I left Saudi because of being beaten by a fellow Kenyan we were working with in the same house

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 173

  • @josephinenjerikahura2845
    @josephinenjerikahura2845 Год назад +13

    Your genuineness will take you a long way.Being aunthentic and respectful has won you great favour and you will go far.Blessings gal.

  • @mwariwambeere8375
    @mwariwambeere8375 Год назад +4

    😢😢😢these kind of interviews really breakes ma heart🖤. MUNGU TUPEE UPENDO

  • @essiewajojis7918
    @essiewajojis7918 Год назад +13

    Sometimes huwa hivyo kwanza ukipatana na mtu mvivu me nshawai kuwa na dame wa mombasa roho chafu hataki kuamka asubuhi na mnalipwa the same but hakuwai fanya kazi mahali pengine ilibidi adi arudi nyumbani kuwa pure heart uone vile Mungu atakubariki

  • @mercyk2672
    @mercyk2672 Год назад +18

    This lady is really mature. She left at 19 but she had the wisdom of a 30 year old. I know she'll do well, she has a great work ethic

  • @maxinekristine
    @maxinekristine Год назад +10

    I support this woman ...I known it's hard ...for me am just tired of this house only because of my coworker .... The whole family is okay .

  • @bredawakio5381
    @bredawakio5381 Год назад +2

    She is a verrrrrrrrrrrrrrry verrrrrry gooooooooooood story teller yaaaani inaflow tu sooooo nice🖤💕❤️🎉❤️

  • @janekamau1991
    @janekamau1991 Год назад +4

    Wow this lady is so polite and has much wisdom

  • @esyy_kariuki
    @esyy_kariuki Год назад +15

    This is so true some workmates are evil tuko watatu but Mimi Siwezi ingiana nao tufanye kazi mtu amalize contract arudi kwao.

  • @marthawangui7237
    @marthawangui7237 Год назад +25

    The reason I love working with ladies from another nationality..ni wazuri kuliko Kenyans .. wueh

    • @Mamagracie143
      @Mamagracie143 Год назад +2

      Yeah me too niko na mfillipino heri wao kuliko mkenya mwenza

    • @wainainacelestine3438
      @wainainacelestine3438 Год назад +4

      Very true working with other nationalities is better kuliko mkenya mwezako

    • @marywanjiku839
      @marywanjiku839 Год назад +2

      kagoni wuwabata

    • @beatricemuniu60
      @beatricemuniu60 Год назад +1

      True

    • @wanjikumwangiproudoma7557
      @wanjikumwangiproudoma7557 Год назад +4

      I once worked for a kenyan family in Germany before i got my papers..... nilifukuzwa usiku wa mananane kama umbwa because of going to Church with their teenage daughter, i thank God for the Church member i called and she drove very far to pick me up...... i also Glorify God because maybe i would still be working as a house girl but am a qualified nurse. @ times When we face difficulties, God is trying to push us to the next Level according to His Plan and purpose for our lives. In EVERYTHING... keep strong and prayerful

  • @christinekamau9122
    @christinekamau9122 Год назад +5

    Very interesting story teller!

  • @salmahussein3583
    @salmahussein3583 Год назад +13

    Hakuna watu wanakuanga na wivu kama wakenya wenzako, nilifanya na mmoja nilikuwa almost kumpiga vita ya come and see, bt finally madam ali book ticket yake mapema akiwa unware akaenda home nikabaki at peace,sitawai fanya kazi na mkenya ever afadhali wa macho ndogo

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira Год назад +5

    May God open way for you. You so real and genuine 💛

  • @mercykirubi3001
    @mercykirubi3001 Год назад +5

    Have gone through the same but mine was a phillipines wueh...ilibidi ni murife

  • @karendikitchen8439
    @karendikitchen8439 Год назад +12

    Kenyans we are worst than witches!!
    Rafiki yangu aliwekwa jela for one yrs juu ya mwenzake....mwingine karibu apate kinyongo juu ya mkenya mwenzake in iraq.....
    We have to change !!
    Currently in dubai mwanamke aliua mwanaume mwenzake😭😭😭😭😭 hata ikiwa umekosewa ama kukosana na mtu hakuna yaja ya kujifanya kausi juu malipo ni hapahapa duniani .....

  • @maryannewanditu2713
    @maryannewanditu2713 Год назад +4

    I prefer working alone I love peace of mind heri tusubuane na mwarabu rather than someone else I'll handle mwarabu by myself but nobody else

  • @faithnjoroge8232
    @faithnjoroge8232 Год назад +3

    Woii aki pole thank God you are safe....you are my homie am also from kanorero

  • @wacera-l5n
    @wacera-l5n Год назад +4

    Pia mimi back then in Saudi I had very bad a Kenyan coworker.alinipata huko na mwaka mmoja but yeye alikaa 7 months akarenjeshwa nyumbani .I remember nikiuliza my Madam Tahani mimi staki kazi nataka kuhome..watoi walisema yeye aende mimi ni baki.Mimi heli Ethiopians ama Indonesians

    • @veronicanadin2011
      @veronicanadin2011 Год назад

      Huyo tahani alikuwa na waschana wawili?Lilian n jina imepotes

    • @wacera-l5n
      @wacera-l5n Год назад

      @@veronicanadin2011 no alikuwanga na five

  • @carolnguku5321
    @carolnguku5321 Год назад +7

    The same situation I had last yr a Kikuyu did this to she even wanted to kill me

  • @rhodanims1810
    @rhodanims1810 Год назад +4

    My situation right now muniweke kwa maombi aki 😭

  • @ruthwangari2361
    @ruthwangari2361 Год назад +6

    I know this story uyu girl alkuwa anawork na friend yangu uyo dem mwenye alikuja kuvist na mtoto WA madam mwenye alihepa akaenda ofisi still uyo dem ako Kwa iyo nyumba na uyo dem mbaya they don't talk adi Sahi

    • @vionawanjiru
      @vionawanjiru Год назад +1

      That friend of yours didn't want to listen to she thought am the one having evil mind

    • @ruthwangari2361
      @ruthwangari2361 Год назад

      I know but pole for what you went through she's my friend and I know her well

  • @salmamohamed909
    @salmamohamed909 Год назад +6

    She is saying the truth nakwambia nilikua na mwingine pia alikua anamka SAA tano nikiamka 7 nilikua naumwa but nanyamaza Tu madam aligundua hio maneno alitupwa nje kama dogi

  • @winrosengunjiri8470
    @winrosengunjiri8470 Год назад +4

    Watching from Saudi Arabia Najran

  • @cathrinengige1346
    @cathrinengige1346 Год назад +7

    The person who did this to her should be brought in the open Coz such people don't stop.

  • @janewamaitha3513
    @janewamaitha3513 Год назад

    Waah niko huku najran 10yrs but chenye nilipitia kitambo nijue kucheza kikenya was horrible

  • @victoriashiko7172
    @victoriashiko7172 Год назад +1

    Wewe ulikuwa kichwa gumu

  • @samuelwarui7803
    @samuelwarui7803 Год назад +1

    Wa kenya wana mbeleka ukabila yao Saudia some join other Nationality to fight their fellow kenyan

  • @routhkamura7001
    @routhkamura7001 Год назад +2

    Viona my neighbor,,so sad 😢 pole sana

    • @maryanngitau2916
      @maryanngitau2916 Год назад

      Imagn may that stupid lady go to hell, kenyans we have to take care of yua self

  • @wanjikubeth
    @wanjikubeth Год назад +2

    Mm nko na mfillipino hapa ,,,,ss hua hatuogeagi nanyenye mtu apa anakaa maisha yake

    • @salomewamuhu2252
      @salomewamuhu2252 Год назад

      Hata Mimi nko na bagadadeshi mbaya sana huwa anajifanya madam bt Mimi ni nani huwa na fanya kazi yangu juu mimi huangaliya shoshi naye kazi zote nizake sikuli chakula yke na Huwa siongei naye huwa na shugulika na yangu yap bt boss wako sawa wanamjua ni kisirani

    • @roz8450
      @roz8450 Год назад

      Nilithania srilanka ndio wabaya kumbe hata kenyans

  • @liliannjuguna2923
    @liliannjuguna2923 Год назад

    Very inspiring story and a very determined young lady there.

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira Год назад +8

    I feel for you girl. When you come Saudi be courageous because one thing I noticed if you have fear here in Saudi it can be hard for you.secondly if you meet a co worker stand firm and avoid much interaction between you and her.

  • @margaretkaranja1864
    @margaretkaranja1864 Год назад +16

    Give us Fiona's phon no. She is very genuine n it's very true some Kenyans r very malicious

  • @mamakap8692
    @mamakap8692 Год назад +1

    Abha airport nikuo wacukiire,ugicoka ugikuo ni bathi nginya jizan

  • @elizabethharding7360
    @elizabethharding7360 Год назад +2

    She is amazing. Well done.

  • @gracewaithira5747
    @gracewaithira5747 Год назад +1

    Warab wako matharau sana najua,yote dada aki wetaguo ukombo wa marab GOD help us...

  • @waithiranjora5705
    @waithiranjora5705 Год назад

    Mwarabu angikumena nimurume agucukaga nginya wihaû noakwenda nimwega muno noharia mathukagiria niuguthie kuruta wira kwa nyina but am very proud to be Saudi

  • @staciageorge8150
    @staciageorge8150 Год назад +2

    pia mimi nimesoma jina ingine ya nyanya(nguta)mimi naijua kama tomat ama benadula,chicken ni gijag ama Di

  • @milkahwatene3798
    @milkahwatene3798 Год назад +1

    Wenye tuko jazan kujeni tujuane mm nko huku 9yrs jua ndio inakuwanga kali huku

  • @estherwanjiku3235
    @estherwanjiku3235 Год назад +1

    Wee wakenya ni true enemies Mimi tunafanyanga na wawili na wanajua mm ni wakukanyangwa pole pole ama uninyamazie juu am always ready for anything mm ata madam sio lazima tuongee mm Niko hapa kazi period 😏

  • @damarisnjeri7820
    @damarisnjeri7820 Год назад +1

    Pole viona....ogopa wanadamu

  • @sarahm316
    @sarahm316 Год назад +2

    Watching from Seattle

  • @wanguimwai80
    @wanguimwai80 Год назад +1

    Kenyans out here I don't know nini mbaya na wao, wako na madharau sana. Better to work or live with another nationality

  • @brendawanjirundegwa4913
    @brendawanjirundegwa4913 Год назад +4

    Hi @Metha ya kagoni. Kindly consider translation so that you can reach a wider audience. This will enhance on subscription and likes. Thank you.

  • @monicanduta8167
    @monicanduta8167 Год назад +4

    Adui ya mkenya ni mkenya mwenzake huku saudia.niko na 10 yrs huku.mwenye ako Abha anitafute tukunywe ngahwa

  • @gracewairimu937
    @gracewairimu937 Год назад +2

    Cia Kenyans ndiaragia , sip tea

  • @gracewangui326
    @gracewangui326 Год назад +4

    Watching from gulf

  • @Ac-rf9et
    @Ac-rf9et Год назад +2

    Kenyans tunakuanga immature, wakenya na makasiriko 🤣🤣
    Na jealously ingine 🤦🏿‍♂️

  • @wanjikubeth
    @wanjikubeth Год назад

    Mm siwezi omba musamsha aki ata madam wangu anajua ivo na watching from Saudi

    • @betchep
      @betchep Год назад

      Hawa warabu vile ni wabaya mimi siezi jipendekeza nao .nafanya kazi yangu niwa ondokee ujinga staki.Philippines ndio wanazeekea huku saidi miaka 10 mtu ako kwa nyumba ile ile🤣🤣

  • @margaretnjeri4064
    @margaretnjeri4064 Год назад +3

    🥴🥴Wee shikeni Kiarabu vizuri 🙄tomatoe ni the same name no change onion-basal sufuria-sufuria cut-ngatah cup-kubah sahani-sahan potatoes - botatas iron - kawi clean - gasell wipe-msahi 😉😉now start running shwai shwai🤌🤌

  • @jaydenshie6932
    @jaydenshie6932 Год назад

    Hii imenikubusha mkenya mwezangu tuliplan tu kemboi pamoja weuh wakenya alikemboi akaniacha na alijua the outcome if she leaves me behind coz I was going through hell in that family..chenye nlipitia after nikiambiwa nimtoe kwenye ako woii machoss😭

  • @qwrwwhtnyqq5739
    @qwrwwhtnyqq5739 Год назад

    Waaah I went the sama thing with srilanka bt thank God my boss was on my side weeded ogapa watu

  • @rosendungu8648
    @rosendungu8648 Год назад

    Watching from New York,

  • @nancywanjiku7539
    @nancywanjiku7539 Год назад

    Hey watching from Saudi -Jazan

  • @gracewangari8121
    @gracewangari8121 Год назад +1

    Me let me tell you the stuffs i went thruogh in the hands of my fellow kenyan hapa lebanon last yr ni God tu...nitaongea nikihome ogopeni wakenya

  • @sallytatu2149
    @sallytatu2149 Год назад +1

    May God open way for you

  • @cynthiawanjiru559
    @cynthiawanjiru559 Год назад +3

    Mimi ni na 3 eyrs na sijui kiarabu, nisaidie na hio app pliz.

  • @njeriwanyoike2532
    @njeriwanyoike2532 Год назад +1

    Atì tomato itagwo atìa?

  • @wambuiwacamillusofficial
    @wambuiwacamillusofficial Год назад +2

    Anaelezea vizuru na utaratibu

  • @RachaelNjoroge-ou6rh
    @RachaelNjoroge-ou6rh 11 месяцев назад

    🍅 tomato haha 😂 nginda dio sufuria lol.

  • @monicamwangi3122
    @monicamwangi3122 Год назад +3

    I prefer working with other nationality bt our fellow people it's work..been working at restaurants, boss are good bt fellow people are worse wivu,drama,etc bt other nationality u wl just go silent to them n life goes...at gulf u need to be closer to God,prayerfully and knowing the reasons ilifanya uende uku..Fiona u have kind heart dear

    • @Briwayne-x5l
      @Briwayne-x5l Год назад

      Sure....huku bila maombi hauezi toboa ni Neema tu ya Mungu

  • @shiksjustin
    @shiksjustin Год назад +3

    Ile kitu nli sema siezi kaliwa na mtu kila mtu afanye kazi yake, na siezi acha job ju ya mtu

  • @amawesome3190
    @amawesome3190 Год назад

    This is a very, very smart woman.

  • @salmamohamed909
    @salmamohamed909 Год назад +5

    Most gals die in the hands of fellow Kenyans Kwanza kemboi wanauana wenyewe kwa wenyewe

    • @josephinekamau2521
      @josephinekamau2521 Год назад +2

      Sure na may b wanapigania bwana nk

    • @salmamohamed909
      @salmamohamed909 Год назад +1

      @@africanoafrica2479 nooo most niwivu wengine niboyfriend sana Sasa ukua wanapigania wanaume hii niya kemboi but wenye wako contract ndio wivu na laziness unapata mwenye visirani hata hapendi kazi na hakuna mwarabu atakupenda kama hufanyi kazi pia hakuna story na depression huku Saudi

    • @salmamohamed909
      @salmamohamed909 Год назад +2

      @@josephinekamau2521 that is the major problem wanaume

    • @auntiepiarants2238
      @auntiepiarants2238 Год назад

      Omg crazy

    • @susankomu8978
      @susankomu8978 Год назад

      @@josephinekamau2521 Na saa hio n bwanayawenyewe

  • @benardnjoroge6478
    @benardnjoroge6478 Год назад

    Ni liwa nafanya job jizan wee huko kanjua kana chomokanga mapema xana n border ya Yemen

  • @annmuthemba8875
    @annmuthemba8875 Год назад +1

    Nii ndingiinuka niundu wa mundu

  • @chaskariuki3346
    @chaskariuki3346 Год назад

    Some people are cursed for their behaviors.

  • @sarahwangari8607
    @sarahwangari8607 Год назад

    My situation 😢😢😢😢

  • @Oasisofselflove
    @Oasisofselflove 6 месяцев назад

    never go to work anywhere you are not carrying your passport ever. too much risk

  • @freshiadavida5141
    @freshiadavida5141 Год назад +5

    Nyanya Inaitwa tomat sio kusa 😂

    • @lucyndungu2735
      @lucyndungu2735 Год назад

      Apana ni jazar 🤣🤣😂😂

    • @sdds7025
      @sdds7025 Год назад

      😅😅

    • @sdds7025
      @sdds7025 Год назад

      ​@@lucyndungu2735 gazar c 🥕

    • @winniemwash8075
      @winniemwash8075 Год назад +2

      Jizal ni carrots kusa ni zile inakaa cucuba

    • @winniemwash8075
      @winniemwash8075 Год назад

      Kiarabu some words nikama kiswahili n some like English like patoto tomato, tray wanaita Sahan, kikombe ni cop, pasal nikitu huu, milk ni slip etc

  • @costanzangunjiri8742
    @costanzangunjiri8742 Год назад

    woow she suchba great gal

  • @margaretwanjiru451
    @margaretwanjiru451 Год назад +2

    Never say sorry to your madam they will take advantage of you and mistreat you kikiumana wewe nyamaza aongee hady Achoke but sorry never talking from experience

    • @maureenkairu6541
      @maureenkairu6541 Год назад +1

      That's what I came to learn with them the first day you the word sorry wah basi umejiuza wenyewe

    • @sarahngige1589
      @sarahngige1589 Год назад +1

      Mimi nlisema GA kwa wangu na hajawainitetesha ni kemboi but niko the fourth yr kwake no do this or that ni mimi hujipanga

  • @shikuhsymoh2859
    @shikuhsymoh2859 Год назад +1

    Wah kwani alikua kemboi????
    Alafu for my understanding huyu dem hakua anataka kuenda saudi arabia
    Watu walimshow aende tu,but kwangu mimi siwezi home bcz ya shangala mwezangu.

    • @salmamohamed909
      @salmamohamed909 Год назад

      I think wenye walikua wanafanya nao ndio walikua kemboi yeye amesema alikua contract

    • @margaretwanjiru451
      @margaretwanjiru451 Год назад

      Maybe wale wa company house to house

  • @annmuthemba8875
    @annmuthemba8875 Год назад +2

    Anikavhuyo mmama hapa

  • @wanyagahostrich2443
    @wanyagahostrich2443 Год назад

    Viona wee niwe wagurire guoya 🤷‍♂️ nie ndi supervisor nandiguraga guoya wa Africans bora msee afuate sheria rules n regulations must b followed though I prefer working with Asians rather than Africa 🙏🙏🙏

  • @victoriashiko7172
    @victoriashiko7172 Год назад

    Wewe ndio ulijitafutia hio mashinda ulikuwa ume we kwa vizuri Saudi why kufanya kazi n’ai kuwa mingi you went there for work

  • @nimohnish4373
    @nimohnish4373 Год назад +2

    Waiting from saudi

  • @maureenmiriti3199
    @maureenmiriti3199 Год назад

    Monica hujauliza kama pesa yake alikuwa analipwa vizuri. Na alikuwa anatuma aje?

  • @women.6967
    @women.6967 8 месяцев назад

    You also have a defiant spirit, and you have arrogance. Sometimes you need to be respectful.

  • @mawama6719
    @mawama6719 Год назад +1

    you got" tired" of eating chicken every day!!?🤣🤣🤣

  • @gathuita
    @gathuita Год назад +8

    enemies are everywhere

  • @NimuhG
    @NimuhG Год назад +2

    I need an interview with you How can I reach you? Rahab

    • @NimuhG
      @NimuhG Год назад

      Reply please

    • @phylliswambui9367
      @phylliswambui9367 Год назад +1

      She has a whatsup number on the screen

    • @NimuhG
      @NimuhG Год назад

      Thanks. Let me check

  • @naominaomi6928
    @naominaomi6928 Год назад

    Nyanya ni tamat

  • @faithmunene5021
    @faithmunene5021 Год назад +7

    What I know is, when you have favor from God' everything is possible. I also went through hell in Qatar because of a Kenyan from cost.

  • @josphinewambui7004
    @josphinewambui7004 Год назад +8

    Weee I prefer working alone than being with anyone.. Not every Arab is evil but our own pple here are so jealous.

  • @margaretmungai1924
    @margaretmungai1924 Год назад +1

    Dubai well tuned

  • @damaris7016
    @damaris7016 Год назад

    Kama kwenda gulf haiko kwa akili Yako WAaah achana na iyo mambo...some Arabs welcome u well and treat u well..the worst mistake n ukipatana na mkenya ama muafrica mwezako gulf..na hakuwe amekaa uko sana..thats the worst mistake ever ata uwa anakuzingizia maneno Si ya ukweli

  • @Nature_corner254
    @Nature_corner254 Год назад +1

    Arabic is not that hard.its almost like swahili.their writting it's the one looks hard

  • @annancy9917
    @annancy9917 Год назад +2

    Nindathoma ukaundo. Me mind my own business 😌

  • @Lynn_Makau
    @Lynn_Makau Год назад +2

    Waiting from saudi Arabia Hail

  • @nnbvva9033
    @nnbvva9033 Год назад +1

    That why i lov working with other nationalities.

  • @janewanjiru8473
    @janewanjiru8473 Год назад

    Am in qatar n working with different nationalities 😊😊 I Ave kenyans colleagues weh I almost went home juu ya mkenya wa nyeri...but God ni nani....na sai ni kazi ya security...ogopeni hawa watu

    • @nancywangui6186
      @nancywangui6186 Год назад

      Oooh lazma utaje nyeri aki si wa nyeri wote wambaya😂😂

  • @tinatina8032
    @tinatina8032 Год назад

    Sad

  • @Jane-ie9ul
    @Jane-ie9ul Год назад +1

    Oh Noooo, why such a long "coming up" introduction? Coming up is actually not necessary.

  • @gracewaithira5747
    @gracewaithira5747 Год назад +2

    Ninikuwa nafanya na mkenya ..huku gulf nahakuna mtu mbaya kama mkenya mwezako ..l know that's,

  • @dorcasmukiri2791
    @dorcasmukiri2791 Год назад

    True

  • @bernardmburu7656
    @bernardmburu7656 Год назад +2

    👍👍👍🙏🙏🙏

  • @qwrwwhtnyqq5739
    @qwrwwhtnyqq5739 Год назад +3

    Waaah I went the sama thing with srilanka bt thank God my boss was on my side weeded ogapa watu