Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 июл 2020
  • Katika makala hii tunazungumzia mada inayohusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa nchini Tanzania. Wafugaji wengi hapa nchini wamekuwa wakiulizia wapi wanaweza kupata mbuzi aina ya boer hapa nchini ili wanunue kwaajili ya mbegu. Makala hii inatoa maelezo hukusu hili.
  • ЖивотныеЖивотные

Комментарии • 117

  • @husseinchoyo2352
    @husseinchoyo2352 3 года назад +2

    Shukrani kwa darasa zuri sana umetuvungua wengi. Je hapo kwako naweza pata mbuzi Boer mwenye 70%-80%. Na tsh ngapi

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 3 месяца назад

    Hongera kwa maelezo mazuri,mimi niko mkoa wa Pwani hapa kibaha,nawahitaji sana hawa mbuzi aina ya boer, na Red Kalahari, naomba mkiwa tayari unijulishe

  • @Orakplus
    @Orakplus 3 года назад +4

    This is a great business brother

  • @mpilines
    @mpilines 3 года назад +2

    Love you narrative and the aim of the farm is great

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Greatly appreciate for your feedback.

  • @solitadevine5137
    @solitadevine5137 3 года назад

    Great job

  • @ceciliansemiwe8188
    @ceciliansemiwe8188 3 года назад +1

    Big up sana Beda! Barikiwa sana

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 года назад +2

    nice job bro. keep up bro. exelent

  • @wangitv
    @wangitv 3 года назад +2

    Ok we will Subscribe

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Greatly appreciated Joan. Keep well!

  • @Orakplus
    @Orakplus 3 года назад +3

    Big like brother..

  • @yasinjuma1445
    @yasinjuma1445 3 года назад +2

    Shukran kwa maelezo mazuri,ila kidogo umebana badala kurudia maelezo nafasi ilikuwepo kwa video hii ku brief process ikoje kununua na kuleta Tanzania breed ya boer 100% to South Africa ,badala yua kukusubiri mpaka utakapo kuwa tayari kuuza,usitupe samaki,tufundishe kuvua kwa maslahi mapana ya taifa letu.

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      Yasin Juma hii video ingekuwa ndefu sana kama ningeweka details zote hizo. Ila nitarekodi video nyingine itakayotoa hayo maelezo.

    • @nzumimalendeja8942
      @nzumimalendeja8942 10 месяцев назад

      ​@@ShambaniFarmAny update on this please.

  • @dastanfussy4898
    @dastanfussy4898 Год назад

    Habari. Mmeanza kuuza hao mbuzi?

  • @philemonncheye
    @philemonncheye 19 дней назад

    Nahitaji hao mbuzi boar goat pure100

  • @mds5293
    @mds5293 3 года назад +1

    Great bro,nawahitaji hao ila ukitupa utaratibu wa jinsi ya kuagiza itakua poa sana,VP pia upatikanaji wa savannah na Kalahari red.

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      Daniel Wilbernard Mmary nitarekodi video nyingine kuhusu hilo suala karibuni. Tupo pamoja.

    • @taimakolele8405
      @taimakolele8405 3 года назад +1

      @@ShambaniFarm uko wapi ndg.

  • @aap99alalawy
    @aap99alalawy Год назад +1

    Ajabu. Latest Land Cruisers za VX zinapatikana hapa TZ lakini tunashindwa kuleta Boer Goats kutoka nje. Inaonesha bado hatupo serious.😢

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  Год назад

      Kwasasahivi kidogo kuna mabadiliko. Naona idadi imeongezeka walau. Hii video ilikuwa ya nyuma kidogo. Kama miaka mitatu hivi.

  • @alexmakunga4484
    @alexmakunga4484 2 года назад

    Namba

  • @mwanjali2008-qn7ez
    @mwanjali2008-qn7ez Год назад

    Mimi ninahitaji kufuga mbuzi Boer au chotara nitawapata wapi ? Shamba lenu lipo wapi ?

  • @robertmagige6800
    @robertmagige6800 3 года назад +2

    Naomba utusaidie utaratibu uwa kuagiza boer Kutoka SA hasa kuhusu vibali

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +3

      ROBERT MAGIGE nitafanya video nyingine kwaajili ya hii.

  • @genxonlinetv2219
    @genxonlinetv2219 Год назад

    Maelezo yalitakiwa yawe mafupi lakini huo mzunguko anaopita nao unaboa kwa kweli!

  • @philemonncheye
    @philemonncheye 19 дней назад

    Nitamjuaje mbuzi boar?

  • @georgelupembe8672
    @georgelupembe8672 Месяц назад

    Boer pure wapo wengi tu Iringa ASAS Farm....Nyang'oro farm

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  20 дней назад

      Wamekuja mda baada ya kutengeneza hii video.

  • @timotimo5501
    @timotimo5501 3 года назад +1

    Kwakweli sijui kwann TZ tunakuwa nyuma nyuma sana hata Uganda wanatushinda yani hao mbuzi TZ nzima hawazidi 60😳 dah!! Alafu eti kuna wizara ya mifugo hovyo kabisa...

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Nadhani ni masuala ya vipaombele. Maana najua kuna sehemu nyingi tunaeazidi waganda. Lakini kwenye hili kwakweli wanatuzidi. Hivyo inamaanisha eidha halijapewe kipaumbele au miradi mingi ambayo iliundwa ili kuleta kizi mbegu haijafanya kazi. Ukiangalia historia utakuta kuna miradi mingi ikianzishwa lakini swali ni je ilifika wapi?

  • @edwardlukumay2728
    @edwardlukumay2728 3 года назад +1

    Nyie mpo mkoa gan

  • @allychihako2092
    @allychihako2092 Год назад

    SHAMBANI FARM naomba namba zenu za simu

  • @leahmgunda177
    @leahmgunda177 2 года назад +1

    The story is too long.Tell us where to get how to keep them and why Boer?

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  2 года назад

      There are many videos on this same channel that talk about all the questions you have asked. Unfortunately I could not answer those questions in this video because it wasn't the objective of the video. The video was addressing what is in the title.

  • @ramadhanothmanabdalla21
    @ramadhanothmanabdalla21 5 месяцев назад

    mbuzi aina ya boer wanapatikana wapi mii nikiwa zanzibar na bei yake ikoje

  • @mr.saiduwesuomary1859
    @mr.saiduwesuomary1859 3 года назад +1

    Nice, sorry mbuzi aina ya Galla jike na dume ni sh ngapi na ni wa umri gani? Shoukran, nitashukuru kama nikioatiwa jibu mapema

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Unaweza kupata kwa TZS 250,000

    • @mr.saiduwesuomary1859
      @mr.saiduwesuomary1859 3 года назад

      @@ShambaniFarm shoujran sana Brother, tutaelekea kwenye utekelezaji shoukran sana

    • @mr.saiduwesuomary1859
      @mr.saiduwesuomary1859 3 года назад

      @@ShambaniFarm na umri wao pia ni upi, kwa maana hao wa 250K ni tayari wapo kwenye kuzaa au baada ya muda flani ndio wataanza kuzaa

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Majike yanakuwa tayari kuzaa. Na madume yanakuwa kama ya miezi 9 mpaka mwaka mmoja.

  • @taimakolele8405
    @taimakolele8405 3 года назад +1

    namba yako plz

  • @furahahomely823
    @furahahomely823 2 года назад

    Namba za simu

  • @omarynkungu6672
    @omarynkungu6672 2 года назад

    Mimi nàhitaji hii jamii ya mbuzi naomba cm no zako tafadhali tuwasiliane

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 года назад

    i wish to know if i can buy from bro?

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Unfortunately we have not started selling. That's what I was explaining in this video that their availability is still a challenge here in Tanzania.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Год назад

    Jibu sahihi huwezi kumpata Tanzania.

  • @danielnguti6907
    @danielnguti6907 3 года назад +1

    when could be selling the boer bucks

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      I can't tell yet. There some numbers we need to achieve

  • @dastanfussy4898
    @dastanfussy4898 3 года назад

    Upo wapi ndugu? Hao chotara wanauzwa sh ngapi?

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Tupo Dar es Salaam. Unahitaji majike au madume?

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 3 года назад

      @@ShambaniFarm dume 1 majike 5. Vizaz tofaut

  • @kamuasadick5530
    @kamuasadick5530 Год назад

    Mnapatikana wapi na Bei gani

  • @nelsonneeson620
    @nelsonneeson620 2 года назад

    Nikitaka kuanza farm ya mbuzi nitahtaji niqnze na mbuzi wa ngap??

    • @edwardobreymarunda496
      @edwardobreymarunda496 Год назад

      Unfortunate you tubers wengi wanatoa story miingi. But maswali kama haya hutapata jibu kabisa
      Very sad

  • @flanomambo8539
    @flanomambo8539 3 года назад +1

    Tunasubiri hao boer waongezeke mtuuzie

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      Itachukua muda kidogo. Tunaweza kukusaidia ku import pia. Kutoka South Africa.

  • @hassannyanzi4500
    @hassannyanzi4500 3 года назад

    I didnot understand kiswahili bt wat did u talk about briefly

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      I'm uploading an English version soon. Basically its about the availability of Boer goats in Tanzania.

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      Here is the English version ruclips.net/video/90FKGU2cROU/видео.html

  • @2kkeno859
    @2kkeno859 3 года назад

    When a you starting selling red Kalahari goat brother

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      There's still some way to go brother. We still don't have the mass numbers for us to start selling.

    • @2kkeno859
      @2kkeno859 3 года назад

      @@ShambaniFarm hopefully in 2021 you might be selling.

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      Lets hope so!

  • @mohammedamour9281
    @mohammedamour9281 3 года назад

    Naomba mkianza kuuza au kama kunasehemu wapo naomba nifahamishe

  • @markemanuel640
    @markemanuel640 2 года назад

    nahitaji kuanzisha ufugaji wa mbuzi ila aina bora ya mbuzi ndiyo sifahamu

  • @alexmakunga4484
    @alexmakunga4484 2 года назад

    Mbona amjibu ujumbe

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  2 года назад

      Mbona tunajibu? Ni ujumbe gani haujajibiwa.

  • @mebumohammed6844
    @mebumohammed6844 2 месяца назад

    Tupe number zenu kaka

  • @attokilwiye3088
    @attokilwiye3088 Год назад +1

    Nahitaji sana mbuzi hawa,

  • @pnkase2562
    @pnkase2562 3 года назад

    Mawaxiliano please

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Contact zetu zipo kwenye “about us” kwenye hii channel yetu.

  • @williamjames8610
    @williamjames8610 3 года назад

    Nikiitaji mbuzi Boer mmoja utaniuzia shi.ngapi?

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Hii video mbona imeshaelezea hilo kaka?!

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад +1

      ruclips.net/video/avNuK9sNjrg/видео.html

  • @officialhuntershery9085
    @officialhuntershery9085 Год назад

    Pale kisalawe wanao Ila Ni %70

  • @emanuelkisanga3429
    @emanuelkisanga3429 3 года назад

    kuna jamaa anao wengi tu pwani, sema na yeye hajaanza uza...ila anao wengi....hao 60 unaosemea ni wachache mkuu...

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  3 года назад

      Anaitwa nani na yuko Pwani gani?

  • @duahmbone-9557
    @duahmbone-9557 Год назад

    Mnapatikana wapi

  • @sherruballynatty8541
    @sherruballynatty8541 11 месяцев назад

    Nahitaji mbegu ntapataje

  • @aliobeid6794
    @aliobeid6794 Год назад

    tupe namba yako bro

  • @onesmoelias8259
    @onesmoelias8259 3 года назад

    Nahitaj dume moja la boar Ni sh ngp

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 3 года назад

    Brother TUNAOMBA MAWASILIANO YAKO

  • @jumannewambura5662
    @jumannewambura5662 2 года назад

    Salma kaka mm nimfungaji wambuzi wakienyeji ila na changa moto ya mbuzi wangu wana ujua mapafu naomba ushauli na tiba nifabyej

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  2 года назад

      Suluhisho la mapagu ni chanjo tu kaka. Pia hakikisha chini ya banda uchafu unasafishwa walau mara moja kwa wiki kama wanatumia banda la kichanja. Kama wanatumia banda la chini usafi ni kila siku.

    • @ernestwegga6557
      @ernestwegga6557 Месяц назад

      Nunua dawa inaitwa tylocene

    • @ernestwegga6557
      @ernestwegga6557 Месяц назад

      Mm nipo Moshi nafuga aina ya galla karibu sana.

    • @ernestwegga6557
      @ernestwegga6557 Месяц назад

      Mm hua nafuatilia sana. Wa Uganda hawapo vizuri sana. Wamedumaa. Pia Asasi toka ameanza kufuga ni muda mfupi sana. Nilijitahidi kuwasiliana na wanaoagiza kutoka South Africa wakaniambia kwa sasa wamesimama. Kuna tatizo la vibali

    • @ernestwegga6557
      @ernestwegga6557 Месяц назад

      Tylocene ndiyo suluhisho

  • @dastanfussy4898
    @dastanfussy4898 Год назад

    NAOMBA Namba yako

    • @aliobeid6794
      @aliobeid6794 Год назад

      Assalam mambo

    • @aliobeid6794
      @aliobeid6794 Год назад

      bro umefika wp ktk hii project kwani mm pia nataka kuanza kufuga hawa mbuzi kama pia unayo namba yake nitumieni e pls

  • @stephengalinoma8590
    @stephengalinoma8590 3 года назад

    Can i have your Contacts..

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 2 года назад

    Yaani nyie mnatia huruma jamani
    Inaonekana hamna haha ya kusaidia watz Ila mnaitaji kitambulika tu
    Kuweni wawazi alafu jibuni comments mtaona mtakavo kuwa na wafuasi wengi Sana
    Msiwe wabnafsi

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  2 года назад

      Tunashukuru kwa maoni yako hata kama yanaonekana kutoka kwenye moyo usiofurahia tunayoyafanya. Tunakubali ya kuwa watu wanaruhusiwa kuwa na maoni tofauti. Ila sisi tunajua kwamba hakuna chochote tunachokificha na Nia yetu tunaijua sisi. Tunajitahidi kwa kadri ipasavyo kujibu comments kila tunapopata nafasi - 90% ya comments zilizopo kwenye channel yetu zimejibiwa. Asante sana

    • @cosmaslunyembeleka251
      @cosmaslunyembeleka251 2 года назад

      Mimi huwa Ni mkorofi ninaejitambua Ivo nimefarijika kwa kuona kero ya kutowajibu watu inaanza kupungua
      Andaa vid inavoonesha jinsi ya kuagiza AWA mbuzi

  • @ernestwegga6557
    @ernestwegga6557 7 месяцев назад

    Muache kuongopa. Tanzania hakuna mbuzi aina hiyo. Wanapatikana Uganda kwa Afrika Mashariki.