SEIF SIMBA: NI DHAMBI KUBWA CAMARA KUFANANISHWA NA DIARA | SIMBA HAIKUWA FITI KWA ASILIMIA 100.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 20

  • @bakarhamad4080
    @bakarhamad4080 3 часа назад +1

    Japhet nisalimie Mwl. SEIF Madini tunayapata na enjoy na taaluma yake 😂😂😂❤❤❤❤

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka Час назад +1

    Sefu naendelea kupakua madini yako yanaafya kwenye kuufatiria mpira hunabaya,Simba nguvu moja

  • @thomasaugust225
    @thomasaugust225 2 часа назад

    seif Simba..huyu jamaa simba wamtafutie kitengo chakua upelelezi..kwan jamaa nihatar sana mpaka yanga wenyewe wanaingiza upepo juu yake....mkuu unajua mpaka bac

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 3 часа назад

    Jamani haya nimashindani magumu sana muhimu point tatu msione kuwa nirahisi mbinu zinahitajika sana

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 3 часа назад

    Ila kocha kimataifa asiposhauriwa hatoboi hana mbinu tumenusurika na tripoli kwao kwakikosi cha ovyo na mechi yajana tulikuw tushapasika kama sio jithada za kamara mpira mbov kikos kibov gol moja limemstir ila ipo siku tutaona ujinga wake

  • @MarySaduu
    @MarySaduu 2 часа назад

    Kipindi cha kwanza tumekosa magoli .

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 2 часа назад

    Kiufupi huyu kocha ni upepo papai tu ipo siku si nyingi mtakuja nambia hamna kocha humu ni mzugaji tu

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 2 часа назад

      Hakuna kocha bora duniani kwenye kila kitu kila atayekuja mtasema hivi hivi basi njoo fundisha wewe basi

    • @TunuAdam-gc9rc
      @TunuAdam-gc9rc 2 часа назад

      Wapinzan nao walikuwa wazuri
      Huu mpira na michezo hii aitaji magoli mengi ni point 3 tu

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c Час назад

      @jassonnelly3445 Hadi hivi leo wachezaji wa mbele tunashindwa kuona ubora wao halisi kwavile kocha mwenyewe haeleweki anataka wachezeje je mukwala namba tisa? Je viungo wa nyuma ya mshambuliaji kawapa kazi gani siku zote wanakimbia kimbia tu hakuna mpangilio wowote yaonesha wazi hawana mafunzo yoyote mazoeizini.

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c Час назад

      @TunuAdam-gc9rc Sawa lkn kocha anawafunzaje viungo wake wa tatu nyuma ya mshambuliaji kinara tunaona papatu siku zote ule mfumo unajililana sana umetumiwa sana na makocha walopita mbele kagere au bocco nyuma chama bwalya Luis tunaona mfumo na nafasi za hakika kabisa viungo wanazalisha kwa wafungaji

    • @TunuAdam-gc9rc
      @TunuAdam-gc9rc Час назад

      @@AbuuAyubu-t7c uzuri wa simba tunabadilik kulingan na mchez na imani mechi zijazo mamb yatakuw sawa makosa yatapungua kocha atafanyia kazi

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 3 часа назад +2

    Ila kocha kimataifa asiposhauriwa hatoboi hana mbinu tumenusurika na tripoli kwao kwakikosi cha ovyo na mechi yajana tulikuw tushapasika kama sio jithada za kamara mpira mbov kikos kibov gol moja limemstir ila ipo siku tutaona ujinga wake

    • @bone102
      @bone102 3 часа назад

      Bro huyu kocha anatupeleka Nusu fainali ngoja game inayofuata ya away utaelewa

    • @AliMpenda
      @AliMpenda 2 часа назад

      Wewe sio simba wewe ni mrompokaji

    • @thomasaugust225
      @thomasaugust225 2 часа назад

      shida ipo kwako unaangalia kwakupania ngoja tusubir kauliyako..

    • @nurdinswalehe
      @nurdinswalehe 2 часа назад

      Hata wale jamaa wazuri msijafanye wajuaji gemu ilikuwa nzr mpinzani pia alikuwa vzr

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c Час назад

      @@DStarTz-if2ko Sio jana tu msijitie upofu fatilieni safu ya ushambuliaji ya simba wakipata mpira hasa wale viungo wa tatu wanyuma ya mshambuliaji utaona uchezaji wao si wa kufundishwa kila mchezaji anakimbia kivyake hakuna mikimbio ya kufunzwa na kocha ndio maana utakuta wanajificha nyuma ya migongo ya mabeki wa timu pinzani