Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mzito wa bongo Old-school Hardcore Hip-Hop. Heshima bro. Salute. We miss you man.
Tunaomba wimbo wa Jose mtambo unaitwa busara 😍😀😁😂😃☝️
Hii ngoma ni kali sana aisee
Mwamba Rais wa kigamboni respect sanaaa
mchizi yupo vyema sana, siku atapokua na njaa ya mafanikio atakua daraja sahihi
Natamani nione wasanii hawa wakifanya Show za Kikubwa kufidia mark time walizo piga wakisimamisha mziki wetu tuupendao
Jamaa alikuwa noma beat 🔥🔥 pia
Jose mtu mbaya sana
"Wanaongelea beef wakishaota usiku ya ndotoni sio ya kweli"
😂😂😂 ma legend suluali sasa
Daaah zaman sana🙌🏻
Jose mtambooo🙌🏻
Mbishi kitambo jos mtambo
Mwana Hip hop wa miaka yote
who can be real manager of ma niga jos mtambo,money not change but people change people
Brother unajua sana!
Jamaa ana unique style sana
Miaka Zaidi ya Kumi Na Na 5 ivi lakini bado noma
Way back damn miss those days
Tuliokuja kumsikiliza baada ya alikiba kumtaja
daah miaka zaid ya 7 lakini km ndo kwanza imetoka jana. km vipi ifanyie remix hiingoma
Ngoma mbichi ukiskia bum bum
Baddest 💯💯💯
Tuwekee na darasa huru ft dully sykes
classic bongo hip hop
Mtambo
Hawana habari
2022 Nov here
2023
2pac
Maqn
🫡🫡🫡

daah miaka zaid ya 7 lakini km ndo kwanza imetoka jana.
km vipi ifanyie remix hiingoma
Ngoma mbichi ukiskia bum bum
Baddest 💯💯💯
Tuwekee na darasa huru ft dully sykes
classic bongo hip hop
Mtambo
Hawana habari
2022 Nov here
2023
2pac
Maqn
🫡🫡🫡