DIAMOND KAMJIBU ZUCHU KISOMI ULIVO KUJA NIKUSAIDIYE ULINIHESHIMU SASA HIVI UMEKUWA MKUBWA UNANIZARAU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 27

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 12 дней назад +4

    Mond mwanangu bora atulie mungu atakupa mke sahihi ,zuchu pia kunyamaza ni jibu zuri na busara kama mond ni riziki yako atakuoa nyamaza ili heshima yako ibaki

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 8 дней назад

    Ukitoka heshima no kuvuwa nguo, Sasa mapenzi all contracts are out the door my friend.
    Dharau umeanzisha Mr. D the player.
    Baharia our new shem , what's up, how you doing?

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 12 дней назад +1

    Jamani wote munme faidika Sasa let's move on. Risk na ndoa ni mungu. Tusifaidishe watu na blames

  • @BerthaMbawala
    @BerthaMbawala 12 дней назад +2

    Kimenukaaa😂😂

  • @elodieassumani2728
    @elodieassumani2728 12 дней назад +2

    Kusemwa nikawaida laki siyo watu wakaribu uyu dada iko na shida kweli,kumusaidiya mutu njo kumufanya kama chombo

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm 13 дней назад +12

    Tatizo huyu Binti hataki kusemwa ukiwa maarufu lazima usemwe yeye nani asisemwe huyu sio wakuowa khaa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 12 дней назад

      Ana gubu kasahau Mama yake walikua wakichambana mpaka waliitana sanamu la Michelin lakini hakuwa na Panik yeye kafura kajiona kifutu

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 12 дней назад

      Tatizo ni la Diamond kujihusisha nae kwenye mahusiano, sasa anajikuta kaimaliza dunia

    • @AnethJoseph-x6t
      @AnethJoseph-x6t 12 дней назад

      Hakana hakiri kana nyota nyota nyimbo zinalipa mwanaume Kako naye lakini kiuno juu Kila siku kutaka kuinuliwa kajinga nimekadharau na katajihalibia kazi

    • @AnethJoseph-x6t
      @AnethJoseph-x6t 12 дней назад

      ​@@fatmafaki6163ndio kosa la kudety na vtoto

    • @maryjoshua5111
      @maryjoshua5111 10 дней назад

      Kweli kana gubu kameona mama mjengo

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 12 дней назад +1

    Nakuunga mkono Diamond tafuta mwanamke mwenye mali zake mfunge ndoa za kila mtu na chake mle maisha tu .Watoto unao hawa wanawake wafuata kitu wakipata mwanamme wanamchuma kisha wanatisha kumfilisi mtu

    • @Mamuu-v4l
      @Mamuu-v4l 12 дней назад +1

      Kama ameshindwa na Wema na Zari wala hatopata mwengine

  • @UwaseNadjmaMukamusonera
    @UwaseNadjmaMukamusonera 13 дней назад +3

    Wakina zari walisemwa yeye nani asisemwe,mbona yeye anatukana watu munyimbo zake

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 12 дней назад +3

    wew nae unaongea sanaa khaa unachosha bana mxciuu

  • @RehemaMwango-xy8qo
    @RehemaMwango-xy8qo 12 дней назад +1

    Asisemwe ye Nan?

  • @Aminah-i9p
    @Aminah-i9p 12 дней назад +2

    Kazi anayo kutwa kutia huruma,kazi ipo wanasema kutwa kucha si wamuache,kwani ana shida gn

  • @alanoudalseari7208
    @alanoudalseari7208 13 дней назад +1

    zari ni family yako waganye watu wako

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 12 дней назад +1

    Wacha uongo

  • @marianginaijuma4171
    @marianginaijuma4171 11 дней назад

    Hii ni kiki bwana mwezi wa Dec aliandika tu hivi sahii anataka tusifocus na Neflix mbona hakuandika kitambo amengojea hadi reality show imetoka?mmmmmmh tuko busy na Fantana na Zari sisi

  • @Godelivemwamba-z6p
    @Godelivemwamba-z6p 12 дней назад +4

    Zuchu hajakukosea adabu kwa nini hauwakataze watu wa WCB kumukosea heshimu zuchu

  • @alanoudalseari7208
    @alanoudalseari7208 13 дней назад +1

    family yako inakumbonza

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 12 дней назад +3

    Ndio maana huyu Diamond hataki kukurupuka kuoa kwa sababu ya hali kama hizi kidogo tu unakuta mwanamke anavimba kwa hiyo anaogopa kujifunga pingu za kumtumia.

  • @Ashahasssan
    @Ashahasssan 12 дней назад +1

    Anaweza jikuta hagombani na juma Bali na family ya juma