Ungejua hapo ni kwamba hawajitoi jasho huwa Simba wanacheza mechi kubwa za nje wataweka wachezaji wa kawaida tu Ili watunze nguvu kucheza shirikisho la Africa ukitaka ujuwe subiri wamalize nje wakirudi mechi za ndani watasafisha takataka zote
Na chama wao alikuwepo sasa kasaidia nini tatizo kiwango chake hakina muendelezo kama cha pacome pacome leo akifanya vizuri kesho atafanya vizuri zaidi😅
Baraka Mpenja amempamba sana Fabric Ngoma kuliko ata Samson Mbangulu aliyefunga Magol mawili na kuihakikishia Tz prisons kuondoka na points 3 zote hii kitaaram imekaakaaje wakuu
Ndomaana yanga tulimkataa asiwe anatangaza mechi zetu maana yanga Kila ilivokua inafunga anatangaza goal kama vile amenigwa ila kwa simba anawasifia sana
Israel kajitahidi kuokoa ingawa alikuwa mbali na goli kamshinda mbio aliyekuwa karibu na mpira .Kuna wachezaji wamechoka kweli kweli .Viongozi wameanza kupanga timu nini ? Kwanini uwanja ubadilishwe sehemu ya mbali ukizingatia timu imetoka kucheza siku mbili tu zilizopita?
Manulaa mnamwonea shati kocha wake Caden's wa magolikipa anampangaje mtu Yuko chini ya kiwango Yan Kama kalazimishwa hafu yanga akiwapa mkono memelogwa tuwekeen manula Aisha mwezi nne
Hii ndo Simba ninayoijua mimi sasa kama unakubali gonga like hapa
Kuku wewee
Kama unairudia hii mechi LIKE 10 😂😂😂😂😂HAPA MASHABIKI WA YANGA TUU😂😂😂😂😂😂
Mweeeeee😂😂😂😂
😂😂😂😂❤
Kuingiza timu mbili Caf robo finali sio kazi ndogo kweli laeg ya Tanzania imekua
Wa Kwanza Leo, simba ni bora kwenye mechi dhaifu kama ya Galaxy Leo pamoja na prisons kucheza pungufu wametoka na points 3 yanga bingwa
Ewaah 😂
Dahhhh Garax ni wabovu kuliko prisons
Akili ya mpira ndiyo finyu kwan prisons amecheza pungufu kwa muda gani
@@IddMatuki sema mbio za ubingwa mwaka huu ndio bas jipangeni mwakan
Ungejua hapo ni kwamba hawajitoi jasho huwa Simba wanacheza mechi kubwa za nje wataweka wachezaji wa kawaida tu Ili watunze nguvu kucheza shirikisho la Africa ukitaka ujuwe subiri wamalize nje wakirudi mechi za ndani watasafisha takataka zote
Aliesikia Aisha hpa aweke like Ila mpnja
🎉😂😂😂😂😂😂
Aliyesikia "AISHA KULA CHUMA HICHO" tujuane. 😂😂
Ila simba bhanaa furaha kidogo huzuni kwa wingi,
Tuulivyowaambia Galaxy ni galasa walijigamba kwamba wao ni WA kimataifa. Iv prisons kwenye rank ya caf ni WA ngap vile😁😁😁
KWANI RENK YA IHEFU NI NGAPI?? 😂😂😂😂😂
simba team kubwa kutumia kile kiwanja ni ushamba
Hii ndo shida ya Tanzania
Mi piah nanote ground problem
Wakiambiwa msimamo uishie hapo ili mwenye kombe lake achukue hawakubari kikowapiiiii😂😂😂
SIMBA 1 : MBANGULA 2
Manula fala sana,Ali salim ni bora zaid,toa manula kwa mkopo huko njombe mji
#2:30 inonga aliuza
Hii inanikumbusha Ile ya mayele na mabeki wa malumo galaxy 😅
Wamefanywa vibaya 🎉🎉🎉
SAJILIN ACHA JANJA JANJA
Na chama wao alikuwepo sasa kasaidia nini tatizo kiwango chake hakina muendelezo kama cha pacome pacome leo akifanya vizuri kesho atafanya vizuri zaidi😅
Huna akili wewe😂😂
Raha yangu kolo kupigwa😂😂😂
UTATOWA ILE KITU?? 😂😂😂😂😂
@@salimmalaka256 achana na mimi kolobwanji ww
yani wamefungwa tena hadi huku kwenye youtube..!! 😯
SIMBA HII TUKIKUTANAA NA UTOPOLO NA AZAM TUNAPOTEZA TRUST ME HAKUNAA WACHEZAJI PALEE
Kwa kwanza from China
Chini iyooooò simba lalaaa
Aisha au nimesikia vibaya
Yanga bingwaaa
Kweli
Baraka Mpenja amempamba sana Fabric Ngoma kuliko ata Samson Mbangulu aliyefunga Magol mawili na kuihakikishia Tz prisons kuondoka na points 3 zote hii kitaaram imekaakaaje wakuu
Ndomaana yanga tulimkataa asiwe anatangaza mechi zetu maana yanga Kila ilivokua inafunga anatangaza goal kama vile amenigwa ila kwa simba anawasifia sana
Sasa kukataa kwenu kumempunguzia nn wehu kweli
Ahaaaa wapigajeee apo
sis hvi vimechi vidogi vdg hata tukishindwa hatuwazi😂😂... tunajua sehem halisi ya kuwekeza nguvu zetu🥱
Baraka Katangaza vizuri 😊😊😊😊😊
Waoooooh
Mimi ni yanga og, ila manura mda mwingine haeleweki dah
Kwli uy aisha ujakosea mpenja
Nan kamsikia mpenja akimuita Aishi eti "Aisha😂
Nimesikia😁😁😁😁
Shame on Manula! Very poor goalkeeping, not fundamental! Impossible angle, positioning while attacking
Papapatu FC Leo wamelowa kipa hamna hampo impossible angle anapigwa Goli 2😀😀😀😀😀
Maneno ya mchome mtayaelewa tu.Japo wasiojua mpira wanamtukana.
Kipa shati
piga hao,mpaka sasa tupo juu point 7 yanga africanssssssssssssssssss.
Haha raha sana,,we mpenja umepigaj apooo et aishaaaaa
Napenda yanga me jamn❤❤❤❤❤❤
Kaunta tack aisha kula klungu😆😆😆😆😆😆😂😂😃😃😃😀
Mkiambiwa simba anafunga timu zaifu mnabiasha, kimetokea nini tena
we
Aisee nikweri
Habari kubwa hii Tim iliyonusurika kushuka daraja inafanua makubwa
Ila mabek wa simb sijuw wanashid gan jaman daah
Ili goal la kwanza manula ilitakiwa awe fasta kuenda ange save
Kwani chama leo hakuwepo 😩💔?
Manula tangia mchezo wa mpira wa Tanzania uanzishwe ndio golikipa aliepigwa matobo mengi
Aliesikia Aisha kula chuma tujuane..kula kirungu hiçho
Yaan mtangazaji anaita Aisha kabisa
😂😂😂
😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kuku kishingo ni mwendo wa kuchinjwa😂😂😂
Israel kajitahidi kuokoa ingawa alikuwa mbali na goli kamshinda mbio aliyekuwa karibu na mpira .Kuna wachezaji wamechoka kweli kweli .Viongozi wameanza kupanga timu nini ? Kwanini uwanja ubadilishwe sehemu ya mbali ukizingatia timu imetoka kucheza siku mbili tu zilizopita?
Moro pana umbali gani achezi hizo
Tulien dawa iingie juz mliokota mgonjwa mkajipigia 😂😂😂😂
Ila manula 😂😂😂😂
Simba mbovu sana
Aisha kula chuma iko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gori la kwanza ni la MANULA.
Shikamoo Mbangula
0:35
Nimesikiaa mpenjaa kasemaa aishaa😂😂😂😂
😂kwelii. Mfupa hauna ulimi
Ahamed aibu Domo limemponza
Manula anapitwa na wakati
😂😂😂Aisha Kula Chuma hichooooo😂😂😂😂mpenja kaamua jamani Aishaaaaaaaa huyooooo,
SIMBA HAWAJASTUKA MANULA NA KENNEDY WANAWAUA SIMBA
Manulaa mnamwonea shati kocha wake Caden's wa magolikipa anampangaje mtu Yuko chini ya kiwango Yan Kama kalazimishwa hafu yanga akiwapa mkono memelogwa tuwekeen manula Aisha mwezi nne
Makoloooooo😂😂😂😂
Yangaa rahaaa jamani no stress .furaha siku mja maumiivu yaendelee
Sijui nani wanapanga manura
Ndiooooooo
Goli la kwanz kafungisha kipa kwann asitoke n mpira umeburtwa utasem anashindna riadha keeper amekaa tu golini 😢 ukwel magoli yote n huyu keepers anaend kizembe sna.. dah 😂
aisha kula chuma hcho 😂😂😂
Jamaa anawabangula
safiii😂
Aisha kula chuma hicho
apo ukitaka kuwauzi makolo uwaambie ile mechi ya juzi ni magumashi matupu watakataa angalia ualisia wa timu sasa
Huyu manual hamna lolote,na hafai wala tusimtegemee
Kolo pressure fc
Leo Simba wamelowa tazama nahii
ruclips.net/video/Vq6hX6jCJaM/видео.htmlsi=aTbn3_SnJkTqhQDK
Aliepigwa tobo ni manura😅😅😅😅😅😅
We mpenja umepigaje apo
Aisha manula😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimesikia AISHA kula kirungu hikoo😅😅
Mazoea mabaya nilisikia dk ya 70 mpenja anasema simba 2
Manula benchi
Manula ni sketi kwa saxa 😂😂😂
Naomba kuuliza jaman uyo ni mpenja anaetangaza
Binafsi huwa simpendi mpenja ana uswahili mwongi mnoo kama unamkubali gharib mzinga gonga like
Manula mtu kakokota mpira amekaa kama sanamu golin goli la kwanza la kizembe kwer kipa kazingua
Yaani angeesogea mbele apunguze upana wa nafasi ya goli kwa striker
jamani beki la afcon ameangushwa daaaah
Yani smba akikutana na yanga atachezea nyingi sana zaidi ya zile 5
Makosa ya Gorikipa
Ila nyie beki zinagaragazwa analaumiwa manura
Manula huyu mganga wake ana balaaaa aisee 😂😂😂
Yaani kweli dunia kisengele nyuma walivyokuwa wanacheza leo makolo ni kama vile walivyokuwa wanacheza siku ile wale wa Boswana duuuuuu
Tafadhali,Hii sio simba,na napo Chama hayupo jamaniii😂😂😂😂😂😂😂
Kweli mpaka namba sita anatuokoa kweli tulizidiwa😱😳🫣
Simba chama languu🎉
Kuna mtu kasikia mpenja akimwita manula aisha😅😅
Mi nimesikia Aisha Aishi kula kirungu icho😂😂
Sijaona makosa ya aishi manula mm hapo
Ayubu angekwepo,angefungwa hilo goli?
Ivi Aishi kashindwa kutoka apo awai mipila gor lakipa
Tukubali timu yetu mbovu wale waboswana ni wabovu zaidi
Ewaaah
Sio kweli. Juzi Mameroudsandoun kapigwa 3-0 na aliye nafasi ya 9 huku Mameroudsandoun akifuzu robo final CAF Championship. Je, ni wabovu?
@@gibsonjosephat6352 🤣🤣🤣 mifano ishaanza
Aisha manuu😂
Mpenja😂matiki yanadondoka…….
Aisha?
Hawajawanga marahiyo ila nitimu ndogo watagobolewa zote
Manula ndyo shd
Aishi kula chuma icho