MAKACHU: Sarakasi za Forodhani ZANZIBAR zinavyovutia WATALII! JAMAL aelezea zilivyogeuka kuwa AJIRA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 25

  • @RaphaelKapesa-x6g
    @RaphaelKapesa-x6g 8 месяцев назад +10

    Yani bro sky wewe hauna noma na mtu Yani mtu anaitaja kampuni kama moja ya kuiplomoti but huwazi bro 🙏🙏 mungu akuzidishie

  • @RajiEmadaki
    @RajiEmadaki 8 месяцев назад +4

    Kazi nzur sky wiz

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 8 месяцев назад +2

    Mwandishi wa Habari nimevutiwa na sauti iko amezing kwa Habari yeyote

  • @Kiulaini
    @Kiulaini 8 месяцев назад +6

    Sky mtafute na Ally jape please ufanye nae interview the guy is very special

  • @salimsaid9852
    @salimsaid9852 8 месяцев назад

    Congratulations Yess Jamal you are special.

  • @salimomar-n7s
    @salimomar-n7s 8 месяцев назад +3

    Good job

  • @smarttv8941
    @smarttv8941 8 месяцев назад +4

    Yes jamal

  • @husseinbugobe9037
    @husseinbugobe9037 8 месяцев назад +4

    Jamal my elder brother ❣️🤟

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 7 месяцев назад

    Salute kwa Sky

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 8 месяцев назад +2

    Salutii kiongozii nikikuona live tafautii na nikikuona kwenye mitandao broo nilikuona juzii wanjandege

  • @Nancywill-998
    @Nancywill-998 7 месяцев назад

    Sky my bro since radio free

  • @RamaNgari-b1d
    @RamaNgari-b1d 8 месяцев назад +2

    Sky wiz

  • @MuharamSalum
    @MuharamSalum 8 месяцев назад +2

    Ndugu ulikua usitaje kiwango rasmi ju serekali yetu wakishajua kama kuna kipato watakuja kuzuia

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z 7 месяцев назад

    Hapo mhe Rais Mwinyi kuna kitu atafanya patakuwa pana maana zaidi soon tutashughudia makubwa

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 7 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @NassorHajiMUHAMADI
    @NassorHajiMUHAMADI 8 месяцев назад

    Jamal kwa idadi ya watu hiyo si kweli idadi ya watu forodhani huwa nyinyi na watu hupiga makachu toka mimi na wewe hatujazaliwa

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 8 месяцев назад

    Mawingu ww ni mkali sana

  • @ibrahimameir8063
    @ibrahimameir8063 7 месяцев назад

    UYO SIO MZANZIBAR MBARA TU UYOOO WENYEWE TUNAKUJAAA

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 7 месяцев назад +1

      Na MAMAAKO Mtu wa wap😂

    • @ibrahimameir8063
      @ibrahimameir8063 7 месяцев назад

      @@rajabukipara3008
      ME NIMEFUNGA SINA MDA WA KUKUJIBU JIBU BAYA but MAMA ANGU AMETOKA ZANZIBAR

    • @ibrahimameir8063
      @ibrahimameir8063 7 месяцев назад

      @@rajabukipara3008
      WABONGO MNATAKA MUITEKE ZANZIBAR HAMUWEZI BABAAAA HII NCHI INA WENYEWE

  • @NassorHajiMUHAMADI
    @NassorHajiMUHAMADI 8 месяцев назад

    Kwa busara tu usitumie neno "sarakasi" kwanye kitendo hicho, hivyo kitendo kinaitwa makachu

    • @HAKHASH312
      @HAKHASH312 8 месяцев назад +2

      Mbna unapinga sana inaonesha humkubali Jamaal 😂😂😂 tulia mtu wangu ww ulikuwa wapi kwan wakt yy anatake this opportunity 😂

    • @NassorHajiMUHAMADI
      @NassorHajiMUHAMADI 8 месяцев назад

      Dhana ni mbaya sana, lakini kusema ukweli ni bora zaidi mimi sina shida nafanya mambo yangu na napata ninachopata kwa maana hiyo sijali kuhusu yeye