IBRAHIM TRAORE AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KWENDA NA BASTOLA GHANA KWENYE UAPISHO WA RAIS MPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 244

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 24 дня назад +29

    Huyo ana maadui kibao Africa 😅

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su 24 дня назад +32

    Atembee nayo tuu ni sahihi watu hawaaminiki

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 24 дня назад +10

    Safi sana lbrahim. Wakikiwasha nawe unakiwasha mwenyewe siompaka usaidiwe. Maashaallah Allah akulinde ,,lbrahim . Na maadui🤲

  • @gibsonmomanyi2692
    @gibsonmomanyi2692 24 дня назад +18

    Yeye ni mwanajeshi, ako tayari wakati wowote

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 24 дня назад +24

    Ghana wenyewe ni vibaraka wa magharibi , hakuna kuamini Kima yeyote..

  • @idrissmutinda6243
    @idrissmutinda6243 23 дня назад +10

    Anafaa abebe kila mahali,ata ikiwezekana abebe gurunets.viongozi wa African ni wapenda hongo sio wakuaminika.Wanatumiangwa na wabeberu kumalizana wao Kwa wenyewe.mfano,MUAMAR GADAFFI amekufa bure tu,SAGARA PIA,MAJUZI JOHN POMBE MAGUFULI kauliza bure tu na wenzake.I love Traore.

    • @georgeikinya2779
      @georgeikinya2779 23 дня назад

      Kweli kabisa

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 23 дня назад

      @@georgeikinya2779 Mm ni kizee nina 66 kwa sasa lkn nampenda huyu kijana sana. Ni juu yake kila mtu ana haki ya kuona njia ipi ni ya usalama wake. Wapi awe vp na wapi awe vp. Nijuu yk. Mwacheni mwenyewe

    • @henelckneatunga2720
      @henelckneatunga2720 7 дней назад

      TENA TENGENEZA NA VIAZI VIDOGO ILI WAKIJA WENGI UNAKITUPA KIMOJA KWISHA HABARI YAO.

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 24 дня назад +16

    HUyo ni mwanajeshi lazima awe siraha popote pale alipo.

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 23 дня назад +6

    Ongeza na guruneti ibrahim nakukubali

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 21 день назад

      Siku nyengine abebe Mashine-gun kabisaa, maana viongozi wengi wa Afrika na masnitch sana

  • @mwenedelommy9644
    @mwenedelommy9644 24 дня назад +26

    Kwanza afadhali yeye ingekua mimi ningeenda mashine gun na chain ya risasi 😂😂😂

    • @anny19988
      @anny19988 23 дня назад +2

      Kifurushi cha bomu kwenye briefcase usisahau. Wakizingua unalidondosha😂😂😂

    • @zahorsuleyman7617
      @zahorsuleyman7617 23 дня назад +2

      Wacha bangi izo,Dah! Umenifurahisha sana leo

    • @SwaleheMchora
      @SwaleheMchora 23 дня назад

      Duuh 😅

    • @simbachui2281
      @simbachui2281 22 дня назад

      4REAL-BRO,,,

    • @nassoromfumya7319
      @nassoromfumya7319 22 дня назад

      Unawazimu hahaha nimecheka sana

  • @mumanikelly4495
    @mumanikelly4495 24 дня назад +15

    Hii ni ishara ya kujiamini

  • @anny19988
    @anny19988 24 дня назад +9

    Tunampenda hivyohivyo na alishangiliwa akiwa Ghana. Bastola ni muhimu huwezi kuamini mtu

  • @babukhamis1246
    @babukhamis1246 24 дня назад +5

    Yupo sawa kubeba bastola

  • @EdwardMolell
    @EdwardMolell 22 дня назад +3

    Tunakuombea sana mungu akulinde waafrica niwatu wakujali matumbo Yao wakidanganywa na posho kidogo basi wanakufanya mkweli awataki kujiulisa posho yanin 😮😮

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 20 дней назад +2

    Atembee nayo tu kama hamumtaki msimualike kwenye nchi zenu😂😂 nakupenda sir Traore napenda sana watu wanaojiamini

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 24 дня назад +3

    Huyu ni leader sio raisi

  • @amkadunia
    @amkadunia 24 дня назад +12

    Bastola haina ubaya ni Propaganda za Magharibi

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 24 дня назад +12

    Afrika hakuna usalama wa kweli ndio mana anakuwa nayo.

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 21 день назад +1

    Long live traole

  • @SimoneJoel-u8h
    @SimoneJoel-u8h 23 дня назад +1

    Very ok.he is a military leader.till he goes to ballot

  • @ElivassLukumyai
    @ElivassLukumyai 24 дня назад +1

    Mimi namwopea mungu amulinde tupe mauwa yake tuashe unafiki wasangu African 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 24 дня назад +7

    Kwa njaa za mtu mweusi ukiwa na uwezo wa kujiongezea nguvu fanya hivyo. Wamuache kwani inashida gani au kwa kuwa kafanya Mwafrika.

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 20 дней назад +1

    Ni sahii kabisa, uyo ni mmasai na sime yake👏👏

  • @SuleLeshi-t2m
    @SuleLeshi-t2m 24 дня назад +5

    Afrikaans hatupendani

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 24 дня назад +8

    jerry rallings alipokuja tanzania alikuja na bastola kiunoni

    • @AbubakariMussa
      @AbubakariMussa 24 дня назад

      Wacha Rawlings,Fidel Castrol,Yassir Arafat nk.walikuja na silaha zao viunoni mbali na body guards.

  • @RamadhanGoagoa
    @RamadhanGoagoa 21 день назад +1

    Yesu wetu huyu amerudi kivingine mungu akupé na bastora kàma ya mussa

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 24 дня назад +7

    Useni umesema kuhusu toure,uyo ni maghufuli.

  • @harounhabib
    @harounhabib 24 дня назад +4

    Kumbukeni Samuel Doo alivyotekwa njiani chini ya hakikisho la ulinzi wa UN

  • @AziCure
    @AziCure 24 дня назад +16

    Kuna mambuzi humu bado yamelala😂😂😂
    Bado yanashangiliaga America

  • @beautyafrica254
    @beautyafrica254 23 дня назад +4

    Ibrahim ni mwanajeshi sio mwana siasa,Huwezi tenganisha mwanajeshi na Bastola

  • @VenantMshema
    @VenantMshema 16 дней назад

    Aongeze nyingine ziwe 2❤❤

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 24 дня назад +7

    Yeye ni jeshi kwaiyo ni kawaida.

  • @saidmatola8015
    @saidmatola8015 23 дня назад +1

    That is simble of revolution.....

  • @ShizyaMsyani
    @ShizyaMsyani 24 дня назад +4

    inatakiwa waelewe kwamba huyo ni kiongozi wa kijeshi labda angekuwa rais wa kawaida mbna rais tu kuelewa mkuu wa nchi ni Nan? Hawa jama akili ndogo.

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 24 дня назад +8

    wanataka atembee kifala😂😂😂😂

  • @Juma-e8l
    @Juma-e8l 23 дня назад +2

    MAN TO MAN NEVER TRUST EACH OTHER. TRUST ME 😂😂

  • @ahmedAwesu-g8o
    @ahmedAwesu-g8o 24 дня назад +3

    Wao raia wacha wavae suti na majoho ila cc lazima tuwe ivo km tunavoonekana

  • @SaidCannal
    @SaidCannal 23 дня назад +2

    Hata Rais fidel kasto wa Cuba alikua akitembea na basla ...acheni ushamba

  • @LeonardMassawe-g9n
    @LeonardMassawe-g9n 24 дня назад +2

    Yeye ni mwanajeshi na kavaa gwanda kwahio gwanda bila silaha basi atajua Bado hadavaa sare ya jeshi

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 19 дней назад

    Safi sana traoree❤

  • @JustinMwanzeni
    @JustinMwanzeni 20 дней назад

    Sio hiyotuu kamamimi nabeba R PG viongozi waafrika wengiwao vibaraka safisana Mh traore

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 24 дня назад +3

    Afrika ni wanafiki lazima abebe

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 24 дня назад +2

    Watulie uyo ni camanda na hakuna wa kumuamini anajua ana maadui wengi sana

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 23 дня назад +2

    Mwanaume wa kazi lazima awe tayali kwa vita muda wote

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 24 дня назад +4

    Huyu ni bora kuliko haya majiz ya chama kimoja

  • @IsufuRajabu-v9c
    @IsufuRajabu-v9c 23 дня назад +3

    Wa Africa ni wanafki wanaweza wakamuuza

  • @Nursinghilbank
    @Nursinghilbank 23 дня назад +3

    Laiti ningekuwa mshauri wake. Ningemshauri atembee na upanga pia nakisu

    • @VillaTemu-k4p
      @VillaTemu-k4p 22 дня назад

      😅😅😅

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 21 день назад

      Siku nyengine abebe Mashine-gun kabisaa, maana viongozi wengi wa Afrika na masnitch sana

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 24 дня назад +2

    Askar mkubwa kama huyo lazm awe na ulinzi kama angelikuwa ni raia alaf ni rais sawa lkn ni wanajeshi alaf ata yeye mwenyew ameshaepuka kifo zaid ya mara 13

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 14 дней назад

    Huyu ndio rais wa afrika

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 24 дня назад +2

    We ndo unaeshangaa yule anaendanayo Hadi ulaya.waafrika tumerogwa angekuwa mzungu tungesema self defense!! Lakin mwafrikamwenzetu kakiuka sheria

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f 24 дня назад +4

    Kote huko ni kujilinda maana anamaadui wengi sana.

  • @JactonKai
    @JactonKai 23 дня назад +2

    huyo ndio jogooo wa Africa wengine walio baki ni mapimbi tu na mafisadi.

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 23 дня назад +2

    Mwandishi ulitaka bastola aivae mabegani?

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 19 дней назад

    Traore anawajua hao Ghana kama vibaraka wa wazungu same Kenya

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 13 дней назад

    Kwanza ni kiongozi wa kijeshi,yaani Urais umemkuta akiwa ni Mwanajeshi kwahiyo nahisi ni sehemu ya kanuni mwanajeshi anatakiwa awe tayari muda wote,sijaona shida.

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 24 дня назад +1

    Hasidi huwa hana sababu. Wameona hawana pa kumtia aibu isipokuwa kusema maneno ya kipuuzi km haya. Kumbukeni kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.

  • @FreadySayona1
    @FreadySayona1 22 дня назад +1

    Jeshi la mtu moja kijana tuore tunakupenda mno MDA wote tembea na barstool MDA wote

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 22 дня назад

    sa jeshi anachaje kitu chake nyuma Africa🌍 wanyewe atujelewi

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 23 дня назад

    Kabebe Atambili Anashida kwa salama wake viongosi wengi nimacnichi tuu kujilinda nilazima

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 23 дня назад

    Bastola ni sawa na funguo za gari tu. Mbona Fidel Castor alikuwa anaweka bastola na anavaa kijeshi

  • @OmarMuhidin-s4z
    @OmarMuhidin-s4z 23 дня назад +2

    Yuko tayar kupambana na mabeberu

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 24 дня назад

    Sisi waafrika hatuaminiani na hiyo ni kuwa na silaha ni njia ya kujihami tu lakini siyo kujilinda, Saddat aliuwawa nchini mwake na mlinzi wake sasa tatizo lipi kuwa na silaha kiunoni, huyo mwamba ni mjeshi muda wote yupo kazini. Hongera Traore

    • @neemamasudi7988
      @neemamasudi7988 24 дня назад

      Hata wasemaje Sisi tuko nyuma yako Traore

  • @eliasmwanakatwe24
    @eliasmwanakatwe24 22 дня назад +1

    Cyo tu bastola mm namshauri abebe mpaka mabomu

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 21 день назад

      Siku nyengine abebe Mashine-gun kabisaa, maana viongozi wengi wa Afrika na masnitch sana

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 21 день назад

    YASSER ARAFAT ALIKUWA ANATEMBEA NA BASTOLA YAKE KIUNONI POPOTE AENDAPO. DUNIANI.

  • @masoudmohammed2043
    @masoudmohammed2043 24 дня назад +1

    Acheni maneno mengi hiyo hand gun ni ya kujiua kabla hajauliwa na kabla hajauliwa atakua kashaondoka watu kadhaa super commander 🎉🎉🎉🎉

  • @HamiduMtea
    @HamiduMtea 23 дня назад +2

    Angeenda na rungu jeeeee ????????????

  • @BinKhatib-o8i
    @BinKhatib-o8i 20 дней назад

    Viongozi wa marekani wao Hawa na Imani na ulinzi wa taifa lolote angalia misafara Yao kote duniani

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 24 дня назад +1

    Sankara aliuliwa na mtu wke wa karibu sana

  • @BinKhatib-o8i
    @BinKhatib-o8i 21 день назад

    Rejeeni picha ya Fidel Castro akiwa na Mwl Nyerere na nyinginezo akiwa na bastola

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 17 дней назад

    Not the first

  • @elisantemoses9309
    @elisantemoses9309 20 дней назад

    Mnakuza sana vitu

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 24 дня назад

    Wewe mtangazaji mshamba Sana ebu jitaidi kuchambua habari vizuri sio unalopoka maneno unatoa kwenye kinywa chako nitaacha kukufatilia na uwongo wako

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 24 дня назад

      Umelazimishwa kufata habari zake mjinga mkubwa

  • @nassoromfumya7319
    @nassoromfumya7319 22 дня назад

    Pamoja na kuwa yy ni Rais, watu wasisahau kuwa bado ni mwanajeshi tena Captain!!
    So Silaha hawezi kuiacha. Kwani inawazuia nini?? 😂

  • @MuhajiOmar
    @MuhajiOmar 20 дней назад

    Atauwawa tu

  • @JohnMasimami
    @JohnMasimami 16 дней назад

    WAMUACHE HUYO NI SOLDIER KWAN AMEUA MTU WATU MIDOMO SANA YULE ANA MAADUI KIBAO NA BAADHI YA WAAFRIKA WAPUMBAVU WANAMPINGA NATAMANI ANGEKUWA MTANZANIA

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 24 дня назад

    Kama Fideri casto

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 23 дня назад

    Mbona Firder Castor alikuwa nayo Bastora kilq aehe aliyokuwa anaenda pia Yasin Arafat naye alikuwa na Bastora kwenye Z8ara zake

  • @RashidiYahaya-yx4pv
    @RashidiYahaya-yx4pv 12 дней назад

    Jamaa ni komando kwaio lazima awe ivyo

  • @FotunatusMalekani
    @FotunatusMalekani 10 дней назад

    Me binafsi naona yupo sawa maana haamini ulinzi alionao

  • @JeampyOpelele
    @JeampyOpelele 24 дня назад +2

    Wacha maswali za kiujinga kaka, huyo Traoré siyo mwana siasa na wala sio wale marais vibaraka wenu wanaowazoea.huyo ni mwana jeshi ni lazima alindwe na ahilinde

    • @AbubakariMussa
      @AbubakariMussa 24 дня назад

      Km mi ningetembea nayo na Brigade nzima ningekua nayo ya kunilinda.afrika wengi wetu tu VIBARAKA wa Magharibi.
      Kijana endelea kuwasha MOTO.BIG UP

  • @victoriaanyango692
    @victoriaanyango692 22 дня назад

    Tunampenda hivyo hivyo acheno panganga

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 7 дней назад

    Huyu baba nikimsikiliza huwa siijutii anahekima kubwa san.zaid na zaid Mungu aendelee kumlinda.

  • @mwanakitimbaraka2574
    @mwanakitimbaraka2574 23 дня назад

    Nyc

  • @jeffrymutisomwololo7075
    @jeffrymutisomwololo7075 20 дней назад

    Afadhali yeye igekuwa mimi nigekua na kalashnkov 47,,na makombora

  • @davierwiza1509
    @davierwiza1509 23 дня назад +1

    Hataki kufanya makosa ya sankaraa maana jamaa aliuliwa bila kujiteteaa

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 21 день назад

      Siku nyengine abebe Mashine-gun kabisaa, maana viongozi wengi wa Afrika na masnitch sana

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 21 день назад

    Hakuna kitu hapo, watu saiv Wana deal na teknolojia anaweza kupigwa ivo ivo na kabastola kake!

  • @khalifafurnituremwanza1524
    @khalifafurnituremwanza1524 7 дней назад

    We uliona wapi captain akatembea bila bastora
    N moja ya cheo sio kila askar anapewa bastora

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 23 дня назад

    Mwacheni asili ni asili tu Kwetu mwanaume asiye beba fimbo hudharauliwa kwa hiyo huchukua hata ndani ya basi.

  • @marylwanalo6115
    @marylwanalo6115 21 день назад

    Waziri mkuu wa israel akisafiri analindwa zaidi ako na adui wengi

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. 24 дня назад +1

    Nchi za Africa vibaraka ni wengi na usalama hakuna , uwezi kulinganisha usakama wa Ghana na Urusi mzeee

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 21 день назад

    Viongozi wkiafrica wengi Ni na snchi kwama traole alitakiwa atembee na mashine Gun Kbs dadec😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @innocentfortunatus725
    @innocentfortunatus725 23 дня назад +2

    Mlinzi wa mtu unaanza na mtu mwenyewe

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 24 дня назад

    C n mjeda , sasa mjadala gan

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 16 дней назад

    Ghana yenyewe haikuwa na wasi wasi walio salia wasi wasi wa nini

  • @amosmramba
    @amosmramba 24 дня назад

    Mwacha mila kwao nmtumwa😮

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga 22 дня назад

    Gana viongozi washenzi

  • @raymondmango5128
    @raymondmango5128 21 день назад

    Iyo mbona silaha ndogo tuu mmi nimeongea nae leo kaniambia safar hii anabeba na bomu mushangae vzur

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 7 дней назад

    HIVYO HIVYO HAKUNA KUMUAMINI MTU KATIKA MAISHA YA MACHAWA.

  • @simbahussein4416
    @simbahussein4416 24 дня назад +1

    hata mimi ningehenda hata na kombora

  • @MwaramiUtubusara
    @MwaramiUtubusara 23 дня назад

    Vema sana km,.viongozi wengi wanavyotembea na black bag,

  • @IbrahimRaphael-n7v
    @IbrahimRaphael-n7v 24 дня назад

    Huyu ni mwana jeshi ni kawaida half putin huwezi kukuuza sababu hana njaa njoo Africa wanakuuza dakika 0 kwaiyo mimi namuunga mkono jamaa half kingine walitakiwa kuanza kumuhoji kuvaa nguo za jeshi sana unakuja kuhoji bastola ukinihoji mimi nakupeleka kwa baba muda huo huo wala sikucheleweshi