Nimekosa kupitia hapo nilikuwa Zanzibar July to September. Ni sehemu nzuri lkn ndugu zangu wa Znz tuache uvivu jua kali lishatoka maduka yamefungwa . Au ndo hayajapata wapangaji🤔
Sehemu nzuri sana kwanini wanatowa vitu nje? Na maturubali kama uko sokoni ni uchafu. Bado panahitaji ubunifu. Majumba yote yatiwe rangi yanaharibu Manohar. Marikiti watu wawe wasafi. Majumba yatengenezwe bado zanzibar inahitaji ubunifu.
Kaka Tupe sugar Tupe sugar Tupe muziki good stuff Good good videos
Thanks kaka for support
Asante bro, unatukumbusha kwetu!
Ahsante kwa support bro
Nimepamiss sana kwetu jmn maisha haya mhhhh😢😢
Pole na karibu sana usisahau nyumbani
MashaAllah!!!
Shukran
Ahsante
I was in Zanzibar but I did not an opportunity to visit this place
Oh pole bro
Nimekosa kupitia hapo nilikuwa Zanzibar July to September. Ni sehemu nzuri lkn ndugu zangu wa Znz tuache uvivu jua kali lishatoka maduka yamefungwa . Au ndo hayajapata wapangaji🤔
Ilikua saa ngapi ulipochukua video naona maduka yamefungwa mengi
Hii ilikuwa mida ya asubuhi
Tunaoneshwa tuu video Bilal ya maelezo. Imekusudiwa nini?
Just kuona maeneo na maendeleo ya Zanzibar zaid kwa wale ambao wapo nje ya nchi.
Sehemu nzuri sana kwanini wanatowa vitu nje? Na maturubali kama uko sokoni ni uchafu. Bado panahitaji ubunifu. Majumba yote yatiwe rangi yanaharibu Manohar. Marikiti watu wawe wasafi. Majumba yatengenezwe bado zanzibar inahitaji ubunifu.
Kweli kabisa watu wanapaswa kubadilika
Wapunguze kodi Wana nchi hawezi kukodi Bishara iko chini znz
Kweli kabisa
Kwan mlango bei gani mkuu niko ughaybuni @@zanzibartowns
Sasa hayo mabanda na maturubai ya nini
Jua kali
Hao wanaopanga nje na mameza ndio vipi sasa
Hao ndio wanachafua mji kwakweli
@zanzibartowns Umeonaee wakiondolewa watilishe huruma yaani wanakera kweli serikali iweke sheria kali