Anko Habari za kazi na Ubarikiwe kwa kazi zako. Hakika hiyo ni karama yako. Lkn ninaomba nikuulize kitu hivi unaposimulia unakuwa peke yako, simulizi unasoma au unakuwa umekalili maandishi ya mtunzi. Kinachonishangaza kwenye simulizi yoyote unakuwa na wahusika wengi kwenye story watoto, vijana, wazee, wanawake, wanaume Je hizo sauti zote unaigiza au wanakuwepo wahusika km siyo unasauti ngapi, una tabia ngapi una hisia ngapi na una jinsia ngapi? Maswali ni mengi nimeuliza kunijibu utanipa nafasi ya kuuliza ki2 kingine😮😮😮
Pole sana kwa yote yaliokukuta ni sehemu ya maisha na hongera sana Fred kwakuanza maisha mapya yenye upendo na amani. Asante sana anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo....Happy New Year
@@Pretty22750 not only seeing him I want to take him fully by the way I don't trust photos coz of filters mingi and you seems jealous ama ni wako?? 🤣🤣🤣🤣
@@hellenodhiambo4342 omg mm wala sina issue na yy wala ata nk mbali sana,,, then jitume tz purposely ama um DM mtapatana dear,,,mm hupenda tu simulizi tu 🤣🤣🤣🤣
Fred thank you for good story

Asante simulizi mix kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli hakuna urafiki wa pesa jamani
Anko jay mwenyewe happy new year vipenzi wa simulizi mix like zenu kwa 2023🥰🥰🥰
Handsome wetu Anko jay katusimulia kifunguwa mwaka tuna enjoy hii sauti ukuisikiliza vizuri unatamani kurundia simulizi marambili ❤ ❤❤❤❤
Jamani tamu sana nimejufuza musemehe bure vile Fred alimusameheya shangazi good hurt❤❤❤❤
Happy new year wapendwa wa simulizi mix🥰🥰🥰🎉🎊
HAPPY NEW YEAR💝Wana simulizi mix One LOVE.💛❤💚.
Heri yamwaka mpya wapendwa Wa simulizi mix ♥️♥️♥️
Anko jay wangu❤️❤️❤️
Mmmhhh...! Fred weweeeeee
Hoyo ndo pesa Bwana ilimuuza Bwana Yesu Kristo
Asante sana kwa smulizi nzuri
Pole sana kwa yote yaliokukuta ni sehemu ya maisha na hongera sana Fred kwakuanza maisha mapya yenye upendo na amani. Asante sana anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo....Happy New Year
Mambo anko Jay mungu akupe maisha marefu 🤲❤️
Amazing story
Anko jay heri ya mwaka mpya king wa simulizi
Heri ya mwaka mpya Ank J
Waooo siku zote huwa baada ya dhiki faraja ila pole sana ndo maisha asante Anko Jay na Mungu awabariki wote smix 👌❤
Anko Jay kama Hujaoa njoo nipo single
Kaz kz thanks Smix pamoja sana I'm no.1
Anko Jay baba wa masifa natamani nikuone 🤣🤣🤣🤣
Enda insta utamuona kama shida nikumuona tu 🤣🤣🤣ahaa
@@Pretty22750 not only seeing him I want to take him fully by the way I don't trust photos coz of filters mingi and you seems jealous ama ni wako?? 🤣🤣🤣🤣
@@hellenodhiambo4342 omg mm wala sina issue na yy wala ata nk mbali sana,,, then jitume tz purposely ama um DM mtapatana dear,,,mm hupenda tu simulizi tu 🤣🤣🤣🤣
@@Pretty22750 🤣🤣🤣🤣relax muaya
@@hellenodhiambo4342 nime relax,,,wajua nn mm nimeshang'atwa na joka hivyo nimekaa kwa kutulia nimewachia wenye mapenzi waendeleze
Anko j anapenda kujisifia
Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo
Nimekuwa mtu wa 7 🤔ila wacha nisikilize kwanza nitarudi tena baadae,,,HAPPY NEW YEAR TO ALL SIMULIZI MIX FAMILY,,MUNGU awalinde nyote
Heri yamwakampya wanafamilia wenzangu wa simulizi mix
Gonga likes tukisonga ya happy 2023
Happy new year simulizi mix ❤️❤️❤️
Ongera sana anko jay ❤
Sasa Abdul na zwena mnaendaje kanisani
Hello 👋👋 everyone and happy New year my only one and loved one ???wish you all the best for the year 2023 and the blessing year
Happy new year wadau
Wa pili Leo ❤
Nipo pia
Jaman kibao cha kufungulia mwaka ANKO JAY mwenyew simuliz mix ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
,waoo
Nice music good melody
Happy New year anko jay
Haha!! Jina nimelipenda, Rosemary! Na mir makupenda sana anko Jay❤😅
Sija ona mtu mjinga kama huyu kijana katika hii dunia
Happy New year anko j
Asante heri ya mwaka mpya.wapendwa wa simulizi mix pia na Anko J
Saff
BEST WAY TO START 2023 🔥🔥🔥AMAZING STORY ANKO JAY
Ivi huyo kijana ni mjinga kiasi gani hakuna katika hii dunia
Happy new year
Huo ndio ugonjwa ulio mume wangu
Woow thanks anko jay
Anko j 😍😍
Anko j kwa mara nyengne asnt smix
Ank j fanya tukuone
Happy new year uncle j ahsante kwA burdan
Heri ya mwaka mpya wanafamilia wa simulizi mix
nmeingoja sana anko jay happy new year🥰🥰😘
Kheriya mwaka mpya guys
Happy new year 🎆🎊 guys ❤
Asate sana simlizi mix ako j
ULIKUA NA PESA KWANN HAUKUMPELEKA HOSPITAL ANKO WAKO
Yani nilikua nawaza nakujiuliza mbona anko j haleti mambo mara paaaa kitu kimeletwa nipo hapa nimetulia nasikiliza
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💕✔️
❤️❤️❤️
Yaani hii story inaudhi jamani kama kuna wajinga ndio huyu kijana lo
❤️
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
🥰❤
😍😍😍
❤❤
❤❤