Viongozi wa kisiasa wampinga Kato Ole Metito
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya kajiado wanamtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kudhibiti siasa za mgawanyiko wanazodai kuwa zinaendelezwa na afisa mmoja mkuu wa ikulu. Wakizungumza kwenye utoaji hati miliki katika eneo la Imbirikani Kajiado Kusini, viongozi hao wanalalamika kuwa afisa huyo amekuwa kikwazo kwa utekelezaji wa majukumu yao