Hili ni shamba darasa kuliko chuo chochote kweli. Nakuombea kwa aliyekujalia huo ufahamu akupe ulinzi wa ziada. Naomba mawasiliano yako , nadhani wengi umetufurahisha, wenye husda wapigwe upofu na utelezi. Mungu baba akulinde.
Video nzuri manweka dakimoja za kipuuzi mnaweka masaa mawili hebu badilikeni basii hivi vitu vaya kilimo na ufugaji vina tupa hamasa ya kuvifamya halafu mnaweka video fupi sio poa😭😭😭
Nimeangalia comments zote Ila naombeni muingie kwenye huu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa alaf ndio mtajionea ukweli ... Nikiwaambia huyu mzee ni muongo hamtoweza kuaminisha ... Hakuna ng'ombe wa zaidi ya Lita 20 hakuna ng'ombe wa hata Lita 35 hapo hakuna ... Kama hujui utaona ni kweli Ila hapo huyo mzee ni muongo tu
Kabla ya kujaji jifunze hizo breed zipo zinatoa maziwa ya kutosha,mm ni dactar wa wanyama nataka nikwambie kuwa kuna had wanaotoa had lita 70,,hao wanaitwa pure breeds hasa breed ya Friesian hao wanaotoka Islael na Denmark
I take my hats off to these people who put food on our tables...we have become accustomed to food getting to us in boxes and packages. Hope schools will take students to see these farms.
Cha maana hapa omba ufundishwe utaalamu na lishe na dawa za booster sio magadi otherwise u will definately walk naked if not mental ...hata ukilima mahindi yatadumaaa bila mbolea ya kisasa
Hizi ndio habari zenye tija. Hongera sana mkulima, kazi nzuri hiyo. 👏👏👏👏
Uwe mkiristo, uwe muislamu, ukimuweka Mungu mbele ktk mambo yako ww ni rafiki yang mkubwa, mzee anamtaja Mungu mara kwa mara nimependa sana
Kabisaaaa
Hongera sana. Mungu ailinde mifugo yetu.
Crown moja ndio thaman yake .mzee Yuko vizuri Kwa kweli kajipanga
Hongera sana Ayubu. Kazi nzuri ila jitahidi kuwafanyia hao ng'ombe usafi.
Boazi besti yangu .. da jamaa wa urio wana roho nzuri sana jmni Mungu awabariki
Hongera sana kwa mzee. Ila usafi wa wanyama si mzuri kwa kusema ukweli
Hongera sana kwa kazi nzuri
Mashalla mashalla..hongera mzeewangu.
Watanzania wanahitaji ripoti kama hizi. Sio udaku za wasanii wasiofaa
Waoo nimefurahi sana na ufugaji wako kwani inamaanisha,asante kuipenda kazi yangu,hizi ndo habari zinatakiwa,hongera sana.
Bismillah maashallah haya maisha ya ndoto zangu nimependa mno mno, namba za cm pls nazipataje?
Safi sana mzee, na umepata mrithi wako mwenye kupenda kazi uliyoianzisha
Hili ni shamba darasa kuliko chuo chochote kweli. Nakuombea kwa aliyekujalia huo ufahamu akupe ulinzi wa ziada. Naomba mawasiliano yako , nadhani wengi umetufurahisha, wenye husda wapigwe upofu na utelezi. Mungu baba akulinde.
Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥
________________
Karibuni
Habar hongera sana baba na mm nataka ndama mdogo ninunue kwa Bei ya ndogo nipo Tanga
Mashallah kazi nzuri
MashAllah. Mungu ni mwema siku zote
Interview nzuri sana, daaaaaaah Ila fupi
Video nzuri manweka dakimoja za kipuuzi mnaweka masaa mawili hebu badilikeni basii hivi vitu vaya kilimo na ufugaji vina tupa hamasa ya kuvifamya halafu mnaweka video fupi sio poa😭😭😭
Nimeikubali hii Interview, kitu kizuri huyu Mzee anaelewana Vizur na Kijana wake wapo makini na miradi yao.
Hongera sana ndama unauza sh ngap
Mungu akubarik nimependa xna mirad yako.
Unaonyesha mfano mzur mzee,,,big up
Hongeraa mzeee
Hawa ndio wafugaji MashAllah
Hongera mzee.
Hongereni sana,
Mzee uko vizuri ongeraa Mzee wangu
Hongera sana baba naomba uniuzie ndama
Mungu Akubariki mzee wangu
Hongera sana mzee
Hayo ndiyo maisha siyo haya ya vijana wanatembea na soksi 2 mtaani
Mzee urio nakubal sana
Mashallah na hongera sana !
Big up sana Dingide ✌✌
Congratulations mzee ,million 12, in kenya ni pesa ngapy please
Mashaallah 🙏
Wow amazing
Sing'isi Meru 👏👏👏
Hongera xana
Hatari
Hongera sana
Hongera
Ukovizuri👏👏👏👏
Msafiri is very right nenda kichwa kichwa ukafuge wa kwako miaka kumi kama hukuambulua kusadoline cha maziwa
Oi mzee baba tupatie namba za huyo mzee.
Maashaallah
Mashallah, hongera sana Mzee WETU.
Mr kuku,naomba contact tafadhar
good job mzee
Jamani juweni wazungu walitupita mbali. BOOSTERS ZIKOOOO. KIKA KITU KIBAWEZEJANA KWA MAARIFAA NA CHEMICALS ANACHOKISEMA Msafiri is right
Sawa
Ongera mzee urio
Safi sana ayoub
Mashalla
Milon. Moja sinunuwi pesa nyingi hizo unajenga nyumba
Tunaomba namba yako ya cmu baba!
Good job but observe hygiene bro. Cows and cow shed must be very clean.
Simnipe namba ya huyu mzee jaman ninunue hapo mmoja
Nimeangalia comments zote Ila naombeni muingie kwenye huu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa alaf ndio mtajionea ukweli ... Nikiwaambia huyu mzee ni muongo hamtoweza kuaminisha ... Hakuna ng'ombe wa zaidi ya Lita 20 hakuna ng'ombe wa hata Lita 35 hapo hakuna ... Kama hujui utaona ni kweli Ila hapo huyo mzee ni muongo tu
Hongeraa Sana daddy
is he your dady
Jamani Wapemba ni wazuri sana ,mashaallah
Kwann?? Ila MaashaAllah
Huyu siyo mpemba huyu ninmchaga anaitwa orio
Huyo ni Mmeruu sio mchaga wala mpemba
Inapendeza Tanzania kuwekeza katika ufugaji na kilimo Ukraine haina matatizo na sisi
Naomba no ya cm ya huyu mzee....
Naomba namba za simu
Hakuna ngombe anatoa maziwa 60ltrs in the world ata kule ulaya hakuna ngombe anayetoa maziwa mengi ni 25-30ltrs ...
One day yes
So amazing
I know these people, I just live near them. They do a great job and inspire alot ... Keep it up jaman
Kabla ya kujaji jifunze hizo breed zipo zinatoa maziwa ya kutosha,mm ni dactar wa wanyama nataka nikwambie kuwa kuna had wanaotoa had lita 70,,hao wanaitwa pure breeds hasa breed ya Friesian hao wanaotoka Islael na Denmark
I take my hats off to these people who put food on our tables...we have become accustomed to food getting to us in boxes and packages. Hope schools will take students to see these farms.
Safi sana
Sasa hapa nimelelwa Sana habari za mafanikio
Mim nauza ngo,mbe kama uyo
THE WORLD OF KNOWLEDGE KNOWHOW...
💪
Namba za cm
Naomba namba zake
Naomba namba xako tafadhali
Safi sana, 👍👍👍
Contacts/address za kumfikia mzee tunaomba muweke
Masasiliano contact!
M nataka mbwa😉
Je hizi kuku ntazipataje?
Habari nauliza na ndama jike anauza sh, ngapi.....? Km jike kubwa anauza million 12, na mtoto jike ambae ameacha kunyonya.....?
Bwana nguvu
Bass haya
Tusaidie namba za uyo mkulima
10M kama yupo tayali
Nataka hiyo mbegu ya ng'ombe napataje
Nilivyomuona huyu ng'ombe nikamkumbuka ng'ombe wa mayele😂😂😂
khaa
Hahaha
Cha maana hapa omba ufundishwe utaalamu na lishe na dawa za booster sio magadi otherwise u will definately walk naked if not mental ...hata ukilima mahindi yatadumaaa bila mbolea ya kisasa
Ni wakwetu...ni fahari yetu
PAMBANA SHEMEJI YANGU
Germany shepherd ni pesa ngapi
Namba za uyo mkulima
Daaah Safi sana
Nitafutie namm mzuri baba
Upuzi, No cow can produce 60ltrs per day. The highest recorded in the world has been 50ltrs per day😁😁. Tembea Kenya , Githunguri Kiambu uone Ng'ombe.
Wewe unafikiri dunia ipo kiambu tu? We fala kweli
@@mcback4384 unafaa kukamuliwa kaa hizo ngombe
Punguza Wivu
@@sarahkaaya kuja nikukamue
Kuku wa urembo Wanaliwa au?
Mbona hamjaacha mawasiliano?
Wanaliwa hawana shida changamoto ni price tg yao
aah
anajituma hayakushuka tu kama mvua hayo