ASKOFU MWANAMAPINDUZI AUWASHA MOTO MZITO TEMEKE MBELE YA LISSU, AITAKA TANGANYIKA YAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024
  • #TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi auwasha moto mzito Temeke Mwembe Yanga mbele ya Lissu, aitaka Tanganyika yao.

Комментарии • 28

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 19 дней назад +2

    UHURU WA TANGANYIKA NI 1961 UHURU KAMILI NA SIO TANZANIA

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 19 дней назад +1

    HONGERA SANA MWANAMAPINDUZI

  • @user-de8ly6ck8x
    @user-de8ly6ck8x 12 дней назад

    Hongera mch.tatizo ni ss elimu hatuna ya kujua chetu ni kipi

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 21 день назад +3

    It the time tanzania let forenor who buy land in Tanzania by full force under Samia sluu Hasan that land is belong to Tanzania people not Samia sluu Hasan Arab people who following in Tanzania but million of land is iligle on our nation time is caming will be solution on tanzania population will be standing fighting for our our land

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t 21 день назад +2

    Ahsante baba ❤p

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 19 дней назад +2

    UKOMBOZI WA NCHI YETU

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 21 день назад +1

    Asante. Sana. Asikofu mwanamapinduzi

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 18 дней назад +1

    Hahahaha Zanzibar wameamka zamani tokea dola ya othoman spein wanajua nchi yao hamumpigi mtu change la macho wenyewe hawalala wako macho

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f 21 день назад +2

    Tupo pamoja mwana mapinduz

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 20 дней назад +1

    Watanzania tumekua wapole mno naili linasababishwa na ma CCM 😮😮 atuezi kua na watu wanajiita wazanzibar ndani ya watanzania akuna lamaana CCM hawajitambui wanawaza kugawana pesa za wananchi

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 18 дней назад

    Wa Zanzibar ni waswahili kitaeleweka tu kiswahili Africa mashariki na ulimwenguni kote 😂😂😂😂😂

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 20 дней назад +1

    Askofu kwanini wewe usivae t shirt ya kudai Tanganyika oli uwe mfano

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e 19 дней назад

    Nyatwali ni Mtanzania .

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 21 день назад +1

    Nashangaaga eti lisu alikimbia nchi wakati alikuwa na madhira ya kupigwa risasi hata baazi ya wabunge walishaongeaga unajiuliza ivi ndo wanathibitisha kuwa walihusika tena bila shaka huwezi ongelea habari za lisu kuishi ugabuni kwamba hawaelewi au laa nashanga kweri mara nyingi hoja hiyo imetolewa bungeni ,,ivi kweri walikuwa hawajui kwanini lisu aliishi nje ya nchi kweri?

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 19 дней назад +1

    YAANI KUPITIA BISHOP MPEMBA,,TUNDU LISSU,, FREEMAN MBOWE,, DR.WILBROAD SLAA na Huyu MWANA MAPINDUZI Watanganyika Tusipoamka Tutaendelea Kuburuzwa na CCM Mpaka FIGO Zetu Zitauzwa Maana Wanajua Kutengeneza Sheria Za Kipuuzi Kutuaminisha Uwongo, TUAMKE Watanganyika KULINDA RASILIMALI ZETU"

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 18 дней назад

    Askofu Makarius wa Cyprus. Askofu Desmund Tutu wa Afrika Kusini.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 21 день назад

    WAZANZIBARI HAWANA HAJA NA MUUNGANO NA WENDAWAZIMU NA MISUKULE

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 20 дней назад

    Mungumkubwa

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 11 дней назад

    Hata Akifa tutafukua kaburi lake na kuiadhibu mifupa yake

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 13 дней назад

    Bunge ni watunga sheria lakini Tundu Lissu alipigwa akiwa bungeni na hawakuongea wala bunge hawaKutaka hata kujua alipigwa na nani? Ati bungeni walisema walikuwa hawajui alikuwa wapi. Ni kweli walikuwa hawajui?. Samia ametumwa na warabu kwa nafasi aliyo anayo awalete tena warabu watawale watanganyika kwa utumwa na kwa sasa wajukuu wetu watatumikishwa katika utumwa mbaya sana.

  • @mihayombawala8361
    @mihayombawala8361 11 дней назад

    😅..

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc 21 день назад

    Ata ww mungu atakunaniiiiiiiiiiiiii

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 13 дней назад

    Wazanzibar wanatuona watanganyika wapumbavu na wanatutawala na Samia anauza kila siku hana shida yo yote ila kutumaliza kabisa na kutudhofisha. Kusini wamasai wanalia, majimbo ya ziwa Victoria wamechukuwa ardhi kadhaa ili kuwaketa WARABU jimbo la Moshi wsmechukuwa ardhi tele wanaleta WARABU. Katika kila pembe ya Tanganyika wamechukuwa WARABU wakizunguka Tanganyika na tayari Bundari wamepewa, viwanja vya ndege WARABU tupu, nadhani watapewa na Reli na tayari WARABU wameleta maroli mengi na mabus yote ya WARABU mtaponea wapi? Na sasa WARABU wanamwaga pesa za kuonga watanganyika ili wapumbazwe na hivyo vipesa ili wamlete Samia kuwa Raisi kumalizia malengo aliyo pewa.

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t 21 день назад +2

    Acha waongee tu lissu anawachemsha,lissu ni moto usiyo zimika,kwa hiyo wana haha vibaya mno,jamani lossu ni kichwa!!!siyo mkia,lissu ni jembe,inaonekana MUNGU wa mbinguni anamakusudi naye ktk nchi ya Tanganyika yetu,twende naye tu jibu litapatikana tu.

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 21 день назад +1

    Nashangaaga eti lisu alikimbia nchi wakati alikuwa na madhira ya kupigwa risasi hata baazi ya wabunge walishaongeaga unajiuliza ivi ndo wanathibitisha kuwa walihusika tena bila shaka huwezi ongelea habari za lisu kuishi ugabuni kwamba hawaelewi au laa nashanga kweri mara nyingi hoja hiyo imetolewa bungeni ,,ivi kweri walikuwa hawajui kwanini lisu aliishi nje ya nchi kweri?

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 21 день назад

      Kweri, kweri, kweri. Unarudia nini hilo neno hivi huwezi kuandika neno sahihi "kweli "? Kama hamuwezi lugha yenu wenyewe mraijua ipi? Kha!!!

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 21 день назад

    Nashangaaga eti lisu alikimbia nchi wakati alikuwa na madhira ya kupigwa risasi hata baazi ya wabunge walishaongeaga unajiuliza ivi ndo wanathibitisha kuwa walihusika tena bila shaka huwezi ongelea habari za lisu kuishi ugabuni kwamba hawaelewi au laa nashanga kweri mara nyingi hoja hiyo imetolewa bungeni ,,ivi kweri walikuwa hawajui kwanini lisu aliishi nje ya nchi kweri?