CHANZO CHA WENGI KUTOFANIKIWA KIFEDHA | Ezden Jumanne

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 168

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  2 года назад +6

    KUPATA KITABU HIKI:
    Tuma Text | Whatsapp
    Andika "Kitabu - Mahali ulipo"
    0759-191-076
    BEI: 20,000 TZS
    Dar: Free Delivery
    Nje ya Dar utalipia usafiri

    • @homan_nkwama
      @homan_nkwama 2 года назад

      Du nimejifunza kitu hapa safi sanaa hii kwa kweli is more than readship hii ni master mind Mana wanafanya wanao amini Kuna makubwa zaidi ya jealous Kaka heshima Sana haya ni MAONO ya tatu kwakweli mwenye macho mawili tuuu ! Awezi kuwa na aina hii ya love nitajifunza na kupractice niweze kuwa Kama wewe huu ni utawa yani huna Cha KUPOTEZA safi snaa

    • @rashidibashirimhina3048
      @rashidibashirimhina3048 2 года назад +1

      Kitabu manyara

    • @alphanathumantv2049
      @alphanathumantv2049 2 года назад

      Poa

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      @@rashidibashirimhina3048 tuma kwenye namba ya simu hapo

    • @jamessafari8890
      @jamessafari8890 2 года назад

      @@homan_nkwama q

  • @SalmaMsikiti-lu5eb
    @SalmaMsikiti-lu5eb Год назад +1

    Asante sana ila kusoma sio kujua kila mtu na upeo wake unapofikia watu wengi tunapata shida kwakukosa maarifa tunakuwa na iman bila akili kusema pesa ndio chanzo cha maasi nisawa na kusema yesu ni mungu ikiwa unajua kabisa kwamba amezaliwa na mwanamke kama mama yako alie kuzaa ezden mwanangu asant sana kwaelim niongeze tu kwama umaskin ni nusu ya ukafir

  • @AbeliManyama
    @AbeliManyama Год назад +1

    Thanks brother kwa kutpa marifa na kw kipind kifup2 nilich kufatilia Nimgain vitu ving San endelea kutpa marif Zaid n zaid bro

  • @hassanmwalimu7080
    @hassanmwalimu7080 Год назад +1

    Mm uwa nakuombea miaka mingi kwa huu ulimwengu coz unanipa faraja kwa mawaidha yako iwapo Mungu atakupa utakacho basi pia pepo akujalie ww ni bora katika ulimwengu huu naitwa hassani mwalim jumaa

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Год назад

      Amiin amiin, nashukuru sana kaka kwa dua njema, na iwe kwetu sote hii kaka,

  • @ShabaniHamdani-xi6df
    @ShabaniHamdani-xi6df Год назад +1

    Nimejifuza vitu vingi sana nilivokuwa sivijui kuhusu pesa kaka mungu akubarik

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 2 года назад +4

    Kwa kweli kuna wakati unatakiwa ukae mbali na watu wenye maneno ya kila kitu kuona cheusi tu , mara nyingi sana watu hupotea ama kuamini watumishi wa Mungu ndo husemi sahihi kumbe wengine huwaga wanapotosha kondooo, kikubwa kujielewa kwanza na maandiko ya Mungu vyema ahsante mkuu 🙏

  • @fulgenceniyubahwe8015
    @fulgenceniyubahwe8015 2 года назад +1

    Asante Sana yani kuma maneno ambayo tunatamka na kujijengea wenyewe umaskini wala kujiitia wenyewe umaskini na wengi wanapuuzia wanachukulia eti ni maneno na kusahau kwamba baraka ni maneno unayo tamkiwa Pia Na laana hivo hivo

  • @Happnessjaphet
    @Happnessjaphet Год назад +1

    Huwa nekuelewa sana kaka asante kukutulimisha

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 года назад +2

    Njia bora kabisa ya kuwasaidia maskini ni MIMI KUWA TAJIRI. Mstari ninalokumbuka kila siku, asante Kocha wangu Dr. MAKIRITA AMANI.

  • @Fatma-mq9kj
    @Fatma-mq9kj Год назад +1

    Mashaallah Allah akubarik ndugu

  • @gastomasawe9176
    @gastomasawe9176 2 года назад +1

    wewe na Joel nanauka mjawahi kuniangusha mungu awabariki sana

  • @EMA-vq8vc
    @EMA-vq8vc 5 месяцев назад +2

    kibaya wanaojifundisha niwale waelewa dah

  • @suleim505
    @suleim505 Год назад +1

    Shukrani sana broo bado tunaendelea kujifunza

  • @EmilyKasekwa
    @EmilyKasekwa Год назад

    Asantee sana Mungu akubalk.. brother kitabu hicho shingap

  • @abdulisaidijuma245
    @abdulisaidijuma245 2 года назад +1

    Qur an 77 mung anasem tukakadiria nasi niwabora wakukadiria tufanye jitihad lkn mng alichokikadiria ndoichoicho utakachopt Ishallah mng atufanyie wps

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      Hilo ni sawa wala mimi silipingi. Ninachokipinga ni kupuuzia maarifa yanayoweza kuboresha hali yako. Ni lazima ujitume huku ukimtegemea Mungu, na dua inaweza badilisha qadar... !! Kusema maarifa hayawezi kukusaidia kwasababu wewe umeshakadiriwa ni kujipoteza. Kwanza hukijui ulichokadiriwa...kwahiyo ni bora ujitume, fuata maarifa sahihi, Kwa juhudi zako utakachopata yeye Allah anajua zaidi... Lakini sisi tusiwe sehemu yoyote ya vikwazo kwa kushindwa tu kufikiria vizuri! Pamoja ndugu yangu

  • @SimonIsack-e4o
    @SimonIsack-e4o Год назад +1

    Uko vzr nakufatilia endelea kutuelimisha kaka

  • @daindain79
    @daindain79 2 года назад +2

    Nakufata sana unajua kuna vitu tangu nianze kufatilia masomo yako kuna vitu nimeacha nilikuw sij wahi kufanya chochote tangu nianze kupata mshahara wng asante sana kaka mungu akubaliki mpaka ushangae🇧🇮🇧🇮🇦🇪

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      Nashukuru sana sana...

    • @joharikillasa584
      @joharikillasa584 2 года назад

      Jazakallahu khairy brother.
      Nitasoma vitabu vyote na ntafanyia kazi in shaa allah ..
      Nafurahia sana all presentations ..

  • @murshidikatunzi2045
    @murshidikatunzi2045 2 года назад +1

    Kitabu daresalam kariakoo

  • @iddhalid4677
    @iddhalid4677 2 года назад +1

    Swadakta Allah akutuze

  • @tideone97
    @tideone97 2 года назад +4

    Utajiri Hauwezi Kununua Furaha, Lakini Umasikini Hauwezi kununua chochote zaidi ya Chuki na Wivu:
    Tusali sana lakini tusidharau maarifa.
    Usisahau kumfundisha mwanao kuuchukia umasikini 💪

  • @mosesfrancis8495
    @mosesfrancis8495 Год назад

    Ahsante

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 года назад +1

    Nakupata kwa uwazi kabisa

  • @jonhkaliani6928
    @jonhkaliani6928 2 года назад

    Ezdn nakufuatilia sana upo vizuri

  • @zawadinzunda7133
    @zawadinzunda7133 2 года назад +1

    Mwenyenz mungu akulinde sheeh na asante sana kwa kutup hamsa

  • @PoulKibas-q8g
    @PoulKibas-q8g 11 дней назад

    💪💪 nime penda sana hii🙏

  • @ShabanKamau
    @ShabanKamau Год назад +1

    Ukovizuri kaka hongerasana

  • @harunaathumani1672
    @harunaathumani1672 2 года назад +2

    Ukwel sheikh amemdanganya jamaa coz Mungu mwenyew anataka tufanye harakat za maisha

  • @timamahendo4172
    @timamahendo4172 2 года назад

    Money is not everything yes....but everything needs money....big up bro ......kama watu wanasubiri kadar ......anaekufa mlevi au mzinzi pia ni kadar ya mungu?

  • @HashimuMaulidi-oi5lt
    @HashimuMaulidi-oi5lt Год назад +1

    kitabu arusha

  • @IsmailJuma-e2y
    @IsmailJuma-e2y Год назад

    Somo nzur kaka upo vizur

  • @chudoboy5253
    @chudoboy5253 2 года назад +1

    Asante sana kwa Somo zuri

  • @mmbondofilm6229
    @mmbondofilm6229 2 года назад +2

    Nakuelewa sana bro kiukweli matatizo mengi yapo Kwa nasikini kwakweli masikini anachangamoto nyingi endelea kutujenga

  • @josephatmwandandila4382
    @josephatmwandandila4382 2 года назад +1

    Nakukubali kijana.

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 2 года назад +2

    Asalam aleykum ndugu!! Me nilikuwa nikuchukia utajiri na matajiri!!! Ila Allah aliponikutanisha na akaunti za RUclips za elimu mbalimbali zikanitoa (ujahiri) ujinga!! Nawashukuru shekh Othuman Michael. Mchungaji David Mbaga. Eziden Jumanne. Joel Nanauka na wengine wengi hakika wamenisaidia sana kujitambua!!! Tatizo sisi waisilamu lilianza tulipo tenga elimu dunia na ahera!!! Wakati mtume aliamliswa kusoma elimu zote zenye manufaa!!! Na zilifundishwa msikitini na ushaidi ni QURAN!!! Ina elimu zote!!! Nina mengi ila kwa kifupi nakuomba anzisha ziara kwenye MISIKITI kama NANAUKA na wenzake wanavyo tembelea MAKANISANI!!! (utuelimishe) nguzo tano zote zinatutaka tuwe matajiri!!! Baada ya Shahada
    Swala=
    Swaumu=
    Zaka=
    Haji=
    Ngoja niishie hapa!!! (Asalam aleykum)

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh. Nashukuru sana Kwa ushauri

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 2 года назад +1

    Kak Ezden Jumanne naomb nikusalimie tu..... ASALAAM ALEYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKATUH .....😘

  • @aishaseif7127
    @aishaseif7127 2 года назад

    Somo muhim Sana Allah akubarik

  • @NijimbereMathieu
    @NijimbereMathieu 7 месяцев назад

    Shukrani bro

  • @jacobzama6483
    @jacobzama6483 2 года назад

    safi Kaka nakwelewa 🙏

  • @AbdulRazzaq-uf7zo
    @AbdulRazzaq-uf7zo 2 года назад +2

    Nakuelewa Sana bro.

  • @mussadismass9306
    @mussadismass9306 2 года назад

    Naukataa umasikin kwanguvu zote Asante kwaelimu bola kwetu

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 2 года назад +3

    Nimependa sanaa namna upendo wa ajabu wa EZDEN ,AMAN MAKILITA ni kocha wangu lakini pia EZDED PAMOJA NA NANAUKA Sasa nashangaa EZDEN ASITI KUSEMA MAZURI YA MAKOCHA WENZIE Jambo ambalo sisi Wana HIP HOP tuna ubir upendo na umoja lakini atufanyi kwa vitendo Kama afanyavyo EZDEN

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +3

      Hahahahaa ma maan... Tunahitaji kushirikiana na tutafika mbali zaidi. Lengo ni kusaidia jamii yetu kimaarifa

  • @daprince7545
    @daprince7545 2 года назад +3

    Bro Allah akubariki na akuepushe na mitihani ya dunia. Nimejifunza mengi katika content zangu. Ku save pesa, kupunguza matumizi ya pesa na saii Niko Kwa harakati za kuanza biashara shukran sana bro 🙏🙏🙏🙏

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      Asante kwa kufuatilia, na hongera sana kwa kuanzisha biashara. Endelea kujifunza

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 года назад

    Asante sana

  • @hairuissa7452
    @hairuissa7452 Год назад

    Upo sahihi bro

  • @johntrueboy3229
    @johntrueboy3229 2 года назад

    Uposahihi,kaka,

  • @anacletsumbu7602
    @anacletsumbu7602 2 года назад +1

    Asante kwa darasa Nzuri Sanaa ongera takipataje icho kitabu niko Mbeya ila mimi nakaa drc

  • @amzahismail4498
    @amzahismail4498 2 года назад

    Allah akupe umri mlefu wenye manufa kwa kuelimisha jamii

  • @BakariGunda
    @BakariGunda 11 месяцев назад

    Asalm alkum j nimekuelewa Sanaa swala la swala tano wakati huna pesa hata swala zako azikamilik

  • @habibismael4937
    @habibismael4937 2 года назад +1

    Asante nimejifuza namna ya kufikiri kitafauti🙏🏼

  • @philipofelician7579
    @philipofelician7579 2 года назад

    Salute for you bro

  • @idrisamukama6067
    @idrisamukama6067 2 года назад

    Nakupata vizuri mnooo....!!!

  • @hamidumpota2722
    @hamidumpota2722 2 года назад +1

    Akika kwa somo lako wengi tunakuelewa na tunafulai.

  • @MohamedMohamed-xz2nj
    @MohamedMohamed-xz2nj 2 года назад +2

    Kitabu dar es salaam

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      Hello tuma ujumbe huko kwenye simu tafadhali 0759191076

    • @sportsarenaHD
      @sportsarenaHD 2 года назад

      Shukran broo,,allah akuzdshie kher

  • @rajabhussein7794
    @rajabhussein7794 2 года назад

    Hata kwa sisi waislamu huwezi kwenda kuhiji makha ukiwa huna hela

  • @kifarulodgeguesthouseshang5458
    @kifarulodgeguesthouseshang5458 2 года назад

    Kweli kabisa kk.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 года назад +1

    Asante

  • @SituSitu-vu3wn
    @SituSitu-vu3wn 6 месяцев назад +1

    Niko omani takipataje

  • @weremakora7838
    @weremakora7838 2 года назад +1

    Kitabu shinyanga

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      KUPATA KITABU HIKI:
      Tuma Text | Whatsapp
      Andika "Kitabu - Mahali ulipo"
      0759-191-076
      BEI: 20,000 TZS
      Dar: Free Delivery
      Nje ya Dar utalipia usafiri

  • @alphanathumantv2049
    @alphanathumantv2049 2 года назад +1

    Kitabu Dar

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      KUPATA KITABU HIKI:
      Tuma Text | Whatsapp
      Andika "Kitabu - Mahali ulipo"
      0759-191-076
      BEI: 20,000 TZS
      Dar: Free Delivery
      Nje ya Dar utalipia usafiri

  • @tandachaya6327
    @tandachaya6327 2 года назад +1

    Hasante kaka kipo vizuri nitanunua.

  • @innocentmushi2721
    @innocentmushi2721 Год назад

    #mafanikio bro be blessed

  • @MahamoodMohamed
    @MahamoodMohamed 5 месяцев назад +1

    Kweli mwengine anesema kama huyo ameniambia

  • @sarahatupelemwangake7520
    @sarahatupelemwangake7520 2 года назад

    Nice

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 2 года назад

    Nakubali bro🙏🙏🙏

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 2 года назад +1

    Nimefanikiwa kaka eziden nilikua nafatia sana hii channel kwa umakini sana hadi nusu ya malengo

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 2 года назад +1

    Naukataa kweli yaani

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 2 года назад

    Kiukweli mm naipenda sana hii chanel sana

  • @KIMSwahili
    @KIMSwahili 2 года назад +1

    Kim swahili , tukopamoja nawe ,, fedha imetajwa kwenye Quran suratul KHAFI AYA 19 , Aya hii inaeleza bayana kua Fedha zimekuwepo toka henzi na henzi , tazama hapa mwenyezimu anafundisha pia watu kujiwekea hakiba , hii baada ya kuulizana Nani miongoni mwetu mwenye fedha aende mjini akanunue chakula ,

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      Suratul Kahfi naam... Vijana wa pangoni, pia ni tafsiri kuwa bila pesa hakuna mahitaji, nashukuru kunikumbusha kuhusu hapo.

  • @newwaveskenya
    @newwaveskenya 2 года назад

    I gat it brother. you're my favourite person.

  • @ibrahimkatindasa6688
    @ibrahimkatindasa6688 11 месяцев назад

    Kitabu iringa

  • @AbdulAzizi-d2i
    @AbdulAzizi-d2i Год назад

    Nakipataje hicho kitabu

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 2 года назад +2

    Nikweli kaka Binafsi mimi nakubaliana na ww Nikweli umaskin ndo chanzo cha maovu Yote kwa Aslimia kubwa.... Chamwisho sijasikia ukitaja namba ili nikitaka hcho kitqbu nikipate

  • @kalingalingatv3066
    @kalingalingatv3066 2 года назад

    Asante 😅

  • @elizabethwanjiru3846
    @elizabethwanjiru3846 2 года назад

    True kuwa mbunifu mafanikio yapo.

  • @benediktojuakimu7675
    @benediktojuakimu7675 2 года назад

    Kitabu Zanzibar

  • @markomwakibwidi
    @markomwakibwidi Год назад +1

    Marco balikiwasana

  • @jameskulengwa9333
    @jameskulengwa9333 2 года назад

    Kitabu simiyu

  • @kombosuleiman7289
    @kombosuleiman7289 2 года назад

    Kitabu KENYA

  • @violethurassa7362
    @violethurassa7362 2 года назад

    Ni kwenye ndoa

  • @qalebmoywaywa8682
    @qalebmoywaywa8682 2 года назад

    Nakubari content bro

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 2 года назад

    Kuhukataa umaskini

  • @emmanuelmbesa2530
    @emmanuelmbesa2530 2 года назад +1

    Kote kote bro..kwa upande Wang

  • @tusomequrantukufu
    @tusomequrantukufu 2 года назад +1

    Each one teach one

  • @HappinessLugenge-lz4dk
    @HappinessLugenge-lz4dk Год назад

    Nakipataje

  • @benediktojuakimu7675
    @benediktojuakimu7675 2 года назад

    Kaka nakufatiliasana nanaona jia zamafanikio

  • @ibrahimahmedyunusu189
    @ibrahimahmedyunusu189 2 года назад

    kitabu kagera

  • @oneonego705
    @oneonego705 2 года назад

    Kitabu Newala mtwara

  • @AgripinaKilima
    @AgripinaKilima Год назад +1

    Mm nimejifunza kwamba penye Nia pana njia, hata ukutane na vikwazo vingi kiasi gani Kama unania ya kuutupa umaskini utapambana mpaka umaskini utakukimbia wenyewe

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 года назад +1

    Hyo iko wazi kuwa ushakadiriwa kila kitu na MUNGU lkni sasa utajuaje kma umekadiriwa utajiri au umaskini vile ambavyo unafanya bidii ya kutenda mazuri hpa pia vile vile ufanye bidii ya kupata pesa kwa njia ya halali

  • @AbuubakarAbuubakaromar
    @AbuubakarAbuubakaromar 5 месяцев назад +1

    Asant

  • @bahatipaulo214
    @bahatipaulo214 2 года назад

    Kwa maskini

  • @YusufuMonko-uf4jj
    @YusufuMonko-uf4jj Год назад

    💪

  • @mathiaslaban8530
    @mathiaslaban8530 2 года назад +1

    Yaan hyo washrikina ilivyo itaja no one except it?

  • @innocensiafaraja3830
    @innocensiafaraja3830 2 года назад

    Eee nimeelewa kitabu kagera

  • @loyceakuku6019
    @loyceakuku6019 2 года назад

    Niko Kenya naeza pata vipi hicho kitabu

  • @hudiyussuf2251
    @hudiyussuf2251 2 года назад +1

    Asalam a'alaikum warahmatullahi wabarakatu, Bro kwa wenye tuko inje ya tanzania tutapata aje kitabu?

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh. The same bro just send a message kwenye hiyo WhatsApp Andika KITABU na mahali ulipo

    • @hudiyussuf2251
      @hudiyussuf2251 2 года назад

      Asante sawa bro

  • @ayubjacky580
    @ayubjacky580 2 года назад

    Ni AYUB npo karen Nairobi takipataje kitabu hicho

  • @anzub7508
    @anzub7508 2 года назад +1

    Ticha

    • @steveneyougen3273
      @steveneyougen3273 2 года назад

      Asante brother kila siku naongeza kitu good bless

  • @NillanMjunga-fr5ze
    @NillanMjunga-fr5ze Год назад

    Nakuelewa xana kaka 2napataje vtabu vyako?

  • @GraceKomba-t4k
    @GraceKomba-t4k 17 дней назад

    Kwa maskini Kuna mambo mabaya Kwa asilimia 99,5