Nisipo comment Ntakuwa Sifai Hii Nyimbo Ndio tuliingilia Ukumbini Kipindi tunamaliza Form four 2013 na Mimi Ndio Niliyoipendekeza Nilihairisha Safari ya Kwenda kwa Bibi yangu ili Niipigie Upatu na Hatimaye Nikafanikisha RING'WANI SECONDARY SCHOOL
Wewe jamaa mbona kama umemaliza secondary mwaka mmoja na mm 2013 Senani Secondary na huu wimbo tuliingilia ukumbini dah bro umenikumbusha mbali. 😂😂🎉🎉 Tulioingilia ukumbuni huu wimbo tafadhali tujuane
+Antonio Achi Kujua kiingereza sio kujua kila kitu.. Hapa tunaangalia muziki wa Ommy Dimpoz na hatuko kwenye darasa la majivuno ya kujivunia lugha ya wazungu we mjinga.. Wengi huko Kenya kiingereza chenyewe mnavunja.. Pia, Tanzania sio neno la kiingereza.. ni jina la nchi.. nalo huandikwa kwa kuanzia na herufi kubwa.. "T" na sio a small "t".. kwenda huko na lugha yako ya kuazima.. Sie Kiswahili kinatutosha babu..!
+Joseph Gomalo Kiswahili ni Lugha ya mama ya Waswahili kule pwani. Nina lugha yangu ya mama. Kwangu Kiingereza na kiswahili zote ni za kuazima. Nazungumza kiswahili kwa sababu hapa Kenya, ni official Language tu, hamna sababu nyingine. Kiingereza pia ni Official Language. Lakini sababu we ni fala tu, hauezi elewa. Issues zingine ziko too complex kwa akili duni. Ata sithani unaelewa maana ya neno "mjinga" kwasababu ungekua unaelewa, haungelitumia.
I love this song❤ wapi likes2023
Tupogo mpak sasa mungu ni mwema naomben tulike jaman ✊🤙🏻👍🙏🏽🙏🏽
Ii nymb nakumbuk mbali sana da poz kwa poz uk my nimekikumbuk sna
Tupogo Bado tupo 2024❤❤❤
tupogo bado inapendwa 2024
Hii nyimbo naipend San jmn ❤❤
Kiwe kidogo❤❤❤
Tisha saana mkaka thumb up.
nakumbuka mingi sana
Nyimbo kali 😍
Kwangu naifanya kifungio cha mwaka 2021. Respect
MashaAllah I real like this song "Tupogo" ❤❤❤ Watching from "Kenya".
Atari Sana hi ngoma ya ommi
I don't know what his singing lakn naipenda sana wimbo hu jmn😂😂😂
Mungu anatukumbka2024 tupogo,,salut bro
Hii nyimbo kipindi nipo chuga maisha magumu nikaipenda san
Duuh kweli tupogo. inanikumbusha mbali mm
This song will live forever.
Who's here 2020
Song yanikumbusha kitale.... I'm missing my country ni, Dorothy nikiwa Lebanon.
Mungu ni mwema asee bado tupogo🙏🙏🙏
Those time bongo ilikuwa na some message sio kaa izi za saa hii
pikup ommy n j matis ta song iko juu tu sana
nice one
Hii time Ommy alikua wa moto xna kaz juu ya kaz video kali za bongo zilianza kwake nkmbuka kipindi hiki nikiwa Mozambique Nampula
bado nko nae hahaaahaaa inapendeza mno
Bado ninaye simuachi
Hii ngoma kali sana haichuji hata
Nisipo comment Ntakuwa Sifai Hii Nyimbo Ndio tuliingilia Ukumbini Kipindi tunamaliza Form four 2013 na Mimi Ndio Niliyoipendekeza Nilihairisha Safari ya Kwenda kwa Bibi yangu ili Niipigie Upatu na Hatimaye Nikafanikisha RING'WANI SECONDARY SCHOOL
Wewe jamaa mbona kama umemaliza secondary mwaka mmoja na mm 2013 Senani Secondary na huu wimbo tuliingilia ukumbini dah bro umenikumbusha mbali.
😂😂🎉🎉
Tulioingilia ukumbuni huu wimbo tafadhali tujuane
I love it the was it composed very nice songs of Ommy Dimpoz good job,trumpeter blown in a style
mmmh aaaaaaah nice one big up
the song itself.soo lovely
hii video sijailewa kabisa
I have been searching for this song 2 days ago,,I finally got it
Bado tupo 🤝😍🙏🇰🇪
my favourite song i really love this song for sure
wow ommy dipoz najuta kwanini nakupenda lazaidi sana 😆
Huu wimbo nakumbuka nlikuaa seminary mwaka 2013 had nlipata kesi ya kutumia simu shuleni sabababu ya hii ngoma ..Leo 2019 still watching
Hahahaaaa mm nlikua chuo mwaka w kwanza ,dah nkumbuka
Me nilikuwa nafaya kaz kwa mtu leo hii 2021, ninabiashara zang najiedesha mweyew love san hii goma peda san
Who is here,2021, I love the songs of this star,Akiyaoo...❤️
Faza July njoo chek dude ili
awesome, ommy dimpoz uko juuu, fan wako kutoka mombasa kenya
Nakumbuka huuu wimbo ndio tuneingilia Kwenye Form Four hadi Raha 2013
form four 2013 tuko pmj
Pamojaa na ndio tuliingilia ukumbin
ngoma kubwa
Kaka nakukubali sana
still favourite from 2013 - 2020
since I started listening to bongo music,,this is the best of all .. Big up
Tunacho pata ni chetu mi na yeye tu😍❤
sure
can i know you more?
welldon estee
Sure. Follow me in my social medias! Usernames are in the description box. Thanks🌸 Don't forget to subscribe
Mpigaji zumar sasa
Who's repeat watching this big Song Pozi kwa Pozi
who's watching untill 2021
Christine Arotso
Miiii
Nakupendaga
I am watching
Me 🖐️
2023 🥶🥶🥶🤗
mbona bado nipo nae....😘😘😘😘😘👌
Till end of time ....u make ma night haswa nmekosana na mpenzi wangu!
2019♥️💯Ommy God Loves You Foreal🇰🇪
I love this song 2021 who is here let gooo
ona vichwa chini wamenunai
love it🤓
Imetulia big up tunasubiri kibao kingine.
good music who cares if is corrupted keep your head up kaka yetu endeleza music yako
who's watching 2019
Me I'm watching now 2023,,,,, nakumbuka maisha kweli kweli utoka mbali nimepata wacha tukule mm naye
Old but gold, noma sana....!!!
Ommy dimpoz i really lyk ur voice,how u create ur music....i think u r tha best bongo artist in Kenya....bravo .....
Correction "Tanzania"
lila lolo in kenya is the word...understand b4 u contradict...but from tanzania
lila lolo Enyewe Kiingereza shida bongo
+Antonio Achi Kujua kiingereza sio kujua kila kitu.. Hapa tunaangalia muziki wa Ommy Dimpoz na hatuko kwenye darasa la majivuno ya kujivunia lugha ya wazungu we mjinga.. Wengi huko Kenya kiingereza chenyewe mnavunja.. Pia, Tanzania sio neno la kiingereza.. ni jina la nchi.. nalo huandikwa kwa kuanzia na herufi kubwa.. "T" na sio a small "t".. kwenda huko na lugha yako ya kuazima.. Sie Kiswahili kinatutosha babu..!
+Joseph Gomalo Kiswahili ni Lugha ya mama ya Waswahili kule pwani. Nina lugha yangu ya mama. Kwangu Kiingereza na kiswahili zote ni za kuazima. Nazungumza kiswahili kwa sababu hapa Kenya, ni official Language tu, hamna sababu nyingine. Kiingereza pia ni Official Language. Lakini sababu we ni fala tu, hauezi elewa. Issues zingine ziko too complex kwa akili duni. Ata sithani unaelewa maana ya neno "mjinga" kwasababu ungekua unaelewa, haungelitumia.
huu wimb unanikumbuxha mbal xan kun bxt ang àlikuwa anaupend xan halaf kaxhafalik kil nikiuxikia napat maumiv
Ndio yule mwanzo na badaye aahaaa
what a great song? keep up the good work Ommy!
2023 still listening 🎶 👌
Yimbo ziripendwa
Still listening 🎧 to this song in 2023.....🎉....
Wonderful boy sings like little angels with arranged tools vices so merverous,make me feel so cool indeed.
william botta
Who is still here 💕💕💕💕💕💕
❤❤❤❤❤😂2024 still the song is 👌
Ommy you made it to be hotter than expected
noma sana thumb up
Tupogo song makes me think about so many things keep it up.
I miss this song
kama imetoka saiz vile
2021✌️
2023 gather here❤️❤️❤️
tupogo ngoma kali
I love the song wow can't help dancing to the tune
I know right! Me too! Hey perhaps you could visit my channel and subscribe? I'll be thankful❤❤
Wonderful boys they sing like angels,coming up so well i love them. They make me think positive.
Am in love wid dat song
6 years later.. Still my jam
2020🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ngomahii nikiisikia nakumbukq mengisan
I love it#Dimpoz Kopoz
#tupogo, ni fitty bytheiz...! its razydee....
i love everything about this music .mwaahx
Mmmmmmmh
2022 still 🙌🙌
Wow.. Love it
great piece
Nice song..
🚼nikonae
wow nice one
Still here 2024
2021🇲🇿😍
one of best J Martin's song
I really like the song Jay Jay
For music lovers these are what to listen and dance slory
who's listening in 2022 ❤
Back in 2012 in garrisa
❤❤❤❤
2020 tupogo
October 2020