Haya ndio mambo Mtumishi Miriam Lukindo Wamauki, nimefurahi kuona ukifanya mziki wa live performance ubarikiwe sanaa.Dada wa hakuna wa kubadili ubarikiwe sana
huku ndo kwako kwa live sauti yako inapendeza ukiwa huku Achana na zile za kwenda studio wimbo mzuri Sana huu wimbo sauti Nzur kiufup uko vizur Sana 🥰🥰🥰🥰🥰
Na wewe ukifanikiwa zaidi kwenye muziki usimgeuke mme wako. Inawezekana ndoa yako mpaka sasa ipo salama kwa utii ulio nao kwa mme wako. Ukitijitukuza tu utashuhudia anguko kama ambalo wenzako wamepitia.
Umenikumbuka 🔥🔥🔥🙇🏽♀️😭🙌🏼
Barikiwa Sana
Haya ndio mambo Mtumishi Miriam Lukindo Wamauki, nimefurahi kuona ukifanya mziki wa live performance ubarikiwe sanaa.Dada wa hakuna wa kubadili ubarikiwe sana
Amina
Wakati wa Mungu ukifika Kila kitu kinakuwa mahali pake Mungu nikumbuke na mimi
Barikiwa Sana ❤❤❤❤🙏🙏🤲🤲
Mungu akubariki..mmevaa vizuri sana ..unamfanya shetani akose point
Hata wajumbe wa nyumba kumi awatujui lakini MUNGU ANATUJUA ILOVE JESUS❤❤❤❤
Umenilumbuka 🎉🎉😭
Aiyaaaa! Aiyaaaa! Wapi vigelegele 🔥🔥🔥 Umenikumbuka na mimi 😊😊😊
Maneno kuntu🎉hongera mtumishi
huku ndo kwako kwa live sauti yako inapendeza ukiwa huku Achana na zile za kwenda studio wimbo mzuri Sana huu wimbo sauti Nzur kiufup uko vizur Sana 🥰🥰🥰🥰🥰
Beautiful!! Powerful song, nimefurahi kukuona Dada Mkubwa huku kwenye o ve recording!! Hongera sana wewe na team yako! Blessings
be blessed WOG Kwa wimbo Mzurii Naziona Baraka za Bwana
Umenichora huwezi nisahau,umenipa nafasi💃Umenikumbuka na mimi🔥Miriam lukindo 🙏
❤❤❤❤❤Glory to the Mighty GOD. Hongera sana Mtumishi wa MUNGU. Hakika amenikumbuka kwani amekuwa mwingi mnooooooo❤❤❤
Hongera kipenzi umerudi MUNGU akupeleke zaidi ya hapo❤❤❤
Video nzuri sana ya kiwango🔥
Mungu akubariki mtumishi,Wimbo unanibariki sana
nice song,ue unaimba ivi ivi live dada sauti unayo
Mungu azidi kutukuzwa sana, kazi kubwa na nzuri mno🙌
Hongera nyimbo nzuri niko hapa shabiki yako❤ni mekupa maua yako kote
Asante mtu wa Mungu
Haya ndio mavazi ya mtumishi sasa,hongera sana.
This is awesome... wapi likes za Kenya
Ni leo tu nilikuwa naskiza SIKUPIMII kumbe unakuja na motooooooo nakupenda dadangu hugs from MOMBASA vok
Yeah nimekumbukwa HALLELUJAH
Hallelujah hallelujah awwwww miezi Sita ya mwisho ni kukumbukwa tu
Amen❤
Huu wimbo umenifanya nivute picha ya mbinguni kulivyo full of praise
Ulitakiwa ufike huku kitambo, hongera sana dada Miriam
Powerfully song, Hongera sana Mumy❤ God Bless you
Powerful ministration.Indeed God has remembered us.May this song minister to the hearts of many.
Come on mum!!! 🎉🔥❤️
Wewe dada Mungu akutunzee kwaajili ya sisi fans wako
Hallelujah! Hiii ni furaha yangu kuona unaimba live🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉 hongera sana
❤ wow, so amazing song....hakika Bwana umenikumbuka na mimi hata hapa nilipo ni wew ty Bwana
this is powerful, kenya nimebarikiwa
Hakika Mungu amenikumbuka, şifa na utukufu zirudi kwako🙏🙏
Dada anajuw ani🔥Chitete kawaid yak🔥🔥shuxy brother proud san san san All in All Utukufu kwa Mungu Mbarikiwe
Nimependa sana unavyo imba mungu Akupe neema tele
Hongera sana Mtumishi wa Mungu Miriamu ❤❤🙏🙏
Annointing ....wow
Hallelujah so powerful be blessed madam with your team 👏👏👏
Mungu aendelee kukutumia apendavo mtumishi
Superb i love the dressing code❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amenikumbuka more grace my namesake
Nilitaman haya Muda Mrefu
Hongera Dr Cris..Mkeo amemwakilisha Kristo na wewe vyema
Wimbo mzuri, barikiwa ❤❤❤
Wow! Umemikumbuka YESU
UMEJUA KUTUFURAHISHA MASHABIKI WAKO
Ubarikiwe da Miri❤
Hallelujah Jehovah... asantee kwa kunikumbuka na mimi
The Band🔥🔥🔥🙌
❤❤umenikumbuka na mimi
Glory to God Glory to God bless you sister
Wimbo ni wa motooo...Lembo Jr hapa enjoying ooh!
Wooow, ni motooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Mama Marium Mauki
UMENIPA NAFASI YESU
Such a powerful song... Mungu akubariki sana
Umenikumbuka Yesu asante
Blessed - Great song, Work on sound
Hallelujah, Praise the King🙏🙏🙏
Hongera sana Kwa kazi nzuri Mungu akutunze
Umenikumbuka na mimi Bwana Yesu
Wimbo mtamu sana
Congratulations mom be blessed more.
Hakika amenikumbuka🙌🏿❤Glory be to God
Blessings ss❤
Asante Yesu kwa kuniona Tena.
Wooooooh Glory to God 🙌🙌🙌
Nice song, congratulations 👏👏👏
Aminaaa
Good songs 🎉🎉🎉🎉
Amazing ❤❤
Na wewe ukifanikiwa zaidi kwenye muziki usimgeuke mme wako. Inawezekana ndoa yako mpaka sasa ipo salama kwa utii ulio nao kwa mme wako. Ukitijitukuza tu utashuhudia anguko kama ambalo wenzako wamepitia.
Huyu dada siyo mshamba ana zaidi ya miaka 20 anafanya hii kazi bila kuchafuka.
Umenikumbuka na mm...Aiyaaaa aiyaaaa
Barikiwa sana dads
Hallelujah 🙌🙌🙌🔥🙌🔥🙌🔥🔥🙌🔥🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
UMEFANYA VIZURI SANA
LKN UNADEN LANGU
Nimekumbukwa
utukufu wote kwa MUNGU
Congrats mumy, blessed ❤
Praises Halleluyah!!bless you woman of God!xoxoxo
BASSIST, I REPEAT BASSIST did it well 1:29
🙌
Hallelujah hongera sana Mama
Nikumbuke na mimi
❤🎉 umenikumbuka BWANA YESU
Umenikumbuka na mimi yesu❤
I'm waiting yoooooo🙌🙌🙌🙌
utukufu kwa Mungu ubarikiwe sana mtumishi nimebarikiwa
Praise the King👑
pokea maua yngu
Much blessings mommy ❤
Hongera sana mama🔥😍🙌🏾
Nice song❤
Wow🎉🎉
Blessings 🔥🔥🔥
A great blessing
Ewaaaa
Umenikumbuka na mimi