EE Yesu Kristo tutor Ngugi Za Roho mtakatifu.tuko safari ni ya kukamilisha wokovu huu.tukaipokee Taji ya uzima..asante daniel na team yako .pamoja na kanisa nzima.
Amen 🙏 Glory be to our almighty God forever,barikiwa sana na mungu azidi kukuinua kiroho tunapozidi kumtumikia kupitia kwa Atlanta zetu kwa haki na kweli🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tuwe tayari kila siku na tujiulize utawekwa kwa upande gani . Tusiwe tunafanya kazi ya bure bali tuwe tumafanya kazi yakumpendeza kwenye macho ya Mungu may God bless you pst sifuna 🙏🙏🙏 Amen na Amen ❤🎉
Mungu akubariki na kukulinda mtumishi wake da kweli Mungu hukaa katika sifa naona mbingu zinafunguka utukufu kwa Mungu Asante Yesu
Wow nice song ,,,wacha mungu azidi kuitwa mungu ,,,,be blessed mtumishi ,,,, Amen 🙏
Amen amen
@@danielsifuna7377blessing song
May heaven honour u
EE Yesu Kristo tutor Ngugi Za Roho mtakatifu.tuko safari ni ya kukamilisha wokovu huu.tukaipokee Taji ya uzima..asante daniel na team yako .pamoja na kanisa nzima.
Wow what a sweet song
Amen
Wow, very nice song
Amen
Nyimbo nzuri sana mtumishi wa mungu umenikumbusha mbali 🙏
Barikiwe mtumishi unanikumbusha mbalii
Amen
Touchable song be blessed
Blessings
❤❤❤
Am blessed with this song be blessed also❤
Blessed too
Nice song sifuna
❤❤❤amen
Am blessed
Amen❤❤❤
Hallelujah amen mtumishi wa mungu
Amen❤❤
Amina mchungaji, pray with me 🙏
Amen amen I will❤❤❤❤
Ameeen God bless u my brother 🙏
Amen amen amen❤
GOD is great🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nice song tulikuwa tukiimba Kwa youths meetings still blessings, touching amen.
Ubarikiwe kaka angu wimbo mzuri kiukweli umeniweka karibu sana na MUNGU wangu
Aaaaamen
Nice song imenikumbusha mbali be blessed 🙏🙏
Amen amen❤
Good song ❤❤
Amen
Nimebarika more grace Mtumishi , Tuombe sana tusiwe miongoni powerful message lit ❤️🤦🏽♀️
Kweli kabisa.
Amen amen🙏🙏❤❤
Amen 🙏🙏🙏 nimebalikiwa na hihuduma
Amen❤
This Awesome
God bless you 🙏
Amen❤❤
AMEN MTUMISHI 🙏🙏🙏nyimbo yangu ya sunday school hii naipenda sana sana.
Amen amen❤❤🙏
Halleluyah halleluyah 🙏🙏🙏 barikiwa sana kwa hizi nyimbo acha Mungu azindi kukupea ufunuo zaindo wa kuleta nyimbo za kumtukuza Yawer 🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen🙏🙏🙏❤❤
Amen amen mungu akutie nguvu unapo mutukuz
Aaamen
Amina sana mtumishi kwa huduma nzuli Mungu akubaliki sana
Aaaamen amen ❤❤❤❤
Amen be blessed
Amen
Amen Amen brother. Nilikuwa nautafuta huu wimbo finally nimeupata barikiwa sana🙏🙏🙏🙏
Amen amen❤❤❤🙏
wimbo mzurnsana
Amen 🙏 mbarikiwe Sana ❤️
Amen amen
Natamani sana kujiunga na hiki kikundi cha kusifu na kuabudu ,Mungu wetu ni Roho nao wa mwabudio imewapasa kumwabudu katika Roho na Kweli,.
Amen
Woow.Amen.barikiwa sana
Amen amen❤
Amen 🙏 Glory be to our almighty God forever,barikiwa sana na mungu azidi kukuinua kiroho tunapozidi kumtumikia kupitia kwa Atlanta zetu kwa haki na kweli🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen❤❤❤❤❤
Siku hiyo itakuwa ngumu ya kilio na majuto sana. Eee Mungu utusaidie
Amen ❤
Ubarikiwe
Amen amen❤🙏🙏
Woow good song hua inanigusa kila niamkapo ubarikiwa
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Nyimbo nzuri sana za kutusongeza mbele za Mungu zaidi.🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
Amen❤❤❤
Mtumishi
Napenda sana hii wimbo god blessed🙏🙏
Amen❤❤
Nice song broo nitafute
Amen❤❤❤
❤❤❤❤❤ Ameeeen naupenda huu wimbo sana
Amen asante sana sana
Nimeipenda sana inaingia kwa roo
Wimbo nzuri, be blessed man of God
Amen and. Amen
kweli Mungu atusaidie ni aibu kukataliwa hiyo siku 😢
Wimbo wa zamaniii, sana nikiwa mtoto
Kazi nzuri mtumishi ma mungu ,mungu azidi kukuinua juu kabisa,ilike your songs.barikiwa.
Amen 🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
Yeah ni vema sana ujue kile ulichopewa na ni nini , na unaitimiza au vipi, AMINA barikiwa sana 🙏🙏
Amen
😢Good work 6:15
Amen 🙏 🙏 🙏 nimeuona tiktok
Amen amen ❤❤
Amen nice song
Amen amen ❤❤
Balikiwa sanaaa mtumishi
Beutiful song.barikiwa
Amen
Amen Amen hallelujah 🙌 mungu tusaidie dunia ningumu safari enye milima na maponde tushike mkono wateule wako
Amiiina ninajiunganisha na wimbo, Asante YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai 🙏
Amen❤❤❤❤❤
Barikiwa my brother 🎉🎉🎉❤
Jina lake mungu lizidi kuhimidiwa Amina
Amen amen
Be blessed we need to prepare for that final judgment
Amen❤
Woww🎉 nice song
Final judgment is coming very soon thanks for the nice song
Amen❤❤❤
❤❤❤❤Amen
Mungu akupe kibali zaid
Amen ubarikiwe sana Mtumishi
Amen
Asubui yangu imekua njema..
Mungu nitatumia talanta ulizonijalia siku za maisha yangu hapa dunia..
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
May the lord bless your work and feel joyful
Barikiwa danieli sifuna
Amen pastor🙏🙏❤❤
🙏🙏🙏
Nice song brother Sifuna
Amen 🙏🙏❤
Nyimbo tamu sna
Nimebarikiwa sana
Wow the song sounds amazing God bless you so much bro nyimbo zako hua zinanikubusha mengi
Amen amen be blessed
Ooii My God remember me save me from my sins In Jesus name pastor may God move to another level to preach I'm really blessed
Aaaaaaaaaamen amen
Much BLESSINGS mtumishi nimebarikiwa sana❤❤❤
Nice song..izi nyimbo nkiziimba nkiwa na shida naonanga zikiisha
Amen amen amen❤❤🙏❤❤❤
Bwana yesu anisaidie maana nikijihoji naona bado.
Mungu azidi kukubariki mtumishi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mungu azidi kukuinua
Amen ❤❤
Nice song..keep going man of God🥰🤛🙏🏼🙏🏼👏👏
Wow nice song God protect you good job 🙏 ii
tujiandae wapendwa wa mungu
Ana bariki watu huyu jamaa
Tubalikiwe pamoja mtumishi WA mungu
Amina nimebarikiwa
Mung akubarik kwa hudum yak
AMEN AMEN
Wow I like the song aki
Amen thank you❤❤🙏🙏
Nimefarijika nahuo wimbo
Duuuu mungutu.atuwezeshe peke yetu hatuwexi
Blessings brother good work bring more worship the nation. 🕊️🕊️🕊️🕊️🙏
Amen 🙏🙏❤❤❤
Huo wimbo umenikumbusha,,,,, mbali,, jina la Bwana lifewe sifa mtumishi.
Mugu akubariki
Waoh am truly blessed, good job
Wonderful ❤
Amen
A very nice song, we should serve God now
Wow nice song
Very touching words,,,mungu nisaidie kufanya yapasavyo katika wito uliyonitia.
Tuwe tayari kila siku na tujiulize utawekwa kwa upande gani . Tusiwe tunafanya kazi ya bure bali tuwe tumafanya kazi yakumpendeza kwenye macho ya Mungu may God bless you pst sifuna 🙏🙏🙏 Amen na Amen ❤🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Go go my son you are on another level daniel 🎉❤
Aamen amen.
Thank you
Spiritual and inspiring
Amen
❤❤❤❤ nice one song