Viongozi wa kidini katika kaunti ya Kajiado, wametoa wito kwa vijana kutoa nafasi ya mazungumzo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Huku vijana wa kizazi cha GEN Z wakizidi kushikilia Kuwepo kwa maandamano ya kila jumanne na alhamisi nchini, Muungano wa Wahubiri na Maimamu katika kaunti ya Kajiado umetoa wito kwa Vijana hao kutoa nafasi ya mazungumzo. Kwa mujibu wa Viongozi hoo wa kidini taifa linaelekea pabaya.

Комментарии • 3

  • @saidiosore10
    @saidiosore10 6 месяцев назад +2

    Kwanza hao viongozi wa kidini niwa2 wabinafsi😂😂, Bora hela😂😂

  • @Arapkim
    @Arapkim 6 месяцев назад +1

    Kuleni sadaka na mfunge midomo

  • @samjuma4207
    @samjuma4207 6 месяцев назад +1

    Viongozi WA kidini NI mapunda