NAMNA ARDHI INAVYOWEZA KUKUPOKEA AU KUKUKATAA-(DAY 2) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 32

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Год назад +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 Год назад +1

    Mafundisho yamenipa ufahamu mkubwa. Asante sana mtumishi.

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 2 месяца назад

    Neno hilo la Yeremia limenigusa sana linagusa maisha yangu sana naomba MUNGU ahusike na maisha yangu na wanangu

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 2 месяца назад

    Nimepata vitu vikubwa mno ubarikiwe mno Mtumishi wa MUNGU

  • @chichiherself5698
    @chichiherself5698 11 месяцев назад +1

    Mwanzo12;1-2 21:35

  • @pamodzi9331
    @pamodzi9331 3 года назад +5

    Pastor, navipenda vipindi vyako.ninakula na kukua zaidi ktk maarifa ya kimungu kupitia masomo haya.Mungu na akupe afya njema na miaka mingi ili ulimwengu uweze kufaidi kutoka kwako

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un Год назад

    Amina ubarikiwe

  • @richardkirongo4835
    @richardkirongo4835 2 года назад

    VITA vingine tunavishinda kwa Kuvikimbia .... Amen mtumishi... Umenipa nguvu kubwa sana kirohoo

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 года назад

    Kuna Vingi sana vya kujifunza katika ulimwengu wa roho kama wakristo

  • @peterngulili7301
    @peterngulili7301 9 месяцев назад

  • @amosijackson7655
    @amosijackson7655 2 года назад

    Mungu akubariki baba kwa SoMo hili limenifungua

  • @annstersianganga6772
    @annstersianganga6772 3 года назад

    Amen Amen najiona tu wazi mtumishi anapo fundisha na ninazidi tu kufuatilia. God bless you mightily

  • @rachelissa115
    @rachelissa115 3 года назад +1

    Nimebarikiwa sana na somo,mchungaji mungu akubariki sana

  • @leahwaltersenkondo1387
    @leahwaltersenkondo1387 3 года назад

    Baba naomba uniombee roho ya ulevi kwa mume wangu ni mchaga jamn

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 3 года назад

    Familia yetu imefungwa kwa umaskini, tafadhali niombee sana hio laana ituachilie

  • @jogindasinger9414
    @jogindasinger9414 3 года назад +1

    Mimi kila siku nalilia sauti. Sauti huwa iko chini sana tafadhalini kwa heshma na unyenyekevu rekebisheni

    • @mollyneomoro8114
      @mollyneomoro8114 3 года назад

      Nadhani ni kifaa chako. Sauti Iko sawa kabisa.

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 3 года назад

    tuned

  • @judithokothpraises
    @judithokothpraises 2 года назад

    thank you Lord for this great teachings

  • @rachelmsolo3639
    @rachelmsolo3639 3 года назад +1

    Kamilitation hako katoke kwangu kwa jina la Yesu na familia yangu

  • @njerimukunya169
    @njerimukunya169 3 года назад

    Mafundisho mazuri Sana mungu akuzidishie neema yake

  • @chichiherself5698
    @chichiherself5698 11 месяцев назад

    Ufunuo2;13 2:32

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 года назад

    Baba nabarikiwa na mafundisho yako ya ukombozi.Kwa kweli ninashika kitu

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 3 года назад

    Asante YESU wangu kwa cahakula cha leo

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 3 года назад

    AMEEN

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 года назад

    Amen

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 2 месяца назад

    Neno hilo la Yeremia limenigusa sana linagusa maisha yangu sana naomba MUNGU ahusike na maisha yangu na wanangu

  • @pendocharles1532
    @pendocharles1532 3 года назад

    Amen

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 года назад

    Amen

  • @TheAngelofGod-b1q
    @TheAngelofGod-b1q 10 месяцев назад

    Amen

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 7 месяцев назад

    Amen amen