Kaunti za Mombasa na Kilifi zatangaza marufuku ya Muguka kutokana na athari za kiafya kwa vijana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • KTN NEWS LIVE
    Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on RUclips - your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
    SUBSCRIBE to our RUclips channel for more great videos:
    / ktnnewskenya
    Follow us on Twitter: / ktnnews
    Like us on Facebook: / ktnnewskenya
    KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
    Watch KTN Live www.ktnnews.com/live
    Watch KTN News www.ktnnews.com
    Follow us on / ktnnews
    Like us on / ktnnews

Комментарии • 104

  • @suleabtigigis6932
    @suleabtigigis6932 23 дня назад +13

    best governor
    Keep going brother

  • @FrancoKarisa
    @FrancoKarisa 23 дня назад +13

    Good job Governor Abd

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 23 дня назад +11

    The best governor

  • @Barzini548
    @Barzini548 23 дня назад +6

    Addressing the symptoms of poverty and unemployment while ignoring the real issue being corruption
    because they are the real problem

  • @susanbaumgartl7881
    @susanbaumgartl7881 23 дня назад +9

    Ipigwe kabisa maruku kenya nzima siyo Mombasa tu,,,mbona tanzania ilipigwa miaka yote na watu wanaishi nakufanya kazi,,mungu tusamehe kenya

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 22 дня назад +1

      Tanzania ulikamatwa na mirungi jela inakuhusu Watanzania tunalijua hilo

  • @kennethmuchai3519
    @kennethmuchai3519 23 дня назад +7

    Watafute kazi ingine ata sisi raia wengine tunafanya kazi zina akili.ban miraa.piga marufuku.

  • @brothersalim5359
    @brothersalim5359 23 дня назад +9

    Asante govern

  • @softjeanskhakis789
    @softjeanskhakis789 23 дня назад +5

    Nyinyi. Munalia. KAZI zenu zimeharipika lakini. Hamlili. Kuharibu. Akili za wengine

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 23 дня назад +4

    Kauzeni kwenu kwetu hatutaki, hata miraa pia ipigwe marufuku

  • @abdalladawali8969
    @abdalladawali8969 23 дня назад +3

    Kauzieni meru sehemu ziko nyingi sio lazima mombasa.

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 23 дня назад +2

    Manshaallah gavana wetu Allah akupe nguvu 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼🤲🏻🤲🏻🤲🏻 alhamdulillah super gavan

  • @kibindankoi9824
    @kibindankoi9824 23 дня назад +3

    Rudini makwenu mkauze huo mgokaa. Hamna kwenu?? Kauzeni huko, shenzi!!

  • @user-gq3le9ef4f
    @user-gq3le9ef4f 23 дня назад +2

    Congratulations 👏👏 my Governor

  • @vincentndonye7989
    @vincentndonye7989 23 дня назад +3

    Good job

  • @happytsalakushe141
    @happytsalakushe141 23 дня назад +3

    Hongera gavana

  • @DanielKenneth-ys3oz
    @DanielKenneth-ys3oz 23 дня назад +2

    Pia bangi mmalize na madawa zingine....ju mombasa ndo chanzo ya madawa

  • @muhammadhariz1100
    @muhammadhariz1100 23 дня назад +4

    Poleni sana😂

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 23 дня назад +2

    Mnauzia vijana taka taka mkidai Ni biashara. Ati cash crop. Yani binadamu anakula majani na manyasi kama mbuzi heh !

  • @alextercisio
    @alextercisio 23 дня назад +2

    Good hizo gari zipige round about warudishe uko meru wauzie watoto wao good gavana

  • @vincentmicah4784
    @vincentmicah4784 23 дня назад +3

    Don't be fooled,Muguka imepunguza soko ya Bangi,Bugizi, heroin na cocaine that's why this ban has been put. War between the rich and poor.

  • @brainsviewpsychoclinic3073
    @brainsviewpsychoclinic3073 22 дня назад +2

    Hii si kazi, haya n madawa yabkulevya. Ebu ona hata wanaolalamika wanavyokaa

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 22 дня назад +1

    Kwale county next please 💯

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 23 дня назад +2

    Vizuri kabisa ma governor toeni kabisa uchafu hio

  • @trutharchaeologist
    @trutharchaeologist 23 дня назад +3

    Watakatifu wapwani wasumbuliwa na muguka

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 22 дня назад +2

    " Sasa wee chimera wa kwale unazungumza nini? Hatutaki habari ya kuregulate, tumepiga marufuku huku Mombasa na Kilifi! Icry for my coast leaders some times! Wacha hiyo ujinga, join hands with other counties, kill this buisness of hii takataka yao pamoja na miraa! You sim to be bootlicking the traders. Are you a benefficiary of this illict trade, stop this ujinga/ madnes "SHAME ON YOU"!!!

  • @GeoffreyMumiira-of2tn
    @GeoffreyMumiira-of2tn 23 дня назад +1

    Best governor swammad i salute you, wen you consume something more than it should then it's illegal

  • @mathiasmghenyikilalo4447
    @mathiasmghenyikilalo4447 23 дня назад +2

    This is not favor

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 22 дня назад

    Hongereni sana Mombasa kwa mamuzi mazuri.

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 20 дней назад

    Allaah Atawafungulieeeni kazi njemaa namutalishaa watoto wenuu kwa kazi njemaaa yenye manufaa mleekeeeni mungu mutengezeee kizazi chemaa

  • @JosephNdumia-ny3ow
    @JosephNdumia-ny3ow 23 дня назад +2

    Vizuri governor ingieni gym mazoezi football jipeni shughuli maovi ya jaba ni mengi kuliko mazuri yake tutazoe mi mwenyewe na tumia lakini niki tazama young generation wengine ata waki familia its all they're thinking of day in day out the future ahead is what we have to put in mind here sio adasi jamaa

  • @saadiaahmed3265
    @saadiaahmed3265 23 дня назад +1

    Na shisha ile unavuta itakuwanje

  • @beatriceadhiambo6135
    @beatriceadhiambo6135 23 дня назад

    👏👏👏👏

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 22 дня назад

    Vizuri sana county zote marufuku

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 23 дня назад +1

    Kauzueni watoto wenu sio vizuri kuwauzia watoto wa wenzenu

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 23 дня назад +1

    Watu wa bonda bonda😂😂😂kauzeni kwenu meru bana ama uzieni watoto wenu bara

  • @user-oi9lu8mv6t
    @user-oi9lu8mv6t 21 день назад

    Kabisa 🙏🙏🙏

  • @user-vm9me9jr5n
    @user-vm9me9jr5n 22 дня назад

    The best governor ever

  • @HafidhAli-lt5xt
    @HafidhAli-lt5xt 23 дня назад +1

    nyinyi mwasomesha wanaokula wanapotoka

  • @user-lw3ne4zu3k
    @user-lw3ne4zu3k 22 дня назад

    Ongera sana governor wetu ndio maana nikakuchagua ata raisi afate huo mkondo mugoka tawe movement

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 23 дня назад

    Kilifi safi sana yea yes yes watoe kabisa

  • @hamismwagachetu7475
    @hamismwagachetu7475 22 дня назад

    Yaani gavana asilimia mia okoa vijana kwanini iwe Mombasa tu kuuzwa miraa na mugoka peleka Nairobi huko nakuunga mkono kwa mungu utajibu gavana kazia hapo usibabaike,Allah qareem

  • @ItsN.I.C.M3
    @ItsN.I.C.M3 22 дня назад

    Hi my Gs kuna muguka na miraa?

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 23 дня назад +1

    Nendeni mukauze mogokaa meru

  • @alfanmwatamu9030
    @alfanmwatamu9030 22 дня назад

    Governor wetu wa kwale twakuomba pia huku kwetu mugoka usije

  • @bonfacekhaondo8544
    @bonfacekhaondo8544 23 дня назад +1

    unga itukuzwe sasa

  • @rukiaabdul7191
    @rukiaabdul7191 22 дня назад

    Pongezi Governor wa Kilifi pia..bado Kwale..Lamu..Tana river na Taita Taveta..

  • @user-tw9jk8ow1r
    @user-tw9jk8ow1r 23 дня назад

    kila kitu kina mwisho na nyinyi mnataka kutufikisha mwisho wa kuishi hapa duniani , tafuteni kazi nyengine nzuri ambayo mutaridhika na kama hamuezi nyengine basi sio lazma mombasa nendeni kwengine mbona hamuelewi mwata ruto aingilie upuzi huu county zipo nyingi nendeni huko pia wanakula ama fanyeni biashara nyengine na mutaruhusiwa but sio uchafu huu😢

  • @Kenboer
    @Kenboer 20 дней назад

    No coastian is selling....ipigwe kabisaa

  • @IsaiahEloto
    @IsaiahEloto 23 дня назад

    Hi kitu si poa pia Mimi imeniharibia life kabisa.nalia sahizi wakenya wenzangu.ningependa ipigwe marufuku nchi nzima

  • @user-vm9me9jr5n
    @user-vm9me9jr5n 22 дня назад

    Wenu wasome wetu wapotee governor kindly save mombasa

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 23 дня назад +1

    Mugukaa should be banned all across the counties except zile wa mlima....Wakitaka wauzie watoto wao ! Wao wasome wetu wakue mazezeta !

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 23 дня назад

    Kilifi pia gavana amefunga hiyo kitu

  • @Needlemover02
    @Needlemover02 23 дня назад

    Mwaya mama mwaya, mwaya shida zako zote🤣

  • @dennisoumaluchiri6881
    @dennisoumaluchiri6881 23 дня назад +1

    Waende wauze huko Meru

  • @melodykid8570
    @melodykid8570 20 дней назад

    Kwanza Wewe ndo umefanya tunaibiwa zaidi coz wanataka pesa ya miraa

  • @user-pn1dp2ee9x
    @user-pn1dp2ee9x 22 дня назад

    Jamani kwani hizo pikipiki hazifanyi kazi ngine?

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 22 дня назад

    Nendeni mkauze kwenu. Wengi mnauza ni koryokoryo tu na hamuendi kuuza kwenu mbona

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 23 дня назад

    Gavana wa kilifi umefanya kitu ya maana funga taka taka

  • @saidmohamed7178
    @saidmohamed7178 23 дня назад

    Hatutaki mungoka

  • @FaithImani-qj1ci
    @FaithImani-qj1ci 22 дня назад

    Ipigwe marufuku kabisa

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 21 день назад

    Manyasi wale wenyewe😅😅😅funga vidume hawana nguvu zakiume😅😅

  • @samjuma4207
    @samjuma4207 23 дня назад

    Iyo ifungwe milele iyo kitu inaharibu wengi

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 23 дня назад

    Eti mm nina watoto nawasomesha anza biashara ya kuleta viazi sasa kma umekazania mugokaa na miraa kenya ni kubwa kauzie kwingine au uza huko huko meru

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 22 дня назад

    Kukesha kwa jamvi na mimgoka na miraa huku mabibi zao wamewaacha kwa nyumba pekeyao

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 22 дня назад

    Funga kbs brothers nimbaya kbs

  • @RAJ-R64
    @RAJ-R64 23 дня назад +1

    Wapwani hawapigi kura ... ngoja uone kama utarudi kwa kiti....

  • @ITALwagwan
    @ITALwagwan 23 дня назад

    Kitaeleweka tu,sauti si moja tu, savings nayo itakuwa juu noma sana,cocaine frehe town nayo mpaka lini?mateja jabaa sana mtu,

  • @AtangaWilfred-tl4uv
    @AtangaWilfred-tl4uv 23 дня назад

    Peleka keherehere mountain

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 23 дня назад

    Hatutaki mgokaa watafute biashara zengine mgokaa ubakie kwenye unapandwa

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 23 дня назад

    😂😂😂 Wacha itumike Meru na Kwa Mlima. Pwani ni BigNo......jingazzz

    • @norahk6587
      @norahk6587 23 дня назад +1

      Shenzi hio pwani yenu thousands will loose their daily job, mbona hamuulizi kina joho na hii saitan kw nn wanauza bangi, cocaine, heroine na zingine

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 23 дня назад

    Sheria ikitolewa ifatwe watu wengi mombasa ata makwao hawaendi tena nikutafuna mgukah tu fungeni kabisa

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 23 дня назад

    bora iuzwe ghali 1000ksh tuone

  • @odero1003
    @odero1003 23 дня назад

    Wanasema uulaji wa muguka.

  • @ibrahimabdul6586
    @ibrahimabdul6586 21 день назад

    Uzeni mboga

  • @jimalhussein3215
    @jimalhussein3215 23 дня назад

    Sheme I thought atasema Coca-Cola,ametumua na israel

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 23 дня назад

    Mbona mount kenya chang'aa wanpigana nayo,madawa ya kulevya ipigwe marufuku.

  • @Irene-rt4bf
    @Irene-rt4bf 20 дней назад

    Tafuteni kazi jameni kaxi za kuuana si kazi

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 23 дня назад

    Achani wa kwale useles.badala yeye kama mama awe wa kwanza yeye kimya.amalize aende zake katakata

  • @robertmwa2006
    @robertmwa2006 23 дня назад

    wamezoea cocaine...

  • @margaretreeves3792
    @margaretreeves3792 23 дня назад

    You can feed your children with muguka stop ruining other peoples children lives

  • @khamisibro2106
    @khamisibro2106 23 дня назад

    Tafuteni kazi nyengine mufanye

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 23 дня назад +1

    " Tsanzala idzagwira gogo! Coast leaders when you unite tutawaheshimu na mtaheshimiwa!! My question is: It took the wisdom of the "Muslim Umma to stand up and fight this deadly war of this " Takataka/ mavi ya hii mkoka" Ile mabishop ya church za wakristo walikuwa wapi? They feared loosing the sunday sadaka offered by the christians marchants of deaths from meru county / bara who are the beneficiaries of this haram trade! Our bishops/ church men are for sale, they´re hypocrates and are to blame for the current stituation/ hard ships facing this nation including declaring ruto as god given, just to realize he´s satan given, shame on you all!!

    • @vincentmicah4784
      @vincentmicah4784 23 дня назад +1

      Don't display idiocy and stupidity what does the presidency and religion has to do with this.

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 22 дня назад

      @@vincentmicah4784 " Yes it has to do with it! Your ruto donates millions of shillings to your churches every sundays, he never donates in Mosques! Iknow you dont want to hear this, but the truth remains some of you´re his puppets and hypocrates, shalom!

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 23 дня назад

    Piki piki za bishara haramu zaki kafiri,hatutaki uchafu Msa

    • @Blackmuslimtiger3025
      @Blackmuslimtiger3025 21 день назад

      @philip-fc4ov hujui kafiri unataka nianze kusomea maandiko kutoka kwa bibilia yenu,sasa neno kafiri liko kwa bible kasome mzuri...toeni mogoka na biashara zote zakikafiri yani kazi haramu haramu HATUTAKI

  • @terahedd2
    @terahedd2 23 дня назад

    Poa poa,

  • @dosaathman2176
    @dosaathman2176 23 дня назад

    Bangi na cocaine je mbna yauzwa

    • @terahedd2
      @terahedd2 23 дня назад

      Bangi inauzwa na siri ,muguka inauzwa adharani so its easy to ban it. Cool governor.

    • @Blackmuslimtiger3025
      @Blackmuslimtiger3025 23 дня назад

      Tupeleke pale inauzwa,we dont want that garbage in whole of coast province

  • @DanielKenneth-ys3oz
    @DanielKenneth-ys3oz 23 дня назад

    Pia bangi mmalize na madawa zingine....ju mombasa ndo chanzo ya madawa

  • @HafidhAli-lt5xt
    @HafidhAli-lt5xt 23 дня назад +1

    nyinyi mwasomesha wanaokula wanapotoka

    • @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
      @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi 23 дня назад +1

      KWELI KABISA👍👍👏👏!!! KISHA KILA KITU CHETU HUKU BAADAE WAKICHUKUE HUKU SISI TUMELEMAA NA KULALA

    • @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
      @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi 23 дня назад +1

      NA KAMA ]mogokaa na miraa[ NI NZURI, MBONA HAWALI WAO NA WATOTO WAO⁉⁉⁉

  • @user-ww2mg1jd8n
    @user-ww2mg1jd8n 23 дня назад

    Usia mama yako.

  • @DanielKenneth-ys3oz
    @DanielKenneth-ys3oz 23 дня назад

    Pia bangi mmalize na madawa zingine....ju mombasa ndo chanzo ya madawa