As/Aleikum, Shaikh Ramadhani, nadhani itakuwa vizuri, unapokuwa unawaelimisha hao, uwe na Biblia mkononi, ili uwaelimishe kwa yale wasiyo somewa huko Kanisani. (Kama huyo mama uliye kuwa unamhoji, ni uelewa mdogo tu, kati ya Biblia na Qurani. Laiti ungekuwa navyo hivyo vitabu, angetoa Shahada wakati huo huo.) Inshaallah, Allah atawasimamia.
Tumejua wajaluo ni watu wanapenda dini,lakini wamepotezwa na wapotefu wanaojalia tumbo Lao mungu awabariki wajaluo na awafungulie kifua Chao dini ya uislamu amin
Mashallah Uctadh na jopo lako hakika umefuzu kufikisha uslam na kuelimisha watu Subhanallah. Allah ndie anajua malipo utakayo kupa. Allah akupe afya njma na akujalie pepo yke tukufu. Allahumma Amiin Wa-Iyyaka.
Mashaa Allah Ba'rakallahu Lakum Ustadh Salim tumefurahi kukuona na Ustadh Ramadhan Allah Awazidishie na Awape Swiha Njema
As/Aleikum, Shaikh Ramadhani, nadhani itakuwa vizuri, unapokuwa unawaelimisha hao, uwe na Biblia mkononi, ili uwaelimishe kwa yale wasiyo somewa huko Kanisani. (Kama huyo mama uliye kuwa unamhoji, ni uelewa mdogo tu, kati ya Biblia na Qurani. Laiti ungekuwa navyo hivyo vitabu, angetoa Shahada wakati huo huo.) Inshaallah, Allah atawasimamia.
Tumejua wajaluo ni watu wanapenda dini,lakini wamepotezwa na wapotefu wanaojalia tumbo Lao mungu awabariki wajaluo na awafungulie kifua Chao dini ya uislamu amin
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu mungu awape nguvu za kupeleka daawa mashinani
Alhamdulillah ❤
Subhana llah lahaula walakuwata ila billah
Mashaallah tabarakallah Allah awazidishie nguvu ya imani maustadhi nao awalipeni heri hapa duniani na kesho akhera
Mashallah Uctadh na jopo lako hakika umefuzu kufikisha uslam na kuelimisha watu Subhanallah. Allah ndie anajua malipo utakayo kupa. Allah akupe afya njma na akujalie pepo yke tukufu. Allahumma Amiin Wa-Iyyaka.
Aleykum Salam warhamatullah wabarakatuh Naaaam shekh
Mashallah
Mashaa ALLAH
Subhannal-llah Allah Akbar MashaAllah tabaraqallahu jazakum'Allahu'khayran ❤❤❤❤❤
Bismillah nimekua wa kwanza leo
Mashallah
Number 2❤❤❤❤
Mash ALLAH
Allah akbar🎉
ALLAHU AKBAR ♥️
Ujinga utawapeleka kuzimu direct ticket ..unahama kwa Kristo unaenda kwa Mkuu wa majinni aii..hata unipe nini ...!