Melodies Of Hope-Ufunuo wa Matumaini

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Na Imani Hezron, Adventist
    Mkutano wa Ufunuo wa Matumaini unaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ambapo mafundisho ya Afya, Kaya, Familia na neno la Mungu yanafundishwa. Muhubiri Mkuu kwenye mkutano huo ulioanza Mei 12, 2018 ni Mchungaji Dkt.Mark Finley kutoka Marekani.
    Mkutano huo unaanza kila siku kuanzia saa 16:00 alasiri hadi saa 20:00 usiku huku pia yakikujia mubashara kupitia Hope Chanel Tanzania kwenye visimbuzi vya Continental pamoja na Ting bila kusahau kwenye RUclips. Pia yanapatikana 102.1 Morning Star Radio Mwanza na kwenye programu tumishi (Application) za Itune na TAMC.
    Kupitia BMG, Karibu kusikiliza wimbo maalumu wa mkutano huo kutoka kwa vijana wa Melodies of Hope.

Комментарии • 53

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 3 года назад +1

    Kipidi hiki nilikuwa na mkutano wa injili bunyokwa Mungu ni mkuu kweli tupige mbio tu katika imani

  • @niwagwenemayeye972
    @niwagwenemayeye972 2 года назад +1

    Yesu ndiye Tumaini la watu wote.mbarikiwe

  • @rebeccampeta6650
    @rebeccampeta6650 6 лет назад +3

    asante Mungu wangu mimi pia kua miongoni mwa wasabato raha na furaha niliyonayo ni kubwa sana

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi5950 6 лет назад +4

    Baba nakuomba bariki wachungaji wetu na washiriki wote. Amen.

  • @limonicholas4164
    @limonicholas4164 6 лет назад +4

    I am proud to be an Adventist, I love this church

  • @annabirore8291
    @annabirore8291 6 лет назад +2

    Sielewi ni wimbo mzuri au sauti za hawa wababa, aki mnaimba vizuri na wimbo ni fireeeeeee, to God be the glory.

  • @gesoralitegeneration8855
    @gesoralitegeneration8855 6 лет назад +2

    wimbo mtamu sana wenye utunzi na ufundi mkubwa mno unapenyeza moyoni

  • @cipladapretty8617
    @cipladapretty8617 6 лет назад +13

    Hakika Mungu hajakosea kunichagua kuwa mwadventista.....najvunia sana kuwa ktk hili kanisa

    • @joycealex1173
      @joycealex1173 6 лет назад +1

      Grace Ngocho Amen

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 6 лет назад +1

      Grace Ngocho proudly Adventist

    • @daddybenny
      @daddybenny 6 лет назад +1

      Nashukuru kunitoa huko kwenye madhehebu niliyokuwa ukanileta kwenye safina ya kweli.hatimaye wokovu nitauona kwa hakika

    • @estermshomi6139
      @estermshomi6139 4 года назад +1

      Wakat nikiwa nasal Rc nilikua nawaona wasabato kama wamepotea kwl eti wanasal J, moc?? Lkn Neema ya Mungu nilivo ipata na kubatizwa kwa Wasabato hakika mpk najiuliz nilikuaga wp najivunia kua muadiventist

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 6 лет назад +2

    Huu wimbo wa mkuu wam mkutano niliupenda sana na ninaendelea kuupenda

  • @piusilugata3795
    @piusilugata3795 5 лет назад +1

    Amina sana

  • @raelbochaberi6250
    @raelbochaberi6250 2 года назад +1

    Amen

  • @hekimalugome9989
    @hekimalugome9989 6 лет назад +2

    mbarikiwe sana

  • @gloryleakey1908
    @gloryleakey1908 6 лет назад +2

    Wimbo mtamu sana

  • @mwasikunigwa389
    @mwasikunigwa389 6 лет назад +2

    Nice song wish kila cku iwe hvo

  • @patrickoyiera3751
    @patrickoyiera3751 3 года назад +1

    🙏

  • @miriamjoshua4840
    @miriamjoshua4840 6 лет назад +2

    wow! amazing song.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 лет назад

      Keep in touch with us Miriam, don't forget to SUBSCRIBE and share to your friend!

  • @steveoketch5727
    @steveoketch5727 5 лет назад +1

    am blessed

  • @etherkibuga3553
    @etherkibuga3553 6 лет назад +1

    Barikiweni

  • @victorbett4302
    @victorbett4302 6 лет назад +1

    Akika mi sina kitu hii dunia nilikuja bure nitarudi bure

  • @magendamabamba5749
    @magendamabamba5749 6 лет назад +2

    Very nice song

  • @nyachirangimlengwa
    @nyachirangimlengwa 6 лет назад +2

    Wimbo mzuri

  • @magrethmzava6541
    @magrethmzava6541 6 лет назад +3

    God bless all of you

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 5 лет назад +1

    Kweli ni tumaini la leo

  • @wad1007
    @wad1007 6 лет назад +2

    mbarikiwe

  • @openmindtv4673
    @openmindtv4673 6 лет назад +2

    Good music wonderful

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi5950 6 лет назад +1

    Toutchng Song.

  • @gesoralitegeneration8855
    @gesoralitegeneration8855 6 лет назад +1

    nitapata wapi nyimbo zao zaidi

  • @Nundu2000
    @Nundu2000 6 месяцев назад +1

    Hivi nyinyi wenye chanel kuiba nyimbo za watu na kuziweka kwenye zenu mnajisikia ushujaa eeh! Ni aibu.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 месяцев назад

      Naomba ukafungue kesi kisha tukutane mahakamani tuelezane ni wapi tuliutoa huu wimbo na tuliuposti kwa idhini ya nani. Usipende kuhukumu!

  • @aminaelsamson3550
    @aminaelsamson3550 6 лет назад +2

    Amina

  • @nelsonochieng2255
    @nelsonochieng2255 6 лет назад +1

    Adventist Brodcar network

  • @neemamajura9173
    @neemamajura9173 6 лет назад +3

    Huo wimbo upo kwenye nyimbo za kristu?
    Na ni namba ngapi anayejua aniambie.
    Naupenda sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 лет назад

      Tafadhali wasiliana na waimbaji 0754852502

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 6 лет назад

      NEEMA MAJURA haupo kwenye nyimbo wala

    • @decoozil8531
      @decoozil8531 6 лет назад

      NEEMA MAJURA nooo

    • @NeemaPaul-e1o
      @NeemaPaul-e1o 7 месяцев назад

      Haupo

    • @Nundu2000
      @Nundu2000 6 месяцев назад

      Huu walitunga waimbaji wa kirumba. Haumo kwenye nyimbo za kristo

  • @peninamdegela1474
    @peninamdegela1474 6 лет назад +1

    Mbarikiwe sana