Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
My dear ladies ukiwa na kitu chako kinaenda,yaani iwe mahusiano, iwe ni kiuchumi,usiongelee,waache watu waspeculate mpaka wachanganyikiwe. Just keep it cool,keep it mindful,keep it very demure. Coz weeeee hasad is real,
Ukweli ni kwamba wahindi ni wabaguzi kinoma,hawajahi kutukubali watu wa Afrika ,jiulize katika maisha yako umeona wahindi wangapi wameoa au kuolewa na waafrika ?
@@Mkombozi255 mfano mdogo tu ni.huyo alezaa nae na wanaishi km mke na mume sasa tofauti yake nin hapo zaid labda ni ile kuhalalisha tu ndoa alafu usibishe zama hizi sio zama zile za kale ndo kulikua na ubaguzi wa kikabila mpka kimataifa ila sio leo
@@Hajer-be2kh ipo hivi muhindi akizaa na mwafrica huwa wanamtenga yaani kiufupi family huwa hawakubali kuchanganya damu.india kuna kijiji kinaitwa jambur.hapo wanaishi wahindi wenye asili ya Africa,wanawaita Siddis.wamewatenga na hakuna hata mmoja aliyezaa na wahindi weupe.fanya utafiti siyo kila kitu chakujibu.ndo maana huyo jamaa kaficha sura.angekuwa mzungu hapa mbona shwari tu
@@Mkombozi255kabisaaa... baba angu mdogo aliwahi kumzalisha dada wa kihindi..wallah yule mtoto aliponea chupuchupu kuuwawa ni mungu tu..wanasema hawataki laana..ilibidi mtt atoroshwe aletwe kulelewa upande wetu hakuwahi kunyonya ziwa la mama mpka anakuwa.kijana saivi anamiaka 30.mtt alitenganishwa na mama yake akapelekwa kuozeshwa Nairobi na huko hawajui kama alishawahi kuzaa miaka yote hiyo mpk sasa
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
My dear ladies ukiwa na kitu chako kinaenda,yaani iwe mahusiano, iwe ni kiuchumi,usiongelee,waache watu waspeculate mpaka wachanganyikiwe.
Just keep it cool,keep it mindful,keep it very demure.
Coz weeeee hasad is real,
Nimekupenda nimwanamke mwenyekujielewa sana ,nandivo inavotakiwa kujijua wewe nani naunaenda wapi ,hongera mwanangu 🎉🎉🎉
Nakubari Sana uyiu Dada pili kiswaswadu😂😂😂
Nimependa hapo haviachwi vikachacha ,nijambo njema hata mimi napendahivyo kwa watoto wangu ,vikinizidi ,hupenda kuwaambia 🎉🎉🎉
Nimempendaaa huyu host ❤
Privacy ni kitu cha msingi snaaa
Nampenda huyu binti
Wish you the best girl ❤❤❤
Pili una Akili sana
Love you Pili
I love you Pili
Love you Gladys😊😊😊
Nilijua tu kuwa muhindi kapatikana kwa dating site ila sio mbaya maana hata mim niko zangu tinder😅 na sitoki mpaka nipate😅😂
Tinder n wap n m niende jmn naataaka ki2 cha kihindddi chenye maadolaaaryyy
😅kweli wa bongo mtihani sana maongo hatari
Tunamtakia kila lakhery lakin aweke akiba ya maneno
Mmm wekuweza
😂😂😂😂😂pili❤❤❤❤
Mswahil akipata😂😂😂usmalize maneno dada
Nimekwenda Pili u mkweli sana wengi wanajifanya matawi ya juu
❤❤❤❤
Hivi hawa wenye hela za kutunzana hivi wanalipa Kodi kweli?
Kwaiyo kuzin na kuzaa nje vtu vya kawaida before ndoa
Nakulove mno kekuu wewe ni noma na nusu glad
Pili fanya uje na kwenye azam TV urushe kitimtim uku
Pili unamdogowako anaitwa jackson kifaluka?
Sio kalibu 😂ni karibu
Ni mme wa mtu na mtu mwenyewe ni mimi kama mimi siyo mtu haya 😂😂😂 ila pili
Maneno meng
Huyu si mchaga 😂 ni mzaramo 😂😂
Ndiyo kaongeya kweri
Bangali uyo😂😂
si alikomba Account yote au Acc yake ina bilioni ngapi?
Mbona mashauzi mengi huo ni ushamba
Gigy loading......
Ukweli ni kwamba wahindi ni wabaguzi kinoma,hawajahi kutukubali watu wa Afrika ,jiulize katika maisha yako umeona wahindi wangapi wameoa au kuolewa na waafrika ?
Inaonekana hujatembea na kuangalia ya dunia hao wapo kibao sn
@@Hajer-be2kh hamna kitu kama hicho,we umeona wapi?
@@Mkombozi255 mfano mdogo tu ni.huyo alezaa nae na wanaishi km mke na mume sasa tofauti yake nin hapo zaid labda ni ile kuhalalisha tu ndoa alafu usibishe zama hizi sio zama zile za kale ndo kulikua na ubaguzi wa kikabila mpka kimataifa ila sio leo
@@Hajer-be2kh ipo hivi muhindi akizaa na mwafrica huwa wanamtenga yaani kiufupi family huwa hawakubali kuchanganya damu.india kuna kijiji kinaitwa jambur.hapo wanaishi wahindi wenye asili ya Africa,wanawaita Siddis.wamewatenga na hakuna hata mmoja aliyezaa na wahindi weupe.fanya utafiti siyo kila kitu chakujibu.ndo maana huyo jamaa kaficha sura.angekuwa mzungu hapa mbona shwari tu
@@Mkombozi255kabisaaa... baba angu mdogo aliwahi kumzalisha dada wa kihindi..wallah yule mtoto aliponea chupuchupu kuuwawa ni mungu tu..wanasema hawataki laana..ilibidi mtt atoroshwe aletwe kulelewa upande wetu hakuwahi kunyonya ziwa la mama mpka anakuwa.kijana saivi anamiaka 30.mtt alitenganishwa na mama yake akapelekwa kuozeshwa Nairobi na huko hawajui kama alishawahi kuzaa miaka yote hiyo mpk sasa
Badu ni mtandao gani huo 😮 ndo nasikia leo
Badooo. Upo ingia playstore
Mbona mingi Tu! Date chart room nk
Inaandikwa badoo ni dating site