I am very surprised that so much development has taken place in Zanzibar.The type of houses built are of very high standard and who are the owners.What part of Zanzibar is this in.
Some people are very ignorant sasa kuna watu wengi wako mbali nje ya nchi tunapata kuona haya maendeleo yanayofanyika katika nchi watu wengine wao ndo wajuaji eti ushamba kila kitu wao ushamba tuu brother don't back down carry on doing the good work very usivunjike moyo na maneno ya hawa wajuaji kila kitu wanajua wao ndo maana nchi yetu haiendelei kwa watu kama hawa
@@awadhtevez2918 xx walioko nje ya nchi waone nn huku ,Kuna cha kitu ambacho kinawashangaza hapa unguja,ww ili tusikuone mshamba kiiivyo bc angalau ungeenda japo kule jonzani ukatupigia picha wale tumbili na vingi vipo kule vya ajabu, ila balahu kunaacha kazi ama chukwani ,kisauni .hahahhahahahah
huyu aliegonja mwenzie vipi tena
MashaAllah 😍 zanzibar yetu
huhu thanks kwa video safi
Ahsante sana kwa comment
Nice video ❤
Thank you.
I am very surprised that so much development has taken place in Zanzibar.The type of houses built are of very high standard and who are the owners.What part of Zanzibar is this in.
The owners are just normal citizens brother and those locations are Kiembesamaki, Chukwani, Kisauni in Urban Regions of Zanzibar.
Asante sana lakini mbona rivatiba hujenda mpaka mwisho tukaona majumba umerudi pls tumalizie
Ok usijali tutamalizia maeneo yalioyobaki kwenye video zijazo. Ahsante
Waunguza ayo mafuta tu kwa ushamba mwingi ulonao
Ahsante kwa comment
Usimpe tena pesa ya mafuta
@@masoudmasoud8138 xx Nani mshamba asiekujua huko.