Mjukuu wa hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere,Sophia Nyerere ameeleza ndoto yake yakuja kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Msikilize hapa kwenye Break.
Wewe Dan fod umetumwa kila sehemu unacoment watakufa na umasikini wao sasa wewe una mchango gani na hii family au unashauri nn au unaumia nn na umasikini wa family ya mwalimu nyerere wewe mchochezi ni mtu hatar ktk jamii fata maisha yako achana na family hii haikuhusu
USHAUR (Soph) usiwe muongeaj sana na kwa heshma ya BABA wa TAIFA Tunaomba uwe unafanya (lntervw) na vyombo vya habar kama TBC au BBC VOA n.k kwasabab watangazaj wanaweled; nadhan huyo mtangazaj unamuona alivyo sisemi unafanya vbaya kuwa social lakn kwa kias Nyie ndio VIOO vya TAIFA hili.
Mtangazaj huo mziki atuhtaji...alafu mwalimu kaiacha familia yake ktk kipindi kigumu alileta uzalendo nch hii...ahahaha!wap mkapa wap kikwete...huyu hapa magu kusanya mali uncle
Nilimsikiliza Mpaka Pale alivyosema Waziri wake Mahiri ni Kangi Lugola Nikaclic kutoka sikumalizia. Hivi Nyerere angekuwa hai angemshabikia Lugola. HAPO HAKUNA KITU.
huyo bibi yako aliyekuambia watu kama Juli kichogo wanatokea baada ya miaka 450 alikudanganya sawa?nyinyi musiwe wajinga mukamuabudu binaadamu kama mungu sawa?mtu aliye kuwa bora hapo tena hakuna na kampita huyo kichogo alikuwa Abulrahman Mohamed Babu kutoka nchi jirani yenu sawa?
Muziki upo juu sauti za mhoji na mhojiwa hazisikiki vizuri
Mtangazaji upo ki-bishara zaidi, (kutangaza biashara unayoijua mwenyewe), kuliko kutujuza tunayoyataka Sisi.
Mh move inaogopesha
Mungu aendelee kukuhifadhi sehemu salama
Wewe Dan fod umetumwa kila sehemu unacoment watakufa na umasikini wao sasa wewe una mchango gani na hii family au unashauri nn au unaumia nn na umasikini wa family ya mwalimu nyerere wewe mchochezi ni mtu hatar ktk jamii fata maisha yako achana na family hii haikuhusu
Mnakosea kuweka mziki kwenye intav
Acha kumfananisha nyerere na BWANA YESU.
mm macho yangu huwa yanaona kama baba wa taifa na mkewe wanafanana
wafanana songa
Umependeza but nywele zmekaa zig zaga
Matehemu du.miguu haina supu
Yaani uyu nyerere mtupu kichwa mkato wa nywere mdomo meno kabisaa nyerere
Hayo mamiwani mabayaaa
Mtangazaji agana na mgeni ndipo uendelee kutangaza hizo biashara zako.
Meno yanafanana
Amefana na babu yake masikini mungu ni mwema
Hata nilikuwa cmjui kabisa
Anafanana sana na bibi yake mama Maria Nyerere
Kabisa
Innalilah wain iray rajinuun
Mtangazaji upo vizuri, pia Sofia Nyerere upo makini katika kujibu maswali, hongereni.
Anafanana na babu yake hiko kichwa duuuuuh
Kweli.
Huyu mjukuu ni sura ya bibi yake
Wimbo wa nini hatusikii kinachoulizwa
Inauma sana mwenyezi mungu tutie nguvu
Miwani hiyo mmmhhh!!!
Hiyo miwani inakupoteza Sura halisi. Hiyo miwa amekuwa kituko walio Jirani hawamshauri
😂😃
😁😁😁😁 du 🤔🤔🤔🤔 wabongo kwanini wafukunyuku hivo miwani hiyoooooo 👉👉👉👉👉🤓🤓🤓🤓😎😎😎😎
Nampendaga sana sophia
R.I.P Sophia Nyerere
Eti watu kama wale wanatokea baada ya miaka zaidi ya 400. Unampangia Mungu?
Mwalimu alikuwa havai miwani kama hiyo mmmmhhhh!!!
kafanana na babu yake huyu bint
Labda akagombee Serikali za Mitaa
USHAUR (Soph) usiwe muongeaj sana na kwa heshma ya BABA wa TAIFA Tunaomba uwe unafanya (lntervw) na vyombo vya habar kama TBC au BBC VOA n.k kwasabab watangazaj wanaweled; nadhan huyo mtangazaj unamuona alivyo sisemi unafanya vbaya kuwa social lakn kwa kias Nyie ndio VIOO vya TAIFA hili.
Mtangazaj huo mziki atuhtaji...alafu mwalimu kaiacha familia yake ktk kipindi kigumu alileta uzalendo nch hii...ahahaha!wap mkapa wap kikwete...huyu hapa magu kusanya mali uncle
Nilimsikiliza Mpaka Pale alivyosema Waziri wake Mahiri ni Kangi Lugola Nikaclic kutoka sikumalizia. Hivi Nyerere angekuwa hai angemshabikia Lugola. HAPO HAKUNA KITU.
Ulitaka amchague nani? 🤣🤣🤣
450...? acha uongo wewe , huo utafiti wenu si sahihi kabisa
Huo music unaboa.
Duuuu...huyu Dada kichwa kama Nyerere
😂😃
Nitumie namba ya Sofia
Ninyi na kizazi chenu mnakufa na umaskini wenu. Marais waliofuata na familia zao wanatumbua nchi
Masikini ushasikiaa wanaomba au wanalalamika maisha magumu
@@hassansalum5362 swali zuri sana kk maskini siku zote ni kkurupuka tu
Danford Augustino Ahsante mpanga riziki ni Mwenyezi Mungu akiamua vyovyote vile inshalah
RIP Sophia 🙏🏼🙏🏼
R.i.p
Aaah hmna lolote mltuletea ucku tu😏😤
Rest in peace Sophia
Tulikuwa tunacheza pamoja na mwene 🤣🤣msasani na ikulu na unt anna
Ahmed Kapera hongera
R.I.P Dada...
huyo bibi yako aliyekuambia watu kama Juli kichogo wanatokea baada ya miaka 450 alikudanganya sawa?nyinyi musiwe wajinga mukamuabudu binaadamu kama mungu sawa?mtu aliye kuwa bora hapo tena hakuna na kampita huyo kichogo alikuwa Abulrahman Mohamed Babu kutoka nchi jirani yenu sawa?
Umeipeleka wapi busara uliopewa na wazazi wako?
Jujielewi unamdhihaki Nan au akili iko matakoni
Tatzo lako huwa unajibu vitu vingne ambavyo hujaulizwa