MWAMNYETO AWAVAA WACHAMBUZI WANAOMSEMA VIBAYA NA MASHABIKI/ MECHI YA TABORA ILINIUMIZA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 28

  • @LEMBRISLOIRUCK
    @LEMBRISLOIRUCK Месяц назад +2

    Ni mapito tu ila wewe ndiye nahodha uliyechukua vikombe vingi sanaa,Heshima yako kubwa usitishwe.kuna kupanda na kushuka.Big defender we proud on you.,🇹🇿

  • @adamflano2983
    @adamflano2983 Месяц назад

    Nakukubali sanaaaaa wee bwana mdogo mwamnyeto ni jina limekaa sana moyoni mwangu

  • @BenpeterChatanda
    @BenpeterChatanda Месяц назад +2

    Mwamnyeto ni Bonge la beki ni maboya tu ndio wanaweza sema hafai

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Месяц назад +2

    Safi safi,vichambuzi mbuzi, hata chandimu hawajawahi kucheza! Hata danadana hawajui! Kazi kuongea upuuzi!

  • @AhmedIssa-k6m
    @AhmedIssa-k6m Месяц назад +1

    kwnda ww hujui mpira

  • @zarunaamwanajimba1950
    @zarunaamwanajimba1950 Месяц назад +1

    Tunakupenda sana Nondo

  • @SalumMusa-f5l
    @SalumMusa-f5l Месяц назад +5

    Wachambuz walichagua kuiatack yanga wanajulikana sababu ya mapenzi Yao kwa Simba na kwamba Hawa ni maadui wakubwa wa yanga uwa hawaangaliag mazuri ya yanga aswa awa Oscar Oscar,jemedar said huyu mkosa kidevu Wilson oruma

  • @drbmbogo
    @drbmbogo Месяц назад

    Hongera sana Jane Kishai na @Photoa TV ❤
    Mambo mazuri

  • @GetrudasamsonSengerema-he7ob
    @GetrudasamsonSengerema-he7ob Месяц назад +2

    Usihofu mdogowangu wanakuonea wivu, songambele walausihofu kabisa tukopamoja nawewe, Juan masika tupopamoja

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 Месяц назад +1

    Mwamnyeto ni mchezaji mzuri sana ila watu hawamuelewi tuu wanaangalia makosa

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Месяц назад +1

    Wewe ni beki bora Tanzania haijalishi...wanajaribu kukuua tu kiwango kama agrey moris kwa chuki zao...ila ukiwepo wewe uwanjani hauwez kuzungukwa kama alivyofanywa yule mtu...unajua kwanza ukiwa ww timu inapiga mpira mwingi Sana toka nyuma na inakaba vzur

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 Месяц назад

    Hongera mdogo wangu unapigwa sana vita lkn utavuka usijali nifurah sana kukusikia unanidhamu sanaa

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 Месяц назад

    Yes ni CB mzuri, lkn ana makosa kadhaa ya kiulinzi kuliko Job na Bacca. Muhimu kurekebisha👍

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi Месяц назад

    Mwamnyeto yupo vizuri

  • @MariamMgaya-bs4pw
    @MariamMgaya-bs4pw Месяц назад

    Hakuna kitu hapo lkn yeye ndo anatukosesha raha

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd Месяц назад +1

    TABORA TEAM BORA

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 Месяц назад

    Jemedari na wenzake tunapeleka majina yao kwa babu msumbiji hawachomoki hata iweje

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Месяц назад

    Captain mchezaji bora anaumiya kutokeya bench na inamcost kutokuwa team ya taifa coach mpya piga zowezi kali urudi kwenye namba yako ndinga iko usizubai

  • @SiliviaMuhando
    @SiliviaMuhando Месяц назад

    Vv

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 Месяц назад

    Hamna kit yang ap leo unafungwq zaid ya goli tatu

    • @Happynesi-d4k
      @Happynesi-d4k Месяц назад

      Utaendelea kuteseka yanga bingwaa

    • @mariayohane4712
      @mariayohane4712 Месяц назад

      Sio ww uliefungwa Tano au unajisahaulisha

  • @maase2023
    @maase2023 Месяц назад

    Mwamnyeto rudi tanga tukauze pariki mpira bye bye

    • @Happynesi-d4k
      @Happynesi-d4k Месяц назад

      Anakutesa ee nabado hii ni madini.utaichimba utakuwa umepata tabu mno

    • @maase2023
      @maase2023 Месяц назад

      @Happynesi-d4k mmmhhh kaisha huyo

  • @LightnessCharlseKimaro
    @LightnessCharlseKimaro Месяц назад +1

    𝑴𝒛𝒊𝒕𝒐 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒖𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 𝒏𝒅𝒊𝒐 𝒉𝒖𝒐 𝒑𝒊𝒂 𝒖𝒏𝒂𝒋𝒊𝒔𝒉𝒂𝒖 𝒔𝒂𝒏𝒂