MSWAHILI : FAHAMU MTO MBALIZI UNAOPOTEZA WATOTO KWA IMANI ZA KISHIRIKINA HUKO MBEYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 182

  • @fanuelkatoto8913
    @fanuelkatoto8913 3 года назад +20

    Umetua kihomeboy MBALIZI, AISEE vibe sana kuiona mbaliz na mtaa wa malafyale iwambi hapo💥❤

    • @kingbentiger1622
      @kingbentiger1622 3 года назад

      Ata mimi nimeikubali hii nyumbani

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 3 года назад

      San yn

    • @agnessangawe3844
      @agnessangawe3844 3 года назад

      Ahsante. Lakini hukutupa taarifa kuwa walikutwa hai,au walikuwa wamepoteza maisha

    • @kingbentiger1622
      @kingbentiger1622 3 года назад

      @@agnessangawe3844 hujaangalia vizurii au mbona wamesema walikuwa wamekufaa

  • @isaackmboma72
    @isaackmboma72 3 года назад +3

    Maisha malefu kwenu wasafi tv kuna tv & radio stesheni nyingi Tanzanian lakini haija wai kuelezea history ya kitaa changu I wish ningekuwa nyumbani Tanzania safisana zembwela wasafi tv for life

  • @shadrackdavid7721
    @shadrackdavid7721 3 года назад +1

    Ba mietu mgonile mweee bhakafu abhanike
    Zembwela chuma cha pua 👏👏👏nakubal Sana home sweet home

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 года назад +10

    Kwenye maisha yangu sikuwahi hata siku moja kutaka kwenda mbeya, sababu kubwa ilikuwa ni baridi na story za ushirikina na skendo za hovyo za watu wa mkoa huu.Ila mwaka huu nilipata bahati ya kwenda mbeya kwa sababu zangu binafsi tu aiseee tangu wakati huo sijawahi jutia kufika mbeya mpaka leo,nimekuwa navutiwa sana na wakaazi wa mkoa huu ni vile watu walivyo wakarimu mnoooo.Watu wa mbeya wana ukarimu wa ajabu sana mara zote wamekuwa wakiwapokea wageni kwa heshima sana tofauti na majitu ya dsm yakigundua kuwa u mgeni basi yanatafta jinsi ya kukuibia,Mbeya ntakuja tena kukusalimu nimemisa sana kufanya shopping ya matunda pale uyole,nmemisi sana kupata misosi ya kukata na shoka pale mwanjelwa,pia nimemisi sana ile lafudhi yenu asee ni tamu mno,ila sitasahau kabisa kufikia pale MFIKEMO HOTEL MTAA WA JITEGEMEE PALE MWANJELWA 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽💖❤️❤️LOVE YOU MBEYA FROM AJ KUTOKA DAR EA SALAAM TZ

  • @japhetmathayo6011
    @japhetmathayo6011 3 года назад +1

    Kweli babu zembwela mungu aendelee kujuweka duniani jamn duuh wee niatari sana

  • @kisomekiseto5674
    @kisomekiseto5674 3 года назад +43

    Watu wambeya tujuane apaa 💪💪💪💪🙌

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 3 года назад +5

    Jamaa ni namba moja tanzania.
    He is real, he is pure and the best of the best.

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 года назад +2

    Safi sana zebwela inabidi uongezewe mshahala unafanya kazi mzuli

  • @edwardmwakanolo1259
    @edwardmwakanolo1259 3 года назад +7

    Balaa sana,pia fika wilaya ya Rungwe kuna Mto unaitwa Mto Kiwira na ukienda nenda sehemu inatwa Kijungu utamtafuta chifu wa kule atakupa simulizi za hatari zaidi ya hizi utashangazwa sana na matukio ya Miujiza ya maeneo hayo....🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 года назад +3

    Zembwela nakukibali sana tembelea na huko tukuyu daraja la mungu utapata storg

  • @aminataamina9438
    @aminataamina9438 3 года назад +1

    ...duuu ...Mungu atusimamie

  • @ayubukilasi4378
    @ayubukilasi4378 3 года назад +1

    Noma San mswahil

  • @adamally6
    @adamally6 3 года назад

    from zanzibar ila mbeya nakujua na nakupenda xna watu wke wazur xna hongera kwenu

  • @netiremas8954
    @netiremas8954 3 года назад +3

    Safi sana Zembwela, uko vizuri!

  • @johnsonkuli7975
    @johnsonkuli7975 3 года назад +10

    Kipindi ni noma sana🔥🔥🔥

  • @daytonantwale8175
    @daytonantwale8175 3 года назад +1

    Oi pande za Lusaka Zambia hapa naiona green City kwa mbali miss Sana mby

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 3 года назад +1

    Pesa inatafutwa wadau uyu mswahili nimtaftaji gonga like yako apa mwana mbeya

  • @kontaawapepon4150
    @kontaawapepon4150 2 года назад

    Nimeoga sana apo na marafiki zangu enzi hizo nasoma mapelele primary school

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 года назад +2

    Safi kabisa,nakupenda kinoma

  • @mzozofilmproductionm-f-p1744
    @mzozofilmproductionm-f-p1744 3 года назад +4

    Umefika nsalala Apo fika Hadi shule ya secondary malama nako Kuna maajabu yake nenda Hadi utengule kule kwa mzungu pia Kuna Mambo mazuri utapata

  • @zuberikaduma3926
    @zuberikaduma3926 3 года назад

    Asant Kaka nimeipenda hii sana

  • @mzozofilmproductionm-f-p1744
    @mzozofilmproductionm-f-p1744 3 года назад +1

    Mbalizi nyumbni umetisha Sana kaka zembwela

  • @abdallahsalehstar8221
    @abdallahsalehstar8221 3 года назад +3

    daaaah huyu jamaa anae okowa watoto katika inchi zenye maendeleo lazima serkali impe hajita maana ana hatarisha maisha yake kwaajili ya watu wengine

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +1

    Zembela mzee wa hujakwama upo juu zaidi hujakwama ukikwama utafanya jitume baba.

  • @mariamkawawa3626
    @mariamkawawa3626 3 года назад +1

    Wasafwa juu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад +17

    Mbeya stand up ✌️✌️Wasafwa gonga like hapa😉

  • @shaabanjulius4206
    @shaabanjulius4206 3 года назад

    nise

  • @انبنداملبن
    @انبنداملبن 3 года назад +1

    Big up mswahili

  • @ambokilemussa3518
    @ambokilemussa3518 2 года назад

    Mwagonaaa ndio Salam ya wenyeji wa Mbeya wasafwa ugonile Ni wanyakyusa wa huko Rungwe na Kyela

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 года назад +1

    Zembwera watt walikuw wazima lakini ongera sana mbeya sijafika ila nimefika kw like hii

  • @fabianjohn5392
    @fabianjohn5392 3 года назад +4

    Mwagonaaa mweee

  • @felixochungo5656
    @felixochungo5656 3 года назад

    Hata wasafi waamue ufanye wimbo utaweza kweli

  • @mosesallanadam1955
    @mosesallanadam1955 3 года назад +1

    Mbeya hapo town ni Mwagona bhana, Igamba li Ibheya; Mlima wa Chumvi!

  • @samwelndiletelevisionc3385
    @samwelndiletelevisionc3385 3 года назад +1

    Nilipoteza rafiki yangu hapo kwa huo mto 2003 aisee nafahamu huu mto vyema

  • @musaskuzi6805
    @musaskuzi6805 3 года назад +1

    Style yak kaka nakfananishaga sna na Tinwhite.!!!

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 года назад +8

    Mbele ya mungu Tanzania nitakulinda mpk kufa😂😂😂😂😂

  • @arkhan6254
    @arkhan6254 3 года назад +1

    Scotland of Africa ♥️♥️♥️♥️

  • @moperfect7748
    @moperfect7748 3 года назад +1

    HOME SWEET HOME... MBALIZI IS OUR HOMEE

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 3 года назад

    My man zembwela

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 года назад +1

    ZEMBWELA SALUTI BRO PINDI LAKO TAM SANA 🇶🇦

  • @freddyntafumila9261
    @freddyntafumila9261 3 года назад +1

    Mbeya Mjini na Mbalizi Mbeya hakuna Chifu wa Kinyakyusa wote ni Wasafwa

  • @edwardongori7734
    @edwardongori7734 2 года назад

    Maajabu hayo🤔

  • @hubimogela9167
    @hubimogela9167 3 года назад +1

    Ulichokuwa unakosea Ni kwamba mbeya inaonekana Ni ya wanyakyusa Ila sio kila eneo mbeya uwasemeshe kinyakyusa makabila mbeya yanamaeneo tofauti ,huko mbalizi Ni wasafwa na wanyia Sana

    • @elishanziku8725
      @elishanziku8725 3 года назад +2

      Wasafwa na Wamalila

    • @anyosisyemwangonji4871
      @anyosisyemwangonji4871 3 года назад +2

      Sasa mnataka aseme lugha zote ataweza Iyo yenyewe ame kalilishwa tulieni nyie watu amuishiwi vyakusema

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад +1

      Kabila kubwa ni hilo wanyakyusa sio tatizo pia kwasababu Tanzania si nchi kuchunguzachunguza mambo ya makabila km huko Kenya na Nigeria

    • @annaanyosisye8682
      @annaanyosisye8682 3 года назад

      Yeah but wanyakyusaaaaaaa c unajua walivyootawanyikaaaa

  • @ezekiamaluma6091
    @ezekiamaluma6091 2 года назад

    Tumeoga sanaaa hapo, ndulilo ya kwanza palipokuwa hatari sana ni ndulilo ya pili

  • @dramamusic3008
    @dramamusic3008 3 года назад +2

    Nimeona bajaji yangu imepita hapo 😂😂🏃🏻🏃🏻🏃🏻

  • @underratedspirit
    @underratedspirit Год назад

    25:25 Ona hivyo vitoto vinavyokimbilia mtoni,watoto they are very innocent

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 3 года назад +6

    Huyo alimtolea kiti mpaka cameraman

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад +9

    Hamia mikoani zembwela , kuna stori tamu ,,, dar kunaboa

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 года назад

    Mambo ni ya kweli haya yani aka kamto ni kadogo ila kana mambo sana watoto wanapotea na kuibuliwa sana apo ata Zima moto huwa wanashindwa ila kupitia uyo mama wana patikana.. it's true na uyo bibi mpoteza watt alikua anaitwa bibi namonje

  • @kennedy1tv245
    @kennedy1tv245 3 года назад

    Beutful land mbalizi. Welcome zembwela.

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 3 года назад +1

    Home sweet home mbeya

  • @abdallahsalehstar8221
    @abdallahsalehstar8221 3 года назад +3

    ZEMBWELA upewe ulinzi baba na uongezewe mshara maana sio kwa rah hizi unazo tupaga 😋😋😋

  • @ngoshasaluminium4062
    @ngoshasaluminium4062 2 года назад

    Kaongo hako kaokoaji,, kanajua source ya tatizo hako,,
    Akili Mmbagasa,,

  • @mojafaster96
    @mojafaster96 3 года назад +3

    Home hapo mbaliz

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 года назад +1

    Karbu Sana Mbeya Zembwela ufike na kyela ule kawali ka hukuuu

  • @OswardSanga-i4f
    @OswardSanga-i4f Год назад

    Jamaa ni kiboko

  • @pendobaharia7227
    @pendobaharia7227 2 года назад

    Saut Kam ya masanjaa Kwan mna unduguu

  • @hamismkeya1796
    @hamismkeya1796 3 года назад +1

    Msaidizi wa chifu naona kama angeongea mengi sana lakini kiswahili kimeonekana ni shida kueleza mengi

  • @jamesmbegeze4122
    @jamesmbegeze4122 3 года назад +1

    Home town Mbalizi

  • @khamisawadh7333
    @khamisawadh7333 3 года назад +2

    Aaaajamani Mbalizi Wakina Mwadada Nimewamisi

  • @emanueledwin5685
    @emanueledwin5685 3 года назад +1

    Watano Leo nipen like zangu

  • @stn4873
    @stn4873 2 года назад

    TANZANIA NI NGALI MTOTOO MDOOOGO NIMEPEWA JUKUMU LA KUKULINDA WEWEEEEE!!! AIYOOO YOOO MELINA!! AIYOOO MELINAA!! AAAH MAZULUU? AMAZULU AMAAAZUUULUUUU.

  • @hussseinmasangya7130
    @hussseinmasangya7130 3 года назад +1

    Hatar mzeee

  • @kingbentiger1622
    @kingbentiger1622 3 года назад +2

    Tunaopajua kwa jina NDULILO tujuane hapa😎😎😎

    • @arnodymwakyeja7940
      @arnodymwakyeja7940 3 года назад

      Hapana hapa sio ndululo Kaka ndulilo ninmitaa ya kwetu

    • @kingbentiger1622
      @kingbentiger1622 3 года назад

      @@arnodymwakyeja7940 ila wewe jamaa ni fala etii kwani maeneo majina hayawezi fanana we boya kweli eti kwahiyo sisi ndo tunakaa hapo afu unabisha

    • @daudlangson5639
      @daudlangson5639 3 года назад

      Tupo ndulilo hiyo shule ya ndola kwa chin ndo ilikuwa bahar yetu hiyo piga mbiz ya kutosha aiseee pale

  • @bashirumussa7045
    @bashirumussa7045 2 года назад

    napakumbuka vyema sehem hiyo ya reli

  • @HarleenKaur-ge7uo
    @HarleenKaur-ge7uo 3 года назад

    Zembwela we ni noma

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 года назад +1

    Zembera hongera sana eti me ninan ningie kwa msalala🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 3 года назад

    Sasa kwan akuna njia nyengne mpaka wapite kwenye njia treni 😀😀😀

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 года назад +11

    Zémbwélã ñdïó mtãngasaji nambæ mojâ Wasāfī

  • @chaganhassan6617
    @chaganhassan6617 3 года назад +1

    Mbaliz moja kwa kina nyato ndola wanangu wa ndola apo panaitwa ndulilo

  • @maumaulid1452
    @maumaulid1452 3 года назад

    Nakupata mswahili wa Swahili nation nakupata kutoka rufiji pwani kibiti moja zembwera

  • @devothaorignal7292
    @devothaorignal7292 3 года назад +1

    Mbeyaaaaaaaaaaa Oyeeeeee

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 3 года назад +4

    Hii ndotamu sio Kila siku dar
    Tembeeni mjionee

  • @hassanmbwama4252
    @hassanmbwama4252 2 года назад

    Wasafwa hawana chifu mwanamke bwana acha uongo

  • @aboubakar4793
    @aboubakar4793 3 года назад +2

    Wa mbalizi tujuane jaman japo nimechelewa

  • @LK-k7z
    @LK-k7z 3 года назад +2

    💯💯💯

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 3 года назад +2

    Ungefika tukuyu upate maziwa ya kutosha parachichi ndilolo (maziwa ya mtini) ndizi mkungu 3000 mpaka buku kijani safi kule tukuyu yaani wewe kama ungebaki hukohuko hata wiki

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 года назад

    Kipi changu miye mswahili

  • @kesphaanyitike7751
    @kesphaanyitike7751 3 года назад

    💥💥

  • @RémyGisinza
    @RémyGisinza 3 года назад

    Ni sana

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 года назад +3

    Uchawi mwingi sana mbeya🤣🤣🤣

  • @abdallahsalehstar8221
    @abdallahsalehstar8221 3 года назад +2

    ZEMBWELA tuna kuomba ukawaoji waoji hawo watoto walo kuwa wamezamishwa ndani apo plz

  • @rabinzsinoya1434
    @rabinzsinoya1434 2 года назад

    Wewe ninani mpaka ukajage maji pasalala

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад +3

    Utageuzwa mpunga ww zembwela😂😂

  • @hassanmbwama4252
    @hassanmbwama4252 2 года назад

    Chifu anaitwa mwashinga

  • @fanuelkatoto8913
    @fanuelkatoto8913 3 года назад +2

    Ndulilo huko tushaogelea sana miaka ya 2006,7,8

  • @annamwampashe9811
    @annamwampashe9811 3 года назад

    Kalibu hom zembwera

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 3 года назад +1

    Umeogopa kuingia ndani🤣

  • @isaackmboma72
    @isaackmboma72 3 года назад

    Pana itwa ndulilo hapo sipataki hata kupasikia

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 года назад +1

    Mbeya Makanisa mengi, mitume na manbii wa Zama hizi wengi wanatokea Mbeya lakini Ushirikina na Uchawi umejaa Mbeya.
    Unakumbuka historia ya visa vya watu kuchunwa ngozi na inasemekana Mbeya inaongoza kwa Misukule !
    Sasa hayo Makanisa yanasaidia nini wakati Ushieikina. na uchawi kila kona!!!!

    • @musapfute6608
      @musapfute6608 3 года назад +1

      Nitajie mkoa usio na ushirikina

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 3 года назад

    Ingekuwa sumbawanga yaani hadi sisimiziii

  • @shedrackmwaipopo9427
    @shedrackmwaipopo9427 3 года назад +1

    Beya msafwa og

  • @petromlwafu6922
    @petromlwafu6922 3 года назад

    Mbeya home sweet home

  • @mariamkawawa3626
    @mariamkawawa3626 3 года назад +1

    Nalipenda kabila langu La kisafwa

  • @imanmodern
    @imanmodern 3 года назад +3

    Mbeya ni kwetu tena Kyela ila hii ya mto duh

  • @mwakipiano4568
    @mwakipiano4568 3 года назад

    Jamaa kama Masanja sauti yake

  • @official_c21
    @official_c21 3 года назад

    Wiki haijaisha... MWEZ😅

  • @imanmodern
    @imanmodern 3 года назад

    Hivi eeeh

  • @wilfredemanuel9711
    @wilfredemanuel9711 3 года назад

    Kama kweli unaapa kuilinda tanzania umefuatilia na ukajua nini kuhusu kifo cha jpm?? Na ukachukua hatua gan kama mwandishi wa habr??

  • @petereliasmwakasege1887
    @petereliasmwakasege1887 3 года назад +2

    Jamaa umepita mbalizi nyumbani kwetu kabisa

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 года назад

      Duniani kuna mambo makubwa na mazito kama nanga

    • @daudlangson5639
      @daudlangson5639 3 года назад

      Daaa jaman mbaliz nyumban uko maeneo ya ndola sitasahau tukio la watoto kuzamishwa eneo la ndulilo kwa kichawi