TID NA Q CHIEF WAMCHANA VIBAYA MWIJAKU | WAOMBA MSAMAHA KWA ABIGAIL CHAMS | BILA BUGATI HAKUNA MPIRA
HTML-код
- Опубликовано: 3 апр 2024
- TID NA Q CHIEF WATANGAZA COLLABO NA ABBY CHAMS | WAMTOA NISHAI MWIJAKU MTOTO MDOGO HATUWEZI | SISI NI MASHABIKI WAKUBWA WA HAJI MANARA BILA YEYE WADADA WASINGEPENDA MPIRA.
#manaratv #hajimanara #tid #abigail #qchief #topbrand - Развлечения
Hawa watu wana chemistry nzuri sana waeke mziki kando wafungue podcast..inverstors should take note ama Alikiba awape kipindi it will be a hit.
Dah! Nikweli umeona mbali sana.
Kweli kabisa hata Mimi nimeona hivyo ! Mungu aulinde urafiki wao 🤲
Daah ebhana good idea ndg
This two whenever I come through their interview lazima niwaskize legends
For now, don't look at who understands you. It's important if you understand yourself. It's enough for the rest. Time will speak. Inshallah
#Walinazi🙌
Wako vizuri acheni chuki watazamaji..roho mbaya hazijengi na hawa lazima wapige hela nyingi sana kwenye umri huo,kikubwa wasisikilize wanaoongea negative wapige tu kazi...
UMEJTAHID SANA KUWAHOJI HAO JAMAA,NI NGUMU SANA SANA SANA
😂😂😂😂 alichosema mwijaku 💯 kweli kabisa
Kafanana na mzee abdul babaake dimond huyo TID
Hata wewe
Mashavu yashawashuka hamna lolote mnagombana na mtoto mdogo Tena mwanamke wasenge baridi tu
Wamependeza kwa hili vazi
Muziki sasa acheni. Yani inafaa muje na kipindi maalum katika Manara TV
HAWA MAREJENDARI WAWILI NAWAPENDA SANA SANA ALIKLI NYINGI WANACHEKESHA MUDA WOTE NACHEKA MPAKA NALIA?????❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂
Wasaanii wangu from Nairobi Kenya
Kwenye Maisha ni muda tu yaani hawa mwishoni wamekua mataira hivi yaan vichaa
Wakali wa muda wote Good music
Wimbo/ Nyimbo ni haramu then kutoa mwezi wa Ramadhan alafu kukosa kuupatia heshima huo mwezi.
Movie inaanza tu stelingi anakufa😂😂😂
Ndugu zangu jikiteni kwenye mziki na kuacha vigingi wakati ni mda wa kusaka Pesa!. Unajua watu wana hope na kuongeza mashabiki
Q anaonekana kuna kitu anataka ila tid hajakua serious saaana
Ni yeye ndani ya mjengo
HAWA JAMAA HAPO KWENYE MPIRA WAMECHEKESHA SANA HAIJAWAHI KUTOKEA❤❤❤😅😅😅😅😅😅
Acha kwanza nisome comment wadau
Nawapenda mimi hawaa??😂😂😂😂
Sio kwa answari sunnah 😂😂😂😂😂😂 mpaka TID imebidi acheke 🤣🤣
Hebu wacheni kuwasema hawa watu .as long as bado wako hai maisha yao yataendelea tu.wengine nyie mnaocoment vibaya kuwahusu ma roho zenu zinawauma tu kwasababu hajui English kama TID na Q chief .mawivu tu mko mfyuuu
Sio kwa kumnyonya ghalib vidole 😂😂😂😂 was he low key dissing jux na ommy 🤣
Hahaaaaaa wana waninikumbusha mbali mno kipindi nikiishi na kaka zangu wavuta bangi yaan wao kila wanacho kifanya wanahisi wako sahihi na wanajionaga wanaakili kuliko mtu yeyote et
Bangi tupi😅😅😅
Hao hawana lolote bange nyingi sana halafu sifa kibao kama TID KASHAKUWA MWEHU
Waliyoyafanya kwenye tasinia ya music 🎶 ww na ukoo wako wote hata tuwape miaka 3000 hamuwezi kuyafanya so tuliza makalio yako chini na roho yko mbaya
Mnamtafura kaka yangu msechu sasa hapa kaka yangu amekujaje jamn kisha anapiga sana za mafanikio toa nyimbo zako kaka msechu kiongoz yeyote akifa wewe achia muda uwo uwo coz usanii ni ubunifu KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE
Kwasababu hajui kupika ugali tunamuomba atusamehe 😂😂😂😂 nakojoa
Tatizo la Hawa watu wanatafuta kick kwa kuwasema watu vibaya na ndio maana hawasapotiwi
Nasoma qomenti 😂😂😂😂😂
Babu T I D
😂😂😂
Hili kundi likila mwaka mpya pamoja niko pale
Usimpige makonzi muache hii pia ni challenge
KAVA LA CM LA MSANII MMELIONA KWELI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
Duh.bangi mbaya
Qc napenda yuko calm, na waungwe mnoo
Ukiwa mpole mjini utakufa maskini big up tid
Mwijaku amesema kweli bwana
Yaani ma babu ambao hawakuwekeza ujanani uzeeni wao wasumbufu, kulaumiana, vichaa, ....hawa saa hizi walipaswa kuwa ma producer's ma directors walipaswa kuwa na ma lebel makubwa kusimamia wasanii na ku fundisha music ila ona bangi ilivyo wafanya wehu 😢😢😢
Yana Mungu usinene ukamara
Ustukne mamba kbl ujavuka mto
@@raimajimoto1122 hawa kwa ulegenda wao wangepaswa kusimamia wasanii wa siku hizi na kuwafundisha mziki, kuimba wangeimba tu kwa haba sababu mziki uko ndani yao ila kuchezea ujanani kuwekeza madawa mbele uzeeeni wamekuwa wazee ovyo lawama, na kulalamika bure vijana wekezeni ujanani msiwe watu ovyo uzeeni
Kwahiyo unatakake wakae tu kimya waombe ombe au waendelee kujitafuta mpaka wajipate.
@@nassercurtis9579 haya aca wajitafute tuone sasabu kama kujipata hawa walijipa miaaka ya 2002
Mateja wawili 😂
😂😂😂😂hatariii
Munaongelea vibaya madalali wakati madalali wanaishi vzr zaidi yenu nyie mbwa takataka.kama we tld hama utoke kwenu ukapange
Comedians😂😂😂
Hama nyumbani umeshazeeka hiv mama ake huyu mla unga bado yupo
Nampenda bure imagine ni mcheshi sn uyu kaka basi aje ajenge kenya
Yaani hawa watu wa wili wako na maringo na hata nyimbo sio ety NI kitu ya maana!!!!! Maringo madharau hawatafika popote kabisa!!!!!
Unataka wafike wap ambapo hawajafika hao ni ma legends wa Bongo flavour hao wamefanaya ambavyo bado havijafanywa ata na kizazi kipya
Mshamba hawezi kuelewa bab
Watu wazima hovyo!!! Hawana lolote!! Mbwembwe tuu za bure!
Wewe utabaki na chuki ivoivo koz Bado upo gizani
Wame vuta unga
😂😂😂😂😂 Magdalenaaaa
😂😂😂😂😂
Kimziki walishakufa hao takataka hata selikari haitakiwa kuapa issue yoyote acha waendelee kuvuta bangi
Huoni aibu eti waita wenzio takataka .there better than you mavi wewe .kwani walikuambia wanataka issue from the serikali .wee mshamba tu the way nakuona
Umehoji bangi tu hapo😂😂😂😂
Their body language speaks alot this guys have health mental issues hawako sawa 😂
Choka mbaya...😂