Michael ataka kumuoa Vivian - Jua Kali | S7 | Ep 31-35 | Maisha Magic Bongo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 май 2024
  • Femi amkasirikia Tony juu ya kuvuruga maisha yake, Michael asema kwamba atamuoa Vivian.
    ---
    Endelea kutizama DStv chaneli 160
    Official Website: bit.ly/3lXtAFc
    Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:
    bit.ly/2KnGqyv
    Pakua App ya DStv: bit.ly/36ZGjkz
    Instagram: / maishamagicbongo
    Twitter: / maishamagictz
    Facebook: / maishamagicbongo
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 30

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 27 дней назад +2

    Nakupenda sana Viviani jaman

  • @saumukiduma
    @saumukiduma 27 дней назад +2

    Nakupenda sana viviani

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 27 дней назад +2

    Vivian akiolewa na Naira akiolewa na Mr Kaka mzee Mazengo kaisha.

  • @munirasalim7056
    @munirasalim7056 27 дней назад +3

    Hadi muda huu tushapata silaha 2 za maangamiz 1.Vivian 2.Naira

  • @TrizahKiapa
    @TrizahKiapa 27 дней назад +1

    Pascal tokodi all the way to Kenya ..any Kenyans in de house

  • @user-sc5gt6gs3s
    @user-sc5gt6gs3s 27 дней назад +2

    Vivi ana regea mpaka anakosa lakusema duh

  • @GloriaNgakonda
    @GloriaNgakonda 28 дней назад

    ❤❤❤

  • @YambunahManyanda
    @YambunahManyanda 24 дня назад

    Different

  • @nicholauscrispin8663
    @nicholauscrispin8663 27 дней назад

    Pro. For life

  • @Naahlyan
    @Naahlyan 27 дней назад +1

    Vivian kha seng et linalia kabisa atokuja kufanikiwa maisha yake yote bwana wa ddako .lbda dda binamu

  • @user-ph6mz9qc8z
    @user-ph6mz9qc8z 28 дней назад +3

    Miko anataka kutumia Vivian ili wamfilisishe profesa

  • @user-id2eo2sh1i
    @user-id2eo2sh1i 27 дней назад

    Jua kali mnauzi mnatuleteaje kipande

  • @joyfaustine
    @joyfaustine 27 дней назад +2

    Nimefurahi maik kutaka kuoa kabisa vivi wangu jamani ,ka vivi kenyewe hakanaga mambo mengi

    • @pcmchealthcare9339
      @pcmchealthcare9339 27 дней назад

      Yan mume wa dadake we ndo unaona anafanya sawa😅

    • @bayernsulesh568
      @bayernsulesh568 26 дней назад

      Alafu hamuoi ni anataka kumtumia ktk mpango wake na Mr kaka..kama Mr kaka alivompanga naira

    • @AlphaBlessing-qx7ep
      @AlphaBlessing-qx7ep 14 дней назад

      Kwahiyo na wewe unaweza kubali kuolewa na mume wa dadaako?

  • @user-vo5et5jn7l
    @user-vo5et5jn7l 26 дней назад

    Hatimae gundu la Vivian limeisha

  • @HappyArcade-sj4zx
    @HappyArcade-sj4zx 27 дней назад

    Vivian kapendaaa mweeeee mpaka analegea akiwa na Michael 🤣🤣🤣pendaaaaa sanaaa Vivian lkn Michael Sina Imani naee

    • @user-hr5ml2vk5y
      @user-hr5ml2vk5y 27 дней назад

      Michael ni mihemko ya kuachwa tu iyo. Imani ni ndogo juu yake.

  • @NikwisaSimtowe
    @NikwisaSimtowe 27 дней назад

    Saizi jua kali hata hainogi mnabana sana

  • @dawinatryphone3539
    @dawinatryphone3539 24 дня назад

    Sasa watazaaa nini na Michael hana uwezo tena

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 27 дней назад

    Maico mbwa ni wewe

  • @user-vn7li8gb7j
    @user-vn7li8gb7j 28 дней назад +1

    Naombeni like

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 28 дней назад

    Femi nae anampendaa ton

  • @mariasospeter6533
    @mariasospeter6533 27 дней назад

    Ila naic mwisho wa siku Michael atakuja kumpenda Vivian kikweli

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 27 дней назад

      Haito tokeA Maiko marry anampenda mnoo nikwa sababu tyuu mama maiko mdomo na mdogo wa Mary kuwakaribu nao wamemuaribia ndoa Yake

    • @farahali6041
      @farahali6041 26 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @saumukiduma
    @saumukiduma 25 дней назад

    ❤❤❤