Mambo ya chemka kiwanjani maswali yaletwa kuletwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 14

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 20 дней назад +3

    Maa Shaa Allah number one leo Allah atuongoze njia ilio nyooka.Aamiin

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 20 дней назад +3

    Masha Allah Tabaraka Allah

  • @guyogalora-gl2lu
    @guyogalora-gl2lu 16 дней назад +1

    Masha Allah..barak Allahu feek sheikh wetu wote

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 20 дней назад +1

    Mazbut ndani ya field.... Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 20 дней назад +6

    Assalamualaikum masheikh zangu kwakweli nimeumizwa sana kusikia huyo Mzee anasema amesilimu lakini hajui vipi atapata elimu Mimi nawashaulitu masheikh wetu manafanya kazi kubwa sana ila msiwasilimishetu watu nakuwaacha mitaani pekeyao mnatakiwa kuwashika mkono mpaka kwa walimu nakuwakabizi mkonokwamkono mpaka kwa walimu sio kuwapavitabutu na kuwatuma kwa walimu hawatafika wapelekeni wenyewe kwasababu mmejitolea wenyewe sasa nijukumu lenu kuwaonyeaha wapiwatapata elemu msiwaache wajitafutie wenyewe wao hawajui jinsi yakuwapata walimu tafazalini kwakweli imeniuma sana ningekua kalibu ningefanya juu chini kumpekeka mpaka kwa walimu au kwa muisilamu yoyote anajua dini amfundishe sio lazima afundishwa na ustadhi hatamtu wakawaida anaejua japohata kido ila amfundishe Yale yamuhimutu kwanza tafadhali msiwaache mpomaliza mkutano muhakikishe mnaondoka nao chukueni nambazao muwemna wapigia simu kilasiku kujua halizao za kielimu wanaendeleaje usilamu Kenya upochini sana sasa mnapo waachatu njia panda usilamu hautakua itakua mnafanya kazi ya buletu mbarikiwe sana masheikh wetu Asalaam alaykum

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  20 дней назад +2

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ni jukumu ya kila muisilamu sio walimu peke yao

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 19 дней назад +1

      Sahiih..Allah atuongoze njia ilio nyooka
      Aameen

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 20 дней назад +1

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @Sal.0
    @Sal.0 19 дней назад +1

    MashaAllah, video ya Tatu kutoka Isiolo.
    Hata Mwalimu Hussein Mwenja apewe Mic, wakati kama huu, wakati Meza ime tulia.
    Yeye pia ana need practise yakuwa Daee!
    TabarakAllah Team.

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 20 дней назад +1

    Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh

  • @mohamednurmohamed8812
    @mohamednurmohamed8812 20 дней назад +1

    Waislamu jamani hii ni aibu kwetu huyu Mzee kwa kweli hakuna wa kumshika mkono isiolo hapa dawaa Salim jaribuni hawa walimu wa hapo wajitokeze aibu wallahi

  • @josemu870
    @josemu870 19 дней назад

    Allahamdhulla

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 19 дней назад

    Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh