Niko na rafiki mama mmoja mukurino anapenda Sana kujua maiSha ya ndoa yangu , na yeye hatakangi nikijua ya kwake, asanti Sana na mungu akubariki nimejaribu kutenga marafiki wengine na Bado wananifuata,
Daah Asante Sana kwakwe kila siku tubajifunza kitu kizuri kutoka kwenye chaneli hii mungu azidi kuwapa ujuzi na afy njema kila hiitwapo leo maan mnaiwakilisha vizuri jamii 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
inawezekana mtu akakwambia maovu ya mwengine sio kwamba mumeshibana kuongelea watu bali anaeza kukwambia maovu ya mtu akijuwa upo karibu naye zaidi. its like yuwakutuma ukamwambie mwenyewe.
Kakangu mimi nimeumizwa sana na ndugu marafiki kutokujifunza kumjua mtu mpaka niumie ndionaasikia nimeumbwa na huruma sana mpaka najihisi napungufu wa akili sijui ,😞
Kitu chengine mtu anapenda umjali kwa kumjulia hali kwenye cm ilaa yy ana mda na ww kukupigia ata kea salam daa kaka yangu sikuzote ukitaka ufanyiwe wema na ww uonyeshe pia
Najifunza mengi sana kupitia mafundisho yako maisha yangu yamebadilika sana kwa kiasi kikubwa mungu akubariki sana 🙏🏼 somo la emotional bank account sijaliona tafadhali na nimetafuta je umeshalifundisha tayari??
Kama unasaidia mtu usijisifu kujitangaza wewe ndo umemsaidia yeye mwenyewe ndo muache aje kusema ata asiposema Nafsi yake itamsuta...hakuna Jambo lisilo na Maana
Kwakweli na penda mafundisho. Yako mwenyezi mungu akubariki
Asante sana maana tumekuwa na marafiki ambao wanajiona mr perfect and right muda wote wanajiona wako sawa kuliko wengine
Shafii tena
Iyo ishala ya sita ipo sana kwawatu wangu wa karibu wanafuraia sana magumu ya mtu mwingine inaumizasana
Niko na rafiki mama mmoja mukurino anapenda Sana kujua maiSha ya ndoa yangu , na yeye hatakangi nikijua ya kwake, asanti Sana na mungu akubariki nimejaribu kutenga marafiki wengine na Bado wananifuata,
Unaelimisha vizur Santa mdogo wangu Asante sana
Ahsante kwa somo brother
Shukrani nimejifunza kitu ambacho kilishanitokea
Mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu atakulipa kwa mafunzo yako mazuri
Mungu akubariki
Gud teacher tunajifunza mengi
Kiukweli mm najifunza mengi kutoka kwako mungu akuongezee miaka uendelee kutufundisha
Ahsante sana BROTHER 🙏🙏
Askante sana watu wengi awapendi mafanyikio yawengine
MashaAllah mungu akufanyie wepesi katka kutujuza zaidi InshaAllah.
Mashaallah shukrani Allah akuifadhi nimejifunza mengi ni kweli watu hawa yani ni mtihani sana.
Dah asate sana brother 🙏 nilikuwanaomba tabia zawa rafiki wema tabiazao zikoj
Very powerful
This is exactly what I am talking about ,thank you.
You're welcome dear ukhty
Masha Allah good words nakupenda Allah Anijalie nikue pafect kama ww
Hii Iko very nice my brother. Ni kweli Kbs Kuna marafiki wengine ni nyoka.
Daah Asante Sana kwakwe kila siku tubajifunza kitu kizuri kutoka kwenye chaneli hii mungu azidi kuwapa ujuzi na afy njema kila hiitwapo leo maan mnaiwakilisha vizuri jamii 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
karibu sana...nashukuru kwa dua njema ndugu yangu
Kweli kabisa shukran
Asante nitalifanyia kazi ubarikiwe
Kweli kaka
Asante sana kwa kutupa ujuzi wako Mung akibariki sana 🙏
I believe in you.nakuelewa mno
Asante...karibu sana
Vzr sna bro
Asante bwani Ezden umenijenga kabisa
Sawa ni ukweli halisi. Barikiwa sana
Ahsante sana kaka kwa somo zuri
Always najifunza kupitia SPN🥰
karibu sana
Asante kwa kutufumbua macho mungu akupe mahalifa zaidi. Navp mafanikio katka mausiano
Kaķa nimejifunza kitu hapa
nimejifunza vingi sana ikiwepo sio kila unaemuona unapaswa kumuamini
Asante sana nakuelewaga sanaaaaa
Waaah MUNGU 🙏 akubariki sana brother Kwa mafudisho masuri
Broe nakukubali sana maana umenibadilisha sana na umekuwa role model wangu
Nashukuru sana
Yaan kwa ishara hizo ht ndugzangu
Umuhimu wa elimu sasa ni kuifanyia kazi pale inapoingia kichwani. All the best
Mungu akupe afya Njema uzidi kutupatia madini nimejifunza San SPN
Mungu akubariki Mpaka ushangae unafundisha masomo mazuri mnoo
Asante
Umenifunza vitu nilivyokuwa sivifahamu kaka yangu kwn hayo uliyosema mie yamenitokea sababu niliwaamini marafiki Asante sana kwasomo lako
Asante ezden kwa mchango wako mungu akubariki
Jazzakaallahu kheir Kak
You touch my heart completely...lemme change.
Asante kaka kiukweli hii ipo sana
Asante san brother kwa SoMo hili.
Nashukuru sana
Asante sana Bro nimejifunza.
Kweli kabisa
Sauti leo imekuwaje
Exactly
Mi nimekuelewa sana bro. Uko sahihi
Ubarikiwe ni ukweli mtupu
Asnte snaa kaka ezden
Asante sana
Umenigusa bro
Thank you
Safisana
Oky. upo vizur Brothar vp rafick wa kushilikiana nae katika kaz ama biasha. somo iro naro watu wanahitaji kujua Bro.
Nashukuru sana litakuja soon...kaa karibu
Asante kaka nimekupata
Nitazingatia haya kweli kabisa
Uhakika
inawezekana mtu akakwambia maovu ya mwengine sio kwamba mumeshibana kuongelea watu bali anaeza kukwambia maovu ya mtu akijuwa upo karibu naye zaidi. its like yuwakutuma ukamwambie mwenyewe.
Nimeipenda sanaa
Wa kwanza leo
Kakangu mimi nimeumizwa sana na ndugu marafiki kutokujifunza kumjua mtu mpaka niumie ndionaasikia nimeumbwa na huruma sana mpaka najihisi napungufu wa akili sijui ,😞
Yaan mhhh somo hili umenigusa mno niliyoyapitia
Ahsanteh Sana Kaka 🙏🏾
Thank you brooh,,, unatupatia madini mazur sana.
Pamoja sana kaka
Kitu chengine mtu anapenda umjali kwa kumjulia hali kwenye cm ilaa yy ana mda na ww kukupigia ata kea salam daa kaka yangu sikuzote ukitaka ufanyiwe wema na ww uonyeshe pia
Ubarikiwe kwa mafunzo mazuri sana usisahau nyongeza yangu ya points kuwakilisha
Aiseeh nimekuelewaa
Nimekusoma,, BIG UP
Nice brother
maasha Allah
Nakupenda sanà kaka
Najifunza mengi sana kupitia mafundisho yako maisha yangu yamebadilika sana kwa kiasi kikubwa mungu akubariki sana 🙏🏼 somo la emotional bank account sijaliona tafadhali na nimetafuta je umeshalifundisha tayari??
Asante kwa kufuatilia ndugu yangu, nakuahidi kulileta hapa soon. in sha Allah
The Truth
Thanks My teacher Ezden jumanne nimejifunza kitu hapo na nina hitaji kua makini sana
karibu sana
Thanks broo
Umenifunza mambo mengi sana kaka mengine inshaanza kuyafanyia kazi*mungu akupe hitaji LA moyo wako
Bro umeongea ukweli kabsa
Big up brother
Nakubal kaka
Point💯
Big up our teacher
Pamoja sana
Nikweli kakangu nimewahi kua na marafiki kilasiku nikuchafua watu badae alinigeukia sinahamu nae nimekua na akili sasaivi
Nimeelewa watu wanaopenda sifa na umaarufu sio wazuri
Kabisa
That is true
Nahipenda sn iyi maneno,muzidi sn na mungu awe pmj nw
Kama unasaidia mtu usijisifu kujitangaza wewe ndo umemsaidia yeye mwenyewe ndo muache aje kusema ata asiposema Nafsi yake itamsuta...hakuna Jambo lisilo na Maana
Shukran sana sheikh
Kaka naomba naomba unshauri kitu nakuomba sana
Mi Nina lafk ang nakua Kama mi ndo nashoboka akuu nmekaa mbal nae
Twakupata kwa uwazi kabisa
Namba zako ntazipataje bro
Soma description tafadhali kuna kila kitu hapo
Kaka nipe namba yako
anko nitayafanyia kazi ili nione kama nitafanikiwa
Daaa bro umepit mule mule kuna jamaa yuko hivyo hivyo nlishawah kufany nae kaz daaaa aseee ukimsifia mtu hapend kabs
ndont trust any one
Kweli kabisa
Asante sana