𝐔𝐑𝐀𝐊𝐎𝐙𝐄 𝐒𝐀𝐈𝐃𝐈 𝐍𝐓𝐈𝐁𝐀𝐙𝐎𝐍𝐊𝐈𝐙𝐀 | 𝐓𝐇𝐀𝐍𝐊 𝐘𝐎𝐔 𝐒𝐀𝐈𝐃𝐎 | 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 𝐒𝐀𝐍𝐀 '𝐆𝐎𝐃𝐅𝐀𝐓𝐇𝐄𝐑 𝐖𝐀 𝐁𝐔𝐉𝐔𝐌𝐁𝐔𝐑𝐀'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 июн 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC RUclips Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • СпортСпорт

Комментарии • 30

  • @fortunatusyuli4421
    @fortunatusyuli4421 10 дней назад +1

    Thank you za msimu huu nimezipenda...ubunifu...hatuna baya...🦁 NguvuMoja

  • @geofreykalokola6525
    @geofreykalokola6525 10 дней назад +1

    Safr njem

  • @user-pw2bl4qd8w
    @user-pw2bl4qd8w 10 дней назад

    Mwamba wa bujumbura ❤❤❤🎉

  • @kamanda7703
    @kamanda7703 10 дней назад +1

    Thank you tunaisubiri ni ya mungungu tuu. Hizi nyengine ni bla bla tuu tulishawapa thank you hao katikati ya msimu tulijua ni safari. Rudisheni japo moses phiri basi mlete mzuka. Saiv mnatuboa

  • @kamanda7703
    @kamanda7703 10 дней назад +1

    Saido asante kwa kujituma kwenye timu yetu ila ulikua unaboa ukikaa na mpira sana. Mfalme wa penalties

  • @franccoz94
    @franccoz94 10 дней назад +6

    ACHENI KUPOTEZA MDA ,TOA THANK YOU KWA PAMOJA, KAMILISHENI SAJILI MPYA KWA WAKATI TEAM IWAHI KWENDA PRE SEASON TUSIJE ANZA KULAUMIANA BAADAE

    • @CHIIZATV-hl4zu
      @CHIIZATV-hl4zu 10 дней назад

      Upo sahihi boss

    • @awelamwampashi1792
      @awelamwampashi1792 10 дней назад

      Kabisa wanatupotezea muda 😂😂

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 10 дней назад

      Sure.hawa jamaa wanakera kweli.sasa kama boko si kila mtu alikuwa anajua kuwa hayupo tena 😢

    • @user-uf6wv7nm3o
      @user-uf6wv7nm3o 10 дней назад

      sahihi wanakela bhana siwangetoa thank you kwa jumla

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 10 дней назад

      Upo sahihi me pia natmn watoe thank you kwachezaji wote wanaowaacha then tusubiri welcome2

  • @civematerials
    @civematerials 10 дней назад +1

    Huyo saidoo akicheza timu tofauti na simba anakuwa onfire.

  • @DavilousJenssen
    @DavilousJenssen 10 дней назад

    Kila lenye kheri huko uendako..!!🙏🏽

  • @ManirakizaOmar
    @ManirakizaOmar 9 дней назад

    Simba muta mkumbuka said ntibazonkiza wakati mutakuwa munyeshewa magol natimu zingine nahawo munasema nibora zaidi tutaona simbali kivile bunakucha tuone Simba musimu itamliza ikiwa namba 4😂❤

  • @MWANAHAWAMNALI
    @MWANAHAWAMNALI 8 дней назад

    Mambo kama HAYA hayataki haraka

  • @baranubakenneth9029
    @baranubakenneth9029 10 дней назад

    Saidoo kaachwa, lakini kama bado alikuwa mtambo wa maana. Tutamkumbuka akiwa na Coastal.

  • @NdevuSaid
    @NdevuSaid 10 дней назад

    Asant saido kwa kuitumikia Simba kipind chot hicho

  • @Robert-ev5hp
    @Robert-ev5hp 10 дней назад

    Alijituma sana ila viungo vimekataa kazi.

  • @emanuelwattai5777
    @emanuelwattai5777 10 дней назад

    Nyie wapengeni kama wote wanatoka tieni thakyu ya pamoja tuleteeni wengine chap

  • @sportsnewstv5002
    @sportsnewstv5002 10 дней назад +1

    nimejikuta nacheka tu et hii documentary yote ni magori ya penati😂😂😂

    • @magrethmalobola5470
      @magrethmalobola5470 9 дней назад

      😂😂😂😂nikajua peke yangu naona penalty tuu

    • @sportsnewstv5002
      @sportsnewstv5002 9 дней назад

      @@magrethmalobola5470 wadwanzi kwel hawa😂😂😂😂

    • @user-kd7mw6be5q
      @user-kd7mw6be5q 7 дней назад

      😂😂hatar kiufupi bila hizo penalti angekua na bao2

    • @sportsnewstv5002
      @sportsnewstv5002 7 дней назад

      @@user-kd7mw6be5q 😂😂😂

  • @user-kd7mw6be5q
    @user-kd7mw6be5q 7 дней назад

    Saidoo penalti Saidoo faulu simba watakosa mpiga penalti na faulu