Niseme neno hakika wimbo unagusa saaana, hata ukiwa kwenye gumu unasikia amani na kuamini umevuka tayari, tuimbie nyimbo hizi kila mara hakika utatukomboa kwenye magumu mengi, nyimbo inatia moyo na kutupa amani sanaa
Dada mirium lukindo mauki kwakweli sijui hata niseme nn juu ya huu wimbo, Nimejaribu kurekodi challenge uliyotoa nimeshindwa najikuta nazama kwenye maombi mpk nasahau kile nilichokuwa nafanya. Mungu azidi kukupa Ufunuo zaidi na zaidi maana sijaona wimbo wako mmbaya toka nimeanza kukuskia, nabarikiwa sana na huu wimbo na ule Bwana ameshakubali hakuna wa kubadili. Roho mtakatifu alimfufua Kristo kutoka ktk wafu asikupungukie ktk huduma yako ili siku moja tukaimbe pamoja Mbinguni tukiwa pamoja naye Amen. Nakupenda sana dada.
Mungu kwako ipo Neema ya kukumbukwa juu ya kile nimekuomba
Niseme neno hakika wimbo unagusa saaana, hata ukiwa kwenye gumu unasikia amani na kuamini umevuka tayari, tuimbie nyimbo hizi kila mara hakika utatukomboa kwenye magumu mengi, nyimbo inatia moyo na kutupa amani sanaa
🙏🏽
Hakika
Very nice an powerfull song, Remain Blessed Mamy🙏
😭😭😭😭😭Wimbo umekuwa Maombi yangu 😭😭😭
Hakika yupo amalizae😭😭😭😭
Miriam ubarikiwe Sana 🔥wimbo wa Amen Amen,wewe ni sababu ,unajua unajua tena🌹🌹🌹
Wimbo Mzuri sana huu....sijawahi choka kuusikiliza..may God bless you...🙏🏿
Huu wimbo umenijibu maombi yangu🙏🙏
Damu yake imenipa uhalali,da barikiwa sana mtumishi.
Asantee sana kwa baraka maana nimebarikiwa kwa wimbo huu
Duuuh wimbo unaupako sanaa, Mungu akubarki Miriam, yupo amalizae.
Mtumishi wa Mungu wimbo huu ni mkubwa sana.
Wimbo safi sana
Amen tunanyenyekea mbele zako Mungu Wetu ❤ Haleluya rapakasheke
Mungu azidi kukuinua dada Miriam! Huduma yako ni baraka.
Sichoki kuusikiliza, barikiwa sana
Wimbo hauchoshii
Wimbo mzuri sana
Wow! Utukufu kwa Bwana Yesu.
Mzidi kubarikiwa sana Watumishi.
Ubarikiwe sana dada
Huu wimbo mkubwa huu
Faraja + Tumaini. Hallelujah milele 🙌
Barikiwa mtumishi
Wow such a nice song Miriam nipatana nayo IG hii wimbo yananibariki
Barikiwa Sana Miriam ,wimbo umenibari Sana hasa wakati huu ....be blessed
Annointed song
Hakika ipo Neema Kutoka kwa Yesu 😭😭🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Amen, ubarikiwe Sana kwa utumishi huu Hakika nimejisikia kuinuliwa tena
🔥🙌
Dada mirium lukindo mauki kwakweli sijui hata niseme nn juu ya huu wimbo, Nimejaribu kurekodi challenge uliyotoa nimeshindwa najikuta nazama kwenye maombi mpk nasahau kile nilichokuwa nafanya. Mungu azidi kukupa Ufunuo zaidi na zaidi maana sijaona wimbo wako mmbaya toka nimeanza kukuskia, nabarikiwa sana na huu wimbo na ule Bwana ameshakubali hakuna wa kubadili. Roho mtakatifu alimfufua Kristo kutoka ktk wafu asikupungukie ktk huduma yako ili siku moja tukaimbe pamoja Mbinguni tukiwa pamoja naye Amen. Nakupenda sana dada.
🙌🏽♥️
My sister my sénégalaise this song is wonderful 🎶🎼🎶🎼🔥🔥🔥
Emeen hakika Yupo amalizae
Ubarikiwe sana nakupata wapo radio
Sema Valentine umekula mwenyew
🙏🙏🙏
🙌🙌🙏🙏
Amina .dada 🙌 naona kama umeniimbia mimi yani😭
huu wimbo wangu 😢😢
ama kwa hakika wimbo una uwepo machozi lazima yatoke .hasa tukikumbuka tunayopitia kama kanisa.lkn tumaini lipo
Daaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭my GOD MY LORD
haleluyaaaaaaaa 🙌🙌🙌
Mungu Abariki huu wimbo.
Dada Mungu akubariki sana huu wimbo umenigusa mpaka machozi yananitiririka mungu akuinue zaidi na zaidi amen🙏
Amen
Nyimbo tamuu ubarikiwe dada
Ameen surely ipo Neema kwenye kila jambo
Amen
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 speechless
🙌🙌🙌🙌🙌neema inatubeba
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi , Barikiwa sana Dada❤❤🎉🎉
Amen
Napenda liko lango Sanaa I play it daily
Ohoooo my God 🙏🙏🙏 nanyenyekeaa
Amazing God, very powerful song amen hallelujah. May God bless you all.
My sister!!! This is so great!!! ❤️❤️❤️🎉🎉🎉
Great, powerful, full anointing 😭😭😭😭
Eeehhh mungu...
🙌🙌🙌🙌
Nimerudi skiliza tena napata nguvu ya kusonga mbele ,
Haleluya..a powerful song
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾❤️
Nice song stay blessed sis🙏🏽😘
👏👏 everything is on point message 👌👌
Amen amen
Abdi is waiting for these amazing voice from my big musuician in the world to me
So powerful
This song has really touched me a very special way. God bless you
Thanks so much
Waaaooo This is very powerful....God bless you Miriam Mauki
Amen!
😄 *PromoSM*
Kwa Mungu Raha Sana, upo katikati ya Magumu, Mazito yamekuzunguka unaingia RUclips ghafla unakutana na Faraja hii, unasimama tena kwa nguvu ya ajabu