu akufungulia ktk kazi yako ,mshilikishe sana mungu na fungi la kumi mungu atakufungulia ktk kazi yako happy love❤
Mungu akuinue zaidi ya kawaida, wale waliokufukuza na kukudharau waje kukuomba msamaha, inasikitisha sana na kuumiza sana.
Wow anasaitii kama vile Rihanna huyu akipata support atafika mbali sna anaelewa kizungu pia anaeza aka mix ikanoga sana
❤usijali pambana kipenzi kama mm zuluma eka zliuzwa baba kafafriki mda tukaishia viwanja2 tu hatuna hata mtaji wala sent ya kujengea mamilion wamekula nashangazi na mababa wakubwa
Story yako Haipishani na hii ya kwetu ila baba syo mnyonge kiivo kaamua kuwaachia tu mashangazi wanajipiga kifua na wadogo zake kwa kutishiana aman inaumiza ukisikia undugu kuferi ndo hii
Same here
Sauti nzuri. Nyimbo nzuri. Keep the fire burning...
Pole dadangu lakini Mungu alikua nakusudio lake kwa ilo usiwe na hasira sana huenda ilikujenga upande mwengine wa maisha yako
Nakupenda dada❤❤
❤
Dah mungu aendelee kukushika mkono akubaliki sana na pole kwa matatizo mungu akujalie wepesi😭😭🙏🙏🙏
Mwenyezmungu akupe nguvu zaid Appy
Pole kwa changamoto my new star
Nilivoona nyimbo zake nikajua ni msanii toka USA🎉🎉🎉
I wish ndo uwe the topest of all hii TZ...
her vocal it amazing ❤❤
Wew mtangazaji mbembeleze mtoto acha uzembeee wew
Maisha jamani sisi watoto wawakulima si rahisi mi nalia almost every day 😢😢hela nazopata now nagawana na ndugu ata maisha yangu hayaendi
Ndio maisha yetu Africa, pigana ipo siki isiyo na jina utavuka
La meilleure interview du temps. Il y a de la profondeur à l'intérieur
Aaah struggle 4 the dream not easy just supporting her and love good music
All the best Appy all that it's God plan there is something in you
People s surpot good music
APPY
Ni bint anayefanya vzr mpambanaj sana
Daaaaah pole sana but zidi kupambana
Struggling is key of success ,,keep it up
Nilijuwa huyu dadamkenya khaaaaa kumbe Tz
Wallah very emotional pole sana dada
Nimejikuta nalia tu pole sana siz🇰🇪
I love her music 🎶❤
Jaman wasukuma mmenifanya nn. Mbn nawapenda hivi
Huyu dada ni 🔥 🔥🔥
mimi kama ,kenya naomba msamaha kwa baba kutojitokeza kwa maisha yako, yote mambo yatakuwa sawa kwako.
Mungu atafanya njia pasipo na njia dada
Nakupenda sana move on
Appy wewe ni bora zaidi
Anaakili sana nakupenda Appy
Nimependa Sana na tutakusaport but sijui kwann najikuta nalia😂💓😍🙏
Pole dada tupambane tyu hata mimi natamani kurudi nyumbani lkn ndo hapapo
Mr hater bonge langoma kweli kweli ongera sana
Kaka uyu dada unajuwa kweli kama Vipi Mwambie tukutane kwa @barnaba ❤❤❤
Mwenyezi mungu atakusaidiya
God is always present. ❤
Pole Sanaa happy
I feel so sorry for Her..Lakini Huyu Dada ana Kipaji kikubwa na Atafika mbali Sana
daaah pole sana kazamoyo💝🌹❤
Victory belongs to God
😢I love her❤❤
We love you @Appy
Dayton
Pole dada
Pole san Appy najikuta nalia 😭😭
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
You can feel her pain on her songs
Mungu atakusaidia,tunakupenda
Yukogo humble sana uyu dada
Appy I lost too my mom nakuelewa sana😢😢😢😢
Gusa link apo chin kuenjoy hit song kutok kwa @Lomedo Africa 👇 👇
Duuuh Mimi pia nilijua wakishua na anaimba for pleasure tuu...tho anaclick
Painful story..may lord God see her through
Mungo tuu❤❤
Be strong 💪
Appy pole sana
Wasukuma ua tunatoa pisi kali tu atujawahi kukosea😅🎉go appy
Nikweli kabisa lakin mmetelekeza damu yenu
@@issaMsangi-z2k shida ya mtu mmoja sio shida ya jamii nzima
Mm mwenyewe nilijuwa sio mtanzania
Ukimsikiliza vizuri anaimba kama shakira mashallaa
Rihana
Pore sana mine❤❤❤❤❤
Yaani siku ya kwanza nili sikiya sauti yako nilijuwa ni Rihanna ila anakipaji sana🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mie nilifikiria mwimbaji shakira kutoka Colombia 🇨🇴 ♥️ sauti zimefanana mno,yareti 😢angesajiliwa ktk band maarufu bongo fleva Ali kiba,conde boy,diamond, kina rivani hivi wakawa group moja kuimba itachsngamka sana 😀 sauti yake ni nzuuuuuri sana mashallah ❤
@@jamilajamila9682 yes
Girrrrrl ur thr baddest 🙌🙌
Sns mkuwe mnapin link ya nyimbo ya mtu hapa kwa comments watu waweze kumcheki🇰🇪🔥💗💗
Appy-mr hater
Huyu anafaa colabo na Rihanna kabisaaa sauti the same
Dada umeniliza pole
Cool my girl 😢
machozi yanitoka pole atuwezi kufanikiwa bila changamoto
Samahani ndugu mtangazaji, mbona ujamuhuliza kuhusu baba yake ninani , napia yuko wapi , nakwasasa Ana mchukuliaje mwananaye kusikia Appy katoboa
Pole sana 😢
Nimependa tu vidole na kucha zake
Jamn appy natamn nipate ata namba yakoo str yako kama inanigusa ivy nais utakua ndugu yang maana jins tunavyofanana😢😢😢
Like your history very emotional life change sometimes sorrow come to make you strong .da can I found her number. I'm Fredrick
P0le sana dadaa ndo maisha yalivyo siunajuwa dunia tena hilivyo 😢😢😢
Ndugu ndo walivyo ndugu yangu.
Sky nlijuliza ujaona hikii kipajii Atari ogopa usilie dada wewe ni boro mapito ndio elimu yk
Huyu dada ni Jide mtupu
ng`ang`ana dada utapasua kikingi kilicho mbele yako....piga muziki kwa sana itajipa
Analiza lkn kucha jamani mpaka unahisi zitamchoma😅😅
ruclips.net/video/nxogLyFXoQM/видео.html
Poler
Kumbe wanyumbani kbsa jmn
😭💔🇰🇲👑👑
She should go see a therapist.
Malimbe nimeishi miaka hiyo
Uko vizuri saana kwenye mziki una hitaji push kidogo ume toboa...
😭😭😭😭
Kwasiku narudia mara kumi
Sjui nisemaje ila since da1 namkubal
mbona unalia kwa umakini sana hutaki mikope idondoke ,,,kama unajua unaenda kulia kwa interview enda ukiwa natural 😂😂😂??
Sio hivyo mtu wangu. Huwezi kulia umeasama domo. Hata hao wa misibani huwa wanajifuta na nguo machozi. Useme hapo ilitakiwa waweke tissue ili asijifute kwa viganja
Hapa umekuja kama Mr Hater
@@EllishaJames 😹👏
Mr hater