ZUCHU AMJIBU DIAMOND "UKITAKA UNIWEZE FANYA WAZI WAKUONE MAHASIDI WAUMIE..."

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 май 2024
  • East African number one RUclips channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
    KANUNI NA MUONGOZO
    Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
    NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
    WeAreEverywhere
    #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 32

  • @FrolaJoram-eg1ng
    @FrolaJoram-eg1ng Месяц назад +11

    Zuchu uko vizuri,umenikumbusha Omari kopa🎉❤❤

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h Месяц назад +9

    ZUCHUUUUU forever my QUEEN ❤️❤❤️❤️❤️💯👍👍👍

  • @RazziahOkumu
    @RazziahOkumu Месяц назад +9

    Wow such a talented gal,, watching from kenya

  • @mukamukamadyna4375
    @mukamukamadyna4375 Месяц назад +13

    Umejuwa kuwanyoosha 😂😂😂😂😂😂nakupenda sana

  • @maryconsolata6420
    @maryconsolata6420 Месяц назад +12

    Found some one zuchu but not Diamond open your eyes zuchu you are wasting your time and come old what will you do?look some one zuchu ❤❤❤

  • @MaryamHajj-ds8hl
    @MaryamHajj-ds8hl Месяц назад +10

    Yupo kote vizuri tarabu

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo Месяц назад +6

    Hongera zuchu ❤❤

  • @azizamohammed583
    @azizamohammed583 Месяц назад +7

    Mashaallah zuu kopa

  • @ashurasharif-ln4nl
    @ashurasharif-ln4nl Месяц назад +2

    Wambieeeee❤❤❤❤❤

  • @KhadSmiths
    @KhadSmiths Месяц назад +3

    Daamondi utakoma wewe sasa zuchu yupo vizuri mutoto huyu safi sana dada huyu bwenge muache aende kabisa

  • @user-mz1xw8my8f
    @user-mz1xw8my8f Месяц назад +3

    Sisi hamtuwezi kwa vijembe hususan taraab zuchu yuko vizuri kila idara

  • @user-vi2vh5xh6m
    @user-vi2vh5xh6m Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Zuchu

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn Месяц назад +4

    😂😂😂 bongo sihami

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 Месяц назад +6

    Uswahili nyinyi jamani

    • @mconedimple5364
      @mconedimple5364 Месяц назад

      Huyo ni mpwani haswaaa 😂uswahili ni jadi yake😂

  • @bettykadzo2007
    @bettykadzo2007 Месяц назад +2

    Unapendeza kwa magauni kuliko vile vituko unavyo vaa ukiwa na diamond

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h Месяц назад +1

    👏👏👏👏👏👏💋👍🏽

  • @MillanFAHMI
    @MillanFAHMI Месяц назад +1

    Uyo tarabu ndo kipaji chake bongo fleva analazimisha tu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Месяц назад +3

    NAKUPENDA SANA WEEE KIMWISHOOO WA BI SHOST. HADIJA KOPA.❤🎉

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +9

    Mond umeyakanyaga kwa hawa wanawake.

  • @ElizabethPetro-th5nn
    @ElizabethPetro-th5nn 28 дней назад +1

    Acheni wivu kama we mackin ni mackini tu

  • @naphakamara8710
    @naphakamara8710 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @comm611
    @comm611 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @meowzna
    @meowzna Месяц назад

    🥰🥰🌹

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 Месяц назад

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Месяц назад

    😊😅😅😅

  • @stellajohannsen99
    @stellajohannsen99 Месяц назад

    Usilazimiche we z ❤❤❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад

    Umbea umezidi

  • @khalidhasan4506
    @khalidhasan4506 Месяц назад

    Wacha zinaa ww

  • @zulfakibwana2330
    @zulfakibwana2330 Месяц назад

    Dai hakupende hata ukafanya nini dai yuwapenda watoto wake.