Kenyan Girl Scammed by Nigerian Man in USA | KENYANS IN DIASPORA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 340

  • @mercyk2672
    @mercyk2672 8 месяцев назад +34

    There's this Nigerian who's pursued me for 16 years, even after I got married had a child and got divorced hes still pursuing me. I've told him I don't want him, but he's persistent. The most scary thing is that if he wants to see me, he appears in places where I shop or frequent. It's like he uses juju to know where I am. Haki stay away from these people

    • @7yqgevdj6
      @7yqgevdj6 8 месяцев назад +8

      😮 umewahi ona sisi wanaume tuki funga ndoa na hao watu hio area.NEVer.
      I tell kenyan gals hata kama ni mwanaume sio mkenya afadhali mzungu,mchina kama ni watu weusi sio watu wa hio area.Ikija utamaduni hatuambatani kabisaaaa.They only thing we have in common we in same land mass.Hapa kenya the W0RST immigrants we have in the c0untry

    • @Kenya74
      @Kenya74 8 месяцев назад

      You are a very intelligent woman, keep away from the Nigerian he is like a plague

    • @b.3940
      @b.3940 8 месяцев назад +6

      @@7yqgevdj6they seem to be like that the world over. Locals of most countries hate them.

    • @7yqgevdj6
      @7yqgevdj6 8 месяцев назад

      @@b.3940
      Utapata wakenya kumbafff kwa channels zao youtube" welcome to kenya" I'm like y0u m0f0s don't kn0w what you d0ing talking ab0ut.
      Wachaa wajazane kenya ndio tutamsha wavuzii.
      Sera za uhamiaji kenya ziko down tuuu sanaa.Theres n0 c0untry kwa hii planet wako & wamiliki nchi wako na maneno mazuri ya kusema kuwahusu.
      That's why is important to open your 🏠 or country to same people who you share esp same culture,utamaduni yaoo ni mbayaaa sana,it's such a way ukiwaeka mahali they won't get along with anyone
      Hata vile watu w3usi wa yues husema sisi wafriki hatuwapendi,I'm sooo sure ukifanya utafiti utapata ni wao ndio walianzisha hio shida.Its only them kwa hii continent wako na Jina specifically ya watu weusi wa yues

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 8 месяцев назад

      @@7yqgevdj6 this is so true

  • @josephwachira-jz4bt
    @josephwachira-jz4bt 8 месяцев назад +9

    Sam, some of these stories can be made into movies and would probably win academy awards, good job bro, keep it up 👍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lynlassiter5033
    @lynlassiter5033 8 месяцев назад +3

    Thanks for a wonderful story!
    This is a life time advice.
    Bring more stories!

  • @bettymutooni7154
    @bettymutooni7154 8 месяцев назад +6

    I’m from Kenya resident in California to say the true najifundisha sana kupitia hii channel yako although life is so expensive I believe one day my testimony will come true,big up👍

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      I am sure you will do. Great!! Thanks 🙏 for watching!

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад

      Tuko na Lynn ngugi ndio channels za mamanzi.After mumeambiwa msiende saudi au kuchumbiana,kufunga ndoa na manijo huko ndio madame huenda kuitisha mchango warudi 🏡 au kutoa onyo kwa mamanzi wengine wasipatikane

    • @jforeign254
      @jforeign254 8 месяцев назад

      🙏 🙏 🙏

  • @NancyQueen-e8p
    @NancyQueen-e8p 8 месяцев назад +27

    Naigerians are always red flags everywhere 😂😂

    • @GreenRoses07
      @GreenRoses07 8 месяцев назад +1

      I learned the hard way

    • @7yqgevdj6
      @7yqgevdj6 8 месяцев назад

      ​@@GreenRoses07
      Zakayo alisema visafree,saying investors will come.Investors wa Kenya running to tz and etc coz of taxes and high cost of power.If zakayo goes 10 yrs tarajjia hawa watu kila mahaliiiiii

    • @NjorogeGATEITEI
      @NjorogeGATEITEI 8 месяцев назад +4

      Walirogwa na mrogi akakufa

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      True

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад

      @@NjorogeGATEITEI
      Thats why culture is important before we open our 🚪 to anyone

  • @BelovedofGodsparkle
    @BelovedofGodsparkle 8 месяцев назад +10

    Hello Sam...of all your stories....this one has a happy ending...mkenya wetu...Mungu alicheza kama yeye.

  • @clintonmogusu
    @clintonmogusu 8 месяцев назад +5

    My favorite channel, amazing content! Watching from narok kenya

  • @AfrikanMan
    @AfrikanMan 8 месяцев назад +11

    Nikiwa highschool, my Dad ashai niambia to avoid marrying a person whose culture is very different from mine. Sasa naelewa mbona. The older I grow, the more my father's words of advice make sense.

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      Very true

    • @abuganelson9179
      @abuganelson9179 8 месяцев назад +2

      Correct

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад

      Esp hio area magharibi hakuna usawa ikija utamaduni hasa.
      Kama ni funga ndoa afadhali mzunguu au kama ni wafrika wenzetu ugand,drc,kenya kushuka we can get along..

    • @IgnatiusSanya
      @IgnatiusSanya 8 месяцев назад +2

      ​@@63hdhdbilwotrue.pia mm husema ivo.

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад

      @@IgnatiusSanya
      Wako na utamaduni ya kiburi,
      ubinafsii, unafkii, ingine ya kimataifa,usisahau ukabilaaa. Majirani husema sisi wakenya wakaabila lakini wanijo ukabbila yao ime kiuka mpaka.

  • @luciakabui3151
    @luciakabui3151 8 месяцев назад +8

    Everybody coming back home says they are nurses - not nurse assistant.

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +1

      Most are nurse assistants but it’s the same line

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 8 месяцев назад +4

      Its also because nurses are a higher rank than nurses assistants and they require more education. But most nursing assistants later go to school to become nurses

    • @ProudBootyscratcher
      @ProudBootyscratcher 7 месяцев назад +1

      NA do more work than nurses too

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 7 месяцев назад

      @@ProudBootyscratcher it's true and they get paid much less. The only difference is the education required to become a nurse.

    • @lindadrinks-johnson1904
      @lindadrinks-johnson1904 5 месяцев назад

      @@BANANALANDMEDIAIt’s not the same. Nurses have DEGREES and nurse assistants have CERTIFICATES.😊

  • @mumbisandtmann8931
    @mumbisandtmann8931 8 месяцев назад +7

    These Ninjas have scammed many but still Kenyan women like sweettalkers kot knowing they sugar Coat to get what they want

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      True

    • @us7wqtrnek7uu
      @us7wqtrnek7uu 8 месяцев назад +3

      Kitambo nilikuwa sisi sote wafrika nawatetea mpaka nilianza kufanya kazi nikajua hawa sio watuuu ni wanyamaa.Ile ukatili wamebeba kama magaidii

    • @mumbisandtmann8931
      @mumbisandtmann8931 8 месяцев назад

      @@us7wqtrnek7uu i was once scammed 500USD its a long story ,they are bad creatures

    • @EAST884
      @EAST884 6 месяцев назад

      Some ladies will never learn seriously until they see stay away from yahoo boys

  • @linetorba8830
    @linetorba8830 8 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 YOUR DESCRIPTION OF THE FOOD YOU LIKE IS HILARIOUS

  • @clarencemanyonyi9171
    @clarencemanyonyi9171 8 месяцев назад +2

    at 59.25 u go kill me with laughter ohhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @daughterofgod4570
    @daughterofgod4570 8 месяцев назад +3

    Sam aki you are a good story teller .....😂😂 .. Waaa its so true about naija men liking Kenyan women. I have gone through it all! ! Wee if your not mentally strong utaingia box zao then kutoka ni hard... Ogaaa men are pure WAHALAAA...OOOH

    • @us7wqtrnek7uu
      @us7wqtrnek7uu 8 месяцев назад +2

      Mnnaitwanga ashawo,nyie ni cheap.Mnaolewanga juu ya pp alafu wanahepaa

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Thanks for watching and responding

  • @GreenRoses07
    @GreenRoses07 8 месяцев назад +2

    Wazi Sam. You bring joy to me. I start looking forward to hearing your story

  • @beatricebolger9824
    @beatricebolger9824 4 месяца назад +2

    Nimecheka sana Oga you go kill me. Good for the Kenyan lady. Patience is the key.

  • @geomangi6123
    @geomangi6123 8 месяцев назад +2

    wewe sam mungu akubariki sana. your content amaizing sana.

  • @fifthfifo8361
    @fifthfifo8361 8 месяцев назад +9

    Weuh true about naija boys. i remember a story in Dubai of a kenyan girl alikua come we stay na mnaija then she got pregnant. All the while the guy was buttering her na lifestyle poa dubai. so he convinced her that he would marry her but first they should travel to meet his mom/family first the travel to Kenya. the girl tried to convince him that they should travel to kenya first but he didn’t budge so naija it was. so as the girl, pregnant was busy shopping for the travel and cleaning house up coz they would go away for several months, weuh she came across her own death certificate!! turns out boyfriend was a big time dealer na he wanted to use her dead body to transport 💊. That was going to big a huge cargo considering the pregnancy. Weuh watu wa Dubai najua pia wako na stories mob!

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +1

      Wawa!!! This one is crazy!!

    • @us7wqtrnek7uu
      @us7wqtrnek7uu 8 месяцев назад +3

      Ndio tumefungulia hii taka taka hapa.Before we get to our golden years we going to cry & if we don't cry our children will cry.One day we learn importance of good immigration policies & good governance.M0st of these folk we opened country for from mois day to now we have nothing in common.

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад

      ​@@BANANALANDMEDIA
      Kweni who's the biggest rreppist kanairo.my local chemist alikuwa ananiambia wao wakiona msee wa nduthi wao hujua hio ni viagra,
      tramadol na hiv kit.sababu wao huishi watu 5 hata 10 kwa bedsitter mshe akingia keja wote lazima wamkule cha nguvu au legit..Madame wangapi wako ndani juu ya mpesa fraud, manzi anawachukulia line ya safcom alafu kumbe wanamove doh chafu,lini iko na mshe mkenya huyo ndoo anakujiwa.
      Watu ovyo sana & ile kitu hunikera utapata wakenya mtandao kwanza hii youtube wakiwakaribisha huku ndio waje kuharibu.
      Btw matiangi he really tried alijaribu,he depot wengi sana mpaka walikuwa hepa.huyu zakayo na hii visafree ndio anatutia ndani.No investor is coming in the next 10 year we going to have igobo na Yorba comm.Vile wanajazana huku wanleta hizo tabia zao mboff.Kidnapping will thing huku pretty soon kama huko kwao.2027 zakayo has to go home.akichapa miaka kumi hii taka taka itakuwa imejazana huku

    • @barbranyamu6310
      @barbranyamu6310 3 месяца назад

      Whatttt and I know a lady currently talking stage with a nigerian guy weee I will warn her

  • @annancy9917
    @annancy9917 8 месяцев назад +3

    It's Sam describing and salivating for mashakura😅. Oh my God 🤭💃🏿

  • @cheronok3491
    @cheronok3491 8 месяцев назад +4

    Hi! Watching from Michigan!

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Thanks for tuning in

    • @johnkelli4940
      @johnkelli4940 8 месяцев назад

      Wow.... how's Michigan? Have been dying to meet a Kenyan from this state. Watching from NBO

  • @angeludeze2217
    @angeludeze2217 8 месяцев назад +3

    God of justice compensated her. . She cried and her God listen. Asante sana for wisdom . Nice 🎶 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🇰🇪🇺🇸❤️😘😘

  • @marywainaina5048
    @marywainaina5048 8 месяцев назад +12

    Naro Moru is on the way before Nanyuki from Nyeri.

  • @Ki-l7s
    @Ki-l7s 8 месяцев назад +4

    This was an amazing story 🎉🎉🎉. Mimi nishaa mdate mnaija siku moja. He was trying to impress me so much, it turned me off. Sikuenda date ingine nayeye 🙀. Masisto & mabroder-O & dat Ting O 🤣🤣

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +3

      Dangerous

    • @EAST884
      @EAST884 6 месяцев назад

      They do tell each other that EAST African and Southern African ladies likes money so onyesha ela tu in reality after that ataanza kukuibia details za card atafanya shopping na card yako and all fraudulent stuffs hawa yahoo boys

    • @EAST884
      @EAST884 6 месяцев назад

      Yahoo boys

    • @EAST884
      @EAST884 6 месяцев назад

      Matapeli

  • @amourmakame3123
    @amourmakame3123 8 месяцев назад +3

    Great content buda keep it up..❤

  • @deniswxyz
    @deniswxyz 8 месяцев назад +7

    Finally a happy ending story but most of this 9ja stories end in misery

  • @LilianNjogu-p8n
    @LilianNjogu-p8n 8 месяцев назад +3

    Sam wee sema chapo hapo
    sawa ,warembo wetu mungu awasaidie

  • @mercyk2672
    @mercyk2672 8 месяцев назад +14

    You are so right about having a vision as a man which the woman can help build on. For me, it was the opposite, I had a vision and was already established in my life and career. I met a man who had no goals, no passion nothing and he was an alcoholic. I worked hard to try and bring him on board in vain, so I was doing it all. I was angry all the time and he was frustrated at my anger. He wouldn't keep a job because of his drinking. I eventually left and started building my life as a single mom here in America. I've achieved a lot, but I know I would have been much further along if he had agreed to take on responsibility. I hope this message gets to every man

    • @johnkelli4940
      @johnkelli4940 8 месяцев назад +2

      Sad.... I hope you are doing better!

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 8 месяцев назад +1

      @@johnkelli4940 yes I am. Thanks so much for asking

    • @johnkelli4940
      @johnkelli4940 8 месяцев назад

      @@mercyk2672 Nice to hear you've healed... keep smiling dear! Life ain't smooth all through, got to know how to navigate the rough patches and oftentimes we learn that through experiences. Tough ones!

    • @IgnatiusSanya
      @IgnatiusSanya 8 месяцев назад

      Mercyk2672 Did you went there as student?

    • @raphaelotieno888
      @raphaelotieno888 8 месяцев назад

      Keep soaring higher, wishing you well.

  • @NjorogeGATEITEI
    @NjorogeGATEITEI 8 месяцев назад +3

    Boss advise ya car note ni mbaya. Let people build credit. The secret is to Just pay more than the minimum.

  • @Sarakassy
    @Sarakassy 8 месяцев назад +3

    Madem wa Kenya na ma-naijo…sijui wao huona nini. We muthee you have your wife in the US?😂😂😂 waiting..

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад +1

      They want end up on tuko ama Lynn ngugi wakue mashuhuri.
      Wanaolewa juu ya pp is nice wayy for them not to go back home Most watakuwa baby mama,wadie,waende jela,very very few will see hio happy ever after

  • @GraceTumaini-rg8jw
    @GraceTumaini-rg8jw 8 месяцев назад +3

    Talk about it Sam👍

  • @georgemwangi2167
    @georgemwangi2167 8 месяцев назад +2

    Story zako zinanibamba sana! Siku uko Phoenix, nistue we should hang out! Pia mimi ni alumni wa Katchez!

  • @Phillpns413
    @Phillpns413 8 месяцев назад +1

    There's a saying in FRENCH that says gutire gia tuhu thii ino . Marihii no guku thii.
    IYKYK.

  • @rosrynqmiregwauh3673
    @rosrynqmiregwauh3673 8 месяцев назад +2

    I found your book at my client’s house mzungu..she requested me to read it..l never it’s you until l started watching you

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Wow !! Thanks much!! That’s Amazing!

  • @mburulucky9580
    @mburulucky9580 8 месяцев назад +4

    Improving your finances (or not) is partly a knowledge problem, but largely an implementation problem.
    Most people gradually learn what they have to do, but struggle to execute consistently.
    Start small. Don’t overwhelm yourself. Consistency triumphs over intensity.

  • @phyllnimmoh
    @phyllnimmoh 8 месяцев назад +2

    🤣🤣🤣🤣weeuh kuwa na huruma. Dame sura kama ya mbaba 😂

  • @mercyk2672
    @mercyk2672 8 месяцев назад +15

    When I was attending college in the Raleigh Durham area, I met this Nigerian who really charmed me. We started dating but my good friend who was a Nigerian warned me about him. She told me Igbo men don't marry women from other cultures. I didn't hid the advice, but I remember he suddenly became very hostile towards me. Luckily I was about to graduate,. As soon as I graduated and left North Carolina, he married an Igbo woman. I've been approached by numerous Nigerians since then, but I wouldn't dare date them even if they came straight from heaven 😅

    • @johnkelli4940
      @johnkelli4940 8 месяцев назад

      How do you see men ... what's your views about men?

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 8 месяцев назад +1

      @@johnkelli4940 I don't hate men, I'm just very cautious

    • @NjorogeGATEITEI
      @NjorogeGATEITEI 8 месяцев назад

      Ulienda wapi after huko? Kenya?

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 8 месяцев назад

      @@NjorogeGATEITEI nope, I'm still in America

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +1

      Great lesson

  • @rosalineruguru2816
    @rosalineruguru2816 8 месяцев назад +2

    Betrayal in love really hurts... thanks God she got it back.

  • @jjkui4535
    @jjkui4535 8 месяцев назад +4

    OMG MWANYUMBA sasaaaaa. I know you from waaaaaaaay back mazee, pale phase 8. I used to live in Kamesh! My goodness it’s been over 25 years, nimekujua juu ya meno (gap) 😂😂😂😂😂. Koi is my name. I remember coming to listen to TUPAC kwa keja yako I guess it was in 1997. Waaah!

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +1

      Kui my God!!! !!!!! Hit me up +19192910737

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      OMG Kui !!!!!! I remember you wer very kind to me! DM me o on ig @banana land media

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      +19192910737

  • @phyllnimmoh
    @phyllnimmoh 8 месяцев назад +2

    What goes around comes around . Weeuh 😮 usifanyie mtu vibaya 😢

  • @Waithiramburu
    @Waithiramburu 8 месяцев назад +4

    Another day, another dollar. Apparently, hawa Nigerians have made "Nyairofi" aka kanairo to be a mini scam capital in Africa.

    • @b.3940
      @b.3940 8 месяцев назад +2

      I’d like to hear more about that. Ni wabaya hivyo??

    • @7yqgevdj6
      @7yqgevdj6 8 месяцев назад +1

      ​@b.3940
      Mamanzi wangapi hapa huconiwa hizo.,msee huwa ana treat mshe vipoaa mpaka akili zinapotea,anamshow msee wafanye biz unampea doh ama manzi anachukuwa loan unampea analost.
      Nini hawafanyi huku kenya, sio kuua watu, kuuza mihadarati, kurapp3 mamanzi,watoi wa high skul,nini hawafanyi huku.Nijos are biggest grappist in nairobi how,vile wao huishi watu Kumi kwa keja manzi akiingia hio kejja hao wasee wote lazima wapenye.usisaau viagra(kumba0) na tramad0l
      ( wasimwage haraka) mshe aingie keja hawa wasee huwa wanamgoja, mamanzi wangapi wako jela juu ya hawa wasee kenya na majuu,mamanzi kenya huwachukulia lines za safcom na mpesa,wanatumia hizo lines kuiba au move doh ya uizii,nani anakuja kuchujuliwa si mwenye line manzi au manzi anambiwa twende likizo kumbe msee ameweka madawa kwa suitcase na hujui manzi ndio anashikwa,usisahau scams,
      huwa wanaweka ads kwa ig wanatak model mshe anajipeleka hajui akiingia keja anapata amegonjewa na wanaume.Unajuwa wakenya wanafikiria ule mshe rita ndio kwanza kutolewa kafari mamanzi wengi sanaaaa wamelost.Ideally rita ilikuwa asiwaha patikana,hao watu kunao wanijo wako jela juu ya hizo vitu.is not new.
      Most nijos kanairo is here illegally & thuggy.My pal was telling me wameenda mombasa wameanza kujazana huko
      C tuliambiwa visafree ni poa, hao ndoo wanakuja huku kujazana.hio kiti ikiendelea watakuwa wengi sanaa.
      Tulifungulia s0mali 20 plus year hao sasa ndio biggest
      landgrabb3rs kanairo..bro nijos Is badddd case kanairoo.
      Previous gova matiangi used to set up sting operations alirudishaa wengi masses.
      Kutoka zakayo aingie ile job yote alifanya down the drain.
      Deez immigrati0n p0licies we running zitatu bite pretty s00n.
      Kama uko kanairo ile siku utaingia uber ama bolt chapa story na hao dere au kama unajuwa karao,watu wa upelelezi.Wanahamiaaaa huku n0nsense.Bro naweza endelea.
      Wacha wajazane hapa alafu pia sisi tutakuwa bann3d kuingia nchi zingine or will going thru what they do thru na pp yao.Wako hapa juu ya pp.Alafu katika hio w afrika hapo unapata msee alifanya kitu ya udoo nchi yao unahepea kenya unachill.Away from hio area yao,kenya is 1 n!geerian sp0t ya kuhamaa.The w0rst people we c0uld all0w int0 the c0untry.
      Kut0ka tuanze kuwaona wengi huk0 2010 wamekuwa mienendo za paka na panya with law enforcement & yet thru the years wamekuwa wanaongezekaaa😢😢😢

    • @Waithiramburu
      @Waithiramburu 8 месяцев назад

      ​@@7yqgevdj6umeongea ukweli and summed it all up very well. Then wanahonga police, watchmen.

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +1

      Very true

  • @SueRebirth
    @SueRebirth 8 месяцев назад +1

    Checking out the link 👍🏽💯

  • @AishatuMuna
    @AishatuMuna 8 месяцев назад +1

    Your a good story teller. This one imenibaba wanaijo wako kila kona

  • @Bianca-j4r
    @Bianca-j4r 8 месяцев назад +2

    Hapo umengonga ndipo😂😂😂mpaka twenk kidogo

  • @sheilakamweti6275
    @sheilakamweti6275 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤am still enjoying your content.

  • @annancy9917
    @annancy9917 8 месяцев назад +1

    What is your take concerning universal life insurance?
    This in particular, is 7702.
    Is it legit?

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      It is legit but personally I would rather invest that money for myself and apply discipline in the way I manage my portfolios.

    • @annancy9917
      @annancy9917 8 месяцев назад

      Thanks for the info

  • @annief6218
    @annief6218 8 месяцев назад +4

    Add Ghanaian to the red flag list...wameramba watu

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      Kabisa

    • @annief6218
      @annief6218 8 месяцев назад +2

      Let this west African men marry their own kwanini no kikuyu or Kenyan man married from west Africa....eeh tutarambwa together

    • @us7wqtrnek7uu
      @us7wqtrnek7uu 8 месяцев назад +3

      ​@annief6218
      Nyie mamanzi ndio mtafanya turambwwe.Wanaume ngumu sana.Mamanzi wao ong'ura sana naturallyy on top wamejengwa kama wasee
      Afadhali kuoa mzungu,mchina
      arabu,korea etc kuliko mtu wa hio magharibi.Angalia kama wanijo I see the wayy the behave huku na nchi zingine,
      whyyyy In my right mind nataka kuingia hio mess yao.Hizo ukorofi za wanaume wao zime rub kwa mamanzi wao.Wako na culture ya narcissism
      You don't see men wakiwa na haja n mamanzi wao.Me mwanaume kama nikuoa ama date ethiopia max,ug,drc kushuka mpaka sa.
      Btw hii visafree ya zakayoo,
      wanajazana hukuuu kama mchawa.If zakayo goes 10yrs watafika kama mita na juu,for regular kenyans brace yourself won't afford anything.What sucks is tunafungulia nchi watu we have nothing in common with.Machozi nayoo itatoka one day in the future.

    • @annief6218
      @annief6218 8 месяцев назад +1

      @us7wqtrnek7uu Ni maubile too they said that dating kenyan men should be added to 100 ways to die...but west African its number one way to die...sasa acha tu we go...we die ..we learn ...we come back walking dead

    • @us7wqtrnek7uu
      @us7wqtrnek7uu 8 месяцев назад

      @@annief6218
      Hatuna hizo tabia sisi.Matiangi alirudishaa hawa watu mpaka walikuwa wanajitoa.zakayo ameuza nchi
      ruclips.net/video/Q3apHX76rQo/видео.htmlfeature=shared

  • @nellysituma7702
    @nellysituma7702 8 месяцев назад +1

    Yes, those medicine ni stress. Nilipigana nikapewa prep, ni stress.

  • @mburulucky9580
    @mburulucky9580 8 месяцев назад +2

    Usigizi na ndoo 😂😂😂🎉

  • @Njogu254
    @Njogu254 8 месяцев назад +1

    Wow 16:00minutes umepiga story yangu, I like your true stories

  • @clarencemanyonyi9171
    @clarencemanyonyi9171 8 месяцев назад +2

    goodluck to our kenyan girl,,tell her anipee connections za uko nikam.

  • @kaka-mx6bl
    @kaka-mx6bl 8 месяцев назад +1

    😂Acha nicheke..Oga at de top sio mchezo.

  • @mburulucky9580
    @mburulucky9580 8 месяцев назад +2

    Dubai or USA? Where do you think one can make dream come reality quickly 🎉

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +3

      Definitely USA if you apply the same principles

  • @teresiawachira1034
    @teresiawachira1034 8 месяцев назад +3

    I am not surprised.

  • @stephenkoome
    @stephenkoome 8 месяцев назад +2

    Miaka kumi mtu huona kama ni mingi sana..ati ten years na hakuna kitu umefanya

  • @abc-m9z9n
    @abc-m9z9n 8 месяцев назад +2

    Good lesson for young people who are following these men. That was a good ending though. Had it been me, I would not have given the wife even a cent, they were together using me but God revenged for me.

  • @ojijo21
    @ojijo21 8 месяцев назад +2

    Hao watu mkae. Mbali nao kuna rella Europe aliingia kwa noma just for exchanging num ilikua kesi ya serikal

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Kabisa

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад +1

      Zakayo wants please all africans at expense of us kenyans.Visafree ndio itatuweka shida zingine hatujawahi ona maisha zetu.
      Watajazana huku kama mchwa ngoja utaonaa

  • @rosiganza
    @rosiganza 8 месяцев назад +1

    Never joke with God especially when it comes to hurting an innocent soul that prays in His name. Muogope Mungu sana.

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +1

      True

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Thanks for watching

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 8 месяцев назад

      Nyie mnasambua mungu sanaa.Nijo ni red flags everywhere in 🌎.Jiepushe ndio usianze kuomba in tongues.

  • @Musso124
    @Musso124 8 месяцев назад +2

    Sam lazima useme ukweli yenye tunafanya huku 😂😂😂😂😂😂anyways ww hunimbamba sana🎉

  • @maggiemugs855
    @maggiemugs855 8 месяцев назад +3

    I like it this is my favorite Topic.Not only Nigerian Even Kenyan Men.Broo God bless

    • @Kenya74
      @Kenya74 8 месяцев назад

      No, don't compare Nigerian conmen to descent Kenyan men

    • @7yqgevdj6
      @7yqgevdj6 8 месяцев назад

      Kenyan men hatuna hizo tabiaaa mbayaaa.
      Tafadhali wacha kuweka wakenya kikapu moja na ha0 watuu

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Thanks 🙏 for watching!

  • @michaeljumbaglobal
    @michaeljumbaglobal 8 месяцев назад +3

    Kenyan ladies always say Nigerian men are more 'romantic' than Kenyan men! Are they?

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад +2

      They know how to use their mouth but once you are in they change on you

    • @anngerald7770
      @anngerald7770 7 месяцев назад +1

      Kenyan women See a Nigerian man 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ DO NOT WALK RUNNNNNNN danger zone………

    • @evelynlyimo1557
      @evelynlyimo1557 4 месяца назад

      It's true Ni very 'romantic 'they also be very persistent.na siwanajua kukungojea incase huingii 😂box Yao upesi upesi,,I befriended one who was from Benin city Edo state,,huyo nayee hasira alikuwa nazo 😂😂 atakutusii ujihurumie😂😂,so nikamlambisha block..kidogo sisters zake washanitafuta wamusaidie kumuomba msamaha 😂😂,, inlaws nao wakitumwa waje kukuongekesha hapo unajua tu jamaa ameishiwa Na ujanjaa😂😂😂.nilimwacha Kwa mataa bila warning 😂😂

  • @t.y593
    @t.y593 8 месяцев назад +2

    Content safi kama kawaida

  • @LilianNjogu-p8n
    @LilianNjogu-p8n 8 месяцев назад +1

    Naromoro iko nyeri county,pale kwa governor kahiga.

  • @Prof001Wex
    @Prof001Wex 7 месяцев назад +1

    Sam how can i help my sis to come to USA? Am a green card holder

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  7 месяцев назад

      Is she under 18?

    • @Prof001Wex
      @Prof001Wex 7 месяцев назад +1

      @@BANANALANDMEDIA yes. She is over 30

    • @Prof001Wex
      @Prof001Wex 7 месяцев назад +1

      @@BANANALANDMEDIA am RN here. I came here 4 years ago and I have been thinking on how I can help her come over though she isn't a nurse. She is a Chemical engineer.

  • @trishtrish2349
    @trishtrish2349 8 месяцев назад +1

    Kyuk concoction AKA mashakura 🤣🤣

  • @Clairecnn
    @Clairecnn 8 месяцев назад +1

    This is a lovely story……ni Mungu tu 🙏🏿

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 8 месяцев назад +2

    hawa wanaijo inakaa wamechanjwa ulimi,,,juu wanapendwa na vyenye wako na sifa mbaya

  • @perisndirangu1280
    @perisndirangu1280 8 месяцев назад +5

    In Canada healthcare is FREE ..kujeni

    • @NjorogeGATEITEI
      @NjorogeGATEITEI 8 месяцев назад +1

      Is it rationed? Ni ile you see doctor with 6 months notice?

    • @clarencemanyonyi9171
      @clarencemanyonyi9171 8 месяцев назад +2

      i heard its very tiresome..u can wait for upto 6months to see a doc,,america is better

    • @ProudBootyscratcher
      @ProudBootyscratcher 7 месяцев назад +1

      ​@@clarencemanyonyi9171 people see real doctors or other physicians calling themselves drs?

  • @vinjoproducts.4655
    @vinjoproducts.4655 7 месяцев назад +1

    Concentrate on the story, umetupeleka kwa three stories 😂, l didn't finish watching,, so many stories in one😮

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  7 месяцев назад

      Sorry it’s just my style and people love it

  • @jennifermorgan8124
    @jennifermorgan8124 8 месяцев назад +1

    Internet mainly RUclips has destroyed Africa so bad. RUclips made AFRICANS our self so much

  • @janenjuguna7904
    @janenjuguna7904 8 месяцев назад +2

    I understand that depression it’s 16yrs now I don’t date

  • @trishtrish2349
    @trishtrish2349 8 месяцев назад +1

    Kuna mdame mtzd anaenda jela juu ya fraud na wa naija . Unataka details?

  • @Wasaniistudios
    @Wasaniistudios 8 месяцев назад +1

    Age gracefully was it necessary 😀😀😂

  • @Vip123-qd8cb
    @Vip123-qd8cb 8 месяцев назад +5

    Hakusahau ni mungu alimkubuka.

  • @mwihakimuigai9907
    @mwihakimuigai9907 8 месяцев назад +1

    That's a testimony right there

  • @SueRebirth
    @SueRebirth 8 месяцев назад +1

    God bless Janet wherever she is🙏🏽

  • @rosiganza
    @rosiganza 8 месяцев назад +1

    Wonderful story

  • @LoiseWNjoroge
    @LoiseWNjoroge 8 месяцев назад +2

    Narumoro ni Katikati ya kiganjo änd Nanyuki huko Nyeri

  • @bensonabisai9197
    @bensonabisai9197 8 месяцев назад +1

    Maisha ni noma. Lakini Sum usiwahi advice mtu juu ya dame ama chali yake. Hapo balaa. Watu husema

  • @jahissa
    @jahissa 6 месяцев назад +1

    ati wnderfullt ilimuacha kando hahaha una ufala fulani poa sana umenichekesa

  • @johnstoneolefa913
    @johnstoneolefa913 8 месяцев назад +2

    Narumoru iko pale nyeri na aki na naona ukona body ya CNA kimpango wacha niseme pole pole

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂 yani nimeji rusha kwa moto mimi mwenyewe? Hahahaaa hapo umenimaliza

  • @Sly-Sylvia
    @Sly-Sylvia 8 месяцев назад +1

    Kama skuma hazijapata maji 😅 Jamani

  • @peacemaker2789
    @peacemaker2789 8 месяцев назад +1

    Woriaa watching from missouri..mtu wangu napenda story zako..true stories sio za jaba...i lke when you say kwa channel zako Alhamdullilah...meaning Praise be to God..

    • @SCRUFFY_OMARO
      @SCRUFFY_OMARO 8 месяцев назад

      Bro will you be kind to share your email with me...I'll need some guidance from you

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Yes praise be to God all the time! Thanks for watching!

  • @Danmuchiri5421
    @Danmuchiri5421 8 месяцев назад +1

    Say hi to Ngigi mwaura and hee sisters there NC raleigh

  • @valentineatieno2563
    @valentineatieno2563 7 месяцев назад

    Aki i feel yu digress alot..mpaka nashindwa what the story was all about

    • @anngerald7770
      @anngerald7770 7 месяцев назад

      Digress is what make the story sweet and sweeter…

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  7 месяцев назад

      That’s the point

  • @Yara-py3qh
    @Yara-py3qh 8 месяцев назад +1

    He made a bed hope he enjoyed laying in it uyo mama munaijo akule kiburi yake . Our kairetu alifanya vizuri kutopeana hata bob.

  • @NationalFridah
    @NationalFridah 8 месяцев назад +1

    Great job 😂😂

  • @bensonculture2947
    @bensonculture2947 8 месяцев назад +1

    Narumoru ni WEST POKOT ❤❤❤❤❤❤❤❤ CONNECT NI TOTO LA HOME

  • @perisndirangu1280
    @perisndirangu1280 8 месяцев назад +1

    It happen all the time her in Canada 🇨🇦..Nigerian love Kenyan women …it happened to my friend ..and the guy disappeared to Nigeria ..and divorced he had a different ..Name …borrowed a car ..meaning he was fake

    • @mercyk2672
      @mercyk2672 8 месяцев назад +2

      Woie, I dated a Nigerian too, but luckily, we didn't invest together. Eventually he frustrated me so much since he wanted to marry a fellow Nigerian. I gave up and left him

    • @janekamau6506
      @janekamau6506 8 месяцев назад

      😂I love your stories and advice 👍👍

    • @7yqgevdj6
      @7yqgevdj6 8 месяцев назад

      @@mercyk2672
      Uliona ule mshe wao Kora vile alikuwa anadai alichomwa na asidi akiwa uk alafu sis yake anafanya live akisema hao east africans hawatupendi🤣🤣 ooh sijui hawapendi afrobeats lakini bado ndio wengine wataland leo jkia waanza maisha kenya.
      Hawa watuu hapa kanairo marappiste kama nonsense.Mshe huitwa unapewa drink unableki undinywa na hio keja yote ukitoka hii keja unaenda hosi kushonwa.
      Utadinywa Massimo zote hio siku.Dere wa uber hudrop mshe trm 3pm anambiwa kujia mshe 3am dere analetewa mshe hatembei mrudiahe kwao.Kwanza sasa juu ya online dating mamanzi wa mushatha ndio hawajui tabia zao kubbakka,
      mamanzi kanairo wengi wanamezea ukitaka kikurambe ni hao.Mshe amee5 mse tinder anapewa fare anakuja unaiingia keja msee mmoja ile wakati mtakuwa mechi wasee wengine wanaingia.Most gals spoke too husema music was loud.Kama uko kanairo unaisha na hao watu plot moja ukisikia loud music Kuna vile mshee anafanyiwa mambo za udoo.
      Alafu vile hawa waseee wanajuwa kwao kumenuka wanaoaa mamanzi wa nchi zingine wakuwa na pp 2 au 3,hawataki kurudi home & hataki kujipata hawezi enda mahali juu ya pp yao.They know hio pp yao haina mpenyo mobb,ndio watajaaaa kama mchwaa.Uk wamekaziwa.Greencard hawezi jaaza only country africa haiko available
      Have you seen or heard jama mkenya anadate ama mtu amefunga ndoa na hao mamanzi or nchi ingine haziko hio magharibi yaoo.Ive never heard.Culture na reputation ya watu why take that risk.Is not worth it.
      Hujaona ona watu wakabilaaa kama wao,majirani zetu husema sis ni wakenya tuko na hio ukabila wao ndoo wanamiliki hio tuzo.Ukiwa majuu have you ever realised wao ndoo huchukiaaa watu weusi wa yues alafu kuona wafrika wengine mafalaa?mnambiwa sisi wafrikaa wote tunachukii na watu weusi wa yues lakini ukichunguza utapata nijo ndio wenye hio beef
      My pal sis yake yues alikuwa amechumbiana na msee nijo.Beste ya mine alikuwa ananishow eti alikuwa anambiwa na wazazi wake huyyu msichana sio wetu..
      Waliachana guess what alioa mtu wao.Hawa washe wakenya huolewa alafu wanaenda huko mathe huwa church huwa ananiambia mtoto wa mama nani alirudi, msee ako umalaya 24/7, ameshikwaa huko ama msee alingoo.Wewe hujui mzee ako wapi ukiuliza watu wao hawajui.
      Hata kama ni msee sio mkenya watu wa west wachana nayo afadhali mzungu,ama watu wa hizi country beside us na kushuka mpaka
      Culture hio utamaduni ni muhimu sanaaaa.Ndio nasema hawa watu wote tunafungulia nchi kitaturamba.
      somali walituletea alshabab,na usisahau wao ndio landgrabb3rs kanairo, manijo hii ni hub ya scam,madawa na tarjia vile wanajazana ndio wanapata pp,wakishikwa nayo sana wakifanya vitu mbaya itatukujiaa.
      Kwanza hio thika road watoto wao wamejaaaa kama mchwaa.
      Wanajazana mimba na province.
      Kama wewe ni manzi ujipate kwa shida nao ukienda kwa karao utaambiwa tahadhari na hao watu.Makarao hawawezi keep na zile vitu unafanya,wako 🐈 and 🐁.
      Mjichunge ladies too many parents wanagonja their daughters juu ya watu.

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      Wooow!!!! Crazy

    • @OneDem99
      @OneDem99 8 месяцев назад

      Ulichezwa mercy

  • @Jamesmakoris
    @Jamesmakoris 8 месяцев назад

    Mapenzi inaeza kufanya upende mashakura ka huyu msee 😄

  • @anma-s7s
    @anma-s7s 8 месяцев назад +2

    😂😂fearfully

  • @jamesmutuma3170
    @jamesmutuma3170 8 месяцев назад

    Narumoro iko on your way to Nanyuki from Nairobi or Nyeri

  • @NancyQueen-e8p
    @NancyQueen-e8p 8 месяцев назад +1

    I love your contents

  • @fatmanassib2823
    @fatmanassib2823 8 месяцев назад +1

    Karma is a bitch

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 8 месяцев назад +1

    😢😢😢

  • @franciscowilliam2575
    @franciscowilliam2575 8 месяцев назад +1

    Budaa unatumbia nini mabuda wa mid 50? Tupo hapa US tunafanya kwenye MA factory hatuna chochote zaidi ya kusubiria retirement?

    • @moneywise8506
      @moneywise8506 8 месяцев назад +1

      50 years is not too old/ too late to live a better life. Have an open mind and pray to God to give you a creative idea that will help you build wealth.

    • @moneywise8506
      @moneywise8506 8 месяцев назад +1

      My husband started as a worker in a factory but now works as a cyber security analyst and earns well. Do not settle for less.

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  8 месяцев назад

      50 is not late at all. Remember it took me 6 months to turn my life around.

  • @Boballerz
    @Boballerz 8 месяцев назад +1

    😂😂ati ahh huhh

  • @rosrynqmiregwauh3673
    @rosrynqmiregwauh3673 8 месяцев назад +1

    You’re so funny like your storos

  • @franciscowilliam2575
    @franciscowilliam2575 8 месяцев назад +1

    Ooh hoooo my godi ooooh!

  • @jeffryjeff3278
    @jeffryjeff3278 8 месяцев назад +1

    Narumoro ni laikipia county karibu Nanyuki

  • @fredotieno2339
    @fredotieno2339 8 месяцев назад +1

    Tuko ndani bro

  • @jedidakariuki1830
    @jedidakariuki1830 7 месяцев назад +1

    True 😂