Dah, mzee Waryoba mwingi wa hekima. Na Mungu akubariki si haba. EL utakumbukwa daima, tunaombea dua familia na waTanzania kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu, Mungu na awe mfariji wenu na watie nguvu.
Mungu wapokee viongozi wetu bila ya kujali dini zao wanapo kufa kwa kubadilisha maisha ya watanzania walio waongoza kuwa maisha yao ya huko na uzidishe hasira zako kwao
Wakati tukiomboleza msiba wa waziri mkuu mstaafu tukumbuke sisi ni watu mungu ambae hana ubaguzi. Na sisi kama binadamu tusiwatendee mbaya watu wengine.
R.I.P jaman na upole wako hukuwa na makuu hatukuwahi kusikia ukitukana mtu wala kumkashifu wala kufoka hata kutupa maneno mabaya magumu hukuwahi, duuh inauma sana tunakuombea upate pumziko mungu akuweke mahali pema peponi
Sasa atalala salama lowasa kwakua kilicho mtesa mda sasa kimesemwa kiukweli alionewa sana mzee na upole wake ote ila dharau ndo ikawa malipo yake 😢😢😢😢inauma sana
Ukweli wake ndani ya serikali na chama chake ndicho kilimfanya wamchukie lowasa ni kweli alikuwa anasema kipaumbele chake ni Elimu kwa watanzania hata alipogombea urais kupitia chama cha chadema alisema kwanza Elimu kwa wananchi wa Tanzania kweli alikuwa amewaza mbali juu ya kututoa kwenye ujinga RIP Edward Ngoyai Lowassa
Alikuwa fisadi huo ndio ukweli waliokuwa karibu naye walikuwa wanamjua ndio kila mara walikuwa wanampiga msumari USIMTETEE bari tumuombee APUMZIKE KWA AMANI.
Mbona magazeti juzi yameandika eti Jakaya Mrisho Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea msiba wa Lowassa, wakati hapa nimesikia kuwa Jakaya ndo anayefuatia.
lakini huyu si waziri Mkuu mstaafu jamani mbona huwa wanamtenga km hakuwahi kuwa waziri Mkuu bana!! mi namkubali sana huyu mzee basi tuu!! kwangu atabaki kuwa baba tuu kama alivyokuwa baba magu full stop!! kama we ni snitch usiguse comment yangu please 🙏
Kina neno linasemwangwa yaani WAKATI UTAONGEA ndiyo haya Sasa wakati uliopita tulikuwa wapi kusema jamani tumsikilize tumjadili na kumtafakali lakini jinsi umma ilvyoaminiwa ndiyo huu Sasa tutaongea yote Mungu atusamehee sana
Hakika Haki huinua Taifa, Watanzania wenzangu hasa viongozi mtende haki kwa watu wenu mnaowaongoza kwa ajiri ya afya ya Taifa letu. Tumepoteza viongozi wengi waliowazuri kutokana na kukosekana haki, huyu mzee hakika alikuwa wa kipekee maana ameumizwa mara nyingi na nampongeza mzee Warioba kwa kusema ukweli. Tujifunze kupitia hilo la kusema ukweli na kutenda haki.
Warioba na Lowasa nyie ni Viongozi. Hiii nchi Anaiharibu Kikwete na timu yake. Nape,mwigulu,kikwete jr,Makamba jr,Makamba Sr,Kinana ni watu hatari katika Nchi hii.
Ishi utukanwe etc, ufe na usifiwe, nyie wanafiki wakubwa mlimtukana, leo ni shujaa, wanafiki mbu nyie. Mlumvisha zigo la Richmond kwa sababu ya matumbo yenu!
Huyu mzee ndie aliyebaki huwa hapepesi maneno mungu aendelee kukupigania fadha wetu
Mzee umenena ukweli Mungu aendelee kukupa afya njema na maisha marefu
Story zako nzur sana Jaman Mzee wetu warioba Mkuria Mwenzangu ❤❤❤❤
Mungu Akupe maisha Marefu Mzee Warioba, Wewe ni kati ya Wazee muhimu sn hapa Tz, Mungu Akubariki sn.
Mzee Mungu akupe maisha marefu huna unafki
Warioba umenena ukweli mtupu , mzee wetu MUNGU akubariki
Dah, mzee Waryoba mwingi wa hekima. Na Mungu akubariki si haba.
EL utakumbukwa daima, tunaombea dua familia na waTanzania kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu, Mungu na awe mfariji wenu na watie nguvu.
Heshima kwako mzee wangu warioba🙏🙏
safi sana mzee wetu warioba kwa ukweli wako mungu akupe maisha marefu
Mungu akulinde msema kweli
Mzee Warioba umenikuna nilichokuwa nakitegemea kiongelewe kuhusu Hayati EL
Pumzika kwa amani Baba
Wasije wakamuua mzee wetu mana nchi hii Mungu atusaidie sana
8:47 Asante sana Warioba. Umetendea haki nafasi uliyopewa.
Nchi bado ina dictionary Mzee Warioba Mungu akuweke zaidi uwepo .
Mzee warioba mungu akupe maisha marefu San
Mungu wapokee viongozi wetu bila ya kujali dini zao wanapo kufa kwa kubadilisha maisha ya watanzania walio waongoza kuwa maisha yao ya huko na uzidishe hasira zako kwao
Wakati tukiomboleza msiba wa waziri mkuu mstaafu tukumbuke sisi ni watu mungu ambae hana ubaguzi. Na sisi kama binadamu tusiwatendee mbaya watu wengine.
R.I.P jaman na upole wako hukuwa na makuu hatukuwahi kusikia ukitukana mtu wala kumkashifu wala kufoka hata kutupa maneno mabaya magumu hukuwahi, duuh inauma sana tunakuombea upate pumziko mungu akuweke mahali pema peponi
Mzee WARIOBA Mwenyezi Mungu Akubariki. Hekma Na Busara Zako Zidumu.
Nimesikiliza mara nyingi huko aliko amefrh sana nimeumia sana umeonge true story aseee😢😢😢😢😢
Sasa atalala salama lowasa kwakua kilicho mtesa mda sasa kimesemwa kiukweli alionewa sana mzee na upole wake ote ila dharau ndo ikawa malipo yake 😢😢😢😢inauma sana
😢😢
Asante San baba ulikuw na maono
Alihukumiwa bila kusikilizwa,inaumiza sana aisee ,kumbe alikuwa sahihi 😢baba wa watu
Huo ndiyo ukweli lakini ifike mahala sasa mutu apewe sofa zake akiwa anazisikia nafikiri itakuwa ni vizuri zaidi.
Mzee wa hekima mjasiri na mkweli Tanzania.
Nice speech warioba
Ukweli wake ndani ya serikali na chama chake ndicho kilimfanya wamchukie lowasa ni kweli alikuwa anasema kipaumbele chake ni Elimu kwa watanzania hata alipogombea urais kupitia chama cha chadema alisema kwanza Elimu kwa wananchi wa Tanzania kweli alikuwa amewaza mbali juu ya kututoa kwenye ujinga RIP Edward Ngoyai Lowassa
Alikuwa fisadi huo ndio ukweli waliokuwa karibu naye walikuwa wanamjua ndio kila mara walikuwa wanampiga msumari USIMTETEE bari tumuombee APUMZIKE KWA AMANI.
@@blandinamwarabu5025 unaushahidi? Au roho mbaya inakusumbua😢
Ukipelekwa mahakamani unaweza thibitisha acha unafiki.@@blandinamwarabu5025
Pendaga sana huyu Mzee Warioba, aishi miaka mingi. Only few people who can see the invisible.
Baada ya Lowasa ni Warioba waliobakia wote ni wale wale wapenda Madaraka tu
Wezi sio tuu wapenda madaraka .hawajui nao watakufa na hawatondoka na chochote hapa.wanavyotuibia wataviacha vyote hapa
@@samwelmatemu8873umesema kweli
Huwezi mfananisha warioba na lowasa,lowasa alipenda sana madaraka,tofauti na warioba,warioba mkweli muwazi,lowasa MTU wa ushawishi zaidi
Ccm bana mnayasema haya sababu anayetakiwa kujitetea Hana kauli!
Huyu mzee ndiye tunu tuliyobakiwa nayo Tanzania,Umekuwa na hotuba njema mno
profesa warioba alama zako zitabaki
Kumbe Lowasa alikuwa anakataliwa kuwa Raisi shida yake ilikuwa kuwa kiongozi Mungu hakuwa na bahati ila alikuwa na kiu hiyo Mungu hakupenda
God bless you. 🙏
Mbona magazeti juzi yameandika eti Jakaya Mrisho Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea msiba wa Lowassa, wakati hapa nimesikia kuwa Jakaya ndo anayefuatia.
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA libarikiwe. (Ayub 1 : 21)
lakini huyu si waziri Mkuu mstaafu jamani mbona huwa wanamtenga km hakuwahi kuwa waziri Mkuu bana!! mi namkubali sana huyu mzee basi tuu!! kwangu atabaki kuwa baba tuu kama alivyokuwa baba magu full stop!! kama we ni snitch usiguse comment yangu please 🙏
Kati ya wote, huyu mzee warioba kwangu ndiye msema ukweli. Wengine ni wale wa kufa usifiwe.
Mungu ailaze roho ya melehemu pema peponi
Mungu azidii kukutuza mzee wetu mkwelii
Kina neno linasemwangwa yaani WAKATI UTAONGEA ndiyo haya Sasa wakati uliopita tulikuwa wapi kusema jamani tumsikilize tumjadili na kumtafakali lakini jinsi umma ilvyoaminiwa ndiyo huu Sasa tutaongea yote
Mungu atusamehee sana
Mzee watu Warioba umenena, waliobaki mmmh! Tuwaombee, wanatupiga.
Kwann alipokua hai hamkusema?
Pumzka mzee wangu
Hakika Haki huinua Taifa, Watanzania wenzangu hasa viongozi mtende haki kwa watu wenu mnaowaongoza kwa ajiri ya afya ya Taifa letu. Tumepoteza viongozi wengi waliowazuri kutokana na kukosekana haki, huyu mzee hakika alikuwa wa kipekee maana ameumizwa mara nyingi na nampongeza mzee Warioba kwa kusema ukweli. Tujifunze kupitia hilo la kusema ukweli na kutenda haki.
Tunu ya kulindwa ni Mzee Warioba hii hekima sijui itatoka wapi?
Mbowe gombea urais
Warioba na Lowasa nyie ni Viongozi.
Hiii nchi Anaiharibu Kikwete na timu yake. Nape,mwigulu,kikwete jr,Makamba jr,Makamba Sr,Kinana ni watu hatari katika Nchi hii.
Waliomdhalilisha Leo ndio wanaomlilia eti alikuwa mwema! Wanajikosha.
Wa Tanganyika ndo hawa sasa,
Lowasa kuna rafiki yako wa karibu alikusaliti ulipata maumivu sana Mzee Lowasa ila naye atakufuata tu huko uliko
Kwani ameuliwa?????
Hotuba yakipekee pasipo upambe kweli wewe ni mzee yafaa tuitumie katiba uloandaa
Mzee wewe pekee ndo umetambua kuwa Lowassa alikua binadamu na binadam anamapungufu wengine ni kamakawaida unafiki kwenye misiba kumpamba marehem.
Yote hayo mnayaeleza hayana tija kwanini hamkuyasema wakati akiwa hai
Kalale
@@miriamdavis3893akalale vp kasema ukweli, inaelekea unapenda xn uongo
Sayudayei
Lakin mnamsikiliza kwa jicho la tatu?
R.l.P. LOWASA😢😢😢😢
Pole mzehe wentu kalale pazuli tutakukuta
Kufa usifiwe
😢
Yatafichuka mengi tu,na bado mpka wataondoka mmoja moja.
kumekucha lkn kila mtu na kitabu chake mungu amekiandika kila mtu atalipwa kwa ujila wake
@@Leeeeeeee-96kweli
Mangimexza kavuta mdomo au
Ila kuna mzee mnafk sana hapo pembeni.
😂😂😂😂 mungu atamlipa kila mtu kwa ujila wake
Rip
Uyu mzee ni chuma sana wakulingana ni jakaya
Mwalimu anaemsema ni nyerere?
Ndiyo
Mnaacha kutengeneza hospitali bora nchini nyie kazi yenu mkiumwa kukimbilia kwa wenzenu!kisha mnafia hukohuko,kmmk
Point ☝️❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Waliomtuhumu nawaona hapo
😂😂😂😂 wamekaa kwa kutulia
Wanamchi wanamjuwa mwizi na raisi na anamjuwa mwizi, ila wote wanaogopa kumtaja 😂,Nakumbuka nyimbo mpya ya ney wa mitego xaxa
Ishi utukanwe etc, ufe na usifiwe, nyie wanafiki wakubwa mlimtukana, leo ni shujaa, wanafiki mbu nyie. Mlumvisha zigo la Richmond kwa sababu ya matumbo yenu!
in
Wanume watangulia wanawake wabaki
Kufa usifiwe