TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO SPIKA TULIA SAKATA LA BASHE NA MPINA | UNDENI KAMATI KUCHUNGUZA KASHFA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 49

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g 10 дней назад +5

    Watanzania, tusome katiba ya nchi na sheria zetu na haki zetu kwa makini; tutajitambua na kutambua uozo uliopo !

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 7 дней назад

    Mchambuzi wa tuyaomayo😂😂😂😂😂

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 7 дней назад

    Msigwa nakukubali sana ila kwa leo sijakuelewa kupinga miradi mikubwa yote

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 9 дней назад +1

    KWELI MSIGWA AMESEMA CHADEMA HAMJITAMBUI

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 9 дней назад +1

    KILA KITU MNAPINGA , HADI MNAJIPINGA WENYEWE

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 8 дней назад

    Mpaka wananchi wanawashangaa

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 9 дней назад +1

    AU TUWAITE CHAMA CHA KUDAKIA MADA

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 8 дней назад

    Sukari dsm sh 2,800/- wakati bk sukari sh.3,200/-.
    Dsm hakuna kiwanda wkt Kagera kuliko na Kagera sugar just 60kms kutoka mjini sukari yao is more higher than walioko 1,513km yaani dsm. Wako wapi akina Rweikiza, Meijage na Bashungwa?

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 10 дней назад

    Kumbe hata mapenzi ni wenda wazimu?😂😂😂 Maana kila siku tunafanya njia ileile.

  • @dhamirshariff9415
    @dhamirshariff9415 10 дней назад +1

    muache ujinga chadema spika kaongea kila kitu kuna taratibu na sheria za bunge muache ujinga nfio maana mnaitwa nyumbu

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 10 дней назад

      Anatakiw kujbu hoja Sasa kaongea nn

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 9 дней назад

      Mpina kuongelea inje ya bunge Yuko sawa kulingana na Sheria coz mpina ni mbunge na anawakirisha wanainchi wake Yuko sawa kufanya alicho fanya lakini pia utambuwe madaraka ya sipika yanaishia bungeni na siyo inje ya bunge inje ya bunge kunawatendaji wengine kama Waziri Mkuu na viongozi wengine hivyo alitakiwa kufanyia kazi ya ripoti ya mpina kuhusu kesi hii ya uhujumu uchumi. So watanzania amkeni

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 9 дней назад

      Mpuuzi ujui Sheria tuliza matako

    • @lemuelrugumyamheto5094
      @lemuelrugumyamheto5094 9 дней назад

      ​@@emanuelmkama1325p

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 10 дней назад

    Tundu Lisu Luhaga Mpina ana ugomvi mkubwa sana serikali kwa hiyo mambo yote aliyotoa ushahidi wa utapeli wa sukari Mh. Bashe anajua sana ni nani aliyekuwa anamuingilia kwenye maamuzi yake sasa na yeye anaona ni bora kukaa kimya.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 9 дней назад

    Sasa mnatafuta njiea mtukanane

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 9 дней назад +1

    CDM rushwa. Yenu. Umeu da tume

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 8 дней назад

    Jumakilinja,umesahau kiwa Lisu Ni mke wa wabelgiji

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 8 дней назад

      Hizi ni lugha za waliofilisika. Kama huna hoja ni bora ukaunusuru mdomo wako kusema najisi😮

  • @yusuphahmed-yt5gg
    @yusuphahmed-yt5gg 10 дней назад

    😅😅😅

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 9 дней назад

    Ana wazimu huyu Mzee

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 10 дней назад +3

    Nyie mnaomtukana lisu ni mashoga

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 дней назад

      Mazkini ya mungu Lusu anatuelimisha lkn hatusanikitu watanzania stukeni ccm haifai Tena tujaribishe chama kingine

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 8 дней назад

      ​@@robertphilip385 Nchi hatuwezi kuwapa watu wajaribie. Watushawishi vizuri tuone uwezo. Ni kweli tumeichoka sana CCM lkn Wapinzani nao hawajaonesha uwezo.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 дней назад

      @@hajihassan5433 kwahiyo unataka akutongoze iliuone amekushawishi acha upongo ww

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 9 дней назад

    Mchungaji Msigwa, akili yake ni ndogo

  • @Mpendahaki
    @Mpendahaki 8 дней назад

    Tanzania hakuna bunge ispokuwa Kuna kusanyiko la wahuni ukimwondoa mpina.bunge kibogoyo

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 10 дней назад +2

    Shoga linademka kurukia matukio

    • @WillisonFarasa-rh7eh
      @WillisonFarasa-rh7eh 9 дней назад

      ndugu unaishi nchigan kaka huna cha kuandika kaakimya inatosha

    • @henryndosi2002
      @henryndosi2002 9 дней назад

      @@WillisonFarasa-rh7eh huyu tundu mwenyewe. ni mbeligiji Hana lolote

  • @aidanmgimwa5459
    @aidanmgimwa5459 10 дней назад +1

    Muacheni Bashe alikuwa sahihi kabisa tumezoea Sasa zenu zisizo na mafanikio

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 9 дней назад

    KWANI CHADEMA HAMNA JAMBO LA KITAIFA LA UZALENDO , KULIKO KUDANDIA MADA AMBAZO HAMNA USHAIDI NAZO

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 8 дней назад +1

    Lisu sheria alisomea wapi maana ni kilaza haswa

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 9 дней назад +1

    FUNDISHA WATU KULIPA KODI ACHA KELELE

    • @helenakamenya8680
      @helenakamenya8680 9 дней назад

      Machoko ya ccm

    • @kostajoseph5811
      @kostajoseph5811 9 дней назад

      @@helenakamenya8680
      Nakushauri weka point haya mambo hayaitaji hasira , sababu ni maisha yetu uzalendo kwanza ndugu yangu penda nchi yako hatuna nchi nyingine zakuambiwa changanya na zako , kibali kataa CCM ndio inatufanya angalau tutumie huo mkate mdogo uliopo iyo mikubwa mnayotaka nyie tutapaliwa tukose pa kwenda tuache tamaa SEMA SSH MITANO TENA 5