Huu wimbo kila nikiusikiliza unanivuta katika uwepo wa MUNGU na kusikia ROHO WA KRISTO akiniambia kutubu ili niweze kukisogelea kiti cha Rehema nipate neema zaidi na zaidi!atukuzwe MUNGU aliye hai katika KRISTO YESU kwa ufunuo wa mtumishi wake kuachilia wimbo huu!
Ubarikiwe Sana baba yangu mtumishi Paul Mwangosi,shujaa wa msalaba azidi kukuinua kwa viwango vya juu Sana ktk huduma take aliyokupa!!nabarikiwa Sana na nyimbo zako!!ipo Siri kubwa ktk kumuabudu Mungu kumtukuza Mungu!! umebarikiwa baba yangu!!
Mtumishi halisi Wa Mungu , nyimbo ina upako haina mbwembwe za kidunia, hakika mwenyezi Mungu aendelee kukubariki kwa viwango vya juu na injili hii ikaishi milele.
Hakika huu wimbo umejaa nguvu ya ROHO MTAKATIFU!nikihisi napungukiwa nguvu ya MUNGU nausikiliza huu wimbo kisha naanza kusikia kurejewa na nguvu ya MUNGU!MUNGU wa mbingu na nchi katika KRISTO YESU atukuzwe kwa ajili ya wimbo huu!
Ooooh my God.huu wimbo kila nikiusikia au kuimba ni machozi yanachuruzika tu.umebeba upako.Mungu azidi kuilinda na kuikuza huduma aliyoiweka ndani yako kaka Mwangosi
This was very powerful🔥 I remember ilikuwa mwishoni mwa 2019 usiku viwanja wa kawe MUNGU alimtumia mtumishi wake kutuambia Tanzania inabidi tuwe na moyo wa ibada kumbe alikuwa anatuandaa COVID-19 ikija ikute tayari mioyoni mwetu tumejawa ibada na MUNGU wetu yeye asiyeshindwa na jambo lolote lile🙌😭👏🙏🧎🏻♀️
Humwimbo nimwimbo wangu kila nikitaka kusari uwa unaniogoza sana na kunipa neno uwa natamani sana aya matamasha jamni namin ipo siku moja tu takuwa sikosi nikiwa naletewa latiba baba mtumishi mkiwa munataka kuziduwa nyimbo levi niambieni nami niuzurie jamni aya siyakukosa kunakuwa na upako wa kibabe unakuwa kwa yesu
naikumbuka hii tarehe 13 desemba 2019 ilikua siku ya kihistoria ambapo maelfu tulipaza sauti kusema UNATAWALA MILELE NA MILELE hivi mbinguni itakuaje sasa kama dunian ibada ipo namna hii
While listening and watching this song moyo wangu na mawazo yanahamishwa kabisa! I feel thy moove namuona Mungu kabisa. Mungu azidi kumbariki kepha mndeme kwenye keys, na kuzidi kumuinua kutumika katika ufamle wake
I wish I was able to like this video more than once, Every time I listen to this song I cry and especially when it comes to this first part that says “ Wewe ni Mungu, Unaeishi unaishi milele “ Thank you Lord Jesus 👏🏿
Bwana naomba unijaze roho mtakatifu utawale kwenye ndoa yangu pamoja na familia yangu mwanangu queen baba. Mama na wadogo zangu hukatawale ndani ya mioyo yao husiwaache masia
Huu wimbo kila nikiusikiliza unanivuta katika uwepo wa MUNGU na kusikia ROHO WA KRISTO akiniambia kutubu ili niweze kukisogelea kiti cha Rehema nipate neema zaidi na zaidi!atukuzwe MUNGU aliye hai katika KRISTO YESU kwa ufunuo wa mtumishi wake kuachilia wimbo huu!
Mungu akubariki mtumishi kwa wimbo mzuri sana. Nimejazwa na roho mtakatifu hata sasa.
Huu wimbo umeniinua imani yangu mara tena,ubarikiwe sana mtumishi
Unaishi milele 🙏hii nyimbo imeinua nafs yangu na roho mtakafifu kujazwa ndan yangu🙏
Ubarikiwe Sana baba yangu mtumishi Paul Mwangosi,shujaa wa msalaba azidi kukuinua kwa viwango vya juu Sana ktk huduma take aliyokupa!!nabarikiwa Sana na nyimbo zako!!ipo Siri kubwa ktk kumuabudu Mungu kumtukuza Mungu!! umebarikiwa baba yangu!!
who is listening this song on the first day of 2021???so blessed..
I do worship God through this blessed song
Kari nzuri Sana. Mungu akumiminie mafuta mabichi ili atukuzwe yeye zaidi kupitia wewe
Mtumishi halisi Wa Mungu , nyimbo ina upako haina mbwembwe za kidunia, hakika mwenyezi Mungu aendelee kukubariki kwa viwango vya juu na injili hii ikaishi milele.
Hakika huu wimbo umejaa nguvu ya ROHO MTAKATIFU!nikihisi napungukiwa nguvu ya MUNGU nausikiliza huu wimbo kisha naanza kusikia kurejewa na nguvu ya MUNGU!MUNGU wa mbingu na nchi katika KRISTO YESU atukuzwe kwa ajili ya wimbo huu!
Nafsi yangu yakuhitaji wewe bwana......, Endelea Kubarikiwa mtumishi🙏
Am finally here🙏. Thank you Jesus nimeupata wimbo huu maana nilikuwa nausikia vipisivipisi tu. This will be my top list forever🙏🙏🙏🙏
Unatawala milele yote Yesu kristo!!!
Kwa wote tunayoiludia hii nyimbo kwa2022 gongalike
Glory to God🙌🙌 total surrender 🙌
oooo jehova i just love the song so much an mungu aliye bimguni a kuzidishie kipaji chako paul mwangosi amen
Yes wimbo huu umenipa roho wa toba amen ubarikiwe
Ooooh my God.huu wimbo kila nikiusikia au kuimba ni machozi yanachuruzika tu.umebeba upako.Mungu azidi kuilinda na kuikuza huduma aliyoiweka ndani yako kaka Mwangosi
Hakika
Mungu akubaliki mtumishi amen
Sifa zina wingu la uwepo wa Bwana i need this album 😇🙏🙏🙏
This was very powerful🔥 I remember ilikuwa mwishoni mwa 2019 usiku viwanja wa kawe MUNGU alimtumia mtumishi wake kutuambia Tanzania inabidi tuwe na moyo wa ibada kumbe alikuwa anatuandaa COVID-19 ikija ikute tayari mioyoni mwetu tumejawa ibada na MUNGU wetu yeye asiyeshindwa na jambo lolote lile🙌😭👏🙏🧎🏻♀️
nakumbuka pia it was the very powerful song ile siku wingu lilishuka sana na alipopanda Boaz Danken ikakamilika ibada
Yaan kuabudu raha sana
Usitumie imoji, stacker kwa kukoment au kulaiki hizi ni hatari sana katika ulimwengu wa roho hizi ni mbinu za shetani kueneza uongo
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🙏.❤️
Aan huu wimbo unashusha UPAKO wenyewe 🥰🇧🇭🇰🇪
Aki God ako na watu wenye ame wa annoint kuimba
Tunakushukuru sana mtumishi kwa huduma nzuri ya kuinjilisha MUNGU AKUBARIKI
Mungu aendelee kuwatumia Mtumishi uwa unanibariki Sanaa Kwa uimbaji Wako mzuri
Zidi sana katika Mungu, naye akitukuka hakika jatakuacha bure, live blessed , you encourage me much hapa Kenya Nairobi.
Humwimbo nimwimbo wangu kila nikitaka kusari uwa unaniogoza sana na kunipa neno uwa natamani sana aya matamasha jamni namin ipo siku moja tu takuwa sikosi nikiwa naletewa latiba baba mtumishi mkiwa munataka kuziduwa nyimbo levi niambieni nami niuzurie jamni aya siyakukosa kunakuwa na upako wa kibabe unakuwa kwa yesu
Unatawala Milele na Milele.. Wewe ni Mungu unaishi Milele na Milele. Glory be to the Most high God.
Hakika mungu ni mkuu umenibatiki sana nimeamin mungu anatawala mulele
Listening 2024,, who's up..
naikumbuka hii tarehe 13 desemba 2019 ilikua siku ya kihistoria ambapo maelfu tulipaza sauti kusema UNATAWALA MILELE NA MILELE
hivi mbinguni itakuaje sasa kama dunian ibada ipo namna hii
Ni kuimba ni kusifu tu eee thank u jesus
Glory to God!!! Nijaze Bwana!!!
Naupenda Sana huu wimbo
While listening and watching this song moyo wangu na mawazo yanahamishwa kabisa! I feel thy moove namuona Mungu kabisa. Mungu azidi kumbariki kepha mndeme kwenye keys, na kuzidi kumuinua kutumika katika ufamle wake
Same here
Kila nikikosa nguvu za kuomba nikisikiliza tu huu wimbo Huwa unaniweka sawa🙏🏾
I wish I was able to like this video more than once, Every time I listen to this song I cry and especially when it comes to this first part that says “ Wewe ni Mungu, Unaeishi unaishi milele “ Thank you Lord Jesus
👏🏿
Listening from kenya.i wish I could worship as he does.Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana Baba
Hizi nyimbo aiseeee, zina nguvu ya Mungu sana
Anajibu maombi yetu Mungu wetu tunaendelea kumwamini na kumwinua yeye tu anayestaili yeye niElishadai ,ni Simba la kabila la yuda yeye ni Mungu tu.
I love this worships it takes me to the feet of Jesus
YESU kristo Naomba nijaze nikuzalie matunda kama mwanadamu ni mdhambi na mdhaifu Mnoo,
Nijaze eeehh Bwana na nguvu zako na roho wako 🙏
Hallelujah 🙏 glory, to God Jesus Christ,
Mwangosi you are a best Swahili singer I ever seen.
Thanks Jésus Christ tu règnes à jamais dans ma vie Saint-Esprit
Nafsi yangu yakuitaji ewe BWANA
Na Roho yangu yakuitaji ewe BWANA
2025
Amen naskia kubarikiwa Amen
Minister Paul may the fresh anointing of praise and worship never depart from You Sir 🙌🏿🙌🏿
Eee Bwana nijaze nguvu zako.Huu wimbo unanibariki sana tangu siku ya kwanza kuusikia. Mungu akutunze mtumishi Mwangosi na wote mlioimba pamoja.
Nakupenda Yesu
Aisee mimi ni mpagani ila huu wimbo naupenda sana voice melody Dar yaani kweli kama ni Mungu razima ashuke kama mnavyosema
Karibu kwa Yesu rafiki yangu 😊
Comment bora kabisa. Mungu akuonekanie.
Nijazee yesu nguvu zako.
You're God forever
Waoh am blessed such a powerful worship watching from 🇰🇪kenya
Roho mtakatifu nijaze nguvu zako na uweza wako katika jina la Yesu
Nijaze Yesu roho wako,nijaze Yesu nguvu zako😭😭😭
Mungu akubariki sana, Nyimbo zako zinaniweka karibu sana na uwepo wa Mungu 🙏
mtumishi hakika mungu anakutumia sana unanibalik sana mm ni mwimbaji nipo mwanza hakika wew unauguza moyo wangu
Hallelujah hallelujah nafsi yangu yakuhitaji Bwana🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🧎♂️🧎♂️
This is powerful man of God being blessed at kenya... tz nitakuja ...
..good Swahili gospel from Mwangosi
The song is so powerful, very much uplifting, only if the false tangues could be truncated, otherwise keep up the good work.
I connect my self with this Song in Jesus name hope I will be filled with Holy Ghost my father my father fill me with your spirit ♥️♥️♥️♥️♥️
Be blessed Kaka MWANGOSI and your Team.
Niko proud na kabila langy tumebarikiwa vipaji vya kuimba
Thank u jesus
Huuu wimbo unaniqusa pindi ninapousikia Munqu azid kukufanikisha mtumishi
I was looking for this song for a long time,finally i got it~i'm speechless, be blessed guys.
Wimbo unanibariki sana Unatawala yesu milele amin
Amen 🙏🙏🙏🙏
Nafsi yangu wakuhitaji Ewe Bwana na roho yangu yakuhitaji Ee Yesu.
Usiku wa Leo nafsi yangu inakuhitaji Bwana ,roho yangu Ina kiu na wewe eh Bwana nijaze nijaze😢😢😢
Huwa nabarikiwa saaana na nyimbo zako z kuniwezesh kusari zaidi n kumtafakari MUNGU
Ubarikiwe wewe unamwabudu Mungu halisi
Huu wimbo una nguvu ya Mungu sana, una gusa sana, Asante sana mtumishi
Wimbo mzuri sana ,Unaupako zaidi ya upako🤲Barikiwa
Sina chakusema zaidii mungu amuinue huyu mtumishi Wake kwani huu wimbo unanitoa mahali Fulani unanipeleka mahali Fulani
Such a blessing song and bringing us close to God ,I love it.
God bless you my Brother
more than Powerful this song
Bwana naomba unijaze roho mtakatifu utawale kwenye ndoa yangu pamoja na familia yangu mwanangu queen baba. Mama na wadogo zangu hukatawale ndani ya mioyo yao husiwaache masia
Hakika wewe ni Mungu unayeishi
Nakuabudu Mungu mkuu
This song is blessing me so much I can't finish listening it day by day God be glorified
Nafsi yangu yakuitaji wewe pekee Yako yesu
HAKIKA nafisa na roho yangu inamhitaji BWANA ili niwe salamas
Ameen watumishi WA Mungu
It's a spiritual powerful song.. unanivuta sanaaa kwenye uwepo wa Mfalme wa Wafalme
Nijaze roho wako bwana wangu yesu kristo
Hunatawala milele na milele wewe no mungu hunayeishi hunaishi milele
Wewe ni mungu unaishi milele
Annointed upon my soul🙏🏻
I can't get enough of this song 🇰🇪🙌
Amen,, endelea kubarikiwa,, paulo mwangosi
I love that your songs don't have ads...Thank you for that!
Hakika wewe ni mungu tawala akili zangu,fahamu ,mwili na roho yangu ili niufikie ufalme wako
Nijaze roho mtakatifu wa yesu kristo
Amen 🙏🏾
Pokea sifa Bwana wastahili!!Asanteni kwa kazi nzuri
,Nyimbo zina nguvu,utukufu mpe Yesu
Nice song be blessed man of God
YESU karibu kwangu nitumie upendevyo
I love this, thanks worshippers of the Living God
Glory to God
unaishi milele ohh Yesu tawala Tanzania milele
Nafsi yangu yakutamani ewe bwana nijaze