@@AliAli-rx6wu kama wewe ni Mwenyezi Mungu nitowe huo mshipa kama sio Mwenyezi Mungu huna uwezo huo. Wacha kutishia watu maisha. Wallah billah naapa kwa jina la Allah Subhuana wa taala nanina saumu hapa haya maneno mazito uliyo andika Allah atakuhukumu kwa kile unacho stahili uwe wewe ni Jini au Shetwani au binadamu mchawi hukmu yako utaipata In shaa Allah.
Story lime nisisimua na hapa nipo home mwenyewe
huyo JINI ni Mpumbavu
Jamaa muongo
Toa yako ya ukweli
Majani ya myonyo ni majani gani sisi tusiyoyajua???🇹🇿🇬🇷🤣
We ni mtanzania kweli🤣🤣🤣🤣?
@@4herson255 Huyo pengine mburundi
Majini wanataka damu za Binadamu ivi damu za wanyama hawazioni😅😅.
Kwani wanyama siyo viumbe?
@@obaidothmanalbulushi9196 mnyama sio sawa na binadamu ndio mana tunawala. Wewe unaweza kula Binadamu mwenzio ?
Weeeee nyau weweee kaa kimya hunijui mimi!!! Nitakutoa mshipa wa kike Kenge weweeeee!!!