MOCCO GENIUS AFICHUA ALICHOAMBIWA NA DIAMOND KUHUSU KOLABO YAKE NA ALIKIBA - NAPENDWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2022
  • MOCCO GENIUS AFICHUA ALICHOAMBIWA NA DIAMOND KUHUSU KOLABO YAKE NA ALIKIBA - NAPENDWA
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 75

  • @imanmodern
    @imanmodern Год назад +71

    Alikiba is so talented jaman. Wana East Africa Kenya Uganda and Tanzania give me your likes

  • @iddysonyo266
    @iddysonyo266 Год назад +47

    watu wanaokutana na ally kiba na diamond wote hutuambia jamaa hawana roho mbaya na hawaongelean vibaya kwann sis mashabiki tusiache kuwachukia hawa watu tuwasaport wote coz sis hata hatukutaki nao laki midomo yetu sasa

    • @manixawadh7198
      @manixawadh7198 Год назад +2

      Brother #IddySonyo umeongea point ndugu...

  • @maukhanplatnumz
    @maukhanplatnumz Год назад +50

    Jamn ebu mnilike leo wakwanza

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 Год назад +18

    Tunajua mama dangote anapenda sana mashair ya kiba

  • @raguuindustan6898
    @raguuindustan6898 Год назад +20

    Alikiba 💪💪🔥

  • @bonfacebonafide9025
    @bonfacebonafide9025 Год назад +22

    #KingKiba huyo jamaa mkali sana 🔥❤

  • @ahmedjobs6453
    @ahmedjobs6453 Год назад +17

    Napendwa 2 nomaaa saaana😍🔥🔥🔥

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 Год назад +15

    GENIUS MOKOOOOO

  • @manixawadh7198
    @manixawadh7198 Год назад +3

    Huu ni mda mwafaka wa sisi kama mashabiki kuwatia moru hawa wasanii wetu wawili wanaopendwa na watu wengi watufanyie nyimbo moja ya pamoja... Aki itavuma ulimwengu mzima.

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 Год назад +10

    Esma acha dharau hizo, Eti kaimba nani ? Kwani humjui shemeji yako Kiba Kweli basi muulize mdogo wako queen🤣😂🤣😂

  • @farajiwanted2292
    @farajiwanted2292 Год назад +11

    SAFI WASAFI KUMBE HUWA UNASAPOT HATA UPANDE WA PILI GOOD KING KIBA

    • @jumajay8496
      @jumajay8496 Год назад +1

      Sio kua ana support bali ameupenda wimbo na hakutaka kufichua hisia zake nyimbo haina matusi nyimbo safi tamu.

    • @farajiwanted2292
      @farajiwanted2292 Год назад +1

      @@jumajay8496 nashukulu aiseeh umenifungua lengo lilikuwa niseme hvyo nimeshndwa kutolea maelezo vzuri me kiswahili nimejifunza shulen ukweli kwetu tulikuwa tunaongea kirugha tuuu. ukizaliwa tu unakutana na kirugha aseeeh

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 Год назад +9

    King kibaa

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 Год назад +2

    Alwayzz KingKiba is on top

  • @MoMo-pv2qc
    @MoMo-pv2qc Год назад +15

    Ally he's very cool

  • @dictridamdage6165
    @dictridamdage6165 Год назад +31

    I really love wasafi channel even though I don't understand Swahili kumamake

  • @Inukanaalmasipodcast
    @Inukanaalmasipodcast Год назад +17

    Nilitaka kushangaa hapa isiwepo picha ya diamond hahahahha hii tv safi sana akihijiwa msanii yeyote yule lazma atajwe diamond na familia yake .

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 Год назад +17

    Best producer ever happened in tz

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 Год назад +2

    Mwambieni na Baba enu akipewa korabo awe anaimba vizuri sio kuuma Uma maneno na kuharibu Ngoma za watu mfano kina Chris kina Davido mbona wakipewa korabo wanauwa coz wanaproove ukubwa wao sio kuwaharibia watu nyimbo

  • @mis2ra766
    @mis2ra766 Год назад +3

    King King Fire

  • @macdee_tv7622
    @macdee_tv7622 Год назад +3

    unafanya kazi safi bro..mungu azidi kukubariki

  • @mumaheza151
    @mumaheza151 Год назад +2

    Mocco anajua kuimba

  • @uwezogroupcomedy1135
    @uwezogroupcomedy1135 Год назад +7

    Moco nzi nywele zko wanaziona km mavi naona wanazifata tu 😄😁

  • @Elitedirie8
    @Elitedirie8 Год назад +2

    I’ve said many times, Ali Kiba is something else. Mocco is talented and probably the best producer in the game at the moment.

  • @ahmedyjb2968
    @ahmedyjb2968 Год назад +2

    Big up like me

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Год назад +2

    Dogo anaadabu sana anastahili

  • @OrecyOwden
    @OrecyOwden Год назад +3

    Safi , interview imekaa poa ,

  • @russysalimu2498
    @russysalimu2498 Год назад

    MashaAllah nice

  • @assab3167
    @assab3167 Год назад +4

    Kweli

  • @alviny916
    @alviny916 Год назад

    Good

  • @tbwayjunior8947
    @tbwayjunior8947 Год назад +2

    Esma kwani kaimba nani unajifanya aufahama au? Acha zarau bhnr.

  • @raphaeljonasmumbere9937
    @raphaeljonasmumbere9937 Год назад

    tokos

  • @majaliwa_tz5004
    @majaliwa_tz5004 Год назад +4

    Mocco🤝

  • @mdta8161
    @mdta8161 Год назад

    King kiba kipenzi Cha watu sema hajitangazi

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 Год назад +15

    kiba ni mtu poa sana yani angekuwa sadala hapo weee hawezi msaidia mtu hana ngoma hata moja

    • @ELLYTECH
      @ELLYTECH Год назад

      😆😆😁et sadala

    • @monstermonster3649
      @monstermonster3649 Год назад +3

      #mdete tv
      Lakini alimchukua Mmakonde baada ya kukataliwa BSS huku Master J akimwambia akatafute shughuli nyingine ya kufanya kwani kipaji cha kuimba hana na ndiye artist pekee anayepambani wasanii wa kwenye label yake mpaka wanakuwa international artists siyo hao wa kwenye labels nyingine wanabaniwa miaka nenda rudi wanabaki kuwa underground.

  • @mimahally8025
    @mimahally8025 Год назад +10

    Naomba kujua kwani brichi inasaidia nn kichwani kwa wanaum nijibuni please niweze kujua

    • @drjamesjames9337
      @drjamesjames9337 Год назад +1

      Kama nyie tu mnavyopaka ,tofaut ni jinsia tu imechili apo

    • @faidamisalaba5759
      @faidamisalaba5759 Год назад +1

      Kwan nyie suruali mnazivaa ili ziwasaidie nn

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Год назад +2

      Nikujifananisha na uzungu na kutojikubal. Wote kike kiume bado watu wapo kwenye utumwa wa uzungu afu mwisho mnawaita mabeberu. Yaan unapishana na mwanamke wa kimakonde utasema angelina juli

    • @mimahally8025
      @mimahally8025 Год назад +1

      Asanten wot nawapenda🌍

    • @monstermonster3649
      @monstermonster3649 Год назад +2

      #Mimah Ally
      Bleaching kwa mwanaume ni dalili za ushoga tu hakuna kingine.

  • @saidkasimusein1040
    @saidkasimusein1040 Год назад +3

    Uwongoooo

  • @AhmedSalah-wm6tq
    @AhmedSalah-wm6tq Год назад +1

    Esma acha mazarau unaona video kabsa unauliza kaimba nani

  • @officialsamireal2216
    @officialsamireal2216 Год назад +7

    Na ule wimbo wake na malaika ni wimbo wake wa ngapi?🤒

    • @SpizesMuzik
      @SpizesMuzik Год назад

      Ile ni collabo,sio solo collabo

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Год назад

    Wanabana visauti kama chiriku

  • @saidyahya6392
    @saidyahya6392 Год назад +3

    dangote ndio nanii

  • @WORLDWIDEVIBES
    @WORLDWIDEVIBES Год назад +23

    Like zangu Kama unamkubar Simba

    • @loganpoul
      @loganpoul Год назад

      Kumamako ww na huyo Simba jike

    • @sabanajr6455
      @sabanajr6455 Год назад +3

      Wote machoko we na simba

    • @zsquare4482
      @zsquare4482 Год назад

      ruclips.net/video/2rbAk8EFokc/видео.html

  • @puchimanofficial635
    @puchimanofficial635 Год назад

    matakoi just wasted my data with stupid things

  • @KileBway
    @KileBway Год назад +1

    Mtu mkubwa san Mocco ruclips.net/video/dMSYJuJqKrU/видео.html