Ukht Dida aufunguwa mwaka 2022 kwa Qasda kali ya ubinafsi skiliza ili upate faida

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии •

  • @PillyFilly
    @PillyFilly Месяц назад +2

    Mwenyezi mungu akujalie kilalakher dihda nafarijika Sana kwa qaswida zako

  • @AMINAATHUMANI-ye1wu
    @AMINAATHUMANI-ye1wu 6 месяцев назад

    Mtunzi anajua uku nyimbo ukipata mwimbambaji mashaalah aasauti dida ujumbe ufike

  • @hadiamussa4528
    @hadiamussa4528 2 года назад +2

    Ukhty Dida hongera kwa kuyaongea maneno 👌

  • @بيليبب
    @بيليبب Год назад +2

    Mashaa Allah dadangu Allah akupe umri mrefu ❤❤

  • @aymanomar8548
    @aymanomar8548 2 года назад +4

    MashaAlllah mashaAllah qaswida nzuri sana hongera .keep it up👏

  • @mwajumamohamed25
    @mwajumamohamed25 2 года назад +2

    MashaAllah ukhty diyda Allah akuzidishie kipaji chako 💔💘❤

  • @mulkishamsa
    @mulkishamsa 4 месяца назад

    Nakupendaa ukty dida Mungu akueke inshaAllah

  • @sitiseif1275
    @sitiseif1275 2 года назад +1

    Masha Allah swezi kuzikosa kasda zako hongera kwa kazi nzur

  • @mohammedmuddy4117
    @mohammedmuddy4117 2 года назад +1

    Ma sha allah sana Mola wetu mlezi aendelee kukulea ukhty didah

  • @ماتيماتنزانياا
    @ماتيماتنزانياا 2 года назад +2

    Mashalla Ukhty dida kasda zako zina maadili

  • @subirabizabishaka4359
    @subirabizabishaka4359 2 года назад +1

    Maishaallah nakupendag saan mungu azidi kukulinda

  • @zamdazamda2311
    @zamdazamda2311 2 года назад +2

    Ma nsha Allah ma nsha Allah kipenz chetu mambo n pambeeee ujio upya 2022 Pambeeee ukhty dydah 🥰🥰🥰

  • @maryamabdallah5387
    @maryamabdallah5387 2 года назад +4

    Wallah I can't stop to lessing your Qaswid Mashaallah Allah gave you beautiful voice ❤ ♥ 💖

    • @rakiderifbmwana3523
      @rakiderifbmwana3523 2 года назад

      5hucit66cy6y4@-8£《55sxxj x

    • @fatinahassan7434
      @fatinahassan7434 2 года назад

      Maashaallah yaa ukhty Allah akuzidishie Zaid na Zaid ilitupate kuelimika

  • @mwajumamohamed25
    @mwajumamohamed25 2 года назад +2

    Hongera dada kwa ujumbe mzuri 💖💖💋

  • @ibrahimabdallah3446
    @ibrahimabdallah3446 2 года назад +1

    Masha Allah Dada angu Allah akuongoze kwa kila hali insha allah

  • @zakiabakar9811
    @zakiabakar9811 2 года назад +1

    Mashallah dada mungu akuweke uzidi kutufunza na kutuburudisha

  • @mwanakhamis1274
    @mwanakhamis1274 2 года назад +2

    Ubinafs hatariiiiiiiii hiiii qaswida hongereni AHIMT ❤️

  • @suleimanimzee1529
    @suleimanimzee1529 2 года назад

    Mashll barkah Allah fhiiii ya hukhti dida Allah barkah ,inshll Allah hatuwezeshe inshll nitleta Posa nymbni mungu akipnda🙏🙏🥰🥰

  • @chymaally3309
    @chymaally3309 2 года назад +4

    Mashallah kipnz chetu ...wapi team dyda 😘😘😘❤️❤️❤️❤️

  • @hafsajumaali7857
    @hafsajumaali7857 2 года назад

    Mashallah allah akuepushe na hasad za watu kipenzi nakupenda dada

  • @ashadanga6470
    @ashadanga6470 9 месяцев назад

    Mashallah ujumbe muruaaa barikiwa ukhty dida

  • @dumseadam3583
    @dumseadam3583 2 года назад +1

    Mashallah qaswida nzuri Sana hongera ba mdogo hapa kutoka kenya

  • @fatmaalsharge3257
    @fatmaalsharge3257 2 года назад

    Jamani hadi raha mashallah hongera ukhty dida ujumbe umefika

  • @sierraready.for.itbella3137
    @sierraready.for.itbella3137 2 года назад +1

    Mashaallah kipenzi chetu iko sw allah akutimizie ndoto zk inshaallah

  • @ashuramakameomar8498
    @ashuramakameomar8498 Год назад

    Masha Allah dada mungu akulinde na shutma zote za walimwengu saut pambeeeeeee

  • @swafiadhadhaa9012
    @swafiadhadhaa9012 2 года назад +1

    Mashaa-Allah Tabaraka-Allah akuzidishie kipaji chko qaswida nzri,,,

  • @masikamdachi4586
    @masikamdachi4586 2 года назад +1

    Mashallah ahsante ukhty kwa ukumbusho mungu atuepushe na ubinafsi🙏

  • @fat-hiyaussi1691
    @fat-hiyaussi1691 2 года назад

    Masha Allah ukhty Allah azidi kukikuza kipaji chako Alhamdullillah ujumbe mzuri sana

  • @aburaju4314
    @aburaju4314 2 года назад +1

    Go dida Go dida good qaswida as well as good voice ماشاءالله

  • @aishamohd6985
    @aishamohd6985 2 года назад +2

    Mashaallah ❤️ mashaallah hakika ukhty unatoa ukumbusho kw umma mashaallah Allah akuzidishie habibty nakupend buree 💝💝

  • @yaumiromari4084
    @yaumiromari4084 2 года назад

    Mashallah kazi nzuri

  • @saidseyyid1750
    @saidseyyid1750 2 года назад +1

    Qaswida nzuri MashaAllah, following from Mombasa kenya

  • @piliaisha2620
    @piliaisha2620 2 года назад

    Masha Allah ukhty wangu uko vizur nakukubali habby

  • @sumaiyamwambindo-3201
    @sumaiyamwambindo-3201 Год назад +1

    Allah akubariki so cute ♥️❤️❤️

  • @saidsaidomar
    @saidsaidomar 8 месяцев назад

    Mashallah dad's mola akuzidishie

  • @salamaibra
    @salamaibra 2 года назад

    Allah
    Akuzidishie
    Umri

    • @salamaibra
      @salamaibra 2 года назад

      Mashallah ❤️♥️❤️

  • @maimunaamiri4081
    @maimunaamiri4081 2 года назад +1

    Mashaaaallah pambeee!!!!!🤝🤝👍👍🤛🤛it good voice and good message 🤑🤑🤑

  • @tumayahya27
    @tumayahya27 2 года назад

    Kasda zako nzuri mungu akufanyie wepesi🥰💯🤝👏💕

  • @maryamjuma9937
    @maryamjuma9937 2 года назад

    Mashallah hujawahi kumoxea ukhty dida👌👌👌

  • @jasminesalum9895
    @jasminesalum9895 2 года назад

    Hongera sna dada etu mungu aendelee kukuzidishia kipaji chako tunakukubali sana

  • @tumayahya27
    @tumayahya27 2 года назад

    Mashallaah Yani dida nakupenda atri

  • @fatmaabdalah7007
    @fatmaabdalah7007 2 года назад

    Chimamy mashallah hongera ujumbe umewafikiya mungu atakulinda na kila la shari

  • @aminachaka1523
    @aminachaka1523 2 года назад

    Kaswida wazimu,Allah akuhifadhi na akueke mbali nakila baya

  • @faakhamis1927
    @faakhamis1927 2 года назад +1

    Hujawah kukosea habibity😍😍 maashallah

  • @fatumalugazo9513
    @fatumalugazo9513 2 года назад

    Marshaallah Marshaallah Marshaallah my sister. Mungu akusaidie kutimiza ndoto zako in'shaallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💞💞💞💞💞💞💗💗💗💗💗

  • @fatmahjuma3410
    @fatmahjuma3410 2 года назад

    Mashallah mashallah ukht dyda ujumbe mzuri

  • @HadijaPeter-gk7jl
    @HadijaPeter-gk7jl 7 месяцев назад

    Hongera sana🥰

  • @zainaballyzainabally8610
    @zainaballyzainabally8610 2 года назад

    Masha Allah ukhty dida kwa qaswida nzuri

  • @shanishamsi9576
    @shanishamsi9576 2 года назад

    Bismillah mashallah yaani hii kasda umewapiga watu na kitu kizito kichwani mashallah dida wangu

    • @mohammedmuddy4117
      @mohammedmuddy4117 2 года назад

      Yaani tena nyundo yenye misumar allah muhifadhi ukhty didah

  • @mwajumaramadhani6918
    @mwajumaramadhani6918 2 года назад

    Mashaallah nzr sana nimeipenda

  • @fatmamusaa1169
    @fatmamusaa1169 2 года назад +1

    Mashallah Mashallah Mashallah always love wat u give ❤ ♥ 💖 I really appreciate you sister dida one-day inshallah I wish come to meet u in zanzbar sister ❤

  • @fatumahassan3205
    @fatumahassan3205 2 года назад +1

    Hongera sana dayda lakini mziki uko juu tafadhali ipungue upate fadhila

    • @ukhtydida1972
      @ukhtydida1972  2 года назад

      Insha Allah

    • @rahmayakub5890
      @rahmayakub5890 2 года назад

      Hongera sanaaa kipenz nakupenda bureee😍😍😍😍😍🥰🥰🥰🤲👍🏼

  • @ukhtynuuh9113
    @ukhtynuuh9113 2 года назад

    Maashallah my ukhty hukosei

  • @ummuziana5723
    @ummuziana5723 2 года назад

    Mashallah Allah Akubarik

  • @zuhrashaabani4705
    @zuhrashaabani4705 2 года назад

    Mashaa Allah jemedar ya ahimt👌👌👌

  • @shadeaqassim4689
    @shadeaqassim4689 2 года назад

    Masha Allah imekubalika mpenzi ❤️❤️❤️

  • @halimamohamed3272
    @halimamohamed3272 2 года назад

    Asante ukhtiy dida mashaallah👌

  • @HalimaMo-n2f
    @HalimaMo-n2f 5 месяцев назад

    Marshall

  • @halimajuma7919
    @halimajuma7919 2 года назад

    Asante mpz didah upo vizuri kwel

  • @maryamabdallah5387
    @maryamabdallah5387 2 года назад

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah Tabaraka Rahman Mashaallah ❤️❤ habibty

  • @harunauwesu2076
    @harunauwesu2076 2 года назад

    Hujawahi kukosea mashallah #UKHTY DIDAAÀA

  • @anwaryyahya5967
    @anwaryyahya5967 Год назад

    mashaaallah ukty dida

  • @MariamAthman-zv9nq
    @MariamAthman-zv9nq Год назад +1

    Mashaallah 🌹🌹🥰👍

  • @KaleRehman
    @KaleRehman 11 месяцев назад

    Mashallah malikiya waqaswida

  • @latifah2161
    @latifah2161 2 года назад +1

    2022 imeanza vyema mashallah, kila la kheri dida 💥

  • @KaleRehman
    @KaleRehman 11 месяцев назад +1

    Allah akupe Janna nawazazi wako

    • @ukhtydida1972
      @ukhtydida1972  11 месяцев назад

      Aaamin

    • @JumaKhamis-y3c
      @JumaKhamis-y3c 3 месяца назад

      Mashaalah dada uko vzuri sanaaa cjui niseme nn mung akupe yenye heri ww na wazazi wako na akuepusheni na shari

  • @princeharshad9966
    @princeharshad9966 2 года назад

    Mashaallah 😍 much appreciation 💯

  • @aminaabdallah3287
    @aminaabdallah3287 2 года назад

    MashaAllah MashaAllah 🥰 qaswida zako halwaa👍

  • @mwanaishahassan3161
    @mwanaishahassan3161 2 года назад

    Masha Allah naomba mtuekee na vdeo

  • @ماتيماتنزانياا
    @ماتيماتنزانياا 2 года назад

    Mungu akuzidishie uzidi kutufunza

  • @hajrakeke2029
    @hajrakeke2029 2 года назад

    Mashaaallah umeua kipenz

  • @magonjwanatiba1426
    @magonjwanatiba1426 2 года назад +2

    Mashaallah 😍😍

  • @saidihamidu2699
    @saidihamidu2699 2 года назад

    Mashaallah ukhty Dida

  • @nassibaisha5243
    @nassibaisha5243 2 года назад +1

    Imekubalika🔥🔥 MashaAllah habibity wetu 💋💋

  • @ZulfaaliMvumbo
    @ZulfaaliMvumbo Месяц назад

    Masha Allah ❤❤❤

  • @EmmaWiston
    @EmmaWiston 5 дней назад

    Masha Allah

  • @mansoursaidmsellem1015
    @mansoursaidmsellem1015 2 года назад

    Congratulation ukhty dida

  • @habibkhamis4705
    @habibkhamis4705 2 года назад +1

    hakika ujumbe nimzur na py uloyasema yote tunayaona kilakukicha dah hongera

  • @ahmadmaniemalausii1238
    @ahmadmaniemalausii1238 2 года назад

    maashallah qaswaida maridhawa tunasubiri video yake kwa hamu mno

  • @kulthumabass9616
    @kulthumabass9616 2 года назад

    Mashallah ukhty dida

  • @abdulkarimkaniki8800
    @abdulkarimkaniki8800 2 года назад

    Mashallah 💞100%

  • @rehemasalim7499
    @rehemasalim7499 2 года назад

    Mashallah sister that's why I love you so much

  • @aishajuma7242
    @aishajuma7242 2 года назад

    Mashallah hongera ukty🥳🥳💓

  • @mariamisa8889
    @mariamisa8889 2 года назад

    Ma sha Allah bless

  • @nadiasimonnadia1599
    @nadiasimonnadia1599 2 года назад

    Mashallah dada diday 💖

  • @tauburukhamis9540
    @tauburukhamis9540 2 года назад

    Allah akubariq sana

  • @azizaabdul1240
    @azizaabdul1240 2 года назад

    Ahsante kw ukumbusho

  • @dockafani4833
    @dockafani4833 2 года назад

    Qaswidah make many hearts to fill with grace

  • @TinaMlela
    @TinaMlela 3 месяца назад

    Marshall allah

  • @queenmamy7501
    @queenmamy7501 2 года назад

    Mashallah qaswda hatare

  • @aishamohd6985
    @aishamohd6985 2 года назад

    Jemedar wng pia nakukubal 😘

  • @AbudaraRusimba-fz9jj
    @AbudaraRusimba-fz9jj 11 месяцев назад

    Mashaaallah

  • @yasirybilali6551
    @yasirybilali6551 2 года назад

    Mashallah

  • @AsiaSaidi-q3x
    @AsiaSaidi-q3x Месяц назад

    ❤😂dida

  • @jumayusuphuTV
    @jumayusuphuTV 2 года назад

    Love from mtwara 💖💖💖

  • @mohammedsaid4196
    @mohammedsaid4196 2 года назад

    Masha'Allah

  • @rashdarashid5064
    @rashdarashid5064 2 года назад

    Mashallah mashallah ❤

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Kablaa yahasii kuuu tuanzee hiiyiinharusii ndogoo kishaa tundee harusii kubwa

  • @wardaidd6448
    @wardaidd6448 2 года назад

    Yan wallah unanikoshaga roho bnt ya kizanzibari ,maneno ya kwel ,ubinafsi

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад +1

    Mie nasubiria tuu video ☺️☺️