NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 151

  • @FatumaSalehe-kh5kc
    @FatumaSalehe-kh5kc 5 дней назад +2

    BWANA Yesu naomba Uniponye hii roho ya madeni.Najitadi kukwepa Lakini nashindwa
    .Kila kitu Kwako kinawezekana,naomba BWANA UNIPONYE.AMEN.

  • @LucyKimario-b3m
    @LucyKimario-b3m 9 месяцев назад +10

    Mungu nibariki nipate pesaya biashara nimechoka kuhangaika ee bwana

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  9 месяцев назад +1

      Amen 🙏

    • @vibzmish9885
      @vibzmish9885 7 месяцев назад

      Amen

    • @peter-vq9tk
      @peter-vq9tk 5 месяцев назад

      Pokea haja za moyo wako in Jesus Name

    • @AmAm-xt1og
      @AmAm-xt1og 2 месяца назад

      Mungu akupe hoja ya moyo wake🙏🙏

  • @zarymabuku-vl2my
    @zarymabuku-vl2my 11 дней назад +1

    Amina EeMungu wsngu naomba ukanionekanie wiki hii ikawe njema kwenye maisha yangu.Amen.

  • @Winifridamjita
    @Winifridamjita Месяц назад +1

    Nikisikilza huu wimbo napata faraja mbarikiwe sana waimbaji

  • @JoyceAlexanda
    @JoyceAlexanda Месяц назад +2

    Asante yesu kunajambo unaenda kulifanya juu yang

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 6 месяцев назад +3

    Amina Amina Sana wimbo hizi Zina upako mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  6 месяцев назад

      Amen 🙏, please share, like and subscribe 😊 ❤️ ☺️

  • @MaryOmbay-nx4ci
    @MaryOmbay-nx4ci 3 месяца назад +1

    Amen Nimepokea nguvu ya damu ya yesu

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  3 месяца назад

      @@MaryOmbay-nx4ci share kwa wengine ila waweze na hao kufaidika ❤️

  • @MariaNyero-q3j
    @MariaNyero-q3j 8 месяцев назад +4

    Ikitiririka tunapata Uzma Ameen nimebarikiwa

  • @neemaTandula
    @neemaTandula 8 месяцев назад +1

    Nikiuskilza huu Wimborne waga na barikiwa sana waga nahisi kama nipo mbingun

  • @sarachunga-fi3nm
    @sarachunga-fi3nm 6 месяцев назад +4

    Mungu awatangulie na awatie nguvu nyote mnaemsifu kwa nyimbo zuri

  • @alfinmigosi8493
    @alfinmigosi8493 7 месяцев назад +5

    Asante bwana Kwa kumtoa mwanao wa pekee Yeso kristo afe msalabani Kwa ajili ya dhambi zetu. Have mercy on us Jehovah, forgive our sins thru this song in Jesus name

  • @anipelutego989
    @anipelutego989 7 месяцев назад +3

    mungu namimi nibariki nipate kibali chakukubalika nyota yangu iangaze mahali popote nituapo mguu wangu

  • @FurahaAndrea-sj2ud
    @FurahaAndrea-sj2ud 5 месяцев назад +1

    Asante bwana yesu kwazawadi ya uzimaaa na uhaiii mim na mtot wangu pamoj nawazazi wanguuu 🙏

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  5 месяцев назад

      @@FurahaAndrea-sj2ud amen 🙏

  • @puritykhamete-r2c
    @puritykhamete-r2c 2 месяца назад +1

    May God of mercy be with us forever 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤

  • @AnthonyKareithi
    @AnthonyKareithi 8 месяцев назад +2

    I thank God for the far He has taken me.

  • @marynangila-u1m
    @marynangila-u1m 8 месяцев назад +1

    Your Will be done my Lord 🙏🙏

  • @violetoketch
    @violetoketch 2 месяца назад +1

    Amen ashante Sana mungu

  • @FrederickAdiyo-tn8kl
    @FrederickAdiyo-tn8kl 5 месяцев назад +1

    Blessed song,thank you Jehovah God.halelujah glory glory glory, thank you Jesus Christ of Nazareth.

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  5 месяцев назад

      @@FrederickAdiyo-tn8kl amen 🙏

  • @MaryMwita-dm6uq
    @MaryMwita-dm6uq 8 месяцев назад +1

    Nikisikia hio wimbo inanitia Moyo sana katika maisha yangu

  • @HappySuleiman-u7t
    @HappySuleiman-u7t 3 месяца назад +1

    Bwana naomba unitawale🙏🙏🙏🙏

  • @ivona-p4t
    @ivona-p4t 2 месяца назад

    Nabarikiwa na huu wimbo ee Mungu nitendee

  • @johngift7716
    @johngift7716 5 месяцев назад +2

    Asante mungu kwa kunipa mtoto mungu nilindiye

  • @mwangebulongo
    @mwangebulongo 10 месяцев назад +2

    Hee yesu nitende miujiza bwana niponye he yesu wangu

  • @LydiaAnyolo-y8s
    @LydiaAnyolo-y8s 10 месяцев назад +2

    Asante kwa damu ya yesu .Amen

  • @echaraitlopua6227
    @echaraitlopua6227 8 месяцев назад +1

    Bwana tena sawa na mapensi Yako.

  • @jacklineamakove
    @jacklineamakove 6 месяцев назад +1

    Nabarikiwa sana Asante mungu

  • @LilianAbasy
    @LilianAbasy 5 месяцев назад +2

    Asantee mungu wangu naziona nguvu zako mahari hapa ❤

  • @StephenMuli-cu2wu
    @StephenMuli-cu2wu 11 месяцев назад +4

    Nice songs that heal thank you for sharing we need more God bless you abundantly

  • @SarahLudula
    @SarahLudula 9 месяцев назад +2

    Asante yesu wangu

  • @lydiaandisi1938
    @lydiaandisi1938 Месяц назад +1

    Bwana Yesu wacha damu yako inene mema kwa maisha yangu, financial breakthrough God ,my first born anfanya mtihani wake wa form 4 ee Mungu msaidie kwa masomo yake, damu yako imushindie yote, AMEN AMEN

  • @monicakatunzi
    @monicakatunzi 4 месяца назад +1

    Eeh bwana ninashukuru kwa majaribu yangu, najua uko nami hata sasa na siku zote kwakua wewe ni mwanifu na utanena neno moja kwangu🙏

  • @LilianLumeme
    @LilianLumeme 7 месяцев назад +1

    Thank you God 🙏🙏

  • @nyakatongongo4292
    @nyakatongongo4292 4 месяца назад +1

    Nawatia nguvu watu wa Mungu msichoke Yesu anajibu sana mtafuteni tenga wakati wa maombi midnight fungeni na kuomba .nimemuona amejibu yote

  • @JanethMungure
    @JanethMungure 6 месяцев назад +1

    Utukuzwe Mungu Mbinguni

  • @VICTORIAMOLLEL
    @VICTORIAMOLLEL 6 месяцев назад +2

    May God bless you love it so much

  • @ayubunnko4177
    @ayubunnko4177 10 месяцев назад +2

    My morning worship: blessed much🎉🎉🎉

  • @JavisMakupe
    @JavisMakupe 7 месяцев назад +3

    Jesus is my way,.

  • @dorcasmambuti9522
    @dorcasmambuti9522 10 месяцев назад +1

    Be blessed for the powerful songs of worship keep on ministrying for Serving 🙏 is not in vain for it has a reward from God and you are blessing to many 🙏

  • @AnaMauricioPatricio
    @AnaMauricioPatricio Месяц назад +2

    MUGNU naomba nipone HIV sina amani ya moyo mbwana 😭😭😭🙏

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  Месяц назад

      Mungu anajua maumivu yako na wasiwasi unaopitia. Yesu anasema katika Mathayo 11:28, "Njoni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha." Katika Yesu kuna uzima na matumaini.
      Usikate tamaa, kwani Mungu ni mwaminifu na anajua kila hitaji lako. Unaweza kumwamini yeye kwa uponyaji, utulivu wa moyo, na amani. Endelea kumuomba, kuwa na imani na utafute msaada wa kimatibabu, kwani Mungu hutumia njia mbalimbali kutuponya.
      Uwe na tumaini jipya kwa Yesu, maana kwake hakuna lisilowezekana!
      (Mimi ni daktari njoo whatapp nikufundishe zaidi kuhusu UKIMWI kwani sio jambo la kuliogopa kabisa nimewahudumia wagonjwa wa wenye UKIMWI kwa Muda wa Mwaka mzima nimezalisha wamama wengi sana na wapo na maisha mazuri sana leo pia nimetoka kumuhudumia Mama ambaye pia majifungua mtoto na alikuwa na watoto na mume wote hawana UKIMWI Njoo nikufundishe mengi kuhusu UKIMWI na Mungu atakubariki na kukupa Tumaini Jipya Usikate Tamaa 0759496895 Dr Nico )

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master  Месяц назад

      Mimi ni daktari njoo whatapp nikufundishe zaidi kuhusu UKIMWI kwani sio jambo la kuliogopa kabisa nimewahudumia wagonjwa wa wenye UKIMWI kwa Muda wa Mwaka mzima nimezalisha wamama wengi sana na wapo na maisha mazuri sana leo pia nimetoka kumuhudumia Mama ambaye pia majifungua mtoto na alikuwa na watoto na mume wote hawana UKIMWI Njoo nikufundishe mengi kuhusu UKIMWI na Mungu atakubariki na kukupa Tumaini Jipya Usikate Tamaa 0759496895 Dr Nico

    • @AnaMauricioPatricio
      @AnaMauricioPatricio Месяц назад

      @@DrN.DJ_Master Mimi Niko Moçambique

    • @Nguvuyamotolumuma
      @Nguvuyamotolumuma 15 дней назад

      Mungu anafanya mambo yaajabu sana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 8 месяцев назад +1

    Ameeeeeen ❤❤❤

  • @leahtitiha2445
    @leahtitiha2445 9 месяцев назад +1

    More blessings to you team , for best worship songs, soo touching!!!

  • @AnnaNzuttu
    @AnnaNzuttu 7 месяцев назад +1

    I feel wonder in this gospel and new hope in my life❤

  • @Chebet254
    @Chebet254 10 месяцев назад +1

    Powerful worship songs thanks be blessed 🙏

  • @wicky77
    @wicky77 11 месяцев назад +3

    Thank you so much for sharing the songs. I feel blessed as I immerse myself into worship with these songs

  • @cheromei
    @cheromei 11 месяцев назад +1

    This is wonderful. Thanks for sharing. I am blessed. Praise the Lord

  • @RachelIrumba
    @RachelIrumba 10 месяцев назад +4

    Nabarikiwa sana na huu wimbo,naamin bwana atanena neno nam nitapona

  • @ThriveRukoma
    @ThriveRukoma 3 месяца назад +1

    Nabarkiwa

  • @rosianacool2041
    @rosianacool2041 11 месяцев назад +1

    Amen and Amen 🙏 Glory to Almighty God

  • @dajadapa4446
    @dajadapa4446 10 месяцев назад +1

    Ikitiririka hivo,uponyaji tunapata

  • @NoelyTezza-zd2ro
    @NoelyTezza-zd2ro 4 месяца назад +1

    Eeh bwana ninaku shukur kwa kunipa maalifa ya utaftaji lkn kuna jambo 1 naomba usichoke kunisimamia niweze kupata mke wa ndoa ambae ntasikilizana nae amina

  • @brendanasimiyu2420
    @brendanasimiyu2420 6 месяцев назад +1

    👏🙏 amen

  • @ReshmaRaja-g8m
    @ReshmaRaja-g8m 9 месяцев назад +1

    Alhamdulillah

  • @PaulAmbrose-nm1sq
    @PaulAmbrose-nm1sq 22 дня назад +1

    ❤❤

  • @ElizaPetro-fy2rm
    @ElizaPetro-fy2rm 8 месяцев назад

    Amen 🙏🙏

  • @EMMANUELIKIBONATZ
    @EMMANUELIKIBONATZ 9 месяцев назад +1

    AMEN

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 11 месяцев назад +2

    Amen nyimbo nzuri sanaa kubarikiwe

  • @Christine-jt8cv
    @Christine-jt8cv 8 месяцев назад +1

    Namim naamin bwana ata tenda kenye maisha yangu

    • @Christine-jt8cv
      @Christine-jt8cv 8 месяцев назад +1

      ❤❤ unatosha yesu hakuna kama wew

  • @gitongampoozi8916
    @gitongampoozi8916 10 месяцев назад +1

    Wonderful songs

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 10 месяцев назад +22

    BWANA YESU KUNAJAMBO UNALIFANYA KWENYE MAISHA YANGU NA WATOTO WANGU KWENYE MASOMO YAO

  • @FrankIlenga
    @FrankIlenga 3 месяца назад

    Damu yatiririka damu hasa hata usiku huu

  • @saraphinawillson939
    @saraphinawillson939 11 месяцев назад +1

    Amen 🙏

  • @ayubunnko4177
    @ayubunnko4177 10 месяцев назад +1

    Ameen❤❤❤🎉

  • @JavisMakupe
    @JavisMakupe 7 месяцев назад

    God bless them.

  • @mwangebulongo
    @mwangebulongo 10 месяцев назад +1

    Amen

  • @neemapiniel8511
    @neemapiniel8511 10 месяцев назад +1

    AMEEN

  • @agnesnyaboke-ex6lx
    @agnesnyaboke-ex6lx 10 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ameeen

  • @DicksonNyanguye
    @DicksonNyanguye 4 месяца назад +1

    Boaz

  • @symonndogo8736
    @symonndogo8736 11 месяцев назад +1

    SO GOOD

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 8 месяцев назад +1

    🙌🏼🙌🏼❤

  • @NoelyTezza-zd2ro
    @NoelyTezza-zd2ro 4 месяца назад +1

    Amen;

  • @AlexSangwa
    @AlexSangwa 11 месяцев назад +1

    Amee

  • @faithmwailunga6954
    @faithmwailunga6954 8 месяцев назад +1

    🙏🙏

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @YohanaNillason
    @YohanaNillason 6 месяцев назад +1

    Ameni nyimbo nzuri

  • @JavisMakupe
    @JavisMakupe 7 месяцев назад

    Iam bless

  • @GorethWiston
    @GorethWiston 4 месяца назад +2

    DAM YA YESU INANENA MEMA

  • @JoyKendi-c5b
    @JoyKendi-c5b 10 месяцев назад

    How to download

  • @MaryOmbay-nx4ci
    @MaryOmbay-nx4ci 3 месяца назад +1

    Amen Nimepokea nguvu ya damu ya yesu

  • @InivyolataMgani
    @InivyolataMgani 8 месяцев назад

    Asante yesu

  • @MusaClement-tw6om
    @MusaClement-tw6om 6 месяцев назад

    Asante mungu

  • @judithmsenye
    @judithmsenye 8 месяцев назад +1

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @Zainab-v2q2o
    @Zainab-v2q2o 8 месяцев назад +1

    Amen

  • @MariaWilliams-c1o
    @MariaWilliams-c1o 8 месяцев назад +1

    Amen

  • @ElinaMgata
    @ElinaMgata 7 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @ElinaMgata
    @ElinaMgata 7 месяцев назад +1

    Amen

  • @ElinaMgata
    @ElinaMgata 7 месяцев назад +1

    Amen

  • @BubeleGwida
    @BubeleGwida 7 месяцев назад

    Amen

  • @BettyEmmanuel-v2l
    @BettyEmmanuel-v2l 7 месяцев назад +1

    Amen

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 3 месяца назад

    Amen