SASAKA VS FRANCIS NDACHA | IPI DINI YA MANABII | MAKADARA 2O22 DAY 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 65

  • @حليمهعلي-ض6ذ
    @حليمهعلي-ض6ذ 2 года назад +4

    MASHALLAH, MASHALLAH tabak ALLAH Mashek wetu ALLAH awafanyiewepesi. 💯💯👍🤝🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 года назад +3

    Masha Allah Jazakumullahu kheyran masheikh wetu ...

  • @zainabsalim4083
    @zainabsalim4083 2 года назад +1

    MA SHA ALLAH, napenda sana mafunzo yako muhadhiri SASAKA, ALLAH AKULINDE MA HASSAD

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 года назад +6

    Kweli ndacha na msomaji wake ni makafiri wa kubwa Kenya 🇰🇪 Allah awaongoze wasilimu Insha'Allah

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 года назад +3

    Ndacha ubarikiwe sana Mungu aendelee kukutunza unafanya kazi nzur sana maana unafumbua hata yaliyo fichwa

  • @Hijab_house
    @Hijab_house 2 года назад +1

    Mashallah mashekh wetu wapo vizuri

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 11 месяцев назад

    Ndacha ni Mwalimu mzuri sana

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 года назад

    MashaAllah mashelhk wetu kwakazi nzuri yakumtangaza Allah

  • @mohamedmohamed-fs1tl
    @mohamedmohamed-fs1tl 2 года назад +3

    mashaallah Allah bariik my brothers

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 2 года назад +1

      ndacha aje tumimine natamani kumimina ndacha tena atakata kiuno kama nyani

  • @mollelmollel8095
    @mollelmollel8095 2 года назад +3

    Waisilamu makafri kweli maandiko ya mungu

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 года назад

    Mashaallah maustadhi wetu, na ndacha okowa nafsi yako uepuke na jahannam wewe ume juwa ukweli lakini tamaa ya kujaza tumbo ndio inayo kufanya wewe usisilimu

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 2 года назад +1

    Mashallah Tabarakallah

  • @xurfavsx
    @xurfavsx 2 года назад +2

    MashAllah May Allah Tabaraq watallah bless you all for the good work

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 года назад +1

    Masha ALLAH Tabarakallah

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 2 года назад +3

    Ndacha akasome tena

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 года назад +1

    Mashallah Allah 💕

  • @zedimohamed8033
    @zedimohamed8033 2 года назад +1

    Mashaallah

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 Год назад

    Sasaka hana ja muhimu anakorobokwa sana na maneno

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 года назад +1

    Huyu ndacha yupo kimaslahi ila kama pesa tunaziacha kwa allah tutarejea na hukmu tutahukumiwa

    • @mollelmollel8095
      @mollelmollel8095 2 года назад

      Sabra@ unajua nyani halioni la kudule maan mazinge alikua anachagisha mawe ama hela

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 2 года назад

      Alikuwa anachangisha hela ila za kusaidia harakati hasa wachungajo wenyenu wakristo wanakiri ni matapeli

    • @shomariamurihassani1670
      @shomariamurihassani1670 2 года назад +1

      Ndacha hamumuwezi leo mpaka kiama. Anawanyoosha vizuri kabisa.

  • @mohamedmohamed-fs1tl
    @mohamedmohamed-fs1tl 2 года назад +1

    ndasha na wanafiik wenzake wanaelewa vizuri sana ila lengo lao hawataki watu wajue ukweli wasilimu wanapoteza wenzake

  • @KevinOchieng-rk6dn
    @KevinOchieng-rk6dn 10 месяцев назад

    Je Kwa Hao manabii wote wangapi walikua waarabu

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 2 года назад

    Ndacha anaupeo mdogo wakufikiri (2 in 1 but isolated only legend can understand this)

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 2 года назад

    Kkkkkk mashalla ustaz ibraimo

  • @jantrixwakirori39
    @jantrixwakirori39 2 года назад

    I was possessed with Jesus and his angels talking with them read Bible together and yet walikuwa wanafika mahali wanascream ndani mwangu ndani ya masikio kwa roho sasa nikienda pastor Nabii aniombee na pia nilipakwa Mafuta as apostle, alafu pastor nabii anasema ni majini nikashindwa Anaongea na uyo yesu na Hawezi tambua ni uyo yesu ananiadhiri

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 2 года назад

    Mdasha towa andiko kuwa ocristo kuwa dine ya kwell ya mungo

  • @KevinOchieng-rk6dn
    @KevinOchieng-rk6dn 10 месяцев назад

    Je issah alikua mwarabu

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 года назад +1

    Ndacha ubarikiwe sana

  • @jamalabdillahi3575
    @jamalabdillahi3575 10 месяцев назад

    The sound is not good

  • @masala8099
    @masala8099 2 года назад +1

    uislam Raha sana elimu ya wazi ila tu makafiri wabishi sababu ni watu wamotoni

    • @ramseykamau7039
      @ramseykamau7039 2 года назад

      kweli gani na dini ya uwongo na nabii wa uwongo anayewaelekeza jehamu nyote

  • @jantrixwakirori39
    @jantrixwakirori39 2 года назад

    Walitoka kwenu, kina nani?,juu haisemi ni waisilamu ama ni watu wagani

  • @saidkaduka6786
    @saidkaduka6786 2 года назад

    Muslims wins in this debate! ....

    • @ramseykamau7039
      @ramseykamau7039 2 года назад

      they love the word winning hahaha never admits defeat but argues , hell for you all hahah

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 2 года назад +1

    Pia ikiwa nihoja kwako kuwa wapi Nabii musa au Daudi alisilim kinyume chake wapi Nabii musa au Daudi alisema alisema mm nimkiristo, Qur'an ilisha bainisha wazi walikuwa niwaislam sasa ww lete andiko walikuwa Wakiristo.

    • @ramseykamau7039
      @ramseykamau7039 2 года назад

      uislamu ulianza miaka mia sita baada ya ukristukabla ya dini hii kuanzishwa waisilamu waliabudu nini au nani,

    • @shabandamas1759
      @shabandamas1759 2 года назад

      @@ramseykamau7039 kwanza ktk Bible nzima hakuna andiko linalosema ukristo ni dini ya mungu hapo naomba kwanza tuelewane.

    • @dancomashofficial
      @dancomashofficial Год назад

      Hayo ni maneno ya Mohammed 😂😂😂😂😂anapigia dini yake debe...

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад

    Ila ndacha kivuruge huyu hanakwepa maswari haibu nayeye anaeulizwa maswari ila ukweri unao saana kama uislam ndiyo dini ya haki

  • @khalfanifarisy8313
    @khalfanifarisy8313 2 года назад

    We baki huko huko kafiri Paulo. Uislamu hauna haja na wewe. We endelea kupotea ukachomwe.

  • @youscozanboy6605
    @youscozanboy6605 2 года назад +2

    Waislam hawana kitu nyie ni moton fanyen mbatizwe.. issa alibaizwa

    • @shameelashameela9857
      @shameelashameela9857 2 года назад +2

      Lete andiko kama isa alibatizwa

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад

      Pole utakua ujielewi ujasoma dini unasikiatu polesana. Kuwa mkristo Allah akuongoze.

  • @jantrixwakirori39
    @jantrixwakirori39 2 года назад

    Kanisani Vilio mtupu

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 2 года назад

    Sasa we ndacha kama Nihoja kwako kuwa Uislam umeanzishwa namuhamadi kwann muhamadi hakusema niabuduni mm badala ya mwenyezimungu ikiwa ww nimkweli ktk madai yako.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад

    Huyu ndacha mzugaji yani kaacha maswari yoote anajitia kujimbu hayo ya kuchanganyika wanawake na wanaume

  • @thegloal
    @thegloal 2 года назад +3

    Ndacha kawafundisha kweli tulieni waislam nyie kafiri tuu

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 2 года назад

      Neno Islam lina maana pana, kwa uufupi ni kuwacha kila alicho haramisha. Mwenyezi Mungu

  • @ramadhanilugesha5649
    @ramadhanilugesha5649 2 года назад

    Acheni blablaaa waislamu .. uongo haujawahi kuungwa mkono na Biblia

  • @saidkaduka6786
    @saidkaduka6786 2 года назад

    Ndacha loose again!

  • @abdalahkweya3145
    @abdalahkweya3145 2 года назад

    MA SHA Allah

    • @aminaissa3721
      @aminaissa3721 2 года назад

      Mwenyezi Mungu amjalie huyu ndacha akue njia ya kweli, yuajua ukweli na Bado anaendelea kukufuru